Ahsante sana kaka Joel nanauka Ahsante sana kwa malifaa ubalikiwe na Bwana Azidi kukupa afya njema Amen
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen nashukuru sana sana
@pillykajembe-yp1ir10 ай бұрын
I love it.....nilikua Esau zamani....UEsau unanitoka taratibu taratibu Kadri ninavyoendelea kujipata...na Uba uba ubarikiwe
@KhadijaCidy10 ай бұрын
Following from kenya...Yani ndugu nmekujua juzi lakini umegeuza mtazamo wangu katika maisha
@joelnanauka10 ай бұрын
Nashukuru sana, tuendelee kujifunza na kuwaalika wengine pia.
@AlexJefwa3 ай бұрын
Asante mungu akulinde sana coach Joel...
@brackskinyozi32806 ай бұрын
Somo zuri Sana coach Joel.... nimejifunza kitu..... mungu azidi kukubariki
@goldiegranted550110 ай бұрын
This is so powerful 🏆🔥🔥🔥🔥,,,nimegundua historia ya Essau kiuhalisia zaidi na maisha yetu ya SASA🥹,barikiwa Sawa Prof JAN🏆
@joelnanauka10 ай бұрын
Ahsante sana, tuendelee kujifunza.
@ZawadiTrainingCollege10 ай бұрын
Aliomba chakula Cha dengu sio sup ,supu alimwimbia pale baba mzazi alipoomba sup yakobo akambariki Kaka
@goldiegranted550110 ай бұрын
@@joelnanauka Sawa PROF 🏆🏆🏆🏆
@AmaniRashidi-i9b10 ай бұрын
From south Africa Durban tunao tumia lisaa la golden kila asubuhi tujuane
@joelnanauka10 ай бұрын
Nashukuru sana
@Witnesswatson2302 ай бұрын
Kujanji 👍
@MushagalusaMuderhwa-v5gАй бұрын
Mungu akupanuwe kila leo mutumishi
@wilbafosjkirumba158210 ай бұрын
Shukrani sana kaka, our mentor and leader, najifunza mengi sana. see you at the top.
@joelnanauka10 ай бұрын
See You At The Top
@IrineoyaruOyaru3 ай бұрын
Shukurani sana kaka joel
@BaisaMohamed-fj3vf10 ай бұрын
mwalim joel unajuwa sana na unafanikiwa kugusa hisia zangu na wengine pia ila ushauli wangu kwako ni kuwa fanyia kazi pia unayoyasema kwa sababu maisha yanabadilika mwalim isije yakakukuta kama ya isau na watu wengine maarufu. mungu akubariki
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen, ahsante sana. Nashukuru.
@goldiegranted550110 ай бұрын
Shukran Sana Kwa somo PROFESSOR 🏆
@joelnanauka10 ай бұрын
Nashukuru sana,tuendelee kujifunza
@tinahosea403110 ай бұрын
Asantee sana kaka Joel najifunza mengi kutoka kwako, Mungu akubariki sana 🙏🙏
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen Ahsante sana
@work24onme10 ай бұрын
Holy Spirit Amen 🙏🏼 Asante sana mwalimu Joel Amen 🙏🏼 Huyu ESAU yaani kuna vipengele vinaendana, ila leo vimeshindwa kwa jina la Yesu Kristo, Amen 🙏🏼 God Bless you mwalimu Joel, Amen 🙏🏼
@tsongokauta5911Ай бұрын
Asante kwa somo Shukurani sana
@REMMYGASPAR10 ай бұрын
Very powerful message, asubuh hii
@joelnanauka10 ай бұрын
Karibu sana, tukutane tena kesho tuendelee kujifunza
@KareemJumong4 ай бұрын
Nakushukuru sana kaka aidha asingekuwa wew Leo hii nisingekuwa nilipo leo
@willymwenga933610 ай бұрын
Precious brain Joel Nanauka
@joelnanauka10 ай бұрын
Thank Youu🙏🙏
@neemabundala235710 ай бұрын
Barikiwa sana kaka Joel
@ramadhanmkenda591810 ай бұрын
Unatupa afya ya akili mungu akubariki sana teacher
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen ahsante sana
@shukranjulius952610 ай бұрын
Kilasiku umekua baraka kwa wengi, Mungu akutunze kaka @Joel ❤❤
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen Ameen 🙏🙏
@RonaJumanne10 ай бұрын
Blessed
@alphoncedaisy682310 ай бұрын
Mungu akutunze kwaajili ya familia yako na jamii nzima tunayokutazamia kama mfano bora🙏
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen Ahsante sana🙏🙏
@mohammedrashid290610 ай бұрын
Ahsante
@valentinanduku871810 ай бұрын
Asante Sana kaka kwa hii elimu inanisaidia sana
@hajihemedi518910 ай бұрын
Asante Kaka
@mohamedismail266210 ай бұрын
Thank you brother Joel
@joelnanauka10 ай бұрын
