🔴

  Рет қаралды 10,040

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 23
@eligiusedmund3187
@eligiusedmund3187 21 күн бұрын
1:02:20msikilizeni huyu dada😢😢😢😢so sad😢😢😢
@MsekenyuLimbe
@MsekenyuLimbe 20 күн бұрын
Mbowe ni shujaa wetu mungu akupe nguvu na utashi wa kuchambua mambo ya haki km hayo
@prosperthomas8864
@prosperthomas8864 21 күн бұрын
hongera sana mbowe MUNGU akurehem utabaki salama haki huokoa na mauti kila mtu atavuna anacho panda watenda hila hawajawahi kushinda hata ck moja MUNGU yupo atawahukum kabla ya kufukia malengo yao
@TNgwale-eu3xl
@TNgwale-eu3xl 19 күн бұрын
Eti ni Drama!! Ingetakiwa iwe ni nchi nyingine duniani wamteke mtoto wake au mtu wa familia yake kulipiza kisasi na ndio angeelewa kuwa ni drama
@jovankishamba9424
@jovankishamba9424 21 күн бұрын
Kumbe Tanzania siyo nchi ya amani tena!!!!
@emmanuelgwanchele9795
@emmanuelgwanchele9795 21 күн бұрын
Waziri anatoka anasema wanajiteka dah😢😢😢
@robertkairo8483
@robertkairo8483 21 күн бұрын
Acha tu kaka. Nadhani kama ingekuwa inathibitika wanajiteka ilipaswa jeshi liwashtaki kwa kulichafua jeshi na pengine kuzua taharuki. Bahati mbaya wanakanusha na hawawachukulii hatua hao wanaodai wamejiteka
@robertkairo8483
@robertkairo8483 21 күн бұрын
kuna ndugu yangu wiki ya tatu sasa hajaonekana
@malackedson7706
@malackedson7706 21 күн бұрын
Ccm aibu.
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 21 күн бұрын
Toa vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani mr macho kumchuzi
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 21 күн бұрын
Huyu nae chizi huyu sasa umewaleta mbele ndo kiwe nini? Umewaokota wauza nyanya unadanganya watu hizo propaganda tushawachoka na usanii wenu
@bettyrugemalila9185
@bettyrugemalila9185 21 күн бұрын
Umeshawachoka na nani broo,omba yasimkute ndg yako aisee
@robertkairo8483
@robertkairo8483 21 күн бұрын
Kama haujawahi kupotelewa na ndugu yako au mtu wa karibu utahisi ni propaganda but kuna watu tumepotelewa na ndugu zetu hii ni wiki ya tatu sasa ndugu yangu Dioniz Kipanya katibu mwenezi wa Chadema Sumbawanga . Watu tunalia hatujui tutampata wapi mamlamka zimekataa kumshikiria. Ndugu Saidi usifanye dhihaka tafadhari utamkufuru Mungu na kumkosea Mungu, watu wanalia kwa ajili ya ndugu zao. Hauna haja ya kucomment unavyocomment hata kama huafurahishwi na Chadema na viongozi wake. Basi jaribu tu kutanguliza ubinadamu kabla ya itikadi yako
@user-uw4iv2be4e
@user-uw4iv2be4e 20 күн бұрын
Mwache yamkute
@user-bh4jd1ll2k
@user-bh4jd1ll2k 19 күн бұрын
Wajinga hawataishaga kuongelea ukweli bado watu wanapinga uhalisia kweli kuna mizigo
@user-bh4jd1ll2k
@user-bh4jd1ll2k 19 күн бұрын
Yaan ww hujazaliwa aisee nahisi umeokotwa n jinsi gan unaonekana katili
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 21 күн бұрын
Toa vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani mr macho kumchuzi
@gaspermatovu2899
@gaspermatovu2899 20 күн бұрын
We shimo tu...
@user-bh4jd1ll2k
@user-bh4jd1ll2k 19 күн бұрын
Dahh
🔴#LIVE:JANA NA LEO NDANI YA WASAFI  FM 2024 - 12/09/2024
35:53
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 7 МЛН