FAIDA ZA KIAFYA ZA KUJICHANGANYA NA WENGINE

  Рет қаралды 11,042

Success Path Network

Success Path Network

4 жыл бұрын

FAIDA ZA KUJICHANGANYA :
Kwa wale ambao tayari wametambua faida za kujichanganya na wengine kwenye jamii wamepata faida kubwa sana kwa tabia yao hiyo, na wengine wamepata madhara kwa tabia za kupenda kujitenga peke yao. Sasa leo hii nataka nikuletee faida za kiafya za kujichanganya na wengine kwenye jamii mbali na zile faida za kawaida tu waweza zifikiria mara moja kama kuongeza ujuzi zaidi au kuongeza marafiki lakini zipo faida nyingi tu za kiafya ambazo leo hii nataka tuzifahamu kwa undani. Faida za kujichanganya na wengine:
.
Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
.
NIFUATE MITANDAONI
INSTAGRAM: / ezdenjumanne
TWITTER: / ezdenjumanne
FACEBOOK: / ezdenjumanne
LINKEDIN: / ezdenjumanne
.
For Business please send me an email
ezdenjumanne@gmail.com
Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076
#Faida #Kujichanganya #SPN

Пікірлер: 80
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Ningependa nijifunze kitu toka kwako pia. Nipe faida nyingine ambazo wewe umezithibitisha kwa tabia ya kupenda kujichanganya au changamoto yoyote kama ipo. Asante.
@gmontaclassic5307
@gmontaclassic5307 4 жыл бұрын
Kiupande wngu napata kitu kikubwa sana ninapo kuwa kwanye mchanganyiko wa jamiii coz Huwa napata vtu vipya kila cku broo
@harisonlugusi
@harisonlugusi 4 жыл бұрын
Ni kweli kabisa. Kama unapenda kujichanganya gonga like.
@elishamgasa2343
@elishamgasa2343 4 жыл бұрын
Hahahahahaaaaaa...... Hii nimeipenda sana ya Mchina kutema kisukuma ... Ng'wangaluka Bhabha....
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 4 жыл бұрын
Hakika my brother Ezden Mm napenda sana kujichanganya na watu tena hujipata mwenye furaha muda wote kizuri zaidi napata kujuwa Mambo mapya ambayo nilikuwa siyatambui kabisa. Hili Somo la leo lina Ukweli asilimia Mia moja. RAMADHAN MUBARAK 🙏
@dottnatt7110
@dottnatt7110 4 жыл бұрын
Shukran,kwa somo Mm sina tabia ya kujichanganya kupitia somo hili nitajitahid kujichanganya inshaaAllah. Allah akulipe khel kaka Ezden Jumanne inshaaAllah.
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Nashukuru sana ndugu yangu. Comment yako inanipa nguvu kuendelea kufanya kazi nzuri zaidi. Usisite ku-share LINK ya content nzuri utakazoona zinafaa kuwapa wengine ili wajifunze zaidi. - Each One Teach One!
@kondoayetu5503
@kondoayetu5503 4 жыл бұрын
Daahhh tupo wengi ambao hatupendi kujichanganya I'm sure tutajirebisha baada ya kuipata hii
@luckmanhussein4428
@luckmanhussein4428 4 жыл бұрын
Nice sharing 👍🏾
@lujjibondo3182
@lujjibondo3182 3 жыл бұрын
Kuna mda napenda kujichanganya lkn mda mwngn spendi kwasababu ya mazingira na watu tabia zao zilivyochafu ...lkn pia wazaz wetu wanapenda sisi tukaendan tuu
@flavianayusuph1309
@flavianayusuph1309 3 жыл бұрын
Much thanks brother for good inspired us always May Almighty Allah Guide you always keep you safe always
@najlaskitchen1572
@najlaskitchen1572 2 жыл бұрын
You always making my day brighter... Allah akupe kila ukitakacho❤️❤️❤️
@emtv9675
@emtv9675 4 жыл бұрын
Nakubali sana kaka very very good intellectual intelligent man
@danielsimfukwe305
@danielsimfukwe305 4 жыл бұрын
Faida nyingine ni kwamba unajiamini zaid katika kufanya maamuzi , pia utafanikiwa zaidi katika ufanyalo kwa kuwa wanasema ukitaka kwenda haraka nenda peke yako lakin ukitaka fika mbali zaid nenda na mwenzako means unachangamana kupata ideas mbalimbali
@maricelajohn4241
@maricelajohn4241 4 жыл бұрын
That's true
@sigifridamaro7757
@sigifridamaro7757 4 жыл бұрын
Asantee sn broo
@williamkidalo7049
@williamkidalo7049 4 жыл бұрын
Be blessed
@augustryann365
@augustryann365 4 жыл бұрын
Asante Kaka umenifungulia Dunia nyingine
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Asante sana August ryann kwa kufuatilia. Pamoja!
@mummysu4772
@mummysu4772 4 жыл бұрын