Karibu sana
@dorahmatitu255410 ай бұрын
Hbr my kaka.yaaaan umeniambia mm kama umeniona . Nashukuru sana kwa msaada wako. Mungu akubariki sana wallah ❤. Iyo story n yangu
@joelnanauka10 ай бұрын
Songa mbele, Mungu ni Mwema sana
@dorahmatitu255410 ай бұрын
@@joelnanauka Shukran my kaka. Sasa nitatokaje ktk har ya isya maaana nami yamenikuta najikuta nipo kwenye vita vikubwa. Chuki nyngi bila ya sababu . Unatusaidia sana. Nitaingiaje Darasani rkn kwa what's up!!! Maaana nakushukuru umenivusha kaka. Mungu akubariki sana wallah
@Purity6010 ай бұрын
Asaante Mentor kwa somo, umeongea na mimi live kwa live🙌🙌🙌🙌, be blessed
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen Mungu ni Mwema 🙏
@rollahngimbwa697810 ай бұрын
Asante sana kaka , hkika kila siku najifunza maarifa mpya kutoka kwako. Balikiwa sana kaka mwenyezi mungu akutunze na kukulinda akujalie afya njema kila siku nikuze maarifa yngu zaid kupitia kwako. 🙏🏽🙏🏽
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen Nashukuru sana sana
@mushicat128810 ай бұрын
GOD BLESS YOU MY MENTOR❤
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen
@alexlucas157110 ай бұрын
Ahsante sana Kaka
@jescayusuph53562 ай бұрын
Barikiwa sana
@rebeccakisale10 ай бұрын
🙏🙏 SoMo zuri sana God bless you 🙌
@joelnanauka10 ай бұрын
Nashukuru sana, tuendelee kujifunza
@jacobsichone289110 ай бұрын
Ahsante kwa somo nzuri, prof Joel Nanauka my mental. 🎉🎉🎉
@joelnanauka10 ай бұрын
Karibu tuendelee kujifunza🙏
@DickinsonJoseph-q8g10 ай бұрын
God bless you❤
@Dafetty10 ай бұрын
Asante sana brother 🤝
@JamesIzra10 ай бұрын
🎉 Asante sana kaka tunajifunza mengi kupitia experience yako thans alot
@joelnanauka10 ай бұрын
Nashukuru sanaaa🙏
@mwamvitakilima410410 ай бұрын
Aisee!shukrani sana kaka naendelea kujifunza kupitia ac.yako
@OmanOman-c9d10 ай бұрын
Thanks joel love u
@joelnanauka10 ай бұрын
Thank you so Much
@paschalmasanilo261710 ай бұрын
Mwenyezi MUNGU akuweke SANA
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen Ameen
@salesiomweda174710 ай бұрын
Muito obrigado pela aula
@msafirisehaba10 ай бұрын
Daaah mkuu hapa umefundisha kitu kikubwa leo. Thnx
@joelnanauka10 ай бұрын
Nashukuru sana
@sebastianmbazi281110 ай бұрын
A voice with Facts 🙏
@joelnanauka10 ай бұрын
Nashukuru sana
@imanihaitv668210 ай бұрын
Asante sana kaka
@HelenKitunda-xd7rb10 ай бұрын
Barikiwa sana
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameeen 🙏🙏🙏
@vanessasalema608710 ай бұрын
Noted.
@nkugwasimon230110 ай бұрын
Good lesson brother Joel be blessed
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen Ameen🙏
@EmmanuelHhawu10 ай бұрын
🙏🙏.shukran kaka nazid kujifunza mengi
@joelnanauka10 ай бұрын
Nashukur sana tuendelee kujifunza
@EmmanuelHhawu10 ай бұрын
thanks
@ViviKitchen2310 ай бұрын
Ameen
@humphureyurasa842410 ай бұрын
Nice sms
@runilkassomi147610 ай бұрын
Asante sana kaka,Kila siku nazidi kufunguliwa kupitia wewe.🙏
@JiliusMwambeАй бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉wow
@talekmiplang109210 ай бұрын
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@denssimon558510 ай бұрын
👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
@EvalineSabato10 ай бұрын
❤
@goldiegranted55014 ай бұрын
🙏🙏🙏
@edsonjosephat477710 ай бұрын
🙏
@dijohbanks431210 ай бұрын
samaha kaka joel mbona maandiko yanasema mungu alimkusudia yocobo kuwa mkuu tangu akiwa tumboni mwa mama yake
@LameckGunze10 ай бұрын
Nasubiria iyo upande ya pili ya Yakobo mkuu,. See you at the top
@mariahamis17082 ай бұрын
❤
@emmanuelzao8 ай бұрын
😎
@faudhiasalum727910 ай бұрын
❤✍️☝️
@GotifridMartin10 ай бұрын
By software nitapataje book of Sayansi ya tabia naomba program