My. Lema Safi Sana kwa kazi kubwa uliofanya ikiwemo ya kutetea uhuru wa watanzania na haki za misingi za wananchi kwa upande wa selikari hongera mh. Ahsante Sana ndugu
@jacobpatrick79363 жыл бұрын
Daah mlifanya kazi yenu vizur mmemaliza pumzikeni waachieni waongoze peke yao
@pastorbonnyphillip89454 жыл бұрын
Wow... hii mechi nimeipenda sana... bible debate
@starlily077 жыл бұрын
Lema umeongea mpaka mwili wangu unasisimka ...... omg, Mungu akutunze kaka angu Lema.
@Jephason-m3z2 ай бұрын
Hakika hadi nililia cku hiyo,lema Mungu akulinde,wewe ni lulu ktk taifa ,imeandikwa kweli itawaongoza,Mungu nimwabuduye atajibu kwa wakati
@saulomathayo7 жыл бұрын
Very fantastic speech, I love it. May God bless you Lema.
@Jephason-m3z2 ай бұрын
Amen
@eliasmshabaha15096 жыл бұрын
one of the best speech only smart brain will understand it God bless you Lema
@delekalxon72212 жыл бұрын
This video never get old .Lema🙌🙌
@visualservices88977 жыл бұрын
Thanks lema ila ni kweli tunaandamana miyooni mwetu na tupo wengi maneno kuntu sana nathani Mungu shahidi natamani kuyafanya maneno haya ring tone yangu ya simu si kwa uchungu naosikia
@hamisindoki94857 жыл бұрын
Lema goja. niongezee, Dunia ni sawa na nyumba kubwa. yenye miwili tutaingilia mlango Mbele na kutokea mlango Nyuma hakuna wa kubaki katika hii dunia hata hau wanaotuma kamata Yule bila kosa mungu nae ana askari wake watakamatwa poleni sana wahanga wote
@nicholasakeya67904 жыл бұрын
Kabisaa
@godhelplatia30444 жыл бұрын
Amina Mtumishi Lema Mungu akubariki Sana
@janjarovicent20557 жыл бұрын
Sitakuja kusahau maneno ya lema. Dah I get painful when I hear this speech. 4rever and ever be blessed by sir God lema
@christinewomanoffaith54797 жыл бұрын
halleluya#glory be to God#itafahamika tu#Mungu yupo na anajibu#Mungu akubariki na akusaidie#💪💪👊👊Lema#safi
@christinewomanoffaith54797 жыл бұрын
asante#kumbe leo baba Mwakasege alikuwa mjengoni#ashukuriwe Mungu#Lema kuna siku watakuelewa
@irenegoodlucky19747 жыл бұрын
christina kaminsa baba hakuwa bungeni ila yupo huko dodoma kwa semina na anamaliza kesho dia
@christinewomanoffaith54797 жыл бұрын
najua yupo ddoma kwenye semina!#najua ratiba yote# siongelei hilo, naongelea kwenda bungeni kuomba na wabunge baadhi! hata lema kaongea hapo msikilize,kuna sehemu anasema walikuwa wanaomba na mwakasege
@husseinnyomi61204 жыл бұрын
Hivi kwa nn wabunge Wa ccm hawakuwelewi mbona
@ramadhanikakoree37286 жыл бұрын
Daaaahhh ewe m/mungu mpe LEMA maisha marefu namtangulie kwenye harakati hizi kwn amesema ukweli mtupu
@mottofoundationinc.34927 жыл бұрын
Only smart brain will understand this talented guy...
@richardtungaraza75095 жыл бұрын
Simbachawene yupo kweli
@titochungu79864 жыл бұрын
Amina lema
@bettymassanja8814 жыл бұрын
Very well said.
