Lissu: Watoto Wangu Walizaliwa Marekani, Azungumzia Uraia Pacha."Tunaogopa Nini?'

  Рет қаралды 19,327

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105

Пікірлер: 101
@killiankingDr
@killiankingDr Жыл бұрын
Well said TAL
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Жыл бұрын
WELL SAID MR ANTIPASSLISSU
@mussachengula5470
@mussachengula5470 Жыл бұрын
Atutaki uraiya pacha aunafaida yoyote kwa Maslai ya taifa na kinzazi kijacho
@petersilas4234
@petersilas4234 Жыл бұрын
Zanzibar ina diaspora kubwa kuliko wanaoishi pale. Tutatunza haki za diaspora kwa jinsi itakavyofaa kwetu. Tanzania ni mhimili wa ukanda huu wa Africa. Huyu bwana asituchanganye, tutalinda haki ya diaspora wetu kwa jinsi yetu. Tanzania is a magnet usjidanganye Lissu.
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 Жыл бұрын
Don't understand what you tooking mzaliwa wa zanzibar nimeigia marekani na meli mnako toka nimasikini wa kweli number moja Utania bianini nisichue uraia marekani
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Жыл бұрын
​@@khamisjuma8501Kwani utajiri na umasikini wa mtu unatokana na uraia?
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 Жыл бұрын
Ahaa ndomana hujali Utanzania, nawtt wako umeshawaficha huko
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Kwann ukawazalie marekani kama unataka uraia?
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Жыл бұрын
Nikijua wewe ni Belgium?
@teachingtruthmission2140
@teachingtruthmission2140 Жыл бұрын
Mmmm CIA wamtume TZ Kuna maslahi gani
@petersilas4234
@petersilas4234 Жыл бұрын
Mengi tu , Tanzania ni mhimili wa ukanda huu wa Africa. Ukiitikisa Tanzania eneo lote la Africa ya mashariki na kati linatikisika.
@AyoubAbdullrahmanAmir
@AyoubAbdullrahmanAmir Жыл бұрын
​@@petersilas4234Dah' unatia huruma sn yaan umelishwa ujinga kupita kias kama wa mababu zetu .
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Жыл бұрын
​@@petersilas4234Kama hajuwi maslahi yaliyopo natafakari kumpa jibu maana hana uwezo wa kuelewa.
@Ali-po9nf
@Ali-po9nf Жыл бұрын
Mhhhmm hufamu maslahi gani ?? Marekani huwafahamu, basi baki hivyo hivyo , hakuna faida kufamu ikiwa mpaka leo huhawafahamu
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Unataka uwe na uraia pacha ili ukiharibu huku ukimbilie kule
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Hatuelewi unataka nn?
@mamalange2277
@mamalange2277 Жыл бұрын
I stand with you on a lot of issues, but this one, brother no.
@ssam3385
@ssam3385 Жыл бұрын
Huoni sasa hamas wamehamisha familia zao, sasa wamekiwasha israel hapakaliki. Chadema wakianzisha vita unakimbia wenzio wanakufa
@alexbitakwate
@alexbitakwate Жыл бұрын
Safi kamanda lissu.
@abdallavictory6723
@abdallavictory6723 Жыл бұрын
Nashukuru sana, Rafiki yangu mmoja alinambia Tundu Lizu alitumwa na CIA yaMarekani nikakibisha sana, Naomba Rafiki yangu ulipo unisamehe.
@isaiahmwasonzwe2486
@isaiahmwasonzwe2486 Жыл бұрын
Akiri yako ni finyi that's y huez elewa chochote
@Alexthadey-lm3ju
@Alexthadey-lm3ju Жыл бұрын
Acha ujinga wewe kwa hiyo wewe ukienda USA halafu ukija bongo tuseme umetumwa na cia!!! Hivi unaakili kweli wewe?
