🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SEHEMU YA 14 YA TUPO KIGWE - MAY 10

  Рет қаралды 16,568

EFM TANZANIA

EFM TANZANIA

2 ай бұрын

🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SEHEMU YA 14 YA TUPO KIGWE - MAY 10
----------------------------------------------------
Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9
Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
-
Follow Us On:
INSTAGRAM:
efmtanzania
TWITTER:
efmtanzania
FACEBOOK:
efmtanzania

Пікірлер: 144
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 2 ай бұрын
Mimi ni mwanamke, hii simulizi imenifunza sana, nitazidi kumpenda na kumheshimu mwanaume wangu, kwasababu ananipenda sana.
@rahmajaffar7007
@rahmajaffar7007 2 ай бұрын
aiseeee yani ni funzo haswaaaa mimi imenigusaaaa😮
@MsAggie5
@MsAggie5 2 ай бұрын
Somo kubwa Sana Kwa wanawake
@dayana5513story
@dayana5513story 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@vickysteven1172
@vickysteven1172 2 ай бұрын
Na Mungu awatie nguvu
@vickysteven1172
@vickysteven1172 2 ай бұрын
Na Mungu awatie nguvu
@fatmakombo9793
@fatmakombo9793 2 ай бұрын
Hii simulizi ni funzo kubwa hasa kwa wanandoa Asante dada Veronica niko sweden nakusikiliza
@user-vt1qw4lo9i
@user-vt1qw4lo9i 2 ай бұрын
Vero smulizi zimenivusha sana nakujua mengi kufundisha mengi mno siwez mlaumu tupo kwa upande wa hisia ila kakosea kumsaliti mmewe hata hivyo kapata neema ya kuomba rehema na toba kwa Mungu pia kwa mme wake songa mbele tupo imekua fundisho pia kwetu wasikilizaji.
@luciamhozya459
@luciamhozya459 2 ай бұрын
Duh yaliwah nikuta haya, bahat nzuri me nlpewa funzo miez minne, mume wangu akarudi, lakin jmn kibaya chako ukiwa unakiona kikiondoka utalia na kusaga meno, popote ulipo mume wangu nakupenda sana najua unapambana kwa ajili yetu♥️♥️
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 ай бұрын
Duuh Jamaa alikusamehe na ulimsaliti? aisee itakua ulimroga ww Mimi binafsi siwezi kusamehe MALAYA kamweeeeeeeeeeeh.
@ZayanaMomo-wc3jq
@ZayanaMomo-wc3jq 2 ай бұрын
@@GeorgeAkasha-zx2rj 🤣 jmn
@user-oh9bh9ko8j
@user-oh9bh9ko8j 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂​@@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 ай бұрын
​@@user-oh9bh9ko8jKuna watu wana moyo aisee hapa duniani.Kwanza ningekuwa Mimi huyo Tupo kigwe angeondoka na kilema Cha maisha yake yote hapa duniani pili pesa Zangu ningesepa nazo, yaani nikwepe risasi halafu nije nimuachie kirahis hivo, Tatu ningewatafuta watu ili wamkomeshe huyo wambake na kila aina ya unyama wamfanyie.Nne mke wa yule Jamaa kama akija kuoa ningepambana na yeye nimpate halafu nimfanyie kama alivyofanya.Kiufupi Jamaa alikosea sana ilitakiwa alipe kisasi ili wakija kumkumbuka iwe kilio.Ila Jamaa kweli alikuwa na MAPENZI ya kweli kwa huyo mwanamke, sema ndo hivyo alioa MALAYA mpenda pesa badala ya MKE.Mimi nisingesemehe kamwe Hilo jambo lingenikuta, sasa hivi TUPO KIGWE angekuwa kilema au Mlemavu.
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 ай бұрын
​@@ZayanaMomo-wc3jqHahahaha huyo dada alisamehewa sababu Jamaa alikuwa na madhaifu aliamua kuyaficha kwa huyo mwanamke.Mwanaume rijali huwezi kumsamehe MALAYA kamwe tena kamweee.
@jaqernest1362
@jaqernest1362 2 ай бұрын
Dah nmeumia Sana jaman,MUNGU anipe neema ya kumpenda mume wangu siku zote za maisha yetu
@user-sd4fc7ob2v
@user-sd4fc7ob2v 2 ай бұрын
Asante san Tupo kwa kutupa darasa
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 ай бұрын
haswaaa/ MUNGU Mariki Tupo na mumewe pale alipo
@user-vv6ue7rn3f
@user-vv6ue7rn3f 2 ай бұрын
Jaman wanandoa heshimuni waume zenu hakuna mwanaume atakae kupenda Zaid ya mumeo WA ndoa mume aliyekuweka ndani ni wathamami kuliko michepuko
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 2 ай бұрын
Mwenyez mungu atusaidie wanawake tujitambue jaman daaah👏👏👏
@MsAggie5
@MsAggie5 2 ай бұрын
Ni aibu Sana kwetu wanawake yaani tunawalaumu wanaume kumbe na Sisi tumo
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 2 ай бұрын
😂😂😂 Hua mnajitambua sema mkiaminishwa mnaamini hulo ndo tatizo
@mocranaburugi3486
@mocranaburugi3486 2 ай бұрын
Unatoka nje ukifikiri mumeo ana mapungufu only to realise umetoka nje kutafuta 20% na unaacha 80% ndani
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 2 ай бұрын
Tamaa ya mwili na pesa unafanya watu wengi wawa poteze mme au mke shetani oyeeeeeeeeee 😂😂😂
@specygama5357
@specygama5357 2 ай бұрын
mimi kama mwanamke ambaye bado sijaingia kwenye ndoa kwakweli nimejifunza sana sana, kaz ya kupenda tuwaaachie wanaume na pia tuheshimu sana hawa wanaume wanaotuheshimisha🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@neymseluka2077
@neymseluka2077 2 ай бұрын
NENO la MUNGU linasema uonapo amani ndipo uharibifu,uwapatapo,siku zote shetan nimvurugaji, ukimpa nafasi,akikupata tu, anavuruga kesho yako yenye amani ,tumpe MUNGU nafasi mioyoni mwetu hata kama atujapewa tunayo talajia
@azizachungu4002
@azizachungu4002 2 ай бұрын
Natamani kulia kwa sauti kubwa sana jamani wanawake aina ya tupo popote mlipo yasikie haya sana 😭😭😭😭
@SalmaMasoud-ry4pg
@SalmaMasoud-ry4pg 2 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪one Number Duh Tupo Majuto mjukuu Hakuna marwfu yazio ncha ::Nashukur kaka wa WATU Hakuniua Wala hakuua :Mwisho mlioko kwenye ndoa jifunzen kusema kma hamtoshek semen usalit Hauna maana🌚 😭 😭😭 Tupo Mungu akubariki akusameh atakupea Mume wa uzee wako amini Wala sio LAANA: Dada Vero Ubarikiweee🇰🇪Looove u😘😘
@user-ne3ge5te3l
@user-ne3ge5te3l 2 ай бұрын
Aiseeee nimeumia sana nimejifunza kupitia Tupo
@magrethmmanyi3462
@magrethmmanyi3462 2 ай бұрын
Daaah aisee nimejifunz sanaa
@anithahalicy2715
@anithahalicy2715 2 ай бұрын
Dahh Nihatari kweri asante sana
@user-jo5ig8ww1b
@user-jo5ig8ww1b 2 ай бұрын
Pole saaana mtihani huu tupwe ametupa funzo jamani
@SharifaYahaya-ww5bi
@SharifaYahaya-ww5bi 2 ай бұрын
Mwanza hampatikani
@user-vg2uc3hw1v
@user-vg2uc3hw1v 2 ай бұрын
Hii simulizi imenifunza sana asante tupo Kwa darasa
@user-ug7lh5tj9u
@user-ug7lh5tj9u 2 ай бұрын
Jaman roho imeniuma sana sana sana 💔🥹 ila Asante tupo Kwa kuwa darasa Kwa wanawake wengine🙏
@khorima
@khorima 2 ай бұрын
Ina maana yule msenge alienda kumharibia huyu tumpe kweli yule jamaa ni pakashume....shetani kabisa mwanaume gani ana tabia za kipumbavu hivyo? Loh.....😊
@evelinebeneth2158
@evelinebeneth2158 2 ай бұрын
Yule kaka ni nyoka😢 amemuharbia ndoa na bado akatangaza maneno yote waliyokuwa wakiongea. Huyo Kaka aliyeharbu ndoa ya Tupo alaaniwe yeye na kizazi chake. Nimeumia sana😭
@user-ug7lh5tj9u
@user-ug7lh5tj9u 2 ай бұрын
Hujaumia kunizid mm mahi, sema sikio la kufa halisikii dawa tupo alielezwa ukweli na mmewe kuhusu huyo kaka ni kijana wa hovyo akapuuzia Bado dada Ake alikua akimuimbia mashaili kilasiku pia hakusikia Sasa alitegemea kitokee nini zaidi ya kujivunjia ndoa Ile Hali unajua yeye kaolewa
@khorima
@khorima 2 ай бұрын
Nimetumia.sana. yule kaka almanusura amuue tupo. Hatari kabisa ila tupo umefanya vizuri kutusimulia hii story tujifunze.
