MBUNGE ATINGA NA POMBE BUNGENI, K.VANT, KONYAGI, AZIPANGA MEZANI - "KWANINI MNAZUIA GONGO?"

  Рет қаралды 362,675

Wasafi Media

Wasafi Media

Жыл бұрын

MBUNGE ATINGA NA POMBE BUNGENI, K.VANT, KONYAGI, AZIPANGA MEZANI - "KWANINI MNAZUIA GONGO?"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 353
@HafidhKhamis-ph8qg
@HafidhKhamis-ph8qg 2 ай бұрын
Ili bunge la vp mbona wazungumzia kunywa tembo tu kwani sdhida nini ili sio la walevi tungumzuni mengine walev wacheni watajib kwa Mungu midhambi hiyo
@NasiriAcramYusra-rf8dl
@NasiriAcramYusra-rf8dl Жыл бұрын
Huyu MWANAMKE nimempenda sana
@khadjamhozya
@khadjamhozya 2 ай бұрын
Anaitwa nani
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 Ай бұрын
Tanzania mko vizuri. 🇰🇪
@frankfrancis5736
@frankfrancis5736 Жыл бұрын
Ana Hoja Kweli Aiseee ❤ Ajengewe Sanamu pale dodoma
@monicambuya-sq9ms
@monicambuya-sq9ms Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@ibrahimuizack8244
@ibrahimuizack8244 8 ай бұрын
Askari kumbukeni mlikotoka na maneno ya huyo mama niukweli mtupu
@daudmbwile352
@daudmbwile352 Жыл бұрын
Nakushukuru Sana mbunge kwa hoja nzuri, Cha msingi gongo ihararishwe na isiuzwe kwa kificho ili wananchi wajiajiri. Wasambaa wa lushoto wanatengeneza pombe ya miua ambayo haina utofauti na gongo.
@denismugisha2
@denismugisha2 Жыл бұрын
Hongera dada japo mimi natambua pombe ni dhambi
@user-bd4uy4ck6y
@user-bd4uy4ck6y 8 ай бұрын
Huyu mbunge jamani apewe maua yake anaujua ukweli , pia ni jasiri na hodari ,hongera sana
@veronicamikoma9687
@veronicamikoma9687 Жыл бұрын
Halalishen gongo jaman hajui watu wanaendesha familia kupitia hiyo pombe na wengine imewasomesha. nyie hamjui tu yan
@KalomoBulugu
@KalomoBulugu 10 ай бұрын
Wapo viongoz wanaopnda maendeleo nchini hongera sana muheshimiwa MUNGU akujaarie
@amanimakury-cv5lw
@amanimakury-cv5lw Жыл бұрын
Huyuu anaongea point kubwa
@iddimngazija1957
@iddimngazija1957 Жыл бұрын
Muheshmiwa hujui tu unatia watu kiu😂😂 Halafu cku nyingine uje na kopo la ulanzi kwa kutambua uwepo wa wahehe kwenye sekta ya viwnda
@MariamSimbe-fo1ce
@MariamSimbe-fo1ce 8 ай бұрын
😂😂😂😂
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 2 ай бұрын
😅😅😅
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Жыл бұрын
Watu wako busy na ushoga, ila tz Kuna vijana wengi wanavipaji
@HemediAhmedi
@HemediAhmedi 8 ай бұрын
Asante sana mh mbunge samahani je umeolewa au ujaolewa nimekupendasana unahojamzuriww aisee
@welcometoeat165
@welcometoeat165 Жыл бұрын
Tanzania nchi ya ajabu sana khaaa 😢😢😢😢😢vitu vya nje vina thamn kubwa kulko vya kwetu tunajidharau
@ManeMsenegal
@ManeMsenegal 2 ай бұрын
Umeongea pointment madam salute
@peemsafi6068
@peemsafi6068 Жыл бұрын
huyu ndo kaupiga mwingi sio hao mnao wasujudu🙏
@LivinoMwacha
@LivinoMwacha 16 күн бұрын
Upo vzr dada hatuoni umuhimu wa vitu vyetu big up sana
@abelchacha5977
@abelchacha5977 Жыл бұрын
Kweli mtupu. Maana hata wenzetu wanapotaka kulewa na wanakipato kidogo, wanakunywa gongo.
@wilsondavid9741
@wilsondavid9741 Жыл бұрын
Tatzo Hii Nchi haitaki watu wenye akili inapenda watu wajanja janja Tu! Tuvipe thamani vyakwetu!
@eddyclassicfunture
@eddyclassicfunture Жыл бұрын
Kiumweli Tanzania tunafeli sana halalisheni gongo iuzwe madukani shida yetu nini badala muiboreshe mnaipiga vita mna kubali mpaka pombe zinazotoka mpaka Uganda hacheni izo bwana
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 Жыл бұрын
HUYU DADA MBUNGE ANASTAHILI KUWA WAZIRI WA VIWANDA!
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 Жыл бұрын
Umelazimisha ni dhambi kwa mjibu wa dini lakini Mungu hana dini na serikali yetu haina dini
@ahmesaofficial9611
@ahmesaofficial9611 Ай бұрын
🎉🎉🎉 upo vizur mama
@vailethkivuyo620
@vailethkivuyo620 8 ай бұрын
Huyu mbunge anajielewa sana apewe maua yake♥️
@user-dd5vf3pl6k
@user-dd5vf3pl6k 5 ай бұрын
Huyu mwanamke kweli anawakilisha wananchi
@anthonysulula766
@anthonysulula766 Жыл бұрын
Waheshimiwa wabunge,,,hongera kwa kazi nzuri ya kutetea maslahi ya watanzania.tuko nyuma yenu,msichoke kusema juu ya utawala wa mazoea,,kwenye taaluma huku tumeingiliwa na ma bodi ya taaluma yanayojifanya kuwa yapo kwa maslahi ya mtaalam kama vile bodi ya pharmacy, maabara,engineering zote,n.k.badala yake zmeweka mashariti magumu kwa wataalam mwenyewe katika kujiajili na kunufaika na taaluma zako.anae pewa kipaumbele ni mtumishi wa serikali tu.sio mtaalam ktk sekta binafsi.
@stamalamkulungwa8708
@stamalamkulungwa8708 Жыл бұрын
Kiupande frani ameongea point sana
@BarakaMsigwa-sc5zn
@BarakaMsigwa-sc5zn 4 ай бұрын
Point sana kiongoz
@AmoceMnyanyi
@AmoceMnyanyi 10 ай бұрын
Mungu akupe maisha malefu kwa kujua ukweli
@Maichampiongirl
@Maichampiongirl Ай бұрын
#mbunge❤❤❤❤ pokea maua yako mmy ❤❤❤❤❤❤ champion girl 💪 l love you so much we nibonge la kiongozi
@TheKaswahili
@TheKaswahili 8 ай бұрын
Mbunge huyu amenikuna sana 👍👍👍👍👍👍
@nasibukambona2586
@nasibukambona2586 8 ай бұрын
Big up kwa spika wetu kwelii yuko vizuri na msikivu saanaaa
@benjaminmwenda7976
@benjaminmwenda7976 Жыл бұрын
Hoja imejengwa vizuri..!!
@mertus.nestory.bishirangon4624
@mertus.nestory.bishirangon4624 Жыл бұрын
Hata.mimi.nimesomeswa.nagongo
@EliminaSimoni
@EliminaSimoni 2 ай бұрын
Kweli.tumeisha.mungu.tuokoe.
@gastonsonnymwaselela4580
@gastonsonnymwaselela4580 Жыл бұрын
Ajengewe Mnara pale Jamanitini 💪
@user-fj3zp2qz3p
@user-fj3zp2qz3p Ай бұрын
Mungu awabadilishe pombe ni dhambi achen kuwadanganya watu
@user-ho2vp7dq6u
@user-ho2vp7dq6u Ай бұрын
Wewe ujasikilizaaa vzl ludiaa kusikilizaa tenaa uwelewee
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Жыл бұрын
Sera ya viwanda ilikwenda na shujaa wa Africa JPM.
@khadjamhozya
@khadjamhozya 2 ай бұрын
Hakika
@KAMTUPE
@KAMTUPE Жыл бұрын
Fact..
@loycenzuki7940
@loycenzuki7940 2 ай бұрын
Daaah uyi dada noma❤
@genarahaswile2990
@genarahaswile2990 Жыл бұрын
Munguuu akuzidishie maisha uzid kutetea
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 Жыл бұрын
Brand iyo unaitangaza bule🤗 tena NCHI NZIMA ipo apo bungeni
@yudatadeimdoe9215
@yudatadeimdoe9215 Жыл бұрын
😄😄😄😄😄,,, mheshimiwa umenichekesha sana..lakin gongo inakatazwa kwasababu inamadhara makubwasana""" inachoma main"" lakin nyingine zote za kienyeji zinatumika kama kawa
@meshackwilson325
@meshackwilson325 Жыл бұрын
Fact
@amaniHaji
@amaniHaji 10 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 2 ай бұрын
Congratulations
@jayzeem14
@jayzeem14 2 ай бұрын
Dah!!
