"LAZIMA NIWAROGE, NA MTAKUFA VIBAYA NAWAAMBIA" - MUSUKUMA AJILIPUA BUNGENI, AMWAMBIA MCHENGERWA

  Рет қаралды 84,951

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

"LAZIMA NIWAROGE, NA MTAKUFA VIBAYA NAWAAMBIA" - MUSUKUMA AJILIPUA BUNGENI, AMWAMBIA MCHENGERWA
www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер
@faustineambroce2218
@faustineambroce2218 Жыл бұрын
Hongera baba yetu nsukuma raising wetu ajae
@jackkakongoma3440
@jackkakongoma3440 Жыл бұрын
Fearless musukuma I really appreciate your courage
@winnifridaashery4449
@winnifridaashery4449 Жыл бұрын
Aaaaaa Mh.Msukuma nakupa maua yako lundo🙌🙌🙌🙌
@ShomariShukuru-kh2uz
@ShomariShukuru-kh2uz Жыл бұрын
Msukuma upo vizuri
@maikomatayo2794
@maikomatayo2794 Жыл бұрын
msukuma popote ulipo mungu akubariki akuongesee miaka ya kuishi hapa duniani 🎉🎉😂😂😂
@samwelyalamayaningaisungui4936
@samwelyalamayaningaisungui4936 Жыл бұрын
Kwa kweli msh Jeseph msukumo Mungu akuwengezee maisha marefu point 👉👉👉👉👉👉👉👉👉❤️❤️💯💕✅
@yusuphalinani5432
@yusuphalinani5432 Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni akubariki dk msukuma
@peterraymwasha2362
@peterraymwasha2362 8 ай бұрын
Always on point
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 11 ай бұрын
Hongera bro
@NchembiAlmas-hb6hy
@NchembiAlmas-hb6hy Жыл бұрын
Uko sawa
@amosikapande
@amosikapande 9 ай бұрын
Huyu jamaa kichwa sana aisee
@petermdonolingikamaulaya5928
@petermdonolingikamaulaya5928 Жыл бұрын
🎉nisawa msukuma
@fadhirakassim2106
@fadhirakassim2106 11 ай бұрын
Daa broo njoo ugombee jimbo langu la kahama unafaa kaka kahama liko wazi
@naseemmakombe4032
@naseemmakombe4032 Жыл бұрын
Great!!
@macheyekiwillson5192
@macheyekiwillson5192 Жыл бұрын
Msukuma ypo good bungen
@LukasKiparian
@LukasKiparian Жыл бұрын
Hongera Sana msukuma
@mhifadhi797
@mhifadhi797 Жыл бұрын
Umeongea vizuri
@jivitafoundation450
@jivitafoundation450 Жыл бұрын
Hongera sana Mbunge Msukumu
@erasmusmlay3284
@erasmusmlay3284 Жыл бұрын
Bunge ingekuw na wtu kumi Kam Hawa bongo ingekuwa ya moto sana
@emmanuelmambarera141
@emmanuelmambarera141 Жыл бұрын
Safi Dr Msukuma kweli ulistahiri Huo udokta wako
@charlesmasele8454
@charlesmasele8454 Жыл бұрын
Nakuona katika kuongoza nchi umenyoooka
@BernMathias
@BernMathias 9 ай бұрын
Tusemee mheshima
@maxcharles5436
@maxcharles5436 Жыл бұрын
Uku ulanga wanasumbua sana ng'ombe wamenyang'anya Sana ukikutwa na mkaa aheli uishi na mwanafunzi
@saidihassan2897
@saidihassan2897 Жыл бұрын
Nakukubalisana mweshimiwa msukuma
@edithajonh2970
@edithajonh2970 Жыл бұрын
Razima walogwe hata ukija kwangu tu nitawaonyesha mm mganga kutoka kongo kalibu
@BarakahMalipula
@BarakahMalipula Жыл бұрын
Well done msukuma
@kadokemarco9966
@kadokemarco9966 Жыл бұрын
Huyu ndiye Msukuma tunayemfahamu sasa😂😂😂 Budget ya Nishati tulipigwa😅😅 mitungi ya gesi ilifanya kazi.