@haroldtarimo-wj9lw
@haroldtarimo-wj9lw Жыл бұрын
Tunamijitu mjinga mingi sana Hii ni shidaa
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 Жыл бұрын
Ww elewatu
@barakamanga5502
@barakamanga5502 Жыл бұрын
Mimi kuwa na uraia pacha ,elimu hii bado sija ielewa naona nijanga kuwa na elimu pacha,sijui kwa wenye welewa zaidi yangu wanasemaje
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Hujamaa hana akili kujitangaza kuwa watoto wake wamezaliwa marekani
@hassansalum2572
@hassansalum2572 Жыл бұрын
Kwani tatizo Nini na Dunia ya Mungu
@valenakomba7686
@valenakomba7686 Жыл бұрын
HUYO NAE ANAMAMBO MEENGI MENGINE HAYANA HATA UMUHIMU. HAYA HUJAKAMILISHA , UNARUKIA HAYA.
@fransicmushenyera9302
@fransicmushenyera9302 Жыл бұрын
una nyimbo mfano ikitokea Vita TZ na watanzania wakakimbilia marekani wewe watoto wako hatakuwa waikimbizi watakuwa wamerudi nyumbani
@samuelmbogo7448
@samuelmbogo7448 Жыл бұрын
Unajichanganya. Huo ndiyo ukweli, serikali ina andaa hadhi maalumu ambayo hicho unacho sema haki yao ya kurithi itawawezesha wao kupata haki hiyo.
@fortidaskashaigili7496
@fortidaskashaigili7496 Жыл бұрын
Sasa mliobakia Tz endeleeni kuandamana Kwa sababu lisu kasema😂😂
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Жыл бұрын
Bado ibakie ni debate kwa hoja bila kudharauliana. Kwani kuna umuhimu gani wa mtu kuwa Di citizen. Mvua haitaacha kunyesha lakini na kwa kuwa raia wa nchi mbili kutatuongezea nini. Naomba tujadili hili kwa heshima ni debatable.
@albertkamala6843
@albertkamala6843 Жыл бұрын
DEBATABLE YES! HAKUNA CHA KUPOTEZA ZAIDI YA WOGA! MUHIMU NA JAMBO KUBWA LA FAIDA ZAIDI ITAKAYOPATIKANA NI ELIMU BORA NA MAARIFA (EXPOSURE)...MAMBO YATAKAYOLIJENGEA TAIFA UWEZO KTK NYANJA ZOTE, KICHOCHEO (CATALYST) CHA MAENDELEO IKIWA NI UONGOZI NA UTAWALA BORA! HIVYO URAIA PACHA NI SERA SAHIHI KWA WAKATI TULIONAO..HUSUSAN KUZINGATIA DUNIA SASA NI KIJIJI...HUWEZI KUJIFUNGIA KWAKO BILA KUTOKA!
@BakariMagoti
@BakariMagoti Жыл бұрын
Duh!kibaraka kabisa mtu huyu kuwaandamanisha watoto wa kitanzania wakwako raia wa marekani kikiwaka unakimbilia kwa wanao marekani
@kyaro5945
@kyaro5945 Жыл бұрын
talking rubbishness countrymen
@MohamedAlawy-on8mn
@MohamedAlawy-on8mn Жыл бұрын
Hakuna haja ya uraia pacha hapa alozaliwa marekani ndo mmarekani huyo.sikilizeni kwa makini halafu ndo mtasema kama huyu mzalendo au vp
@beirut9750
@beirut9750 Жыл бұрын
Ndio maana munaharibu Africa
@thanksrjhood9508
@thanksrjhood9508 2 ай бұрын
ctaki kuamini kuwa TAL kwa mfano huo, ndio pekee watoto wake wanapitia changamoto hiyo. wengine wamezaliwa kila kona ya dunia, dunia ya Tz iko miaka ya 61 ya uhuru na usalama. Duniia ya sasa watu wanausaka uraia wa Mars na Elon Mask.
@martinkipenya4592
@martinkipenya4592 Жыл бұрын
Serikali yetu iaogopa kupata marais wa kupandikizwa ili watuibie na kutupindua
@goblessjrtz5464
@goblessjrtz5464 Жыл бұрын
Mbona tunaibiwa kila siku tu bila hao diaspora?
@killiankingDr
@killiankingDr Жыл бұрын
Waacheni tu kama watoto wao bandia tunao wafahamu wanapewa fursa na wakwetu nao watapewa tu
@BeatriceHenry-t3i
@BeatriceHenry-t3i Жыл бұрын
Lissu sawa sioni kama anafaaa kuwa Rais hana sifa hata
@jonathanmwakabuku4714
@jonathanmwakabuku4714 Жыл бұрын
Ni ndio wa kweli tu ndio anaweza kuiendeleza Tanzania kama alivyokuwa Magufuli na sio watu ambao wadhamini either vitu vya ulaya, marekani au hata uarabuni. Hakuna taifa kubwa hata moja linaloitaji Tanzania iendelee zaidi ya watanzania wazalendo wenyewe.
@jonathanmwakabuku4714
@jonathanmwakabuku4714 Жыл бұрын
Ni mtanzania wa kweli ndio anaweza kiendeleza Tanzania
@saidakiwale9227
@saidakiwale9227 Жыл бұрын
Huyu mtu hatufai kabisa sio mtanzania mgombanishi mkubwa
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Ndio maana mnaanzisha maandamano kwasababu watoto wako hawaishi Tanzania .
@paulmalula8590
@paulmalula8590 Жыл бұрын
Hivi unajua maandamano ni nini maana hata kwenye katiba ya ccm yapo
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
@@paulmalula8590 maandamano ruksa ila kibali tu
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Жыл бұрын
Watoto wa wenzetu wanauraia tasa sijui pacha kutoka America ila mashoga wamezaliwa India na China ila wanaishi na kumiliki majumba na Mali za Watanzania kinyume cha sheria kama wao kinyume cha maumbile ,,TUSAIDIE sheria wenye Mali zetu hawa wa kamari za 200 na Gupta wanywa mafuta ya Yaa Koila watatumaliza
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 Жыл бұрын
Yaani povu lote hilo kumbe linatetea wanae wapate uraia pacha! Huyu mtu ni hatari kama ukoma! Anahangaika awavushe wanae! Mukiandamana wa kwenu wafe wa kwake marekanii! Akili za kuambiwa changanya na za kwako......
@paulmalula8590
@paulmalula8590 Жыл бұрын
Imekuuma nini hapo hata mimi natamani niwe na uraia pacha hata wa malawi tuu inatosha
@edwardmizambwa237
@edwardmizambwa237 Жыл бұрын
Kumbee!!!! Ndio maana umekua wakala wa mashoga!!!! Ndio maana sera zako ni kuwapa wazungu buree rasilimali za Tanzania kwa hao mabwana zako eti wao wawe wanatugawia pesa na Watanzania wasilipe kodi. Ovyo kabisa
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Wanapiga makofi kinafi wala hawamuelewi
@joachimmahoo9786
@joachimmahoo9786 Жыл бұрын
Hali halisi ni kuiondoa serekali madarakani iwekwe serekali yenye mtazamo wa kisasa. Serekali ya kisasa it's fits ujinga huo.
@moodyzanzibar4336
@moodyzanzibar4336 Жыл бұрын
SASA KUNA ULAZIMA GANI WAWE NA URAIA PACHA WAKATI MAREKANI WAPO PIA RAIA MASHOGA SI WAJIUNGE NA MASHOGA HUK0
@amourmtungo623
@amourmtungo623 Жыл бұрын
🤔Kwa bahati mbaya Tanzania itachukua muda sana kuwa katika mstari mzuri ulionyooka, kwanini? Kwanza mifano mizuri na mibaya huanza na viongozi. Kwa vile kuna mifano mingi mibaya kwa mfano: ukiangalia comments humu ndani Watanzania wengi sio wazalendo, sio wapenda ukweli hawatumii majina yao binafsi jambo ambalo aidha ni ishara ya woga na ni njia mbadala ya kutukana viongozi au Watanzania wengine. Tayari kuna kejeli, matusi bila ya kutoa hoja au mchango kuhusiana na mada. Tuache woga, matusi ni ujinga
@Worldunite
@Worldunite Жыл бұрын
Kwahiyo km watoto wako wamezaliwa marekani sisi inatusaidia nini?