@nicholasakeya67904 жыл бұрын
true
@nicholasakeya67904 жыл бұрын
only
@priscaoscar92635 жыл бұрын
Aisee Lema kaongea Sana kwa kupitia neno Amen
@hassankayla40767 жыл бұрын
Nice speech #LEMA be blessed. Thanks AYOTV
@angelatarimo69004 жыл бұрын
Lema Mungu atakulinda tetea haki tetea haki Mh tunakuelewa kabisa mbunge wetu big up sana
@jimmysalag98205 жыл бұрын
Mhe lema Nena ukwel Mungu akusaidie Sana ktk hatua unayopita
@feisalissa30094 жыл бұрын
Lema juu sana 💯👍 👍
@happinessmwanga36337 жыл бұрын
Nakushukuru Mungu wangu Kwa ajili ya Godbless. Lema mpandishe utukufu mpaka utukufu
@nicholasakeya6790 Жыл бұрын
Kabisaa
@nicholasakeya67904 жыл бұрын
the best ever speech I have ever had
@yusuphmruma17714 жыл бұрын
asante Kaka sema ukweli utalipwa na mungu anakupenda kwaajili ya uwo ukweli wako
@husseinnyomi61204 жыл бұрын
Hukoseagi kk mkubwa huwa nakuwelewa sana KK mungu akulinde kila ukanyagapo
@nicholasakeya67904 жыл бұрын
Mtupu
@mastermwakyembe10934 жыл бұрын
Sawa kabisa Lema unastahili pongezi
@emillyvedastus19727 жыл бұрын
Mungu akubariki Lema kwa hekima zako. naamini watawala hawakuelewi sababu we ni mpinzani
@emmatarimo28157 жыл бұрын
Emiliano Vedasto hekima zake na aanze kuzitumia kwanza kwa kushughulikia kero za wapiga kura wake badala ya kuhubiri kama nabii
@csato94157 жыл бұрын
Mpendwa wangu @Emiliano Vedasto, hivi ni mbunge yupi katika bunge letu ametimiza kero za wapiga kura wake? bunge letu linaumizwa na siasa ambazo hazina tija ktk kuendeleza taifa letu.
@amanimfaume70277 жыл бұрын
+Emma Tarimo njoo arusha uone acha kuongea km unakipande cha nyama
@rashidisaidi91027 жыл бұрын
Mikumi peke yake wanafaidi matunda ya mbunge wao J
@ayubuuomaary46895 жыл бұрын
Emiliano Vedasto vbaya San mamuzi magumu mungu yupo
@janetcharles49917 жыл бұрын
lema nakupenda bureeeeeeeeeeeeeeeeee
@cosmaswilliam38052 жыл бұрын
Naipendaga chadema sanaaaa.
@allyngoda7614 жыл бұрын
KWAKWELI BEST SPEECH IN 2019, NI HII YA LEMA HIVI NAJIULIZA WATANZANIA HAMUMSIKII HUYU JAMAA ANAVYOONGEA? KWANI MMEROGWA NA NANI?
@nicholasakeya67903 жыл бұрын
Nashindwa nani kawaroga
@nicholasakeya67902 жыл бұрын
Waulize tena kakangu
@emmanuelnasari6129 Жыл бұрын
Hata mimi najiuliza leo😅
@tumainimkane27107 жыл бұрын
daaaa nimesikitika sana Mungu akusaidie my. lema akuinue zaidi
@janjarovicent20557 жыл бұрын
Chin ya jua acha tunyanyasike lakn wote tutakufa.dunian hakun mungu mtu wa kumwabudu kwa kuogopa udikteta hakika lema mwanasiasa na mcha mungu ntakukumbuka sana lema hakika nmejeruhiwa moyon mwang mungu shahidi magufuli na serikali yake have to take ages
@angelinasimchimba7055 жыл бұрын
Mim ni ccm lakn huyu Lema hua wakat mwingne anaongea point sana@
@hanskalitus55834 жыл бұрын
Lema nakukubari Sana brother
@joycemichaellovelove22217 жыл бұрын
duuuuuh Mungu akubarik sanaaaa, akutie nguvu na akuongezee ujasir zaid na zaid Amin
@emmanueljuvieh43167 жыл бұрын
kwa mtanzania mwenye akili timamu na anaejielewa nadhani kapata kitu ila matahira hawakosekani nimesema tyu neno langu sio sheria bt big upmh.Lema
@Irene_Mbombo7 жыл бұрын
Mr lema u are one of a kind yani nakupenda tu bure 😍😍
@victorlutrac36676 жыл бұрын
Daaaaah Lema mungu akuzdishie miaka
@modesttryphone40305 жыл бұрын
Barikiwa saanaa Lema kuwakumbusha wabunge kwamba kesho INAKUJA na moto wa Jehenamu unatusubiri tusipoacha utahira kiroho
@jacobpatrick79363 жыл бұрын
Best speech ever
@abelmachunda94947 жыл бұрын
Aminaaaa...!!! Lema live long
@geofbeka16697 жыл бұрын
Hii speech inapaswa kuwekwa kama kumbukumbu ya bunge! ahsante Lema..
@josephjelemiah64295 жыл бұрын
kumbu kumbuka peleka kwa wazaz wako
@lucasjackson30197 жыл бұрын
God bless you brother
@jeviounipers7 жыл бұрын
Duh, mpaka nimepata hasira.....well said Lema
@edsonsign94417 жыл бұрын
tunataka wabunge wanaozungumzia taifa kama lema! leo kaongelea uzalendo cyo uvyama nadhani ameshauona upuuzi unaofanywa humo bungeni. ni kweli siasa za uvyama hazitusaidii bungeni. bg up lema.
