MJENGEE MWANAO TABIA YA KUSOMA VITABU

  Рет қаралды 2,797

Success Path Network

Success Path Network

Күн бұрын

Tabia ya kusoma vitabu ni moja kati ya tabia zenye kuleta mafanikio kwa wanadamu. Na faida huwa kubwa zaidi kama tabia hii itajengwa tangu utotoni. Sasa somo la leo mwalimu Justine Kakoko atafudisha zaidi juu tunawezaje kama wazazi kuwajengea tabia hii maalumu kabisa watoto wetu na wakawa watu wenye mafanikio sana pindi watakapokua.
.
Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
.
NIFUATE MITANDAONI
INSTAGRAM: / justine_kakoko
FACEBOOK: JUSTINE KAKOKO
.
For Business please contact
ezdenjumanne@gmail.com
Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076
#Vitabu #Watoto #WatotoNaVitabu

Пікірлер: 12
@lennyally5526
@lennyally5526 4 жыл бұрын
Ujumbe mzuri Tupo pamoja katika kujijenga kimaarifa
@sampamba
@sampamba 4 жыл бұрын
Uyu jamaa anaongea very parfect very official ..
@judithmwambe4767
@judithmwambe4767 4 жыл бұрын
Ahsante sana kwa kunifumbua macho. Nitajitahidi kufanya hivyo kwa binti yangu.
@kherisalum6304
@kherisalum6304 4 жыл бұрын
Asante kaka
@ukhtyhalimaismailbakari4931
@ukhtyhalimaismailbakari4931 4 жыл бұрын
Shukraan sana 🙏 🙏
@jossp2580
@jossp2580 4 жыл бұрын
Excellent
@irambonasaidi3417
@irambonasaidi3417 4 жыл бұрын
Shukran
@ramadhaniidd6364
@ramadhaniidd6364 4 жыл бұрын
Tupo pamoja kaka endelea kutujaza maarifa 🤝
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 4 жыл бұрын
Thank you so much my Brother I'm gonna work with it, you hit the Point my God bless you #EachoneTeachone
@allymfaume4310
@allymfaume4310 4 жыл бұрын
Muhimu hii
@hafsatngoma4022
@hafsatngoma4022 4 жыл бұрын
Thanks, Nice Topic
@abdallahali6805
@abdallahali6805 4 жыл бұрын
Kweli
KWANINI MJASIRIAMALI ANAHITAJI KUSOMA VITABU
15:06
Success Path Network
Рет қаралды 3,2 М.
SIFA 6 ZA MZUNGUMZAJI MZURI | Ezden Jumanne
11:37
Success Path Network
Рет қаралды 3,5 М.
GIANT Gummy Worm #shorts
0:42
Mr DegrEE
Рет қаралды 152 МЛН
КОНЦЕРТЫ:  2 сезон | 1 выпуск | Камызяки
46:36
ТНТ Смотри еще!
Рет қаралды 3,7 МЛН
Their Boat Engine Fell Off
0:13
Newsflare
Рет қаралды 15 МЛН
ВЛОГ ДИАНА В ТУРЦИИ
1:31:22
Lady Diana VLOG
Рет қаралды 1,2 МЛН
Bajeti ni nini??
5:17
TALK WITH JASMIN
Рет қаралды 133
Chukua Hii Mpatie Yoyote Anayehitaji
8:39
Success Path Network
Рет қаралды 469
Impeached DP Gachagua speaks after leaving Hospital
14:16
KTN News Kenya
Рет қаралды 235 М.
JINSI YA KUSOMA VITABU KWA URAHISI
8:33
Ustawi Wetu
Рет қаралды 402
Chagua Moja Kitu Sahihi au Kitu Rahisi
3:45
Success Path Network
Рет қаралды 716
GIANT Gummy Worm #shorts
0:42
Mr DegrEE
Рет қаралды 152 МЛН