@haroldtarimo-wj9lw
@haroldtarimo-wj9lw Жыл бұрын
Kwasababu ya ujinga wako Ndio maana hujui hoja inayojadiliwa
@Worldunite
@Worldunite Жыл бұрын
@@haroldtarimo-wj9lw pakichafuka hapa,yy watoto wake wako salama huko,ila wa kwako ndo waandamane wachezee kichapo? amka acha kulala wewe,kwa hilo tu utajua mjinga ni nani, mimi au wewe
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 Жыл бұрын
Nyie wapuuzi mnaomtukana lisu akili zenu nimejaa makamasi lipi la ajabu hapo
@Mufti-c7t
@Mufti-c7t Жыл бұрын
Mkuu ikiwa watoto wako wamezaliwa Marekani na bilashaka wanaishi huko pia unapohamasisha wakwetu waingie mabarabarani waandamane na mambo kama hayo unatutakia mazuri kweli?
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 Жыл бұрын
Hapo mjiulize sasa Watanzania huyo ndio mnataka kumpa nchi
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 Жыл бұрын
Uyo kibarakatu
@Mufti-c7t
@Mufti-c7t Жыл бұрын
Mimi si miongoni wanaopenda kufata mkumbo nilipenda kuijuilisha jamii kwa mujibu wa maelezo yake mwenyewe na usione nimemwiita mkuu ukahisi ndio mkuu wangu laa mm hupenda kumpa kila mtu heshma na mimi nikajidogosha ni tabia yangu tu sheh sijui umenielewa?
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Urai pacha hatutaki
@Gelenya-ne2ip
@Gelenya-ne2ip Жыл бұрын
Tuache watanzania na nchi yetu! Nimegundua leo kuwa wewe una mahali pa kukimbilia! Wewe ni kibaraka wa watu!
@cassimoa9217
@cassimoa9217 Жыл бұрын
Mpumbavu sana wewe Chiba. Halafu unataka kuwafanya watanzania wapumbavu kama wewe.
@leothardngonya4842
@leothardngonya4842 Жыл бұрын
Wewe ni Mtanzania? Kibaraka mkubwa. Wanao wanatuhisu nini!!! Halafu watu wazima na akili zenu mnakenua meno. Waafrika tumelaaniwa na nani?
@joachimmahoo9786
@joachimmahoo9786 Жыл бұрын
Wewe ndio umelaaniwa kwa kuja wa na ujinga.
@leothardngonya4842
@leothardngonya4842 Жыл бұрын
@@joachimmahoo9786 Ingia basi kwenye Maandamano unayoshawishiwa uone. Utaoozea jela, mke utakuta ameolewa, Wanao wamekuwa chokoraa na mwenyewe unarudi na ukimwi. Wenzio wana Passport mfukoni, wewe utakimbilia wapi? Nyambafuu.
@joachimmahoo9786
@joachimmahoo9786 Жыл бұрын
@@leothardngonya4842 Nakupa mke wangu.mchukue acha mimi nifie jela.
@leothardngonya4842
@leothardngonya4842 Жыл бұрын
@@joachimmahoo9786 Nakutumia Nauli , mlete haraka sana. Na hao chokoraa watarajiwa wapeleke ustawi wa jamii wasijeteseka kwa mambo wasiyohusika nayo.
