🔴

  Рет қаралды 27,688

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

🔴#Live Arusha: MAKONDA AGAWA PIKIPIKI kwa ASKARI POLISI wa ARUSHA - AZUNGUMZA MANENO MAZITO....
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 215
@globaltv_online
@globaltv_online 4 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 4 ай бұрын
Heshima yako Mh Makonda. 🎉🎉 Watu watakuelewa tu hapa Sasa wakiona hivi mioyo yao inatukunya tuku! Tuku. Asant sana Mh Makonda Mungu akulinde vyema
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 4 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅.........hiii lugha nimeichukua
@SamsonTanzania
@SamsonTanzania 4 ай бұрын
Mweshimiwa Makonda hongera kwa kazi nzuri unayoifanya 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏
@theempire4058
@theempire4058 4 ай бұрын
Arusha kama taifa vile, big up makondo, kila mtu sasa anaitamani Arusha
@riazshaikh8577
@riazshaikh8577 4 ай бұрын
Kweli wangu, nahama Dar kwenda Arusha
@theempire4058
@theempire4058 4 ай бұрын
@@riazshaikh8577 karibu sana
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 4 ай бұрын
Wallah Mh Makonda siku atakayo hamishwa Arusha ataacha Alama kubwa sana kwenye mkoa wa Arusha salama ambayo wananchi hawataisahau 🎉🎉🎉🎉
@sg-jv4rk
@sg-jv4rk 4 ай бұрын
Mheshimiwa Rais wangu Dr. SamiaSuluhuHasan nia yako ya kurudisha hadhi Arusha Kimataifa kupitia mwakilishi wako Makonda. Asante sana mama.
@johnsebastian-bx6qn
@johnsebastian-bx6qn 4 ай бұрын
Vizuri endelea kuchapa kazi songa mbele mh makonda Mungu yuko nawe nasema tena chapa kazi
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 4 ай бұрын
Makonda anaakili, kakataa kwenda kuzungumza pembeni safi sana. Hongereni police Arusha mmepokea vzr Mh makonda
@ZenahG-e3n
@ZenahG-e3n 4 ай бұрын
Jamani Arusha imenoga 💯
@nicolasaugustino8449
@nicolasaugustino8449 4 ай бұрын
Nilikua na mpango wa kuhama Arusha, nimeahirisha sihami tena,,
@Bless-sk8uv
@Bless-sk8uv 4 ай бұрын
😂😂😂
@zuhrazuhra637
@zuhrazuhra637 4 ай бұрын
😀😀😀😀😀
@theempire4058
@theempire4058 4 ай бұрын
Kama magufuli vile big up makonda
@aaa64sa13
@aaa64sa13 4 ай бұрын
😂😂😂❤🎉
@josephjulio6112
@josephjulio6112 4 ай бұрын
Makonda piga kazi
@elisantemrita9490
@elisantemrita9490 4 ай бұрын
Wanaimba kama wimbo ila hawatumii maneno ya wimbo Makonda ❤❤❤
@rukiawagaba2080
@rukiawagaba2080 4 ай бұрын
Mashall mungu mkumbwa Amina Akubaliki sana
@jacobnghwani1891
@jacobnghwani1891 4 ай бұрын
Unaweza Mh. Makonda eiseeeeeeh kila la kheri Comrade
@NeemaMushi-wj1zn
@NeemaMushi-wj1zn 4 ай бұрын
Mwenyez mungu akulinde
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 4 ай бұрын
Aiseeeee......makonda mimi sina la kusema zaidi ya kukuombea kwa Mungu tu akupe maisha marefu ili uje uwe Rais wa Tanzania.