Very true bro, Mimi binafsi nimeona faida nyingi sana ukiwa muwazi kwa rafiki yako ama mtu aliekaribu na wewe, ukiwa una jambo linakusumbua ama dhiki fulani,kuliko kulinyamazia ndani ya nafsi yako unajisababishia depression bila ya kujifahamu,ndio pale walipo sema,a problem shared is a problem solved,so tusipende kujitenga na watu ili tuwe na maisha mazuri,thanks alot bro for this lesson
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Nashukuru sana ndugu yangu. Comment yako inanipa nguvu kuendelea kufanya kazi nzuri zaidi. Usisite ku-share LINK ya content nzuri utakazoona zinafaa kuwapa wengine ili wajifunze zaidi. - Each One Teach One!
@simulizizakiswahili
@simulizizakiswahili 4 жыл бұрын
Somethiñg potential at right time i was thinkíng about.
@danielsimfukwe305
@danielsimfukwe305 4 жыл бұрын
Changamoto 1, unaposhirikisha watu mipango yako wengine ndo huwa maaadui wako wa kukwamisha mafanikio.2.ukichangamana na watu wasio sahihi waweza kushauriwa upuuzi na kujikuta huendelei kwa wakat
@maricelajohn4241
@maricelajohn4241 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka point zako ni za kweli
@joycembochi8373
@joycembochi8373 4 жыл бұрын
Good
@zenahcharles7640
@zenahcharles7640 4 жыл бұрын
Asante sana kaka Mimi huwa sijichanganyi na watu kabisa ingawa napenda ila sijui ni nini kinanizuia kupitia somo hili nitajitahidi
@heradiussdereck2257
@heradiussdereck2257 4 жыл бұрын
Asante sana kaka...
@rahmahussein6579
@rahmahussein6579 4 жыл бұрын
Absolutely true talk , may Allah help us all .
@AliMohamed-wp1op
@AliMohamed-wp1op 3 жыл бұрын
Loniness and Quietness produces smartness and best thinkers, like e.g Einstein, Dangote e.t.c
@Msomiandrew
@Msomiandrew 4 жыл бұрын
Nimekuelewa sana ubarikiwe bro
@elfinlwimbo3908
@elfinlwimbo3908 3 жыл бұрын
elim nzuri bro
@swaumujuma6333
@swaumujuma6333 4 жыл бұрын
Asan kaushauli wako ntazidi kukufatilia nizidi kujifunza🙂napenda sana mafundisho yako👍
@calvinmacha4921
@calvinmacha4921 4 жыл бұрын
I Have experience this, nakubali kabisa
@mwalimutesha9647
@mwalimutesha9647 4 жыл бұрын
Kaka nimepata kitu, nashukuru sana your than a teacher
@jonasbonne9372
@jonasbonne9372 4 жыл бұрын
Yup bro there's a lot of people
@fatmadevd8072
@fatmadevd8072 Жыл бұрын
Mimi faida niliyoipata kutoka kwa watu ni kujuwa wakati mgumu zaidi wanaopitia zaidi yang. Unapokuwa mwenyewe waweza jihisi una changamoto nyingi kuliko watu wengine lkn unapo jichanganya na kujuwa changamoto za watu wengine hapo ndipo unaweza ona kuwa ww ni bora kuliko watu wengine 😇😇
@herimailo8183
@herimailo8183 Жыл бұрын
Kweli kabisa nikifundisha watu sisahau kiwepesi bro.
@successpathnetwork
@successpathnetwork Жыл бұрын
Naam endelea kufundisha wengine...
@tanm2122
@tanm2122 4 жыл бұрын
It keep happiness........good work bro.....the subject is splend
@tanm2122
@tanm2122 4 жыл бұрын
Huwa nacheka Sana..... and hata ikitokea mtu akaniboa huwa hasira haikai for long in me
@abdulmadiba7657
@abdulmadiba7657 4 жыл бұрын
thanks bro 1st motivational speaker in tanzania same like joel nanauka
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Asante sana Abdul Madiba kwa kufuatilia. Pamoja!
@khadijakhamis5604
@khadijakhamis5604 3 жыл бұрын
Kweli kabisa kila kitu kihitaji kushea lakini nilazima ujitahari na namna ya kujichanganya utafute mchanganyiko mzuri maaana mchanganyiko unashea kila kitu kwahiyo lazima uwe makini
@chw2075
@chw2075 3 жыл бұрын
Uko vzr j
@albertbiden6386
@albertbiden6386 4 жыл бұрын
Kazi nzuri.
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Asante sana kwa kufuatilia kaka. Pamoja
@khamissmwakyembe4238
@khamissmwakyembe4238 4 жыл бұрын
Good content brother thanks
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Asante sana Khamiss Mwakyembe kwa kufuatilia. Pamoja!
@thania822
@thania822 Жыл бұрын
Kaka ezden jumanne nimejifunza nikika na watu najifunza mambo mengi
@successpathnetwork
@successpathnetwork Жыл бұрын
sahihi...
@neemasafixanakakamasuka1267
@neemasafixanakakamasuka1267 3 жыл бұрын
Shukulni
@mziwandabasketball4695
