Kiukweli mko vizur sana crwn fm tunajivunia uwepo wenu maana mupo kila sekta
@samuelmlapwa7858Ай бұрын
Masoud amenilisha kitu muhimu sana alivyo fananisha ubongo na tool box he us Genius
@shabanmsamba5817Ай бұрын
Congrats Dj NAH kwa look ya laptop maana ile ya zamani ilikuwa inaharibu view ya ubora wa crown kwasasa una shine kwelikweli , ushauri wangu umetendewa kazi thanks crown tv, listening all the way from 🇺🇲🇺🇲🇺🇲...
@samuelmlapwa7858Ай бұрын
Kazi nzuri mnoo
@barakamwasala228Ай бұрын
Muongo sana A.Y wameshindwa kutusua wamebakia kutoa visababu tu..afu wazungu wanajua Africa yote ni nchi mojaaa
@josephfrank4446Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉kasri
@iddiali6982Ай бұрын
❤❤❤Safi Sana
@mohamedimuhinga9064Ай бұрын
Ay kamaliza Yuko vizuri sana
@KingSadi-s3lАй бұрын
Hii ndio radio sasa najivunia nyumbani
@denisjoshua4256Ай бұрын
Kasri ni motooooo wa kuotea mbali
@emilegentil9538Ай бұрын
Interview na masoud 😊 inashiba
@bakarimajaliwa247Ай бұрын
Kikubwa zaidi
@ramadhanichuma7925Ай бұрын
Atar crown tv ❤
@mucochanella1672Ай бұрын
Ukweli na uwakika apa ninyumbani❤
@AbdullahMwelaАй бұрын
Crown hapa ni nyumbani
@eliud21savage48Ай бұрын
Mpo vzur
@josephfrank4446Ай бұрын
Ila nida waongo😂😂
@HABARI24532Ай бұрын
Ogopa
@JohnUrubanАй бұрын
Apa ni nyumbani
@JohnUrubanАй бұрын
Mbona kama akuna comment umu
@user-fv3bi2xl2uАй бұрын
Good
@danieledward2294Ай бұрын
KP motors🤝
@abumuhammad9615Ай бұрын
AY kashusha dongo kwa WCB
@mdbosco1640Ай бұрын
❤❤❤
@asnalimtv7690Ай бұрын
🔥🔥
@khadija5761Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@emilegentil9538Ай бұрын
Izi camera ni kali sana
@geniusplus8586Ай бұрын
Huyu jamaa wa nida ni bure kabisa.. kumbe ndio maana kuna usumbufu wa kupata kitambulisho. Jamaa anaongea utumbo tu. Hajali chochote.