@SarahMgalama
@SarahMgalama Жыл бұрын
HAPO KWELI LZAMA WAROGWEEE😂😂😂
@dingadinga6674
@dingadinga6674 Жыл бұрын
Mh.msukuma hooyee
@yasintadavid1296
@yasintadavid1296 Жыл бұрын
Mbuge alio bakia TZ ni mmoja2 msukuma
@emmanuelmambarera141
@emmanuelmambarera141 Жыл бұрын
Huyu Jamaa kichwa Kiko vizuri sana
@JamesKisabo
@JamesKisabo 11 ай бұрын
Safisana
@maikomatayo2794
@maikomatayo2794 Жыл бұрын
kiukwel watakuchukia ila wambie kabisa hao wasio jierewa wapuusi kabisa watakuja kufa vibaya sana
@wamtekowamteko8028
@wamtekowamteko8028 Жыл бұрын
Jamani Rais wetu wa Tanzania si amteue tu huyu msukuma awe hata waziri wa fedha au waziri wa katiba na sheria. maana huwa anaongea point sanaa, Ila wanabaki kumpigiaga makofi tu.
@lujobilz7482
@lujobilz7482 Жыл бұрын
🕴😎🤓
@DanielyNicomedy
@DanielyNicomedy Жыл бұрын
Msukum wambie bab bunge ni xaut ya wananchi wanyonge lkn wenzie wanaxifia xerikali bab wambie tuweke taifa xalam acha wakuchukie baba huwategemei kwa chochote baba tunaomba xan fanyen kam baba alivocem ciku serial ya ccm ikixhindwa kumpata kiongozi anayefaa wananchi watamtafuteni nje ya ccm
@MzeeMkoloni
@MzeeMkoloni 10 ай бұрын
Sio lazima utaje cheo cha mtu jina linatosha kumbuka kesho hiyo cheo hana
@babalao910
@babalao910 Жыл бұрын
Umebadilika kidogo
@husseinkarim6745
@husseinkarim6745 Жыл бұрын
Bunge libadilishe sheria za kuchukua ngombe kwa nguvu. Ni bunge litoe hoja ya kujadili kwa hilo kama umihimu.
@Amisa8899
@Amisa8899 Жыл бұрын
Hahahahahahahahaha 😂😂😂😂😂 bunge hili na enjoy Sana nikimuona Msukuma na gwajima maana na enjoy sana 2025 dua nyingi mpite wabunge wangu bila kumsahau halima Mdee japo jimbo moja na gwajima
@maxcharles5436
@maxcharles5436 Жыл бұрын
Leo nimekuelewa japo kuwa mi m4c
@kenjoseph3337
@kenjoseph3337 Жыл бұрын
Huyu jamaa angefika hata Chuo ........
@nicksonmbelwa1164
@nicksonmbelwa1164 Жыл бұрын
Kufanya nini sasa😅
@MajaliwaMhungati
@MajaliwaMhungati 9 ай бұрын
Kunywa soda nakuja kulipa
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 Жыл бұрын
Huyu simpendi kwa kulingia uchawi
@saliminyusuph6122
@saliminyusuph6122 Жыл бұрын
Unalogwa kweli.
@hamadsaburi3569
@hamadsaburi3569 Жыл бұрын
Waambie madhalimu
@SilaKayagwa-gt7zg
@SilaKayagwa-gt7zg Жыл бұрын
kwel kabisa
@demetriajohn2393
@demetriajohn2393 Жыл бұрын
❤❤😂😂😂😂
@AmosBalugize
@AmosBalugize Жыл бұрын
Wanainch wahiyachi tunateseka hili ngumu
@VeronicaSaruvatory
@VeronicaSaruvatory Жыл бұрын
😅
🔴#LIVE:GOOD MORNING NDANI YA WASAFI FM 10/ 02/ 2025
Wasafi Media
Рет қаралды 558
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
SUGU: "Please Don't Shut Me! Tubishane kwa Hoja na Siyo Bunduki"
11:24
Global TV Online
Рет қаралды 476 М.
Mbunge Kishimba awavun ja mbavu wabunge "Kwani akili ni Bando?"
10:05
Mwananchi Digital
Рет қаралды 43 М.
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН