LEMA ASIMULIA KILICHOMKIMBIZA NCHINI / AMSHUKURUB RAIS KIKWETE

  Рет қаралды 66,383

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Күн бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZbin : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...

Пікірлер: 108
@nestor384
@nestor384 Жыл бұрын
Kupitia haya maneno ya Lema yana-justify kifo cha hayati Dr. John Magufuli kinahitaji uchunguzi mkubwa sana. Katika historia ya nchi yetu, Rais bora kabisa kuwahi kutokea baada ya Mwl. Julius Nyerere ni hayati Dr John P Magufuli. Hizi zote ni mbinu za WAHUNI kutafta watu kama huyu leo aongee vijihoja. Asante sana hayati Dr JPM kwa upendo mkubwa kwa nchi yako🙏🏻💪🏻
@mussamgonela
@mussamgonela Жыл бұрын
Naam ni kweli kabisa
@renatusdeogratias2108
@renatusdeogratias2108 Жыл бұрын
Kachunguze mwenyewe Bwana mtu ashakufa acha tusonge mbele
@josephmugala1970
@josephmugala1970 Жыл бұрын
Mungu Tunakushukulu sana Kwa kutuondolea muuwaji magufuri Mungu ni mwema sana.
@jiweg-unit5408
@jiweg-unit5408 Жыл бұрын
Broo nimeipenda comment yako r.i.p jpm wetu
@lehayaabed7469
@lehayaabed7469 Жыл бұрын
Saw
@omarinyahegs4539
@omarinyahegs4539 Жыл бұрын
Kazi kweli kweli inchi hii kazi kweli
@soudia9084
@soudia9084 Жыл бұрын
Amekuwa mzuri sasa sio.😊
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Жыл бұрын
Wameanza kujisema waliomuua JPM king of afrika
@ramadhanimtatifikolo7735
@ramadhanimtatifikolo7735 Жыл бұрын
Tanzania hakuna upinzani wa kweli,
@salummakadi311
@salummakadi311 Жыл бұрын
Bado mtasemana mdogo mdogo tusio yajua tutayajua TU maana midomo yenu inawasha
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Жыл бұрын
Damu ya mwendazake inawalilia, watatajana wote
@ambokilemussa3518
@ambokilemussa3518 Жыл бұрын
Mungu ambariki rais Samia mama mtenda haki
@nemeskimbe376
@nemeskimbe376 Жыл бұрын
Hapa watu washakula mpunga wanajifanya kumpinga mtu aliyeleta maendeleo hivi hamuoni aibu kweli
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 Жыл бұрын
Hadi nimejikuta nalia bila kujua baada ya kusikiliza maneno mazito uliyoyaeleza mhe Lema! Pole sana mbunge wetu tunakupenda sana 💪 MUNGU yupo pamoja na wenye haki
@AbuuThabiti
@AbuuThabiti 8 ай бұрын
Lema hauna uwezo wakuitoa CCM madalakani watanzania wanaikili timamu sana hawadanganyiki kamwee
@mtekelechapemba5501
@mtekelechapemba5501 Жыл бұрын
Huyo aliyefariki naye anao ndugu wenye uchungu kwa kuondokewa naye, nao wanauchungu na ni Watanzania vile vile. Kwa nini muongee.
@mussamgonela
@mussamgonela Жыл бұрын
Umeona ndugu siasa hizi hazifai watanzania wanapitia shida mtu anakaa jukwaani kuleta histori
@atlastz2263
@atlastz2263 Жыл бұрын
lema umejisahau umetoa siri mmeshriki kumuondoa mwenda zake na wa msoga kashrk
@kadaskarim5081
@kadaskarim5081 Жыл бұрын
Hapo kikwete unahuska mojo kwa moja ila mung atalipa hapa hapa
@collinndabi1914
@collinndabi1914 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ambokilemussa3518
@ambokilemussa3518 Жыл бұрын
Mungu sio mnafki wewe ulitaka wakina Lema wauawe? Na wangekufa wewe ungepata faida Gani?
@ambokilemussa3518
@ambokilemussa3518 Жыл бұрын
Yatakushinda mbona nyie mlipokosolewa mlikuwa wakali acheni kazi iendeleeee
@merinachalinze6455
@merinachalinze6455 Жыл бұрын
@@ambokilemussa3518 nani angewaua?
@yawepetro2049
@yawepetro2049 Жыл бұрын
Mwenye akili ashaelewa kuhusu kifo jpm 🤔😭😭😭😭😭
@samwelimasoya5612
@samwelimasoya5612 Жыл бұрын
Maisha ya chadema ni raha hamia chadema chagua chadema 2205 Anzakufanya maamzi uwokowe vizazi na vizazi vya tanzania
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Жыл бұрын
Acha afe ulitaka ufe wewe?
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 Жыл бұрын
@@marcokaroje8980 Hata we na mimi tutakufa tu.
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 Жыл бұрын
@@marcokaroje8980 Kwani kufa mpaka utake?
@merinachalinze6455
@merinachalinze6455 Жыл бұрын
@@marcokaroje8980 kwani wewe utaishi milele
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 Жыл бұрын
Mungu wangu kumbe watu walikuwa wanafiki Kwa Jpm sijaamini kuhusu Gwajima. Eeh MUNGU tusamehe
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu hawezi kushiriki maovu hasa muaji ya watu wasio na makosa kisa siasa za chuki na uchu wa mdaraka upo?
@ambokilemussa3518
@ambokilemussa3518 Жыл бұрын
Mungu huwatumia watu kuokoa watu
@merinachalinze6455
@merinachalinze6455 Жыл бұрын
Izo ndio siasa?
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Watu Sikilizeni Kwa Umakini Sana Kikwete Ausiki Kwa Chochote Kuomba Msada Kwa Raisi Mstaafu Ni Jambo Zuli Kwasababu Raisi Hata Asipokuwa Madalakani Nguvu Yake Kubwa Kwa Raisi Alie Madalakani Anaweza Ongea Naye Na Ikawa Sawa Nawe Ukapata Sapoti Kutoka Kwa Raisi Sio Kama Eti Kikwete Kausika Ajausika Kwa Kitu Chochote Kwa Maelezo Ya Lema
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 Жыл бұрын
Kumbe sasa nimeelewa kitu kuwa Magufuli aliuawa na watu hao waliotajwa na Lema
@collinndabi1914
@collinndabi1914 Жыл бұрын
Yeye aliuwa wangapi
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 Жыл бұрын
Aliye muua jpm amelaaniwa yeye mpaka kizazi chake cha 8 tangu sasa mpaka hapo vizazi vyake vyote 8 vipite
@thobiasshikome1993
@thobiasshikome1993 Жыл бұрын
Jamani si msikilize vzr kuliko kuropoka
@rahimmasoli5369
@rahimmasoli5369 Жыл бұрын
Picha inaaza kuonekana aliyechora mchongo kumuuwa magufuli
@festoasanga5572
@festoasanga5572 Жыл бұрын
Nipo mbeya ila huyu mtu Mungu alimuumba bira makosa
@adammbaruku2499
@adammbaruku2499 Жыл бұрын
Kwakweli Mungu ni mkubwa picha linajieleza nani walikuwa nyuma ya JPM.
@othmanmapunda2310
@othmanmapunda2310 Жыл бұрын
Bonge la shoga
@mtekelechapemba5501
@mtekelechapemba5501 Жыл бұрын
Kwa kweli ujumbe huu si mzuri kwa kiongozi mstaafu kuungama na wapinzani dhidi ya kiongozi aliyeko madarakani. Haileti picha nzuri kwa Watanzania. Huyu hapa angeshauri asiongee hadhari habari kama hii. Mnatupa picha gani. Yetu macho 2025 na kuendelea......
@ramadhanimtambo6755
@ramadhanimtambo6755 Жыл бұрын
Sasa ulitaka lema aongee nini zaidi ya ubaya aliofanyiwa
@gabrielmdem4271
@gabrielmdem4271 Жыл бұрын
@@ramadhanimtambo6755 sawaa. Kaongea imejulikanaa aroo iraaa mungu yupo
@renatusmatungwa2508
@renatusmatungwa2508 Жыл бұрын
Huyu Lema ni mropokaji aliambiwa hasiongee lakin kwasababu hawa chadema ni waropokaji sana hawawezi kutunza siri
@bahemasumbuka7211
@bahemasumbuka7211 Жыл бұрын
Kazi sana
@martinemaganga2546
@martinemaganga2546 Жыл бұрын
Yaani siasa za Tanzania basi tu kwani wanasiasa hawana sera bali kuelezea hisia za chuki zao juu ya wengine, Watanzania tunahitaji kusikia sera
@mussamgonela
@mussamgonela Жыл бұрын
Leta hoja za msingi ww mbona hukuongea kipindi hiko ,,Magufuli alikuwa mwamba ww sio mzalendo ww ni muoga.
@blockchain1203
@blockchain1203 Жыл бұрын
Ulitegemea aongelee wapi na lini..?na Hayo anayosema walio wengi wanatamni/Walitamqni kujua..Angekuwa na Uwezo wa kusemea huko nje ila Bado mngesema Mwoga Anasema nje Karudi Anasemea Hapahapa Tena Hadharani ulitakaje .?,Hiyo ndio Hali halisii
@heryndeki
@heryndeki Жыл бұрын
Ndo sera hovyo
@davidchengula3044
@davidchengula3044 Жыл бұрын
Hongera sana
@yawepetro2049
@yawepetro2049 Жыл бұрын
Ndomana ulisema magufuli atakufa muda wowote, kumbe wakubwa washakupA sili watamuuwaje duuh mungu mlaze JPM Mahali pema pepon🙏🙏🙏
@nabillkhamis8188
@nabillkhamis8188 Жыл бұрын
Pepo hato iyona abandan magufulk mbaya sana
@ananiangonyoka4309
@ananiangonyoka4309 Жыл бұрын
Nchi hii duu Mungu tu anajua acha tuone mwisho wake
@julianamasunga3458
@julianamasunga3458 Жыл бұрын
Nilisema damu damu ya mtu huwa aipotei hivi hivi ,jpm alizungukwa na watu wabaya Sana Sana nasiku zote kikulacho kinguoni mwako ,,RIP JPM
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Жыл бұрын
Alikuwa mzuri gani jpm?
@nestor384
@nestor384 Жыл бұрын
JPM is/was the best
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 Жыл бұрын
@@marcokaroje8980 Jpm alikuwa mzuri sana
@simonyohana8995
@simonyohana8995 Жыл бұрын
Mtajulikana tu muliomuuwa mpendwa wetu magufuli Raisi alikuwaanahangaikia maendeleo ya watanzania si nyinyi manafiki wakubwa
@herbertbathlomeo4650
@herbertbathlomeo4650 Жыл бұрын
Eleza alipo Saanane
@augustinomhanje9225
@augustinomhanje9225 Жыл бұрын
Kweli nimeamini mwaafrika hana tofauti na gari ambalo halina taa halafu linatembea usiku kwenye barabara ambazo zinakona .
@anytime5685
@anytime5685 Жыл бұрын
Ukitaka kumfaham mzalendo Ni vile wachumia tumbo wanavyo mpiga vita Hakika mtu anonekana mbaya kwa kuzuia maslahi ya watu Ila itsfahamika tu
@hamisimuhammad3656
@hamisimuhammad3656 Жыл бұрын
Tako
@maryamsaid2649
@maryamsaid2649 Жыл бұрын
Maisha ni mzunguko walisha zoea kula kwa maslahi yao binafsi mungu katupa magu atetee taifa linaangamia wanaona wamebanwa upuuzi wao na michezo ya selekalini ilikoma wakaona ili waendelee na ujinga wao nikumuua kiongozi wetu mahili mungu ailaze roho ya malehem mahala pema pepon na hao wanao endelea kushehelekea ujinga walio ufanya mungu si kiziwa zamu yao itafika panga litawaludi
@blockchain1203
@blockchain1203 Жыл бұрын
Kwa Kweli kile kitendo Cha Kuchoma Vifaranga Walizingua na Bahati Mbaya Hatukuwa na mahusiano Mazuri na Kenya Japo yalikuwa yanaonekana yapo ila ni Kwa Unafiki tu
@gabrielmdem4271
@gabrielmdem4271 Жыл бұрын
Duuu tunajifunzaa Nini watanzaniaa
@yasinrashid985
@yasinrashid985 Жыл бұрын
Mnatakiwa kujua chuki mnayo panda reo haitatoka myoyoni mwa wananchi iposiku
@ernestsinje-ng8hm
@ernestsinje-ng8hm Жыл бұрын
Chama chenu ni cha kinafiki kwa hiyo serikali iliyopo na nyinyi ni Sawa na suruali na mkanda Sasa inamaana hakuna upinzani hapo,kwa hiyo Magu alikuwa adui....mmh duh nimeelewa
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 Жыл бұрын
Kumbe mtandao ule ule
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Жыл бұрын
Mtatajana wote, malipo hapahapa
@merinachalinze6455
@merinachalinze6455 Жыл бұрын
Unafki alikuwa anasemwa kila sku kikwete
@kmotivation1130
@kmotivation1130 Жыл бұрын
Nchi ya matapeli , mtu ambaye anafuata matwaka ya Mangaribi hastahili kuishi Tanzania