@bonabonala5559
@bonabonala5559 Жыл бұрын
hao ni wa tanganyika tuu atubishi
@kindi4926
@kindi4926 Жыл бұрын
Masuala ya kurithi mngalikubali kuachia vyombo vya dini mkakataa kwa sababu ya Islamophobe yenu na Chuki dhid ya waisalm na Zanzibaris
@jonathanmwawamwaruwanda
@jonathanmwawamwaruwanda Жыл бұрын
Kumbe wewe tundurisu watoto wakomarekani arafu unatusumbua huku arafu unasema sisi watanzania wajinga hatukupi uraisi hatakidogo rabda wehu watakupa kwanza unatupigia makerere huna ata aibu
@jonathanmwakabuku4714
@jonathanmwakabuku4714 Жыл бұрын
Mtatuletea ushoga hatutaki
@jonathanmwawamwaruwanda
@jonathanmwawamwaruwanda Жыл бұрын
Tundurisu nichizi anatuambia sisi hatuna akiri watanzania sasa wewe uje kuomba kura rabuda utapata yamkeo umbwa wewe
@ellyitete938
@ellyitete938 Жыл бұрын
Waishi ty huko wakitaka uraia waukane umarekan waje tuokote ng'ang'a
@senyagwadickson9084
@senyagwadickson9084 Жыл бұрын
Ndiyo maana unaambiwa wewe ni mkimbizi tu yani wewe hufai kuwa Rais hapa kwetu ,kibaraka wa wazungu we
@senyagwadickson9084
@senyagwadickson9084 Жыл бұрын
Halafu hao wajinga wenzako hapo wanakupigia makofi wanaona hapo unaongea kitu cha maana sana
@hassansalum2572
@hassansalum2572 Жыл бұрын
Tena Cha maana sana kwa sie femily zetu zilokua nje
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Mwizi wa makinikia huyu
@AmosKitunka-xx7cs
@AmosKitunka-xx7cs Жыл бұрын
Naipenda sana Tanzania kuliko hata Afrika yenyewe kuna wasomi wajinga kuliko hata mhusika halisi..Ujinga Ujinga Ujinga uraia pacha ni hatar kwasababu usalama wa Afrika bado sana kukubal uraia pacha ni hatari kwakutengeneza vibaraka watiifu..Ccm acha ichukiwe kwa utu wake mzur kwetu.
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Kweli lisu nimjinga
@Gelenya-ne2ip
@Gelenya-ne2ip Жыл бұрын
Acha umbea!
@Mosesndahani
@Mosesndahani Жыл бұрын
Bwana wakataa wenye akili na wasomi ili wajinga watutawale
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 Жыл бұрын
Huna maana yoyote unayotueleza .Ndiyo ma a na unapenda nje.
@muhsinikoki4060
@muhsinikoki4060 Жыл бұрын
weunaliwa matako
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Hewa wewe
@BraytonMwakitalima
@BraytonMwakitalima Жыл бұрын
Alafu ccm acheni ujinga mbona nyinyi mnaenda ugaibuni hua mnatumwa na ma beberu muuze bandali zetu wajinga nyinyi
@petersilas4234
@petersilas4234 Жыл бұрын
Bandari tutakodisha kwa manufaa ya nchi yetu, na dunia nzima Hilo linafanyika, msituchanganye.
@adiaygo8546
@adiaygo8546 Жыл бұрын
Kazi🌈
@h77-f8m
@h77-f8m Жыл бұрын
KIBARAKA WA WAZUNGU MASHOGA
@thomasmallya2972
@thomasmallya2972 Жыл бұрын
Tundulisu nikibaraka aipingikiii
@csato9415
@csato9415 Жыл бұрын
Na Samia ni kibaraka wa waraabu ndio maana anauza Tanganyika.
@haroldtarimo-wj9lw
@haroldtarimo-wj9lw Жыл бұрын
Na wewe je ni kibaraka wa nani ni ujinga tu umekuzidi jadili hoja acha ujinga
@muhsinikoki4060
@muhsinikoki4060 Жыл бұрын
acha usenge hunalolote kwake
@thomasmallya2972
@thomasmallya2972 Жыл бұрын
@@muhsinikoki4060 mimi msenge mwaka wa kumi huu wee jee
@VenerandaKundi-ph4hg
@VenerandaKundi-ph4hg Жыл бұрын
Haya KAZI kwenu mnayemwamini tundu lisu huyu ana matatizo
Как Я Брата ОБМАНУЛ (смешное видео, прикол, юмор, поржать)
00:59
Натурал Альбертович
Рет қаралды 3,9 МЛН
Don't underestimate anyone
00:47
奇軒Tricking
Рет қаралды 18 МЛН
1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9 🙈⚽️
00:46
Celine Dept
Рет қаралды 113 МЛН
Mkasi | S11E07 With Mh. Tundu Lissu - Extended Version
1:17:26
MkasiTV
Рет қаралды 1 МЛН
Kitila Mkumbo: Wanaopinga Uraia Pacha Hawana Hoja za Msingi
20:25
Tundu Lissu ndani ya #Dakika45.
1:05:06
ITV Tanzania
Рет қаралды 313 М.