Рет қаралды 46,125
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliposimama kuwasalimia wananchi wa Ikwiriri, Rufiji mkoani Pwani akitokea mkoani Mtwara kwenye mazishi ya Hayati Benjamin Mkapa yaliyofanyika jana Julai 29, 2020 Lupaso wilayani Masasi. Pamoja na mambo mengine, Rais Magufuli amesikiliza kero za Wananchi mbalimbali waliojitokeza eneo hilo karibu kabisa na daraja la Mkapa #MkapaBridge ambapo pia ameliezea kwa kina suala la migogoro ya wafugaji na wakulima katika maeneo mbalimbali nchini.
#RaisMagufuli #Magufuli #JPM #JohmMagufuli
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz