LIFE WISDOM : AINA NNE ZA WATU KWENYE MAISHA YAKO - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 7,512

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

Пікірлер: 43
@Rehema815
@Rehema815 5 ай бұрын
Mim hua namshukur Mungu kwa kumfaham @joelnanauka huku mitandaon inatosha sana nmebadilika kwa sehem kubwa na hua najinenea mema
@NickGamba-ft8tl
@NickGamba-ft8tl 5 ай бұрын
ASANTE SANA MENTOR....MASTER ARTHUR NANAUKA JOEL, UBARIKIWE MNOO 🙏🙏🙏
@JamesAtilio
@JamesAtilio 5 ай бұрын
Umekua baraka kwenye maisha ya watu, MUNGU akuzidishie
@KuryaboyTz-vr4lg
@KuryaboyTz-vr4lg 5 ай бұрын
Wakwanza Leo...nakubali sana kaka ushauli wako unanijengea kitu🎉
@Rehema815
@Rehema815 5 ай бұрын
Mungu aendelee kukutunza kwa ajili ya wengine
@Madam255
@Madam255 5 ай бұрын
Asante sana kaka Joel kwa hizi hekima huwa naanza siku na morning Glory alafu nakuja kwa kaka Joel hata kama hajaweka video mpya naangalia hata za zamani bas nikimaliza ndo naanza kazi zingne
@HusseinMnyonge
@HusseinMnyonge 5 ай бұрын
Mungu akulinde maaana mafunzo yako nibora kwa jamii.
@gloriakinyota-qv8pp
@gloriakinyota-qv8pp 5 ай бұрын
Asante sana kaka Joel
@AlvicSnow
@AlvicSnow 5 ай бұрын
Mungu akubariki sana Mr Joel Nanauka
@mariammujule2262
@mariammujule2262 Ай бұрын
Aina za watu na tabia 1. Watu wasiotaka mabadiliko Hawa wanapenda kubakia pale walipo au they are not ready to take risk 2. Watu wanaotaka kupendwa Hawa wanafanya jambo kwa ajili ya kuonekana na kupendwa na watu hata Kama wanatumia garama kubwa 3. Watu wanaotaka kuonekana wanajua Hawa kila kitu kwao wanajua 4. Watu wanaotaka kushinda Hawaawajali chochote kuhusu watu wengine, wanachotaka tuu ni kutimiza malengo yako Tunashukulu sana kwa somo zuri…🙏🙏🙏
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 5 ай бұрын
Thanks alot br Joel nimejifunza kitu.....kwa kweli bila kukusikiliza kwa siku.... najikuta siko..sawa....umenifungua xana mungu azidi kukubariki sana 🙏🙏🙏🙏
@jameshirima
@jameshirima 5 ай бұрын
Asant sana kaka ubarikiwe sana
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 5 ай бұрын
Hallelujah hallelujah
@KelvinMmari-fp7zx
@KelvinMmari-fp7zx 5 ай бұрын
Mungu akubariki
@abusanga1680
@abusanga1680 5 ай бұрын
Mungu akubariki ,🙏🙏❤
@TittoGerald
@TittoGerald 5 ай бұрын
Asante unanitia moyo mimi kijana kufikia malengo yangu
@BalumileMataba
@BalumileMataba 5 ай бұрын
Amina sana brother 🎉
@pialafrance7922
@pialafrance7922 5 ай бұрын
😢😢😢😢barikiwa sana kaka nmegain kitu leo hakika😊
@ANNETHPRECIOUS
@ANNETHPRECIOUS 5 ай бұрын
🙏🙏
@HalimaAmadi
@HalimaAmadi 5 ай бұрын
Barikiwa sanaaaa ❤
@neemadaudisospeter8211
@neemadaudisospeter8211 5 ай бұрын
Be blessed
@kuruthumukondo7149
@kuruthumukondo7149 5 ай бұрын
Shukrani kaka ❤❤
@LameckElon
@LameckElon 5 ай бұрын
❤❤❤
@goldiegranted5501
@goldiegranted5501 5 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@ZabronMarco
@ZabronMarco 5 ай бұрын
More thanks
@MisterIMMA
@MisterIMMA 5 ай бұрын
Nimependa sana
@GraceSteven-qq5hn
@GraceSteven-qq5hn 5 ай бұрын
Asant unatusaidia sana
@YakobDaud-s1x
@YakobDaud-s1x 5 ай бұрын
Asante sana
@mansourkhamis457
@mansourkhamis457 5 ай бұрын
Very very very very very Good
@julianalaly2095
@julianalaly2095 5 ай бұрын
Asante
@EvaristLinus
@EvaristLinus 5 ай бұрын
🙌🙏
@catherineherania
@catherineherania 5 ай бұрын
🎉🎉❤❤
@estherkeba24
@estherkeba24 5 ай бұрын
Af kuna mtu anakwambia achana na mitandao, mnawajua Tunao wafatilia? Akina j uku 😅❤️
@AllyIkanga
@AllyIkanga 5 ай бұрын
Kaka joeli wewe niazinayataifa
@leoncealex7343
@leoncealex7343 5 ай бұрын
Mimi nakuhesabu kwenye watu magenius kabisa.!!
@BabouDeira
@BabouDeira 5 ай бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@dansonkaanaeli
@dansonkaanaeli 5 ай бұрын
1:38
@NixonJohnson-zn8nk
@NixonJohnson-zn8nk 5 ай бұрын
Hivyo vitabu ni vya ki Swahili au vya kingereza????
@TittoGerald
@TittoGerald 5 ай бұрын
Asante unanitia moyo mimi kijana kufikia malengo yangu
@dativerdionese8099
@dativerdionese8099 5 ай бұрын
🙏🙏
@TittoGerald
@TittoGerald 5 ай бұрын
Asante unanitia moyo mimi kijana kufikia malengo yangu
@gracemasegenya1495
@gracemasegenya1495 5 ай бұрын
🙏🙏
@TittoGerald
@TittoGerald 5 ай бұрын
Asante unanitia moyo mimi kijana kufikia malengo yangu
LIFE WISDOM : THE POWER OF FOCUS
17:43
Joel Nanauka
Рет қаралды 14 М.
LIFE WISDOM:MAMBO 3 YA KUFANYA KWENYE WIKI MPYA - JOEL NANAUKA
11:17
Farmer narrowly escapes tiger attack
00:20
CTV News
Рет қаралды 14 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 31 МЛН
Accompanying my daughter to practice dance is so annoying #funny #cute#comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 28 МЛН
Tofauti kati ya Taarifa na Maarifa - Misana Manyama
20:03
Misana Manyama
Рет қаралды 1,2 М.
LIFE WISDOM : FANYA MABADILIKO HAYA UFANIKIWE - JOEL NANAUKA
14:40
Joel Nanauka
Рет қаралды 28 М.
NATAMANI NINGEYAJUA HAYA 03 KABLA YA MIAKA 20 || JOEL NANAUKA
18:36
NGUZO YA MAARIFA
Рет қаралды 24 М.
Dr. Chris Mauki: AINA 3 ZA WATU. Je, wewe ni nani katika hawa?
10:44
Jinsi ya kujiandaa kuwa mjasiriamali kabla ya kuacha kuajiriwa.
59:26
Personal Finance Hub
Рет қаралды 28 М.
Kuwa Makini Nani Unamuoa | Kuuweza Wakati Ujao | Pastor Tony Kapola
17:02
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 117 М.
LIFE WISDOM : JIFUNZE HILI ILI UPATE MSAADA - JOEL NANAUKA
13:23
Joel Nanauka
Рет қаралды 10 М.
LIFE WISDOM: KUTOKA KWENYE HALI NGUMU YA MAISHA - JOEL NANAUKA
12:56
JITAMBULISHE KITAALUMA AU KIKAZI KWA KIINGEREZA!
13:17
Jifunze Kiingereza na Dorothy
Рет қаралды 23 М.
Farmer narrowly escapes tiger attack
00:20
CTV News
Рет қаралды 14 МЛН