@monicasamba25577 жыл бұрын
kweli kabisa mh.Lema, watu hatuandamani barabarani lakini mioyoni mwetu tuna kuna moto unawaka, tunajeruhiwa sanaaaa
@nicholasakeya67902 жыл бұрын
Ndio ukweli job ndugai
@yusufukazamba23915 жыл бұрын
Lema nakukubali unathibitisha maneno yako kwa maandiko Mungu akubariki sana sana
@nicholasakeya6790 Жыл бұрын
Karibu nyumbani kamanda
@a.j99647 жыл бұрын
Well speaking lema daah!!!!... Free Ben saa nane
@suzyjohn67914 жыл бұрын
mungu akubariki akutie nguvu akupe hekima ya kunena mazuri kila ihitwayo leo
@bahatidan47517 жыл бұрын
preach brother Mh Lema
@richardjames86157 жыл бұрын
lema uko vizuri hawaelew mpaka waende jela.....povu hilo ni la wote...nakupenda mpaka kesho......
@godhelplatia30444 жыл бұрын
Mheshimiwa Lema Barikiwa Sana Hakika upo vizuri
@esterkinyaiya15627 жыл бұрын
mh.lema Munguu akuonekanie popote na ukweliii useme cku zote...pendaaa sana Mh. lema Golbless you broo
@drex817 жыл бұрын
Simbachawene Jana umepata majibu ya unyenyekevu, hongera sana
@petermatonya14554 жыл бұрын
Hakika upo vizur broo Lema
@tinalekashu13427 жыл бұрын
nyie mnaosema lema hafanyi kitu kwake nyie ndo hamujui Arusha vzr,lema✌✌👌👌 mungu akucmamie Na akupe ujasiri ivo ivo
safi sana, walishe neno la MUNGU, may God bless you Lema
@hishamally48466 жыл бұрын
Upo vizuri mkuu
@raphaelrichard23926 жыл бұрын
Yaani hili bunge linahitaji maombi na si vinginevyo.
@franciskimario18875 жыл бұрын
Lema baba yangu sema tena waseme maana daaa lisu ameniuma sana ungekuwa nae hapo bungeni pange, kuwa patam,san,mungu aibariki,Tanzania, mungu,awalinde,wabunge,wa,,chadema,,,,tena,sana,
@drhanda82015 жыл бұрын
Baba kunywa maji bill kwangu
@machintangachibwena59224 жыл бұрын
Hana lolote huyo mbona azungumziii kuhusu Mashehe walio wekwa ndani kwa kesi za ugaidi
@ngometvarusha40307 жыл бұрын
Aisee pamoja na ushabiki wa kivyama lakin lema kuongea mpaka nimesikia kusisimuka kuna mtu anaongea point kweli
@monicasamba25577 жыл бұрын
Joel Joel kesoy me mwenyewe nna ule ushabiki wa vyama but leo nimeguswa
@shadrackmnjelu52857 жыл бұрын
Joel Joel kesoy uyuuuuuuu noooumaaa jamaaa
@ngometvarusha40307 жыл бұрын
+Monica Samba umeona Monica samba huo ndio ukweli na tujifunze siku zote kusema kweli
@ngometvarusha40307 жыл бұрын
+SHADRACK MNJELU yaan huyu jamaa ana kitu ambacho inahitajika
@elizabethmkali57826 жыл бұрын
Umesema kweli
@SarahLibogomalove7 жыл бұрын
Inackitisha Sana..... Bunge halijitambui lina nguvu kiasi gani, laiti wangeweka interest za wananchi wao mbele I bet kuwa bunge letu lingekuwa na tija Sana kwa taifa!! Thanks Hon. Godbless!!!!
@barick7 жыл бұрын
Noma noma Sana .mungu tufanyie wepesi
@stanlecioussimba54047 жыл бұрын
Nimeipenda hiyo mweshimiwa Lema
@titomsami47377 жыл бұрын
mheshimiwa Lema .hongera kwa ujasiri wa kuongea ukweli najua kuna watu wanajifanya wanaupinga ukweli wako ila mungu atatenda kenye kweli hiyo hiyo.
@nicholasakeya67902 жыл бұрын
like this guy
@kijanaHai7 жыл бұрын
Kuna speech nikisiliza huwa zinasisimua mwili wangu na akili uchanganua yaliyomo alafu naishia kusema nashukuru Mungu kwa chakula ulichonilisha leo.
@damianmachilutv11674 жыл бұрын
Lema upo vizuri sana,,
@suysoni7 жыл бұрын
Well Said Lema. Umeongea kwa hekima sanaaa. Hope watakusikia tu one day.