@eugenyraphael4334
@eugenyraphael4334 Жыл бұрын
Ukitoka hapo bungeni nitafute,"Mungu akifunua karatasi zao!!! Watakimbia wrote bungeni'
@danielnyantory5132
@danielnyantory5132 2 ай бұрын
Dada Yuko vizuri sana
@Pizzomc-wo1qw
@Pizzomc-wo1qw Ай бұрын
Ongere
@WilsonJuma-nl7js
@WilsonJuma-nl7js 25 күн бұрын
Iko sawa sana
@edwardpasicko
@edwardpasicko 4 ай бұрын
Kiukweli Tanzania tumeludi nyuma
@PaskaziaEmanuel-zt6ev
@PaskaziaEmanuel-zt6ev 8 ай бұрын
Mungu akutunze Dada mzurii
@user-jn4zq3zm5o
@user-jn4zq3zm5o 4 ай бұрын
Dada pambana unaweza
@neemaneychricious6493
@neemaneychricious6493 Ай бұрын
safi snaa sister
@richcompanyfilmtv823
@richcompanyfilmtv823 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥 point
@ThaisonMsuya
@ThaisonMsuya 10 ай бұрын
Samaha ni no sana wahedhimiwa mnasema pom ebe pombe na wengine mnajisifia pombe dada Mimi nasema mungu aingilie kt wan
@ritchiemuta1092
@ritchiemuta1092 Жыл бұрын
Agenda nzuri lakini msemaji Hana mtililiko wa mawazo haujapangwa
@joachimjoseph239
@joachimjoseph239 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@neemachalamila590
@neemachalamila590 Жыл бұрын
Kiukweli
@user-ss3fb6iv2s
@user-ss3fb6iv2s Жыл бұрын
Huyu mbunge wa momba kondester Ana mawazo ya kutetea wanachi, huyo mbunge anaemkashfu na kumthalalisha atumie huo muda wa kumkashifu binti wa watu, tena mtoto wake kabisa, kubtetea wapigakura wake
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Жыл бұрын
huyu mbunge atafika mbali anasemea creativity ya watanzania inadharauliwa, hii ni kweli kabisa.
@user-ku7zp2ds4o
@user-ku7zp2ds4o 10 ай бұрын
YOTE NI UBATILI NA KUJILISHA UPEPO OLE WAO WANAOTUMIA MVINYO NA WANAOPELEKEA WENZAO KILEO. TUBUNI NA KUIAMINI INJILI YA YESU KRISTO KWA MAANA UFALME WA MBINGUNI UMEKARIBIA.
@jayzeem14
@jayzeem14 Ай бұрын
Amen! Mkristo Kiongozi unasimama Kutetea dhambi hadharani kutafuta umaarufu wa kisiasa! Matayo 6:33 Utafuteni kwanza ufalme wa Mbinguni na mengine mtaongezewa !!!pombe haijawahi mbariki mtu wala kumtaja Risha! Sio jana wala kesho! Yako mengi ya kufanya bila kutegemea pombe!
@theophilwhiteheart1997
@theophilwhiteheart1997 Жыл бұрын
Hakika dada amenena kaanza vizuri na kamaliza vizuri.... Utekelezwaji ufanyike😅
@TaboraTabora-lr1dq
@TaboraTabora-lr1dq 4 ай бұрын
Safi sana
@KuntukumuSadam
@KuntukumuSadam Жыл бұрын
Sioh gongo tu mamaaa kila kitu kikibuniwa na watamzania serikali inakuwa ya kwanza kupinga Hiii nchi ni ya ajabu sana
@SadickSued
@SadickSued 4 ай бұрын
Ongera sana dada
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 Жыл бұрын
Kwakweli nami nimekuzwa na pombe kijijni kwetu ambayo Dada alikuwa anatengeneza na kutusomesha
@user-ho2vp7dq6u
@user-ho2vp7dq6u Ай бұрын
Pongeziiii sanaaaaa dadaaguuu mauaaaa kwakoooo❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@josephinaChuma
@josephinaChuma 27 күн бұрын
Dada umezungumza vizur sana maana weng wao hapo mlipo wamesomeshwa Kwa kipato cha gongo nampaka kufikia hapo mlipo sasa
@Mkuya__23
@Mkuya__23 2 ай бұрын
Hakika kiongoz Leo ukipitisha Sheria yaubunifu Tanzania tutaboresha pia tutauza nje, pia ajira zitafunguka kwatu wenyeelim yachin paka juuuu
@bekabakari7394
@bekabakari7394 Жыл бұрын
Tatizo ni vipimo Pombe za kieyeji Sio mbaya ila zinauwa Zinafanya watu vipofu Kwa kuchanganya vitu na baadae kua sumu Kama wakaguzi wakivipitia sio vibaya
@user-hm4hk5hi1c
@user-hm4hk5hi1c 8 ай бұрын
Smart girl❤
@Emmanuelkeya-mv3mz
@Emmanuelkeya-mv3mz 4 ай бұрын
Mhm!!!