@reginaedward4883
@reginaedward4883 4 ай бұрын
Makonda, he's the best doing a good job and anasaidia wenye wametapeliwa Keep it up ❤❤❤❤
@Ezeqsweya1116
@Ezeqsweya1116 4 ай бұрын
Daah arusha iwe nchi tuu... Presdaaa makonda we salute you
@WazirJuma-gd5oo
@WazirJuma-gd5oo 4 ай бұрын
Tena Siyo kidogo Sana
@mollelemanuel4659
@mollelemanuel4659 4 ай бұрын
Mh Makondo, Ni Rais ajaye ... Tunakuombea baba piga kazi naiyona Arusha mpya ya ndoto yangu... Natamani nikutane na Mh Makonda japo niseme nae jamba la imani kwake ... Mh Makondo unasehemu ya maombi yangu ya kila siku... Mungu akulinde sana. Hii ni ishara ya Urais ujao ... Mama akimaliza tu Muda wake ikimpendeza Mungu akupe nafasi ya Urais. Siku moja naamini nitakutana na wewe na nikushukuru tu kwa wema wako... Wewe ni tumaini jipya kwa watu wote Tanzania
@jeremiahngoka4980
@jeremiahngoka4980 4 ай бұрын
Labda wa chama cha ngumi au TFF
@fatnasaidi3027
@fatnasaidi3027 4 ай бұрын
Bas utapewa wewe
@yacinterchuwa2148
@yacinterchuwa2148 4 ай бұрын
Sijaonaga mkuu wa mkoa anae tikisa mkoa namna hii😂
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 4 ай бұрын
Huyu basi tu kuwa mkuu wa mkoa ila one day atakuwa mtu mkubwa sana katika Taifa hili.
@aaa64sa13
@aaa64sa13 4 ай бұрын
Insha Allah..
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 4 ай бұрын
❤❤❤
@gervaskasala7321
@gervaskasala7321 4 ай бұрын
😂😂
@riazshaikh8577
@riazshaikh8577 4 ай бұрын
Alloo, Mkuu wa mkoa makonda mm nnafuraha sana kuona hivi, na niko marekani, lakini nahisi sasa mkoa huo wa Arusha na Tanzania itaweza kufikia kama huku, mambo taratibu leta na child support pia
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 ай бұрын
BABA LA BABAA❤❤❤❤❤
@zakarialuhemeja444
@zakarialuhemeja444 4 ай бұрын
Intelligence is an inborn character. We have seen your Intelligency and creativity in the Region
@Kim19onlinetv
@Kim19onlinetv 4 ай бұрын
Huyu makonda anajua sana namna ya kutumia nafasi vizuri kwa nyakati zijazo
@AidaMosha-nl6ix
@AidaMosha-nl6ix 4 ай бұрын
Haijawahi tokea inafurahisha Mungu mlinde Mtumishi wako Makonda
@aaa64sa13
@aaa64sa13 4 ай бұрын
Ameen🙏
@SAMISAI.
@SAMISAI. 4 ай бұрын
Makonda is the next president
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 4 ай бұрын
Jamaa anapenda vyombo vya ulinzi na usalama anajua thamani yake.
@JuliusNdulu-bt9yv
@JuliusNdulu-bt9yv 4 ай бұрын
KWA KWELI HUYU ANAJUWA WAJIBU WAKE
@avitusmichael5
@avitusmichael5 4 ай бұрын
Wimbo wa taifa la Arusha
@Ezeqsweya1116
@Ezeqsweya1116 4 ай бұрын
Hahahhaa😂
@jamesukombozi5216
@jamesukombozi5216 4 ай бұрын
Mh. Makonda ni kiongozi wa kweli,, unastahili pongezi nyingi sana na Mungu awe pamoja nawe katika kila jambo ❤❤🎉🎉 wengi tunakupenda sana sana, kelele za wachache haziwezi kuuzima moto 🔥🔥🔥 huu piga kazi Baba
@damianotsaxra6030
@damianotsaxra6030 4 ай бұрын
Makonda Next prime Minister ajaye 2025
@ellykiswaga
@ellykiswaga 4 ай бұрын
Yani toka makonda aje arusha arusha imekua kama nchi yaniii!! Kwnn tusingepewa makonda kila mkoa tukae nae mwezi mmoja mmoja kila mkoa nchi nzima mbona nchi itanyooka at!!!
