LEMA ALIPUKA BUNGENI - "ZITTO APUUZWE, MMEPANGA TUSIRUDI BUNGENI, TUNAJUA"

  Рет қаралды 173,156

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 94
@ombenianton3611
@ombenianton3611 2 жыл бұрын
Ila huo mdomo wako unatabiri mambo ambayo yapo mbali sana!!!! All in all u're the best thinker and presenter
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 4 жыл бұрын
Jitihada zimefanikiwa kama ulivyosema kwa kunywa chako. Magufuli kiboko yao. Poleni mawakala wa mabeberu.
@innocentandrea6482
@innocentandrea6482 3 жыл бұрын
Anaendeleaje huyo pimbi sa ivi
@fanuelgwimo3977
@fanuelgwimo3977 4 жыл бұрын
Uyu mshkaj ni nabii, haki ya wallah
@mwarabumapombe4201
@mwarabumapombe4201 5 жыл бұрын
Kweli lema hautarud bungen tutakukumbuka sana kamanda wetu
@franciscogeorge6172
@franciscogeorge6172 4 жыл бұрын
I will miss u guys a lot.I promise,,,Magufuli kwann umewaacha hawa watu watetez wa wanyonge rais wetu.Mambo meng yaliyokuwa yamejificha hawa walikufanya uyajue.Mh.fikir tena namna ya kurudsha hawa watu n muhim sana kwetu na kwako.Tunajua ww n mchapa kaz lakin changamoto zilikufanya upate hasira zaid na kama pia n mtu hupend rushwa,utafaikisha vip bila kuwa na waangaliz wasaidiz kama hawa.Nasikitika sana.
@johannesmaloda8209
@johannesmaloda8209 5 жыл бұрын
Lema respect.... ktk wabunge waupinzani nao waelewa na kuwaheshim,anakosoa kwa fact co kutukana na mtu wa hivyo ndy anetuma ujumbe kwa wananchi na kueleweka!!
@jonesgeorge3152
@jonesgeorge3152 4 жыл бұрын
Nakukubali sana mtumishi lema
@fadhilgaspa6520
@fadhilgaspa6520 5 жыл бұрын
dah noma sana tundu lisu ukiludi huyu jamaa namfananisha nawewe kwa kweli maana ninoma sana
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 4 жыл бұрын
Wewe lema humtegemei mungu.
@clieffmmtapai3459
@clieffmmtapai3459 5 жыл бұрын
Kiherehere cha zzk ndio kimewaponza na ndio kimesababisha mkose utamu wa mjengoni 2020 Zzk kachukua mlungula kuwaua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 pole sana lema nenda kaendeshe gari zako za kale zile
@restymlale6003
@restymlale6003 5 жыл бұрын
Welldone Boss Lema.!
@ahmedissa7882
@ahmedissa7882 5 жыл бұрын
Nice one boss man
@joss.nkilio.3537
@joss.nkilio.3537 4 жыл бұрын
Mimi binafsi na waheshimu sana Wapinzani Mabadiliko ya Taifa hili yamesababishwa na Wapinzani kuwa Wakali.
@mussabulugu6319
@mussabulugu6319 4 жыл бұрын
Wewe acha kupotosha watu wew unaijua kenya .mbona kenya wanamtamani rais wetu akatawale kwao haraf unatuletea habar za kubumba
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 4 жыл бұрын
Kenya toka zamani wako juu kiutali au wawekezaji..
@josefusamki8294
@josefusamki8294 5 жыл бұрын
Umeongea point lema big up
@herodejivava8994
@herodejivava8994 4 жыл бұрын
Uko vizuri kaka
@anuaryally6177
@anuaryally6177 4 жыл бұрын
Kenya Kenya tanzania tanzania kwani kama aupo bungeni bunge alitoendelea bunge si umelikuta walikuwepo akina msekwa na sasa awapo na bunge linaendelea wewe nani kapuku tu
@bunnasib1961
@bunnasib1961 5 жыл бұрын
Mimi nahisi Mh mwenyekiti huwa hawasikilizi wapinzani nahisi huwa ana earpods sikioni... Yani hayo anayoongea yameingilia sikio la kulia yakatokea kushoto...Yani kuzimiwa MIC nakuambiwa AAASANTEE nikawaida tu sasa utasema wanaskilizwa Kweli😂😂😂
@hajimakame1062
@hajimakame1062 5 жыл бұрын
Unasema ukwili
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 4 жыл бұрын
Kenya vibaraka wa Marekani
@aminielyohana3052
@aminielyohana3052 5 жыл бұрын
Ila hawa vilaza ipo siku zao zitafika mungu atutangulie nakukubali sn lema
@josiakogani3787
@josiakogani3787 4 жыл бұрын
Ney wa mitego mungu upo wap
@thaddeojude7511
@thaddeojude7511 5 жыл бұрын
weeee ya Kenya yaache tu.hujui tu
@isayakilangi5888
@isayakilangi5888 5 жыл бұрын
Hii ndo Tanzania mwanangu nilimwambia asome awe kama profesa na mwanangu akanihoji Kama profesa Nani? Mamake akajibu ngoja nigugo
@alexmerickiadi3042
@alexmerickiadi3042 5 жыл бұрын
Klauz .