@nicholasakeya67902 жыл бұрын
Kabisaa bila shaka
@emanuelleopod39494 жыл бұрын
Fact Fact Fact Fact, mimi ni Ccm nisie na kadi ya chama ila huyu mwamba leo kaongea Fact tupu aisee
@georgeavelin8157 жыл бұрын
Lema big up up up broh
@Imapolite5 жыл бұрын
Ahsante lema Mungu akubariki
@itazowanzagi57214 жыл бұрын
Kati ya speech nazo zikubali ni zahuyu jamaa mungu amsaidie
@arolamuganyizi59722 жыл бұрын
Huyu mwamba anaakili za pekee yani
@amoskijangwa9364 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu lema
@emmanuelaggery68777 жыл бұрын
lema is so deep kwene maandiko aisee, majbu mazuri sana kwa simbachawene
@jonsonmungure65525 жыл бұрын
Mungu Mungu
@emanuelmoshama38994 жыл бұрын
tena majibu ya fasta
@nicholasakeya6790 Жыл бұрын
Kuna siku watajua kaka lema
@edwinboaz26284 жыл бұрын
Jembe letu chuga Mungu akulinde mno
@arnoldkasoma886 Жыл бұрын
Dahhh!! M)Mungu Azidi Kukulinda..
@boniphacejonas41094 жыл бұрын
Lema uko stronger sana kwenye kutoa point hongera sana
@elishaalex66957 жыл бұрын
Baba lema @....hata Yohana aliacha uoga na kuthubutu kumwambia Mfalime ametenda thambi kumtwaa mke wa mdogo wake ...Uoga ni thambii
@nicholasakeya679010 ай бұрын
Nice thinking 😢
@micamathew64334 жыл бұрын
Lema, Mkali wao. Safi sana.
@dostovan51422 жыл бұрын
The true leaders of this Nation, the way he responded to Simbachani was remarkable
@neemayo46934 жыл бұрын
Amina mungu shughulika
@starchincho36677 жыл бұрын
mueshimiwa lema tukiwapata watu kama ww mia mbili ii nchi ingekuwa tajiri cna wala tucnge angaika ivi mungu akutangulie cna
@happynessshayo60037 жыл бұрын
big up sana mheshimiwa lema umenena hadi machozi yamenitoka kweli hii nchi inakoelekea Mungu ndie anajua
@AronMkumbwa-wl1ee Жыл бұрын
Kweli Lema ulitabiri leo ndugai chali walinaliza upinzani Waka hamia upande wa pili
@princessmoureen41807 жыл бұрын
thanx for the news millard
@thomsmollel30764 жыл бұрын
Lema mungu akubariki xana
@chazdenis78207 жыл бұрын
mungu akubariki sana unachonena n sahihi kabsa leo watu wameendamana ndan ya mioyo yao ila ipo siku wataingia barabarani
@marathonsvunthomas766 жыл бұрын
chaz denis in
@tajivicchiuja21434 жыл бұрын
Mtaacha watu waokoke!!!😀😀😀
@marwawilliam36485 жыл бұрын
Lema uwezo wa kufikiri umefika mwisho. Safi Sana mh. Spika, bunge sio kanisani.. watu wajenge hoja sio kunukuu vitabu vya din
@nicholasakeya67902 жыл бұрын
Ukweli usemwa kaka mbona unaumwa
@niwaelibanda74657 жыл бұрын
kwelu kabisa my Lema ukovzi sana
@ericklibaba11986 жыл бұрын
Kuna watu wanaakili nchi hii... Nakuelewa Lema
@ashahaji49367 жыл бұрын
I'm ccm but Lema love u😘
@twaliwamhagaha12177 жыл бұрын
Asha Haji safi sana
@annethdominic34037 жыл бұрын
Hongera mh kwa kuongea vizuri MUNGU awe pamoja nawe
@babujinga58195 жыл бұрын
Ni kweli siasa zimejaa bungeni...lema unasema ukweli..bunge limejaa siasa ya ccm..ipo cku mungu atahukumu haki
@woltabenadi21845 жыл бұрын
Nakukubali lema unajuwa ongea watanza niatupone
@upendomasai3314 жыл бұрын
Jaman lema natamani ungeendelea kuwepo bungeni miaka yote
@frankmatembo68224 жыл бұрын
It's good work
@talangepaul55837 жыл бұрын
lema unaongea point sana kaks yungelikuwa na wabunge wa fisiem 20 kama wwe nchi hii ingependeza sana
@ericksimon2024 жыл бұрын
Safi sana lema mungu akusaidie sanaaaaa
@godfreyjohns89673 жыл бұрын
Daaah speech hii ni hatarii sana
@happinessmwanga36337 жыл бұрын
mh. Lema Mungu ae ndelee kukutunza maana kuna. maono ndani yako