@AMENIONASHANTIWA-lj8ed
@AMENIONASHANTIWA-lj8ed 4 ай бұрын
Kijana huyo anaitwa makonda
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 4 ай бұрын
Arusha mmepata kiongozi,
@samwelimacha795
@samwelimacha795 4 ай бұрын
Arusha Raha sanaaa Mkuu wetu wa mkoa hoyeeeeer
@allyfutto8763
@allyfutto8763 4 ай бұрын
MashaAllah inapendeza sana pongezi Watanzania kwa kupambana KUHANGAMIZA KERO .zinazo chafuwa sifa za kisiwa cha Amani TZ
@adammjomba5814
@adammjomba5814 4 ай бұрын
Makonda anaweza kuchukua nchi kwa sababu wa TZ WaPo ZAIDI ya ML 80 na katika hao kundi kubwa NI masikini wa kutupa sasa wakiona mtu anawajali hata kwa kuwasikiliza mateso yao au magovi YAO humuona NI mfalime .
@masanjemuyenjwa2434
@masanjemuyenjwa2434 4 ай бұрын
He is a good leader,, big up!
@reginaedward4883
@reginaedward4883 4 ай бұрын
He's knows what he's doing na anajiamini.
@EmmanuelYohana-m5i
@EmmanuelYohana-m5i 4 ай бұрын
Nakukubali Mkuu makonda naomba siku Moja MUNGU akijalia uwe raisi
@mrsab303
@mrsab303 4 ай бұрын
❤❤❤❤
@MochiChibo
@MochiChibo 4 ай бұрын
Paul ni mwamba
@robertzamani5612
@robertzamani5612 4 ай бұрын
Mpaka askari watakuwa wanafurahia kazi Yao Kwa namna mkuu wa Mkoa anavyowajali askari
@WazirJuma-gd5oo
@WazirJuma-gd5oo 4 ай бұрын
Makonda mungu akulinde watu wa Arusha wamenyanyasw. Kwa kipndi kirefu Sana ilaa saivi majizi mafisadi, matapeli, madhulumu, saivi hawana hamu anasema kelele zao nisawa sawa na Mziki wa Masajii
@yothamgwanika9530
@yothamgwanika9530 4 ай бұрын
Samia kwenye hotuba zake akiwaapisha wakuu wa mikoa amewahi kusema, mkuu wa mko wewe ni kama raisi kwenye mkoa fanyeni maamuzi. Makonda naona anawajibika vya kutosha.
@theempire4058
@theempire4058 4 ай бұрын
Kabisa
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 4 ай бұрын
Kabisaa ❤
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 4 ай бұрын
ARUSHA KUMENOGAAA❤❤❤❤❤
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 4 ай бұрын
Baba la Baba makonda ❤❤❤❤
@tabumayuhana47
@tabumayuhana47 4 ай бұрын
Wangekuwepo Ma-RC kumi tu katika Mikoa kumi basi TZ ingekuwa ni ya kitofauti sana!!!
@piusmaduka
@piusmaduka 4 ай бұрын
jamaa kama kwamba raise wa nchi
@Oman-p8x
@Oman-p8x 4 ай бұрын
Maashaallah ♥️
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 4 ай бұрын
Makonda oyeeeeee
@mariomachecajoaquim1921
@mariomachecajoaquim1921 3 ай бұрын
Wanajeshi mpewe mauwa yinu 🎉🎉🎉❤
@athumanharuna4944
@athumanharuna4944 4 ай бұрын
Mungu kaleta nabii nawambia umesikia maneno ya bwana kutoka kwa m balikiwa
@davidmbago3883
@davidmbago3883 3 ай бұрын
Safi hiyo makonda mkuu wa Mkoa Wa Arusha
@WilfredRweyemamu-rp5re
@WilfredRweyemamu-rp5re 4 ай бұрын
😮Arusha kama taifa fulani!
@ChiduMangalili
@ChiduMangalili 4 ай бұрын
Naota watalii na wanaArusha wakijivinjari mitaani kwa Amani bila kuhofia usalama wao.
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 4 ай бұрын
Mh Rais Dr Samia suluhu Hassan,tunakuomba kwa heshma na taadhima chonde chonde chonde tuletee Mh makonda Dodoma. Tunakuomba sana Mh Rais.
@topfreelancer5151
@topfreelancer5151 4 ай бұрын
Muombeni mpewe Agrey mwanri😂
@WazirJuma-gd5oo
@WazirJuma-gd5oo 4 ай бұрын
Kweli hamtupendii wanna wa Arusha, Daaah simnae wakwenu
@WazirJuma-gd5oo
@WazirJuma-gd5oo 4 ай бұрын
Au wapewe Chalamila
@martinemaganga5253
@martinemaganga5253 4 ай бұрын
Dodoma atuletee Mh.Sabaya Ole
@moriscollins4494
@moriscollins4494 4 ай бұрын
Tuachieni makonda wetu
@adammjomba5814
@adammjomba5814 4 ай бұрын
Kinacho msaidia makonda NI jasiri hamuogopi mtu yoyote pia anajiamini , atakua kama mfalime Daudi alivyo muendea yule mfilist goliart hakumuogipa ndio maana alimtwanga kirahisi makonda piga kazi utawaabgusha mafilisrt kibao
@gasparyeugene4855
@gasparyeugene4855 4 ай бұрын
Piga kazi kiongozi Wangu nakufuatilia kwa karibu sana Mungu akulinde kwa kukitendea haki kiti na heshima kubwa kwa raisi wetu.....nakukubali sana
@gasparyeugene4855
@gasparyeugene4855 4 ай бұрын
Jeshi la mtu moja ...tunakuombea watanzania hazina
@JustineZepha
@JustineZepha 4 ай бұрын
Big up our future president Makonda
@justice607
@justice607 4 ай бұрын
Rais mtarajiwa
@mrsab303
@mrsab303 4 ай бұрын
Good job Makonda ❤❤❤❤❤
@Happizo
@Happizo 4 ай бұрын
Napamiss Arusha😢😢😢😢.... jamani daah
@IsmailMgimwa
@IsmailMgimwa 4 ай бұрын
Makonda unatisha mkuu,yaan Hadi Raha sijui kwann watu wazuri kama Hawa wanakuwaga wachache?
@dismaslalubare4196
@dismaslalubare4196 4 ай бұрын
Hizi.pikipiki.naomba sana zifanye kazi zitakozopangiwa waache kwenda tofauti na walichotumwa ...makonda uwe unazifutilia zisiwe kero kwa wanachi.. KONGOLE.KWAKO MKUU.WETU.. NINA SPANA AINA YA.PAIPRANGE NA GREEPLAIS. UJAZIE KWENYE TOOL BOX LAKO MKUU ...PIGA.SPANA MKUU ZIKIVUNJIKA TUTANUNUA ZINGINE
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 4 ай бұрын
Alafu mkimsoa vidole vingi vinakwangalia. Muacheni afanye kazi aliyotumwa hapa duniani Makonda ni Mtu na nusu.
@jamalimussa4928
@jamalimussa4928 4 ай бұрын
Jembe
@NicksonGeorge-e2j
@NicksonGeorge-e2j 4 ай бұрын
Uyu anaweza isaidia nchi ilipo elemewa kiuwongozi
@moriscollins4494
@moriscollins4494 4 ай бұрын
Arusha ni kama nchi
@nicodemashaggite8429
@nicodemashaggite8429 4 ай бұрын
Wadau mm Nina ombi tumsihi Rais amrudishi Polepole waungane Makonda, Polepole, Chalamila.....
@OscarKasalile-u4k
@OscarKasalile-u4k 4 ай бұрын
Na sabaya nae arudi.
@mswakisaid2320
@mswakisaid2320 4 ай бұрын
Anayo yafanya huko pia ni kama haya.
@kibombi
@kibombi 4 ай бұрын
Arushaaaaa
@isackkivuyo1980
@isackkivuyo1980 4 ай бұрын
Walahi vile huyu jamaa ndiye rais ajae
@samwelimacha795
@samwelimacha795 4 ай бұрын
Makonda hoyeeeeee
@martinabel3896
@martinabel3896 4 ай бұрын
mbona arusha kumenoga namna hii,
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 4 ай бұрын
Makonda anafanya vizuri, lakini sifa zikizidi, (japo ni za kweli) mutamponza.
@AMENIONASHANTIWA-lj8ed
@AMENIONASHANTIWA-lj8ed 4 ай бұрын
Hapa sijaerewa niraisi wa mkowa eti sharehe hiyo imefana sana hapo 25 jee itakuwaje
@NicIbrahim
@NicIbrahim 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 raisi
@HassanMugire
@HassanMugire 4 ай бұрын
This is just like fore shadowing some years to come this man will be a president of this country, and all entire military will convene in unison to pay homage to the newly inaugurated leader.
@bahatiiddibahatiiddi-be5nj
@bahatiiddibahatiiddi-be5nj 4 ай бұрын
Hii nchi wapo watu wanaojielewa nivile tu tunaibiana kura
@imeldamatemu-gg9rl
@imeldamatemu-gg9rl 4 ай бұрын
Arusha ya Makonda. Imekuwa nchi nyingine
@raymondwilliam3042
@raymondwilliam3042 4 ай бұрын
Ukiifahamu kaz yko vizur lazima ujihamin
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 4 ай бұрын
Amini nawaambieni Makonda ni Mtu bora na sahihi lakini Wapigaji na Wapuuzi hawatamuacha salama wamamfanyia Figisu..Maana kawafunika ile Mbaya
@shahidmuhmmad6048
@shahidmuhmmad6048 4 ай бұрын
Kutoka Iraq 🇮🇶 Mkuu Nakupa Maua Yako Turekebishie Huo mji wetu Wa Arusha
@FideMgonja-u6u
@FideMgonja-u6u 4 ай бұрын
Hi yo nyimbo
@meryamabdullah2081
@meryamabdullah2081 4 ай бұрын
Hivi wakuu wa mikoa mingine hawaoni aibu
@SalamaBaaliya-zs1ol
@SalamaBaaliya-zs1ol 4 ай бұрын
Pia mimi ndio mara ya kwanza haya
@salummussa9871
@salummussa9871 4 ай бұрын
Miezi 2 TU hii
@mercyzakariah
@mercyzakariah 4 ай бұрын
Huyo NI rais wetu WA mkoa na NI rais ujae WA tz
@agnesslyimo5677
@agnesslyimo5677 4 ай бұрын
@SoudEdward
@SoudEdward 4 ай бұрын
Yaan RPC YUKO NA FURAHA HADI RAHA JAMANI,,, MAKONDA BIG UP
@octavian54
@octavian54 4 ай бұрын
Utafika mbalii hakika maneno ya mdomo wangu hayajawahi kuenda buree🚶
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 4 ай бұрын
Mimi kinachonishangaza yaani wakuu wa mikoa mingine wametulia tuli kana kwamba hawaoni mwenzao anachokifanya. Kwa nini wasifuate nyayo za mwenzao? Mimi nachukia sana, ningekuwa na maamuzi aisee Mh makonda angekuwa no Mkuu wa mikoa na sio mkuu wa mkoa
@mercyzakariah
@mercyzakariah 4 ай бұрын
Mkuu wewe nikiongozi WA mfano tz nzima, wewe ni kiongozi wawanyonge
@justice607
@justice607 4 ай бұрын
Wimbo wa taifa la Chuga 😂😂😂
@Ezeqsweya1116
@Ezeqsweya1116 4 ай бұрын
Wallah
@Aronchai-yt3bq
@Aronchai-yt3bq 4 ай бұрын
Sina neno kubwa zaidi ya kusema mungu akulinde makonda, sulemani aliulizwa na mungu,sulemani unataka nikupe nini? Sulemani akaomba hekima tu, makonda mungu amekupa hekima mshukuru mungu,
@Laurent_chenza_Tz
@Laurent_chenza_Tz 4 ай бұрын
Watanzania macho yote Arusha😀
@michaelmagoma546
@michaelmagoma546 4 ай бұрын
Hivi kwenye Job Description yake na haya yamo??