@erasmusshauritanga8485
@erasmusshauritanga8485 4 жыл бұрын
Ulimwambia asome awe professor au Kama professor?maana naona swali lake kwako lilikuwa sawa.
@johnmosha8285
@johnmosha8285 4 жыл бұрын
makini sanaa
@rodigensinkwela5964
@rodigensinkwela5964 5 жыл бұрын
Nawaelewa sana vyama siasa kama vyam ving huwa unaongea point san
@ababuumwanazanzibar4908
@ababuumwanazanzibar4908 5 жыл бұрын
Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae
@radiusbakashaya2801
@radiusbakashaya2801 5 жыл бұрын
Nyie waliowachagua walikuwa hawaoni mbele sasa wameshawaona nyie wapinzani mulivyowasariti sasa wawe makini nyie wanafki wawatupilie mbali
@lukasmwendo9383
@lukasmwendo9383 4 жыл бұрын
Lema Akili yako haina Akili inakutosha mwenyew tu
@johnmiligo429
@johnmiligo429 5 жыл бұрын
Leema.watake.wasitake.utaludi.mbengeni mungu anaona I navy pimping an is ichi.ya.Tanzania.
@sankofaman4112
@sankofaman4112 4 жыл бұрын
Wewe hujielewi ukizungumza juu ya Kenya. Sisi wakenya wenyewe ndio tunajua vile Kenya ilivyo gawanyika na njaa inavyotuumiza, ufisadi wa hali ya juu, wawekezaji wanatoa rushwa na kunyanyasa wafanya kazi raia wa Kenya, yaani Kenya vurugu tupu wala watanzania msikubali mfano huo
@officialt-starboy9343
@officialt-starboy9343 5 жыл бұрын
Fact Tupu aisee
@erickzephania1030
@erickzephania1030 5 жыл бұрын
Kafulila aliitwa tumbili leo kawa shujaa.. tunapuuza mawazo ya upinzan afu kesho tunalalamika nchii imefika pabaya
@godwinegacharo9001
@godwinegacharo9001 5 жыл бұрын
Arusha msipo mchagua Lema, sjui mtamtoa wapi mwingine
@lukatarimo8364
@lukatarimo8364 5 жыл бұрын
GACHARO 4G kwamba Arusha hakuna mwenyeakili kuliko lema?
@edwiniedwin3347
@edwiniedwin3347 5 жыл бұрын
Sema mh Lema
@hoseamgema9107
@hoseamgema9107 5 жыл бұрын
Hamia kenya mwanangu ..
@lidyamathayo6420
@lidyamathayo6420 5 жыл бұрын
Mheshimiwa Lema unavyosema kuwa hamtarudi bungeni kwamba Uchanguzi ujao utakuwa wa kuteuliwa kma wa serikali za ktaa? Cos sisi kwetu hakuna mhunge , Diwani na huyo mwenyekiti was serikali za mtaa hata kuongea hajui anakunywa na kuuza piwa,alipitishwa na Chama Cha Makofi
@saluhadu7967
@saluhadu7967 5 жыл бұрын
Lema sisi wana arusha tunakupenda na utakuwa mbunge tu
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 4 жыл бұрын
Kawa mmbunge wa nairobi sasa
@faustinemavere1450
@faustinemavere1450 5 жыл бұрын
Huyu mpuuzi anayesema arusha tunampenda lema nani labda wewe katufanyia nini zaidi ya tumbo lake
@innoivinick2221
@innoivinick2221 5 жыл бұрын
Hata wa Ccm wamefanya nn kwenye majimbo yao
@omarihussein6945
@omarihussein6945 4 жыл бұрын
Mange si ndio sulihisho lenu maji shingoni unataka suluhu
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 5 жыл бұрын
Apuuzwe tu . Acha akipate cha moto mnaongea upuuzi ili mpuuzwe . Kama ni msaliti kwa nini apuuzwe ?
