Pastor there's a way your sermons always challenge my spiritual life and this sermon is not an exception - God bless you. Looking forward for more. Thank you Magomeni for sharing with us your prayer programs.
@RaelOtoki10 сағат бұрын
Ubarikiwe pastor 🙌 🙏 👏 challenge sermon in my life as was following u since 2022 my life changed l heard my pastor alikuwa anataka pesa siku moja nikakosa yale aliniiambia na nilikuwa napitia hali ngumu. Sitasahau vile mungu alikuleta kwangu nikapata uhuru be blessed
@matukioyasikuzamwisho76536 сағат бұрын
Amen
@priscaayo3878Күн бұрын
Amina Jina la Bwana na litukuzwe kwa ajili ya mchungaji Mbaga🙏
@MonicaFrank-r1k18 сағат бұрын
Nashukuru sana mtumishi neno lako Lina nguvu na limenigusa mnoo tuko pamoja siku hizi kumi.
@lusajokamundu145918 сағат бұрын
Mchungaji barikiwa kwa somo zuri na ujumbe mzuri ambao Roho mtakatifu amekupa
@RehemaKihoko-jz9odКүн бұрын
Asante Yesu kwa mahubiri mazuri na uponyaji ...barikiwa sana mchungaji
@GideonSulle-o9w18 сағат бұрын
Mungu naakubariki
@furahaMwaliashakashindi21 сағат бұрын
Asant tumebarikiwa na neno la Mungu alie hai
@HappyMnubyКүн бұрын
Tunaomba sauti iongezwe iko chini sana. Mbarikiww
@yvesirankunda200218 сағат бұрын
Ilo la million 45 la kwangu💪
@VioletUrioКүн бұрын
Naomba mawasiliano ya pastor David Mmbaga.
@sophiaselemani2474Күн бұрын
Mwaka wakuipata na Mm unipe sio rahisi kabisa hata kukutana nae kuongea nae
@lilianeerica331812 сағат бұрын
@@sophiaselemani2474 ipo ukiangalia kwenye video zote utaiona japokuwa hapokei simu kila wakati ila no ipo
@shukraniiddi482Күн бұрын
Asante mtumishi wa mungu kwa neno
@waijuwandu565219 сағат бұрын
Amina nabarikiwa
@MoneneStephen17 сағат бұрын
Sauti Leo ingaliwe ..🇰🇪
@reginahmwanza7887Күн бұрын
Amina🙏🙏
@dieumeKivukuКүн бұрын
asante Kwa neno
@reginaburetta230423 сағат бұрын
pastor tunaomba uwe unatupa maelekezo sisi wa online tunafanyaje wakati wengine wakiwa na card
@TelesiaFabianКүн бұрын
Sauti kidogo imekua changamoto, ila bwana amejitwalia utukufu maana nimebarikiwa
@jacobotieno3220Күн бұрын
Mbona unakata Mahali Mmbaga anasema juu ya Pastor Pavel Goia Na umeweka nyimbo ndefu Karibu 30 minutes.Quite unfortunate.
@FARAJAKIUMBUКүн бұрын
Amen
@lennyfrankКүн бұрын
Ameen Ameen
@NeemaLuziga15 сағат бұрын
Sisi wa online hizo card mnatusaidiaje
@AminaSelemani-ny7hqКүн бұрын
Mwenye namba ya mchungaji naomba anitumie nina shida nayo kuna mtu anahitJ KUPATA HUDUMA
@TabrthaMaganga17 сағат бұрын
Jamani sisi tunao fuatia mahubili kwakupitia mitandao yakijami tunapunjika sauti ipochini sana
@jacobotieno3220Күн бұрын
For 58 minutes Ni nyimbo Na hukati,Pastor Mmbaga akiongea juu ya Pavel.Goia Unataka ,at 58:12-19 .Quite unfortunate. I wanted to know what Pastor Pavel.Goia did ,unakazana kukata Na Hizo nyimbo zimeimba for 58 minutes hukati. Hizo nyimbo ndio ungekata sio mahubiri.
@angelnziajose7655Күн бұрын
Sauti ipo chini tunaomba iongezwe
@HenocMbusamuthundaКүн бұрын
Shahiri je Kiko ndani ya Biblia linalo zungumziya kuwa miaka ya maisha ya mwanadamu inaweza fika miaka 120(
@MahubiriPrMmbagaКүн бұрын
“Hapo Mwenyezi-Mungu akasema, “Roho yangu haitakaa ndani ya binadamu milele, maana yeye ni wa kufa tu. Basi, hataishi zaidi ya miaka 120.”” Mwanzo 6:3
@mush337Күн бұрын
Elon Musk ni tajiri na alikiri kwamba yeye haamini Mungu,ila swali langu ni hili,ni vyema mimi mkristo kujifunza kwake ninapotaka utajiri?
@ruthykokos6414Күн бұрын
Mara nyingi idols wetu wana influence kubwa sana kwenye mienendo yetu bila hata kujua kama we are copying kuwa makini tu what you take from him yes anafanya kazi vizuri ila asije kukufikirisha kuwa ni kwa uwezo wako au wake mana hata yeye iko nguvu nyuma yake ambayo hatuijui kwahiyo kuwa makini
@mauamakema6044Күн бұрын
Si kila kitu utacopy kutoka kwa mwingine kama ni hivyo kusudi lako wewe ni nini? Ww hutaki kuwa mfano kwa wengine? Huwezi kuwa mwingine na tabia za mwingine na mienendo ya mwingine na hata imani ya mwingine je wewe ni wewe au ni mwingine completely?
@mauamakema6044Күн бұрын
Si kila kitu utacopy kutoka kwa mwingine kama ni hivyo kusudi lako wewe ni nini? Ww hutaki kuwa mfano kwa wengine? Huwezi kuwa mwingine na tabia za mwingine na mienendo ya mwingine na hata imani ya mwingine je wewe ni wewe au ni mwingine completely?