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Semeni Mnataka Kufanya Nini Kwenye Taifa Mbona Mnajijenga Nyinyi Badala Ya Taifa
@jonathanntare4787
@jonathanntare4787 Жыл бұрын
Na wewe Jengeni zanzibar
@zikirination6769
@zikirination6769 Жыл бұрын
Watu wa wazima washajua why JPM hayupo Rest in peace jembe🙏
@henrytimothy3048
@henrytimothy3048 Жыл бұрын
Mwenyekiti alishinda dhambi ya uoga wewe ni muoga wadanganye wavuta bangi hao
@jiweg-unit5408
@jiweg-unit5408 Жыл бұрын
Asante sana comment yako nimeipenda sana
@kmotivation1130
@kmotivation1130 Жыл бұрын
Siri ishavuja rest in peace JPM
@jamessichimata36
@jamessichimata36 Жыл бұрын
Ulikimbia nini
@ramadhanimtambo6755
@ramadhanimtambo6755 Жыл бұрын
Tunawahusia msipende sana hisia kuhisi watu mh lema ameongea ukweli wake Sasa hapo kiongozi mstaafu anahusika vipi na kifo Cha mtu . Acheni hisia kwani lema akipata usaidizi Kwa mh kikwete Kuna shida Gani kama lema alirambua uadilifu wa rais kikwete . Mhe kikwete pumzika Kwa amani hizo ni kelele tu ahsante
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 Жыл бұрын
Acha tuhisi,kwa sababu wanayoyaongea na kuyafanya leo hii yanaashiria kitu kwa Jpm
@AliMohammed-vd9cu
@AliMohammed-vd9cu Жыл бұрын
Jpm the best plesdent
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
WENYE KUMSIFU MAGUFULI!!KUNA USEMI USEMAO,KILA SHETANI NA MMBUYU WAKE!!
@lawrenceleonard2007
@lawrenceleonard2007 Жыл бұрын
Nilipoona tu eti mzee wa msoga kamsaidia Lema mmmh hahahah nikasema ngoja nione chawa gani huyo kumbe,ivi adi siasa kuna machawa khaaaaaa,Jesus come back tumechoshwa nahii dunia ya unafki
@mundalikope581
@mundalikope581 Жыл бұрын
kaka wache washereke nawaho watakuf
@hassankurwa464
@hassankurwa464 Жыл бұрын
Jakaya haya maneno kama ana akili hapaswi kuyanyamazia yatamchafua sana. Kikwete hii haina sifa nzuri kwake hasa ukizingatia kashfa ya kifo cha Magufuli. Hizi ni siasa za hatari sana kwa taifa hili.
@oslojob5688
@oslojob5688 Жыл бұрын
Wajakoa aliokuwa mgombea wa urais siyo jakaya
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 Жыл бұрын
Haina sifa nzuri kivipi tena? Yaani kumsaidia mtu kurudi nyumbani ni sifa mbaya?
@gracesizya2920
@gracesizya2920 Жыл бұрын
Mikutano chonganishi hii .Ipigwe marufuku.Inapotosha umma.
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 Жыл бұрын
@@gracesizya2920 imemchonganisha nani? Tena imemchonganisha na nani kufanya nini? Pole kwakuwa ktk kiwango hicho cha ufahamu. Toka gizani njoo nuruni.
@allymahiyo2464
@allymahiyo2464 Жыл бұрын
Wewe mbumbu kashfa gani wakati mtu anazungumza ukweli kwani magufuli hasife yeye nan wakati kila nafsi itaonja umauti.
@chumhaji6787
@chumhaji6787 Жыл бұрын
Tuondolee upumbavu
@johnbenedicto8935
@johnbenedicto8935 Жыл бұрын
Umbumbav unaujua
@kizitoisagala6487
@kizitoisagala6487 Жыл бұрын
Remove
@henrytimothy3048
@henrytimothy3048 Жыл бұрын
Mwenyekiti alishinda dhambi ya uoga wewe ni muoga wadanganye wavuta bangi hao
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Music Video)
2:50
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 2 МЛН
"UNATISHA NANI,FANYA VILE UNATAKA!" ANGRY KIMANI ICHUNGWAH HITS BACK AT GACHAGUA
29:45
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Music Video)
2:50
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 2 МЛН