@bwiganeuswege2366
@bwiganeuswege2366 5 жыл бұрын
Huwez tenganisha siasa na uchumu.. Mazingira mabovu ya biashara, utawala mbovu na sera mbovu za uwekezaji matokeo yake ni umumi mbovu na unaosinyaa.
@yaletbweye5565
@yaletbweye5565 4 жыл бұрын
Wewe mtenda haki jambazi mstaaf
@patiencekelvin4453
@patiencekelvin4453 5 жыл бұрын
Matokeo,mchakato,what next ?
@frankgabriely9294
@frankgabriely9294 4 жыл бұрын
Lazima arudi
@ibrahimrukundo3064
@ibrahimrukundo3064 4 жыл бұрын
😊
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 5 жыл бұрын
Huyu Mwenyekiti wa Spika kweli kavu 😭😭😭😭
@fadhilikibanti3402
@fadhilikibanti3402 5 жыл бұрын
Mwenyekiti wa bunge sio wa spika
@allyngoda761
@allyngoda761 5 жыл бұрын
HIVI WATANZANIA HAMSIKILIZI HOJA ZA LEMA ? HUYU JAMAA NI MZALENDO SANA TUACHE ITIKADI ZETU TUSIKILIZE ANAYOSEMA HUYU JAMAA
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 4 жыл бұрын
Acha uoga lema..
@petermachambile3149
@petermachambile3149 4 жыл бұрын
Kazi kulalamika tu kwa ajili ya chadema na ukawa na sio kwa ajili ya wananchi wa Arusha mjini,mmechaguliwa kwa ajili ya vyama washenzi ninyi?
@berthayekonia4112
@berthayekonia4112 5 жыл бұрын
Tulifkiri lema angesema shda zetu tupone kumbe yupo bungeni kusema shida za upinzani!!!?
@isiakahkadari5279
@isiakahkadari5279 5 жыл бұрын
Arusha hatuna mbunge tuna msemaji wa chama cha chadema,,
@michaeljonas7497
@michaeljonas7497 5 жыл бұрын
@@isiakahkadari5279 yaani wew boya
@abouilysar5416
@abouilysar5416 5 жыл бұрын
Ujinga umekujaa sana
@agnesspetro6695
@agnesspetro6695 5 жыл бұрын
Weee nae! Sasa Kama watabinywa wao kero zetu zitafikaje apo
@isaacsengunda3099
@isaacsengunda3099 5 жыл бұрын
Bertha Yekonia ulitaka Lema azungumzie wewe kuuza matunda barabarani,
@ericstephenm.844
@ericstephenm.844 5 жыл бұрын
Tunahitaji Upinzani katika nchi hii hata kama Serikali ya CCM itaonekana inafanya kazi kiasi gani! Siku Upinzani ukifa kabisa katika nchi hii, CCM wataanza kupingana wenyewe kwa wenyewe. Na Wapinzani wa Ndani ni Wabaya kuliko wa Nje. Uhai na Uimara wa CCM ni kwa sababu kuna Wapinzani.
@eliamakanika8070
@eliamakanika8070 5 жыл бұрын
Mung u.atasimama
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 жыл бұрын
True kbs
@omariwazirikibao1932
@omariwazirikibao1932 5 жыл бұрын
Broo acha uoga Cha msingi ujitathmini ulilifanyia nini Jimbo lako watanzania sio mbumbu
@joss.nkilio.3537
@joss.nkilio.3537 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@philliminusmugereza8952
@philliminusmugereza8952 4 жыл бұрын
Tumwombe MUNGU Atuepushe Na Kila Hila.
@abdallahelbali4200
@abdallahelbali4200 5 жыл бұрын
Ungekuwa na Akihito ungejua China, Singapore na Russia zinaendelea bila upinzani. We lilia njaa zako acha kudanganya.
@silverinada3894
@silverinada3894 4 жыл бұрын
Lema huu ndio mwisho wko hautakuwa mbunge tena. Hauna hoja ya msingi......
@ngeymwakyelu7631
@ngeymwakyelu7631 5 жыл бұрын
hivi nchi hii kuna haja kweli ya kuwa na bunge?maana ni miyeyusho tu,,hoja za msi ngi hazieshimiwi
@abdulkarimhamissi3755
@abdulkarimhamissi3755 5 жыл бұрын
Urawala bora tunauona wananch
@bigbrosmedia255
@bigbrosmedia255 5 жыл бұрын
mwee!!!
@shayopaterini8678
@shayopaterini8678 5 жыл бұрын
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@stansilauseliasi7883
@stansilauseliasi7883 5 жыл бұрын
Waabie wasije kujisahau tutatoana utumbo
@kulwaswetu4457
@kulwaswetu4457 4 жыл бұрын
Chizi wewe hataunachokiongeaga bungeni sikuelewagi
@kulwaswetu4457
@kulwaswetu4457 4 жыл бұрын
Wakenya wanasema tz wamepata kiongozi bola wewe ambae si mkenya unasema kenyawanauongozi mzuli 2 wewe nikibalaka wa mabepali ndiyomaana unafagilia Kenya wewe kilema nimjingasaana nawewe ukifa motoni
@pascalkenyatta420
@pascalkenyatta420 5 жыл бұрын
We jembe
@ismailmajala2802
@ismailmajala2802 5 жыл бұрын
Eeeh leo wapili?🤦🏽‍♂️
@conceptertibikunda6120
@conceptertibikunda6120 5 жыл бұрын
Ismail majala, ni wewe ulikuwa unakaa kihonda kota 11 za polyester wakati uleeee?
@jojolee382
@jojolee382 5 жыл бұрын
Lema anaongea mambo asiyoyajua
@abouilysar5416
@abouilysar5416 5 жыл бұрын
Unawazimu wewe
@jojolee382
@jojolee382 5 жыл бұрын
@@abouilysar5416 unawashwa pabaya eeh....Lema ni jambazi tu
@berniethomas9883
@berniethomas9883 5 жыл бұрын
@@jojolee382 eti Yesu atosha halafu unakua na mambo ya kipumbavu ya kuwaita wenzako majambazi,,alikuibia nn ukajua ni jambaz
@gilberthndakidemi7358
@gilberthndakidemi7358 5 жыл бұрын
democrasia Gani lema unayohitaji ndugu mfamaji,
@Kisaboleonards
@Kisaboleonards 5 жыл бұрын
Nyinyi kwenye chama hamna Democraticy wala utawala bora mwendawazim hunadira kapumzike
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 5 жыл бұрын
Kelele tu, huko Kenya wana matatizo yao kibao mpaka hawajielewi unaongea nini weee🤣🤣
@gredsontangare2401
@gredsontangare2401 5 жыл бұрын
Unataka kufananinsha bongo na kenya kweli ujielewi wewe oscar
@berniethomas9883
@berniethomas9883 5 жыл бұрын
@@gredsontangare2401 kaka kumuelewesha chizi utajipa kazi
@majaliwacosmas3322
@majaliwacosmas3322 5 жыл бұрын
Huna lolote utarudi kufanyakazi uliokuwa unafanya bungeni kweli hurudi
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 5 жыл бұрын
Apuuzwe tu . Acha akipate cha moto mnaongea upuuzi ili mpuuzwe . Kama ni msaliti kwa nini apuuzwe ?
MBOWE AMBANA WAZIRI MKUU BUNGENI - "UNANIPA MAJIBU MEPESI SANA"
11:04
Global TV Online
Рет қаралды 158 М.
ВЛОГ ДИАНА В ТУРЦИИ
1:31:22
Lady Diana VLOG
Рет қаралды 1,2 МЛН
БАБУШКА ШАРИТ #shorts
0:16
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,1 МЛН
MSIGWA TENA BUNGENI, AWASHUKIA WANAOISIFIA SERIKALI, JENISTA AMBANA
7:41
Mwananchi Digital
Рет қаралды 22 М.
LEMA ALIAMSHA DUDE BUNGENI MATIBABU YA LISSU, MWENYEKITI AMTAKA AKAE
4:05
Mwananchi Digital
Рет қаралды 175 М.
Lema, Mnyika Waliamsha Tena Dude Bungeni
12:42
Global TV Online
Рет қаралды 369 М.
MBUNGE LEMA BUNGENI LEO "HOTUBA YANGU IMEZUIWA'
4:23
Millard Ayo
Рет қаралды 57 М.
Godbless Lema VS Waziri Simbachawene bungeni leo
9:52
Millard Ayo
Рет қаралды 1,4 МЛН
BUNGENI: MBOWE VS MAJALIWA KUHUSU SHAMBULIO LA LISSU
12:23
Millard Ayo
Рет қаралды 322 М.