@mziwandabasketball4695 4 жыл бұрын
Mimi huwa najikuta nikiongeza ubunifu zaidi(creative)kupitia watu mbali mbali ambao na jichanganya nao maana kila mtu huwa king idea kwangu
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Asante sana Mziwanda Basketball kwa kufuatilia. Pamoja!
@mbirionline4916
@mbirionline4916 4 жыл бұрын
Mkuu mim napenda kujichanganya na watu ambao wanabishana atakama sikweli lakini lakini point zipo napenda sana mijadala ya kubishana kimtazamo
@sabrinasbrn561
@sabrinasbrn561 4 жыл бұрын
FpF TV learn more 🤣🤣🤣🤣🤣
@gadoboytv424
@gadoboytv424 4 жыл бұрын
A.lekum kaka mm naitwa omar mohd kaka mm ninashida ya namba zako na cm kunavitu nataka kuuliza kwaiyo nadhani kwa kupitia community hatutafahamiana
@lujjibondo3182
@lujjibondo3182 3 жыл бұрын
Lkn pia unaelimika na kujifunza vitu vingi na unasahau km una mawazo...
@kareemyassin9322
@kareemyassin9322 3 жыл бұрын
Mi kujichanganya huwa sipendi sanaaa
@greatestdaniel7865
@greatestdaniel7865 4 жыл бұрын
ukweli ulio tukuka brother
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Asante sana Greatest Daniel kwa kufuatilia. Pamoja!
@innocentulomi3712
@innocentulomi3712 4 жыл бұрын
Broo
@judithmwambe4767
@judithmwambe4767 4 жыл бұрын
Nitajirekebisha,means nitajichanganya na watu.
@pendatv1675
@pendatv1675 4 жыл бұрын
Kweli Mimi siko social
@simulizizakiswahili
@simulizizakiswahili 4 жыл бұрын
Faida ninayopata ni kuwa stress free Kurefresh Kuongeza maarifa na mtandao wa marafkki
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Asante sana Fadhili Kirundwa kwa kufuatilia. Pamoja!
@johnmwamengo4398
@johnmwamengo4398 4 жыл бұрын
Kutopenda kujichanganya nako ni tatizo la kiafya
@vascoisry35
@vascoisry35 4 жыл бұрын
Barkiwa sanaa
@lutebeatz20
@lutebeatz20 4 жыл бұрын
Ndo maana lockdown inatushinda
@matridachatila6839
@matridachatila6839 2 жыл бұрын
Sikumoha tafiti kuhisu watu wanao penda kununa yani kosa kidogotu kununa kwa wiki mbili kawaida tu na watu wa mihasira ya ajabu
@innocentulomi3712
@innocentulomi3712 4 жыл бұрын
Hiyo kitu nimeshindwa kabisa kukaa na watu
@emtv9675
@emtv9675 4 жыл бұрын
🤣☺️☺️😂😂
@fatmamohammedali4306
@fatmamohammedali4306 4 жыл бұрын
Mmojawapo mm tangu utoto wangu mpaka nazeeka sasa
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
unaweza anza upya
@samoocoolingsystem93
@samoocoolingsystem93 4 жыл бұрын
Kaka nilikucheki wsp hujanijibu hadi leo hii
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Nitumie text ya kawaida sasa hivi...
@ahmedsaidi850
@ahmedsaidi850 4 жыл бұрын
Hata mm kk hajanijibu text
@rickmoney8788
@rickmoney8788 4 жыл бұрын
Too Long Videos Mr Why? Make just short one.
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Nitalifanyia kazi hili.
@rickmoney8788
@rickmoney8788 4 жыл бұрын
@@successpathnetwork were together
@sakisfidmasho6393
@sakisfidmasho6393 4 жыл бұрын
Kirakitu uraya wame tafiti Tanzania hatunatafiti
KWANINI MJASIRIAMALI ANAHITAJI KUSOMA VITABU
15:06
Success Path Network
Рет қаралды 3,2 М.
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 116 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 21 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Pink Shirt Girl
Рет қаралды 58 МЛН
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 134 МЛН
КОНФУЦИЙ: ЗАПРЕЩЕННЫЕ ЦИТАТЫ
11:47
ЧЕРТОГИ РАЗУМА
Рет қаралды 6 МЛН
Jinsi Ya Kupata Chochote Unachotaka
10:04
Success Path Network
Рет қаралды 3,1 М.
Fanya Hivi Unapofikwa na Changamoto Kubwa
6:55
Success Path Network
Рет қаралды 1,2 М.
Muhimu Kwa Kila Mzazi Anayesomesha
15:32
Success Path Network
Рет қаралды 1,2 М.
HAKIKA UNAHITAJI YOUTUBE CHANNEL | SABABU 5
15:29
Success Path Network
Рет қаралды 3,2 М.
Fahamu Kwanini Wengine Wanauza Zaidi
6:34
Success Path Network
Рет қаралды 1 М.
Caught Unawares: Cabinet secretaries fired as they work
4:45
KTN News Kenya
Рет қаралды 47 М.
7 LESSONS People Learn Too Late In Life
21:22
Success Path Network
Рет қаралды 37 М.
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 116 МЛН