@user-gw2jg4xu5p
@user-gw2jg4xu5p 2 ай бұрын
Wana wake wenzangu wenye tabia kama Tupo tujifunze kwenye hili majuto ni mjukuu Evalyne kutoka mwanza mandu
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 2 ай бұрын
HAHA binadam tumeubwa kwa kusahau saizi unasikiliza hii simulizi ikiisha tu unampigia cm mchepuko wako kuwa mbona umechelewa kufika 😂😂😂
@SaraMathew-xd2vp
@SaraMathew-xd2vp 2 ай бұрын
Usaliti ndio kitu kinachovunja ndoa nyingi saan na hyo ni kutovumiliana au kutowekana wazi pale kwenye tatzo au mapungufu ili kuwekana sawa. Na nilahisi kwa % kubwa mwanamke kumsamehe mumewe pale anapochit lakn si kwa mwanaume kumsamehe mkewe . Jaman tuwapende wenza wetu . Kiukwel hili ni funzoo
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 2 ай бұрын
@@SaraMathew-xd2vp Nihatali sana shetani hua hachezimbali akisha ona mnaishi vizuli anamtumia mtu kama kishawishi tujifunze sana kutawaliwa na chanya has inatupotosha aisee
@user-cv7pj6hg1l
@user-cv7pj6hg1l 2 ай бұрын
Daaah asantee Sana dada kwa hii simulizi MUNGU akubariki mnoo 🙏.. hakika nimejifunza kitu
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 2 ай бұрын
Nimependa sana maamuzi aliyo fanya uyu jamaa saf sana / tupo k.inapata wateja wa rejareja uzasamaki mpaka mwisho wa maisha yako asent dada vero kwa simulizi
@luciamhozya459
@luciamhozya459 2 ай бұрын
Dah
@marthaQueen-nl2mc
@marthaQueen-nl2mc 2 ай бұрын
Hakika nimejifunza vitu vingi kutoka kwa Tupo.
@AnythaMartin
@AnythaMartin 2 ай бұрын
😭😭😭 nimepata funzo kubwa sana jaman
@reyone6870
@reyone6870 2 ай бұрын
😢Jamani mwenye mkasa wa Hassan Jana na Leo anitumie😭😭😭da Vero haujaweka huku KZbin 😭
@user-vk2qz9zo5r
@user-vk2qz9zo5r 2 ай бұрын
daaah,,mtihani huu.😢hakika Mungu akinipa sitafanya makosa
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 2 ай бұрын
😢😢😢tupo umejua hy laana uloibeba cjui kama itafutika,daah
@blawrencetv5641
@blawrencetv5641 2 ай бұрын
Honey kama honey kageuka shubiri ni short ukiwa kwenye ndoa usifanye usaliti hata kidogo mtu anaejifanya anakupenda wakati upo kwenye ndoa huyo sio mtu bali ni shetani tu
@user-yp8kw8tq7g
@user-yp8kw8tq7g 2 ай бұрын
2naomba mutulekebishie dada Veronika
@EzekielDebora-cd2ib
@EzekielDebora-cd2ib 2 ай бұрын
Aiseee jaman
@neymseluka2077
@neymseluka2077 2 ай бұрын
MUNGU tusaidie tuvipe thamani tulivyo navyo hata kama ni duni kias gani
@ShaniHussein-gm8ur
@ShaniHussein-gm8ur Ай бұрын
Hii story ina mafunzo makubwa sanaa kwa sisi wanawake ila wanawake tunadhambi sanaa jamani kah😢
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 2 ай бұрын
Kiukwel nimejikuta nalia tuuu wanawake ebu tujitambue wapendwa ni nn hiki Sasa jaman😭😭😭
@blawrencetv5641
@blawrencetv5641 2 ай бұрын
Wanawake wanaojitambua hawapatagi wanaume wazuri ndio shida hiyo
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 ай бұрын
Nyinyi mkionyeshwa Hela, akili hizo hamnaga kabisaa
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 2 ай бұрын
😂😂😂 Mnajitambua sema mnajisahau mnapo aminishwa mnaamini unakuja kumbuka maji yamesha mwaika
@dayana5513story
@dayana5513story 2 ай бұрын
Duh hii story imeniumiza sana 😢mwanaume akikupenda ukabungi lazima mwisho wako si mzuri Asante tupo kwakushere,uyu mume alifanya vyema
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 2 ай бұрын
Kama mwenzako akuridhishi unamwambia, Tupo ndio imesha kuramba, huyo honey wako alikuja kuharibu ndoa yako
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 ай бұрын
Tupo hakumpda huyo Jamaa ndo maana hata kwenye mapenzi hawezi kuridhika.
@AminaYohana-px6mh
@AminaYohana-px6mh 2 ай бұрын
Kama hujui kesho jifunze kunyenyekea kwamaan hujui kesho yako🙏
@ashuraniwakoelswai8107
@ashuraniwakoelswai8107 2 ай бұрын
Da vero wiki hii hakuna simulizi mana kila nikichungulia patupu
@glorybrayankessi7002
@glorybrayankessi7002 2 ай бұрын
Bado haujajuta tupo, utajuta sana, uhuni wakishamba ulikuingia hata ushauri haukutaka
@fora2009
@fora2009 2 ай бұрын
Shoga pole wallahi mtihani
@elizabethmabiki8503
@elizabethmabiki8503 2 ай бұрын
Nimelia😭😭😭na nimejifunza Mungu anisaidie nisipite ktk haya🙏
@janemalongo5417
@janemalongo5417 2 ай бұрын
Aisee! Hii ni Elimu kubwa,Tupo ahsante sana
@SalumVullu
@SalumVullu 2 ай бұрын
Inafunza sana hiisimuliz
@RachelMethod-rt1qx
@RachelMethod-rt1qx 2 ай бұрын
Nimeumia sana jamani, ila Asante kwa kutufundisha sana
@lucymbuma681
@lucymbuma681 2 ай бұрын
Jmani mungu aendelee kukulinda kipenziiiii maaana umetupa mafunzo makubwa San sisi wanawake tujifunze kuridhika. Kwakweli nimepata elimu kubwa sana nshukulu
@GODFREY-je9xq
@GODFREY-je9xq 2 ай бұрын
Hapa kunashida kubwa wapo wengi hasa wa Dada, mnatuogopesha sana😢😢
@christinaabelmwaipungu-5727
@christinaabelmwaipungu-5727 2 ай бұрын
Dah! Hatari sana
@isaacmalach7929
@isaacmalach7929 2 ай бұрын
Yani nimejifunza mengi sana kupitia hii story mungu awabariki
@NasibuHaji
@NasibuHaji 2 ай бұрын
Nasibu maundika,tegeta kubaliyaishe,lipoti konk jioni ya,Leo mpo juu,
@user-kh3pi9xu5k
@user-kh3pi9xu5k 2 ай бұрын
Simulizi nzuri Sana hii
@SuzanaSingaile
@SuzanaSingaile Ай бұрын
@EliwanzitaJoseph
@EliwanzitaJoseph 2 ай бұрын
2:02
@AnteryoThadei
@AnteryoThadei 2 ай бұрын
Da Vero ,, IRINGA haisikiki radio
@AnjelaMichael-cn9rg
@AnjelaMichael-cn9rg 2 ай бұрын
😢tupo
@khorima
@khorima 2 ай бұрын
Jamani Veronika umependeza Leo natamani uwe Tumpe wangu ila sitakufanya ubaya wowote I promise baby😮
@fatumakyengya45
@fatumakyengya45 2 ай бұрын
Hiii simulizi inamafunzo makubwa sanaa kwenye ndoa
@user-un8mk9ho7y
@user-un8mk9ho7y 2 ай бұрын
Mungu nijarie niwe mwema kwaatakae nioa
@KeiziaJacob
@KeiziaJacob 2 ай бұрын
Ama kweli tupo ulijimaliza kwa honey wako kumbe mwenzako alikuwa anakuchora tu
@oliverdaudy4642
@oliverdaudy4642 2 ай бұрын
Kwakweli siko tayari kupoteza nilicho nacho
@YasintaKandidus
@YasintaKandidus 2 ай бұрын
inaumiza kwa kweli
@lightymmary22lightymmary27
@lightymmary22lightymmary27 2 ай бұрын
Maumivu niliyoyapata Ni zaidi ya Tupo hakika
@user-ug7lh5tj9u
@user-ug7lh5tj9u 2 ай бұрын
Jamani hujanifikia Mimi 🥹💔
@user-fc7fq4zj9l
@user-fc7fq4zj9l 2 ай бұрын
Nimeumia san mpk nimedown nikae nay nisikiliz kil saa
@ChristinaAloyce-pp6vj
@ChristinaAloyce-pp6vj 2 ай бұрын
Natamani nijue nimapungufu gn anayi mume wa tupo daaahhh😢
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 ай бұрын
Kwani hujaelewa nn, mwanamke hakumpenda mwanaume kiasi kwamba alichokuwa anafanyiwa alikua haridhiki maana hakua na hisia nae kabisaa alifata na kupenda PESA tu.Pili yule mchepuko wake yaonekana alikua anampitia tupo Mlango wa dharura(Nadhani Iko hivo) maana tupo alipenda kupitiliza.Yaan hapa inaonekana tupo hakuwahi kuridhika kwenye mapenzi kabisaa na huyo mwanaume.
@OnesmoJeremia
@OnesmoJeremia 2 ай бұрын
Uyu kaka ana onekana ni mtu wa Mungu sana ndo maana kachukuwa wa toto yatima kuwasaidia maisha
@user-lu4ie4fp1o
@user-lu4ie4fp1o 2 ай бұрын
Kwakweli hii simulizi imenifunza kitu jaman
@marthaQueen-nl2mc
@marthaQueen-nl2mc 2 ай бұрын
Hakika inafunza 55:38
@user-pg7fy3zp6q
@user-pg7fy3zp6q 2 ай бұрын
Daah inaumiza sana😢😢
@MAGRETHDANIEL-gy1bk
@MAGRETHDANIEL-gy1bk 2 ай бұрын
Mm naitwa magreth danier nipo kigambon kiukwel nimeumia San naiskama ndo nafanyiwa mm kiukwer inauma San sana😂
@vee4296
@vee4296 2 ай бұрын
Nmefurahi kaka wa watu ni mzima
@HappynesJovenary
@HappynesJovenary 2 ай бұрын
Majuto ni mjukuu
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 2 ай бұрын
Tupo kingwe
@user-el6kw3kw6q
@user-el6kw3kw6q 2 ай бұрын
Huyu tupo hana akili kabisaaa
@user-tb6gd2ur4d
@user-tb6gd2ur4d 2 ай бұрын
Jmn mmezd matangazo duh😅
@user-yp8kw8tq7g
@user-yp8kw8tq7g 2 ай бұрын
Mbna tabora redio haishik toka juma ta2
@user-eh7zi5kj4f
@user-eh7zi5kj4f 2 ай бұрын
Mume wa tupo ameniliza machozi yamenitoka mwenzenu ,nimemuonea hiruma sana mume wa tupo ameumizwa sana😭😭
@mwajoma1373
@mwajoma1373 2 ай бұрын
Hadi nimelia daa😭😭😭
@EliwanzitaJoseph
@EliwanzitaJoseph 2 ай бұрын
Tabora wiki nzima hatujawapata rredio haishika jaman
@bintibaibe1958
@bintibaibe1958 2 ай бұрын
Hatuwapati kwenye tunein wala KZbin imekuwaje na hata jana sijaona km umeweka ripoti ya jana, toka jana hampatikani jamani
@user-eu6ql9zl7n
@user-eu6ql9zl7n 2 ай бұрын
Unamwambia aongeze utundu
@user-qy5ui8lp3t
@user-qy5ui8lp3t 2 ай бұрын
Dada Veronika nakupata live kutokea Oman asee tupo
@tungozarosedory2260
@tungozarosedory2260 2 ай бұрын
Nimelia guys
@vickysteven1172
@vickysteven1172 2 ай бұрын
Aiseee nimeumia saana
@MiriamOnesmo-uw3fy
@MiriamOnesmo-uw3fy 2 ай бұрын
Jmn dada Vero nmejifunz ki2 kikubwa xna nata mpenda mme wang sku zote za maish yang nakpenda xna mme wang
@IbrahimMohamed-eq4ek
@IbrahimMohamed-eq4ek 2 ай бұрын
💯💯💯💯💯💯💯
@ashajuma2313
@ashajuma2313 2 ай бұрын
Ninejifunza mengi sana
@kubwalaodancers
@kubwalaodancers 2 ай бұрын
😂😅
@JanethLusaya
@JanethLusaya 2 ай бұрын
Hvi hamna muendelezo? Sehemu ya 15?
@esthermwangeni2120
@esthermwangeni2120 2 ай бұрын
Tupo kingwe hatari sanaaa nimejifunza kupitia wewe
@mariamwashokera1088
@mariamwashokera1088 2 ай бұрын
Matangazo too much story nzuri mangazo kibaoooo story dk 20 matangazo dk 40
@MajaliwaElias-ho1et
@MajaliwaElias-ho1et 2 ай бұрын
Mwanza mmenikeraaa mnoo wiki nzima hamjapatkana
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 2 ай бұрын
Hakika tupo ulimuumiza mkaka wa watu alipata maumivu yasioelezeka
@PendoMacha-ib6oc
@PendoMacha-ib6oc 2 ай бұрын
😢😢
@ChristinaAloyce-pp6vj
@ChristinaAloyce-pp6vj 2 ай бұрын
Ten years 😂
@MiriamOnesmo-uw3fy
@MiriamOnesmo-uw3fy 2 ай бұрын
Sto taman kumsaliti mme wang
@rahamkibinda6137
@rahamkibinda6137 2 ай бұрын
Daah wanaume wenye msimamo kama huo tumebaki wawili tu mm na huyo jamaa pole yake
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 2 ай бұрын
Msimamo gani?
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 2 ай бұрын
Yani mwanamke hata umepe nini wala siyo sababu yayeye kutokuchiti yalinikuta mpaka sasaivi namyaka 13 tangu nimuache nasina hata ham yakuowa tena
@user-ug7lh5tj9u
@user-ug7lh5tj9u 2 ай бұрын
Pole sana mpendwa muombe mungu akupe moyo wa kusahau
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 2 ай бұрын
@@user-ug7lh5tj9u asante nilisha sahau naendelea kusomesha watoto tulio zaanae
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 2 ай бұрын
Pole sana usikate tamaa wanawake wenye tabia njema tupo
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 2 ай бұрын
@@NeemaSamson-ti8pc HAHA Nikweli ila hata msaliti nae atasema nimuaminifu mkisha zoeana anasahau anakuona kawaida tu nakuanza kuchiti ndomana mme wa tupo alitoweka ilipofikia watu kujua alipo aliamua kuishi na watoto yatima alihisi hanabahati ya wanawake
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 2 ай бұрын
@@jumapiliissa4835 ni kweli uyasemayo, tupo alipata mwanaume mwenye hekima na wa kipekee sana na bahati kama hiyo huwa haijirudii kamwe
@ezekielbayyo1635
@ezekielbayyo1635 2 ай бұрын
Mwanamke kama huyo tupo inawezekana kabisa akawa mchawi , maana wanawake wengi wachawi huwaga wanafanyaga hivo wala hawaogopi na sasahiv kama mtu anataka kumuoa atajuta sana aisee mim ninaexperience ya kutosha sana nyie acheni tu
@user-ug7lh5tj9u
@user-ug7lh5tj9u 2 ай бұрын
😂😂😂😂 mbona mchawi jamn
@ezekielbayyo1635
@ezekielbayyo1635 2 ай бұрын
Wanawake wa hivo asilimia 99 ni wachawi trust me yaan fuatilia background ya kwao
@user-qo6qi8zl4f
@user-qo6qi8zl4f 2 ай бұрын
Mtaka yote kwa pupa hukosa yote
🔴LIVE :RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA HASSANI SEHEMU YA 10   -   26 JULY
57:08
🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SEHEMU YA 1 SIMULIZI YA SARA  - MEI 20 /2024
52:44
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 8 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 27 МЛН
🔴LIVE :RIPOTI YA LEO [SIMULIZI YA SARAH SEHEMU YA 8] - JUNE 4
49:35
Nie Wamuhu ndimumenete niundu wa kunina Family itu-Mary Gitaro X Wamuhu | Part 1 & 2
1:04:24
🔴LIVE : RIPOTI YA LEO SEHEMU YA 6  SIMULIZI YA SARA - MAY 30
56:09
TULIISHI MIAKA MITANO TUKAACHANA | NILIKUA NAMILIKI KAMPUNI YA UTALII | MAISHA YA SERBIA
55:41