@aaa64sa13
@aaa64sa13 4 ай бұрын
Utajijua wewe na hiyo decription job yako. Hapa kazi tu....Makonda❤🇹🇿🤜👍
@zamakalefashion
@zamakalefashion 4 ай бұрын
Akili kisoda sana 😅😅😅 usikomenti kama haujui kitu au huna habari Mkuu wa Mkoa ndiyo mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa Mkoa
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 4 ай бұрын
Mkuu wa mkoa ni Rais wa Mkoa. Ni muwakilishi wa Mh Rais ktk Mkoa
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 4 ай бұрын
Huu indio ubunifu wenyewe.
@ChiduMangalili
@ChiduMangalili 4 ай бұрын
Hiyo bakia nayo kwenye makaratasi yako.
@TaisonPangani-nw2om
@TaisonPangani-nw2om 4 ай бұрын
BEST LEADER OF CENTURY....UPCOMING PRESIDENT
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 4 ай бұрын
Hivi wakuu wa mikoa wengine wanafanya nini?... Huyo Afande mbona hatulii hapo
@AdamuAthumani-c3d
@AdamuAthumani-c3d 4 ай бұрын
Mheshimiwa ndugu Paul christian makonda ,na mkuu wa mkoa wa arusha tunakushukuru wa kuchaguliwa na Raisi Samia kuja Arusha Kwan tulihitaji Sana kiongoz kama ww hatimaye tumekupata Kwan uponyaji umeanza ujidhihirisha mioyon mwetu
@ChiduMangalili
@ChiduMangalili 4 ай бұрын
Mama usije ukatuonea gere eti umpandishe cheo Makonda aondoke Arusha umrudishe Dar. Huyu ameshatufikia.
@fidelishema-fl3qv
@fidelishema-fl3qv 4 ай бұрын
Rais wa wakuu wa mikoa
@justice607
@justice607 4 ай бұрын
Pasha pasha kwa mhe. Rai😅😅😅
@Bless-sk8uv
@Bless-sk8uv 4 ай бұрын
Yacinter hata mimi sijawahi kuona tangu kuzaliwa 😅😅😅
@nicolasaugustino8449
@nicolasaugustino8449 4 ай бұрын
Wengi hawajui wajibu wao
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 4 ай бұрын
Wengine wamengangania kwenye uchawa tu!!MAKONDA anajitambua Mungu azidi kukulinda katika kazi zako ❤❤❤tunakuona mbali
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 4 ай бұрын
😂😂😂
@NicIbrahim
@NicIbrahim 4 ай бұрын
Samia anaona wivu anajua uraisi ananyagnywa mapema
@pendael02
@pendael02 4 ай бұрын
Mama chaguo la mkuu wa mkoa hujakosea kabisa.
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 2,4 МЛН
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 19 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,3 МЛН
MAKONDA AWAFUKUZA KAZI WATUMISHI ARUSHA
1:06:20
JAMBO TV
Рет қаралды 99 М.
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН