LEMA ALIAMSHA DUDE BUNGENI MATIBABU YA LISSU, MWENYEKITI AMTAKA AKAE

  Рет қаралды 166,938

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

6 жыл бұрын

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema akieleza masikitiko yake Bungeni kuhusu Mbunge Wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kutolipiwa matibabu yake na Bunge.

Пікірлер: 132
@tambajordan5595
@tambajordan5595 6 жыл бұрын
Asante xana mr. Rema mungu yu pamoja nasisi nashukulu kwa kuendelea kusimaia misingi ya utawala bora ila ao wanao isi kama hawata kufa manaonwa
@johngibson3089
@johngibson3089 2 жыл бұрын
Umeomgea vzr sana Mh Lema. Huwa najiuliza hii nchi tunaelekea wapi???
@petromwinyi4955
@petromwinyi4955 6 жыл бұрын
wabunge Wa upinzani wote wanaakili nyingi za kuelewa mambo na wapatiwa ujasisiri na mungu wakuyasema maovu yanayoendelea hapa inchini , ukiwa na akili ya kawaida ila amini ipo siku mtakumbuka yote wanayoyatetea opposition party.mungu awajalie ujasiri na wale Wa chama tawala ili waiambie ukweli serikali pale inapokosea wala si dhambi kusema ukweli ila ni dhambi kubwa sana kuona watu wanaonewa ,hawatendewi haki lakini ukakaa kimya .mungu ibariki Tanzania alotuachia baba yetu nyerere angekuepo haya yote yasingetokea mana alijua ni watu wapi wanastahili kua viongozi. ntakukumbuka daima mwalimu ,mateso ya mwenye haki ni mengi lakini mungu humuonekania na kuutetea uhai wake! Mungu ni mwema atakuponya kaka lissu maana yeye ndo anaejua Mwanza na mwisho Wa safari yako hapa duniani.
@winifridamunibi8891
@winifridamunibi8891 3 жыл бұрын
Nakupda Sana leemaaa💕💕💕
@nicholasakeya6790
@nicholasakeya6790 2 жыл бұрын
Namkubali saana lema
@hassanimkononi7623
@hassanimkononi7623 6 жыл бұрын
Lema ameongea kwa hisia sana inauma sana kuona watu wanaptea wanapigwa risasi Serikali ainamajibu
@optatusduqangw1071
@optatusduqangw1071 6 жыл бұрын
Tumwombe sana MUNGU wabunge waelewe alichokizungumza Mh .LEMA ..
@benjaminbujeje5380
@benjaminbujeje5380 5 жыл бұрын
OPTATUS DUQANG'W a
@meshackshagembe3367
@meshackshagembe3367 6 жыл бұрын
ushauri mzuri sana bt sidhan km utafanyiwa kaz
@frankmosha5854
@frankmosha5854 4 жыл бұрын
Ndio maana maccm mnawaongopa wspizani nyie chekeni nao wananchi wanawakna iko siku watachukua nch
@getrudepastory30
@getrudepastory30 6 жыл бұрын
Ni kweli kabisa lema tena umeongea point,lisu ni mbunge na ni haki yake kutibiwa na mbunge mbona wengine mnawatibu? Kulikoni lisu? Kuna nini hapo katikati jamani?
@amadeuskimey2340
@amadeuskimey2340 6 жыл бұрын
pongezi kwako baba lema.
@fantmpango5506
@fantmpango5506 6 жыл бұрын
Hongera sana kutujulisha kuwa ndugai India anasaga kodi za wananchi huku LISSU hatibishwi na serikali. Halaf kuna nyumbu ccm zinashangilia
@justinecleophas6299
@justinecleophas6299 6 жыл бұрын
Fant Mpango kwan hao siwalijitoa nakuto kuiamin system BC nao wakaushe
@greensky9607
@greensky9607 6 жыл бұрын
Fant Mpango kama hujui kitu nyamaza, utaonekana zoba. Mbatia aliugua na akapelekwa India kwenye matibabu kwa fedha za bunge ambazo ni kodi zetu, kwa kifupi mbunge yeyote mwenye matatizo kiafya anatakiwa kufuata taratibu walizojiwekea ili kuweza kutibiwa, na si vinginevyo. Unadhani yote haya Lema huyajui? Ila anaamua kuropoka hovyo sababu anatambua fika atapata mashabiki mbumbumbu wa kumshangilia kama ulivyo wewe.
@shabanimambo9430
@shabanimambo9430 6 жыл бұрын
sina cha kukutunza kiukweli unastaiki pongezi San umezungumza vtu ambavyo vko waz kabsa na ni vyakiunyonyaji hii sio khaki kabsa yan daah
@tumainjoel416
@tumainjoel416 6 жыл бұрын
mwshoni nimeskia sauti ya Dr shika
@emmylema693
@emmylema693 6 жыл бұрын
hivi ninyi mnaosema lema haeleweki mna akili kweli?? kwann mkiambiwa ukweli mnalalamika na kutukana?
@violetshoo7789
@violetshoo7789 6 жыл бұрын
ila ukweli utabaki kuwa kweli lissu mungu ndiye wakushukuriwa na si binadamu ipo siku tusiposimama cc binadamu hata mawe yatasimama tends miujiza yako BWANA juu ya Taifa letu
@thadeipeter2592
@thadeipeter2592 6 жыл бұрын
Kweli kamanda umeongea point.
@anitangao3135
@anitangao3135 6 жыл бұрын
waambiye hao
@pascallyimo5106
@pascallyimo5106 6 жыл бұрын
Lema wanaokupinga na kukuona ni chizi,ni wapumbavu.hawa ndio walioitwa wapumbavu..endelea kupigania maslahi ya wanyonge ,mungu atasimama na wewe.
@mushxwaggz5258
@mushxwaggz5258 6 жыл бұрын
Umefunguka vitu sensitive sana
@wahazaben7964
@wahazaben7964 6 жыл бұрын
Kweli itaishi milele
@nicholasakeya6790
@nicholasakeya6790 2 жыл бұрын
Namkubali tena saana
@meshackkivuyo2852
@meshackkivuyo2852 6 жыл бұрын
Tendeni haki acheni siasa lema umewaambia
@barakamalanga4977
@barakamalanga4977 6 жыл бұрын
Time will tell
@lazarogerald1718
@lazarogerald1718 6 жыл бұрын
Ujawahi niangusha mzee baba
@nicholasakeya6790
@nicholasakeya6790 Жыл бұрын
Lema mbunge shupavu kweli
@johngibson3089
@johngibson3089 2 жыл бұрын
Nilijua tu utaangukia pua ndugu chenge. Uko wapi leo sasa
@adamkatet274
@adamkatet274 6 жыл бұрын
Lema kichaaaa India serekali ndio inatibu lisu Belgium mtamtibu wenyewe
@nicholasakeya6790
@nicholasakeya6790 4 ай бұрын
uhai wa mtu mmoja unazidi kilometres million za lami
@yusuphmwakafwila3431
@yusuphmwakafwila3431 6 жыл бұрын
Imesomeka
@japhetbaraka587
@japhetbaraka587 6 жыл бұрын
true
@gibsonyshadrack4543
@gibsonyshadrack4543 6 жыл бұрын
Ubabe,huuu,una mwisho tuu,hata goriati alishawahi kuwa mbabe ,ila alipita tuuu,,,kikubwa ,Uzima,
@tingij2218
@tingij2218 6 жыл бұрын
Gibsony Shadrack Dah! inauma sana ila ipo siku Molla atajibu malipo ya dhulma inayofanyika
@greensky9607
@greensky9607 6 жыл бұрын
Kuweni makini na viongozi wa namna hii, wenye kuujua ukweli lakini kwa maslahi mapana ya siasa zao wanaamua kupindisha ukweli. Kuna taratibu walizojiwekea pindi mbunge anapopatwa na matatizo ya kiafya, wote wanafuata utaratibu huo na miongoni mwao ni James Mbatia, mbunge wa upinzani (ukawa). Pesa za umma haziliwi kizembe kwa sasa, ni lazima taratibu zifuatwe. Amkeni, msikaririshwe, za kuambiwa changanya na zenu.