@NeemaJosephat-gv4ni
@NeemaJosephat-gv4ni 8 ай бұрын
❤❤❤❤ umeongea point
@TheresiaJoseph-wl1dy
@TheresiaJoseph-wl1dy Ай бұрын
👍👍😍
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 10 ай бұрын
Msukuma ni mjinga kupindukia. Ni mjinga hastahili kuwa Bungeni na Atolewe. Hajaelewa nia ya huyu dada. Usomi wa Msukuma ni za kuungaunga.Anajionyesha kuwa Ana uwezo wa wa kununua. Huyu mwenye kukodisha ni mdini na kakuripuka sababu uarabu umetajwa naye ni mwislamu. Ndo udini huo tunaoukataa. Hongera dada. Elimu tunazozitafuta ndio hizi.
@babudingi-gd7pz
@babudingi-gd7pz 10 ай бұрын
Dada uko powa njoo uku ✌️✌️
@YusuphShabani-wk5bv
@YusuphShabani-wk5bv 2 ай бұрын
❤❤❤
@shaniasadick3915
@shaniasadick3915 Жыл бұрын
Safi sañ
@user-wl6zs4sf5p
@user-wl6zs4sf5p 3 ай бұрын
Welaweraaa safi sana
@maikojohny345
@maikojohny345 Жыл бұрын
Hajui kujieleza, anakula kodi za wananchi kizembe sana
@charlesmillinga992
@charlesmillinga992 4 ай бұрын
Huyo anayesema kanuni imevunjwa. Yeye na familia yake wanashiba KWa mshahara mkubwa. Hajui mama mhangaikaji anayeuza gongo anakula nini. Yaani bungeni kuna watu humo wanasinzia tu. Badala ya kusikiliza Hoja anapanga namba kupinga Hoja.😂😂😂😂
@sulemanmadahatv1691
@sulemanmadahatv1691 Жыл бұрын
Mwanasiasa usipomuombea ni hatari kuliko BOMU LA ATOMIC. Tuombee wanasiasa wetu.
@naibei_Tv
@naibei_Tv 2 ай бұрын
Kenya 🇰🇪 ukitumia tu neno "ingiza" wabunge wote wanablash 😅😅
@jamesfrances9342
@jamesfrances9342 Жыл бұрын
😂😂😂 umetisha sana Madam
@linnusaloyce6559
@linnusaloyce6559 Жыл бұрын
Sanamu linakuhusu dada mingine 10
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 Жыл бұрын
Dada anakosea sana kutaja taja Morena...
@Dantaata
@Dantaata Жыл бұрын
una mawazo we jichunguze
@Fefetubes
@Fefetubes Жыл бұрын
😂😂😂
@mwas-kg5on
@mwas-kg5on Жыл бұрын
Ukweli hafai kutaja jina ya mfanya biashara
@petermwaghania2882
@petermwaghania2882 3 ай бұрын
Good work mheshimiwa
@user-mo7ri7gy1m
@user-mo7ri7gy1m 5 ай бұрын
Wazo zurisaana dada angu big up
@RwizaMex-fb6bq
@RwizaMex-fb6bq 8 ай бұрын
Wengi uchukulia ukumbi huo kama Rest-house,
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 6 ай бұрын
Umeongea vizuri sana
@WitnessKayange-ml1zq
@WitnessKayange-ml1zq 4 ай бұрын
Safi sana kiongozi
@officialsuccesschannel
@officialsuccesschannel Жыл бұрын
fact
@mejamiza-dx9jq
@mejamiza-dx9jq 8 ай бұрын
kweli
@MSHUTIMEDIA
@MSHUTIMEDIA 7 ай бұрын
Fact kubwa ❤
@bonifacesanagu9793
@bonifacesanagu9793 Жыл бұрын
Pombe ni dhambi. ila ushoga wafanyane wakubwa kwa wakubwa 😅
@user-vs5ln1ze3q
@user-vs5ln1ze3q 2 ай бұрын
Point sana😢
@officialsuccesschannel
@officialsuccesschannel Жыл бұрын
FACT SANA
@franciscarsongea7948
@franciscarsongea7948 10 ай бұрын
Nimefurahi sana kwa kututetea watu WA Hali ya chini
@fedrickmlowe7584
@fedrickmlowe7584 7 ай бұрын
Kweli kabisa
@khadjamhozya
@khadjamhozya 2 ай бұрын
Amina kifupa amerudi
@mariatumaini-nv6oq
@mariatumaini-nv6oq Жыл бұрын
Dada upo sahii sana
ROBOTI KUBWA LILIVYOMPELEKEA RAIS SAMIA KIFURUSHI CHA 5G
9:54
Wasafi Media
Рет қаралды 390 М.
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,5 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 24 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 22 МЛН
MBUNGE WA MBULU VIJIJINI ARUKA SARAKASI BUNGENI, AKIDAI BUNGENI.
10:48