@tatut3889
@tatut3889 6 жыл бұрын
Yani kunamamtu hamnazo sasa wanazomea nn 😕😕😕😕😕😕😕
@zawadimgonde7331
@zawadimgonde7331 6 жыл бұрын
saf lema
@user-jo9gp5tb9w
@user-jo9gp5tb9w 2 ай бұрын
Safari hii urudi bungen
@nicholasakeya6790
@nicholasakeya6790 Жыл бұрын
Lema hekima
@velocitymalaika6701
@velocitymalaika6701 6 жыл бұрын
Hawapendi kuambiwa ukweli!!!
@josephkhaph3212
@josephkhaph3212 6 жыл бұрын
Haki izingatiwe bila kujali chama mana wote ni watanzania
@jobmwamboma9541
@jobmwamboma9541 6 жыл бұрын
kitareweka tu musiogope
@mhdiwanimweta5818
@mhdiwanimweta5818 6 жыл бұрын
Komaeni kamanda serekali hii hainania njema kwa wapinzani hivyo bila ya kukomaa hatutafika kiukweli nionevu wawazi hivi kweli angekua mbunge wa ccm angepatwa na matatizo kama ya Lissu ingekuaje? Ccm acheni mzaha kwenye mambo muhim.
@nobertmteko8363
@nobertmteko8363 6 жыл бұрын
Time will tell love u
@saidiyjuma4115
@saidiyjuma4115 6 жыл бұрын
Nobert Mteko
@nobertmteko8363
@nobertmteko8363 6 жыл бұрын
vipi
@ashuraatanas5967
@ashuraatanas5967 6 жыл бұрын
Wa tz acheni ujinga hapo mnapinga nini sasa na anachoongea Mbunge ni cha kweli serikali yenu imejaa siasa za kijinga yani utadhani nchi ni ya ccm tu pumbavu ushamba huo
@agneserasto9806
@agneserasto9806 5 жыл бұрын
We lema hacha fujo bungeni hunamuhonea apk mgeni
@mtotowahalimamdeetunduliss6238
@mtotowahalimamdeetunduliss6238 5 жыл бұрын
wewe una muonekano
@daudimaguha9447
@daudimaguha9447 6 жыл бұрын
Sumum,, umenigusa Sana, cjui kwanini mlenga shabaha alitetemeka,, lissu alitakiwa afe,, haiwezekani mtu mmoja awe shushu na kibaraka Wa wazungu halafu ni mtz, halafu aendelee kuwa hai,, never,,,
@ibrahimgwasma235
@ibrahimgwasma235 6 жыл бұрын
kinachozungumzwa Ni matibabu ya Spiker na Wabunge au vitu vingine
@azizimillanzi9259
@azizimillanzi9259 6 жыл бұрын
nxhi yetu wote ukweli ubaki ukweli tu pazeni sauti ndicho tulichowatuma
@frankiekalogi5617
@frankiekalogi5617 6 жыл бұрын
aliambiwa aende ubeligiji na serikali gan?
@tzpound2330
@tzpound2330 6 жыл бұрын
utaratibu wa serikhali ni indiaa kwa wabunge na wafanya kazi wote kwingine ni mtu binafsiiii
@stevenlyando1801
@stevenlyando1801 6 жыл бұрын
virungu vyakichwani hivyo lazima utoke manundu.....
@jumaalex3942
@jumaalex3942 2 жыл бұрын
Akil
@allaminsongoro2480
@allaminsongoro2480 6 жыл бұрын
Lema huna ishu nyingine ya km taifa au ya jimboni zaidi ya lissu na Ben sanae? Unaboa sana badili swaga hiyo tumeichoka nadhani kwa uelewa wangu polisi wanamsubiri muheshimiwa Lissu na Dereva wake warudi ili waweze kuendelea na uchunguzi tuwe na subra
@nicholasakeya6790
@nicholasakeya6790 2 жыл бұрын
Akili kichwani
@jebace
@jebace 6 жыл бұрын
ishu ni saw kilomita 1000000 za lami ni ndgo kuliko roho ya mtu,lkn hapo hapo ni heri roho ya mtu moja iangamie kuliko kupoteza roho elfu moja,ww sio mzalendo wa nchi yko unamana gni ktk taifa bora ufe,unashirikiana na wagen ili nchi ihujumiwe nn sasa hii,ukisika paa ujue imekokosa alielenga hana shabaha amefanya makosa.
@samwelkisivya1820
@samwelkisivya1820 6 жыл бұрын
jaman kuwen na hurum
@consolathammari8186
@consolathammari8186 6 жыл бұрын
Waambie
@consolatamaarufu6762
@consolatamaarufu6762 6 жыл бұрын
Consolatha Mmari safi wajina
@georgenagabona203
@georgenagabona203 6 жыл бұрын
Mambo ya siasa hayo
@richmahegah7740
@richmahegah7740 6 жыл бұрын
the government should tell us on this
@kisulilatv9689
@kisulilatv9689 6 жыл бұрын
LISU alienda Ubelgiji kwa mwongozo wa serikali IPi? Spika yupo India kwa mwongozo wa mkatapa wa Wizara ya Afya kuanzia rufaa Kanda badaye rufaa taifa badaye India.
@lucky9285
@lucky9285 6 жыл бұрын
Lameck Kisulila Very cheap analysis. ..sio kitu cha u chama hicho!!!Pathetic
@thadeipeter2592
@thadeipeter2592 6 жыл бұрын
Lameck Kisulila Mlitaka siku ile asubiri muongozo ili mummalizie.?!
@jamesmadeli9814
@jamesmadeli9814 6 жыл бұрын
Lameck Kisulila stfu
@kechbowkech9138
@kechbowkech9138 6 жыл бұрын
Lameck una toa hoja za kijinga kama hivyo.......basi utakuwa hujitambui kabisa ** ??? Upuuzi kabisa, eti chenge mwenyekiti, mimi ndio maana si eilewi Ccm
@paschalmpenzwa1770
@paschalmpenzwa1770 6 жыл бұрын
Lameck Kisulila dhambi.mnayoipanda.mtaivuna.muda.sio.mrefu.
@chachacharlesmkobya9322
@chachacharlesmkobya9322 6 жыл бұрын
Kila jambo lina utaratibu
@fiderismgina160
@fiderismgina160 6 жыл бұрын
ubabe kamakawa upo
@lordvickmawoiya692
@lordvickmawoiya692 4 жыл бұрын
Lema unasema ukeli hata maspika wanaongoza bunge kama la mama yao
@lamecklema487
@lamecklema487 6 жыл бұрын
Hivi shabby una akili au matako hilo jembe
@lamecklema487
@lamecklema487 6 жыл бұрын
hassan wewe matako au ongea point
@lamecklema487
@lamecklema487 6 жыл бұрын
andrew wewe msenge kweli wewe hilo jembe
@greensky9607
@greensky9607 6 жыл бұрын
KUBWA LA MAJINGA CHADEMA
@leonardjaphet9821
@leonardjaphet9821 6 жыл бұрын
Unakili za kiku
@tintz3157
@tintz3157 6 жыл бұрын
Zwazwa la chadomo,, umeng'ang'ania watu kuingia barabarani hv unadhani ww utasalimika eti..?? Fuata sheria za matibabu kwa wabunge sio mnakurupuka tu, c mliamua kumtibu private instead of public fuateni utaratibu nyumbu
@consolatamaarufu6762
@consolatamaarufu6762 6 жыл бұрын
sema lema ucposema mawe yatainuka yatasema
@ibrahlukaku3797
@ibrahlukaku3797 6 жыл бұрын
lema ww nibwa
@margarethsolomon693
@margarethsolomon693 6 жыл бұрын
Jamaa yetu kila cku ni malalamiko tu. Mhuuuu! 0h hata mkeo ana shida.Kiki kila ukicha.pombe tu hizo.
@shabbymakapane3212
@shabbymakapane3212 6 жыл бұрын
Huyu jamaa Hawezi Kuongea Bila ya Kuongea Lugha ya Ushawishi wa Vulugu Mbona Yy Bugando Hospital Alikimbia Police Akaenda Kujifunika Shuka Kama Marehemu Aka waacha Akina Patobasi Katambi wana pambana Na Police peke yao kama Kweli Yeye Mpambani?
@Hauleshabby
@Hauleshabby 6 жыл бұрын
Shabby Makapane ushawishi upi sasa hapo?
@shabbymakapane3212
@shabbymakapane3212 6 жыл бұрын
Shaban Haule Nanuukuu Maneno Yake Anasema: Tena tunaekima Ingekua Nchi nyingine Watu wangeingia Barabarani. Anamaanisha Nini?
@dizodi_vituko
@dizodi_vituko 6 жыл бұрын
+Shabby Makapane we ni mmoja kati ya mbwa wa serikali huo ni ukweli mwenyekiti anaikataa hoja kibabe
@michaeljonas7497
@michaeljonas7497 6 жыл бұрын
ndugu wewe akili zako ziko matakoni ,huna akili kabisa
@fredrickonchoka7152
@fredrickonchoka7152 6 жыл бұрын
Kaoge wewe
@lamecklema487
@lamecklema487 6 жыл бұрын
we unajita mtanzania halisi boya we mkimbizi
@emmylema693
@emmylema693 6 жыл бұрын
hivi ninyi mnaosema lema haeleweki mna akili kweli?? kwann mkiambiwa ukweli mnalalamika na kutukana?
@musasiame2776
@musasiame2776 6 жыл бұрын
umenena Mr
@masudymindady4509
@masudymindady4509 6 жыл бұрын
Musa Siame in9n99
@masudymindady4509
@masudymindady4509 6 жыл бұрын
Musa Siame hvylc bvggggpgpgpfp9000
@andrewnyambega5590
@andrewnyambega5590 6 жыл бұрын
Kubwa la majinga chadema
@paschalmpenzwa1770
@paschalmpenzwa1770 6 жыл бұрын
Andrew they mpumbavu.msenge.ndio.nyie.mnao.leta .ubaguzi.ktk.taiga.shenzi.mkubwa.bsdala.kuisaidia.taiga.mnazomea
@sir.josephmbeya7017
@sir.josephmbeya7017 6 жыл бұрын
Andrew they Wewe ni zuzu kama mwenyekiti wa bunge fisadi alafu mnasema mnapambana na ufisadi
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 6 жыл бұрын
Andrew they ...Sawa.. Hebu fanya Ndio Kama Lisu Angekuwa Ndugu yako.. Babba, Kaka au Mjomba..Jee ungeongea Hayooo.. Tuwe tunafikiri kwanzaa kabla ya Kunena
@historianyeusi9524
@historianyeusi9524 6 жыл бұрын
+Andrew they We ni kilaza wa mwisho Tz ,Una akir za kushkiwa👆👆
@Hauleshabby
@Hauleshabby 6 жыл бұрын
Andrew they mpumbavu wewe
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 4,2 МЛН
Ni Tundu Lissu na Joseph Mbilinyi tena Bungeni leo May 5 2017
11:11
Millard Ayo
Рет қаралды 1,4 МЛН
SHAMBULIO LA LISSU LAMWIBUA BASHE, SPIKA ATOA MSIMAMO
10:35
Mwananchi Digital
Рет қаралды 129 М.
Tundu Lissu Kaliwasha Tena Bungeni
7:46
Global TV Online
Рет қаралды 96 М.
Preparing for war against China, Russia and North Korea | 60 Minutes Australia
26:06
60 Minutes Australia
Рет қаралды 2,4 МЛН
Tundu Lissu- ccm ni Fashist
8:22
el battawy
Рет қаралды 65 М.
Godbless Lema VS Waziri Simbachawene bungeni leo
9:52
Millard Ayo
Рет қаралды 1,3 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН