🔴# LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI MPYA YA HAJJI - JAN 16 / 2024

  Рет қаралды 12,970

EFM TANZANIA

EFM TANZANIA

6 ай бұрын

🔴# LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI MPYA YA HAJJI - JAN 16 / 2024
#efmtanzania #jioniyaleo #ripotiyaleo #live
-
/ @efmtanzania
Muziki Unaongea 🎶
-
Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9 Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
-
Follow Us On:
INSTAGRAM:
efmtanzania
TWITTER:
efmtanzania
FACEBOOK:
efmtanzania

Пікірлер: 40
@Saidy-eu1hc
@Saidy-eu1hc 4 күн бұрын
Mashaallah unasaut nzr
@majidy-zh3lc
@majidy-zh3lc 6 ай бұрын
Leo mapemaaaaaaaa
@chemilembestanslaus4797
@chemilembestanslaus4797 5 ай бұрын
Happy New Year to each and everybody
@naimamalekela812
@naimamalekela812 6 ай бұрын
Ni huzuni wallah
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 6 ай бұрын
Da! Ila haya maisha, ivi mzazi unaemfahamu mwanao unashindwa vipi kujua kuna shida?
@fora2009
@fora2009 6 ай бұрын
Wallahi mtihani
@user-pc8ng3fz1h
@user-pc8ng3fz1h 6 ай бұрын
Jmn da Vero matangazo mengi sana jmn kipenz mtupunguzie😢
@user-oi1qy8uj6r
@user-oi1qy8uj6r 6 ай бұрын
Kabisaaa
@rehematawalani733
@rehematawalani733 6 ай бұрын
HASANTEE kipenzi chetu leo nami nimepata kubahatika kuwa wa kwanza
@lightymmary22lightymmary27
@lightymmary22lightymmary27 6 ай бұрын
❤❤jmn sehemu ya mwisho ya jesika imenipotea Utube siioni nimeitafuta sana
@asmahassan5661
@asmahassan5661 6 ай бұрын
Ilikuwepo mbona my yule mwanamme aliumwa sn lkn akapona na hakuna Mali iyopotea na ssa Wana watoto wawil mapacha alhamdulinllah 👏🏼😊
@Saidy-eu1hc
@Saidy-eu1hc 4 күн бұрын
Nakusikia KWA redio Leo ndio mala kwanza kukuona daa Veronica
@user-ee2tf5mv6r
@user-ee2tf5mv6r 6 ай бұрын
Kwa majina naitwa suma abdallah natokea pugu hiya dad vero umependeza sana
@ufudhcjxc1359
@ufudhcjxc1359 6 ай бұрын
Nasikiliza Leo jamani ❤Da veronica ❤sana
@user-oi1qy8uj6r
@user-oi1qy8uj6r 6 ай бұрын
Davero matangazo ni mengi mno had mda unaisha jaman, bado unachat😢😢😢
@ufudhcjxc1359
@ufudhcjxc1359 6 ай бұрын
Subra nakusikiliza nikiwa lraq kurdistani yaani mtt wangu alivyo funga shule nilisikia km kaenda likizo kwa bb yake mmmmh nili shituka sana bimkubwa wangu akanambia ucjali atakaa vizuri tuu kwakweli nipata moyo na nashukulu mungu wameludi kijijini kwa mama yupo vizuri 😊🙏maana nilikuwa na waza mama kwa mambo mmh nimtihan 😅ila apo da veronica 😅mama wa Haji anakasura Chaupole 😂😂🙌
@user-ot7fv7nh6v
@user-ot7fv7nh6v 6 ай бұрын
Ni bora mama akaolewa akaenda na wanae kuriko baba aoe akiwa na wanae
@abdulsalim1069
@abdulsalim1069 6 ай бұрын
Yaaan anaonekana huyo mama ni mzaramo wa msanga ngongele huko 🤣🤣
@janethkomba4485
@janethkomba4485 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@janethkomba4485
@janethkomba4485 6 ай бұрын
Mama mdogo anaaza kuonyesha makucha mapemaaa😢
@gracesuguta
@gracesuguta 6 ай бұрын
Watoto jamani! wanawake tuwafundishe watoto wetu kuvunja ukimwa na kusema chochote kibaya anachofanyiwa na yeyote hata kama ni mzazi
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 6 ай бұрын
Mmh maisha 😢
@user-yu7cn2lr9y
@user-yu7cn2lr9y 6 ай бұрын
Milie nakusikiliza nikiwa Kariakoo vitenge
@rehematawalani733
@rehematawalani733 6 ай бұрын
Pia nafurahi pia nafarijika tena ninanufaika na ninajifunza kupitia similizi zako hasante
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 6 ай бұрын
Mama wa kambo kuishi nao kazi sana
@user-oy5oj6hh2q
@user-oy5oj6hh2q 6 ай бұрын
Siyo wote mm nimelekewa na mke wa mjomba wangu , na nimekua nikjua ndo mama ang
@vickysteven1172
@vickysteven1172 6 ай бұрын
Huyo ni shangazi Sio mama wa kambo Mimi nimeishi na mama wa kambo ndio chanzo Cha kuvuruga amani ya familia Ndio maana na apa sita nyanyasa mtt wa mumewangu wangu ikiwa nitapata mume wa hivyo
@user-oi1qy8uj6r
@user-oi1qy8uj6r 6 ай бұрын
​@@vickysteven1172pole sana dear
@yusterwilliam6048
@yusterwilliam6048 6 ай бұрын
​@@user-oy5oj6hh2qmke wa Mjomba ni shangazi sio mama wakambo japo ni ukweli sio mama wakambo wote wabaya ila ni Neema ya Mungu kumpata mama wa kambo mzuri
@kakukili6173
@kakukili6173 5 ай бұрын
Yaani mi nashngaa mtoto umemaliza la saba ila unakuwa bwege unatendewa ubaya na husemai
@user-br1yr5me7i
@user-br1yr5me7i 6 ай бұрын
Duh hajji,,huyo mama atamuua babake hajji ili amiliki mali😅
@user-oi1qy8uj6r
@user-oi1qy8uj6r 6 ай бұрын
Ndo kinachofuata
@josephinekamluc1969
@josephinekamluc1969 6 ай бұрын
Dada wakazi muda huu yupo wapi?
@dayana5513story
@dayana5513story 6 ай бұрын
Wanawake wote wanaotreat watoto wawenzao Vibaya Mungu hawasamee bc mjui mlitendalo
@vumi8371
@vumi8371 6 ай бұрын
Hata asiwasemehe kwa nn watese watoto wa wenzao😢
@neemahando6183
@neemahando6183 6 ай бұрын
Mpangilio wa huku you yube hajakaa sawa.
@user-ss8nk8nk4w
@user-ss8nk8nk4w 5 ай бұрын
kweli mpangilio wa kuwa sehemu ya kwanza ya pili ya tatu na kuendelea haujakaa sawa tunashindwa namna ya kudownload wekeni sawa hilo
@ataamansi8941
@ataamansi8941 2 ай бұрын
Kweli kabisa sasa hivi Veronica Frank,hana mpangilio mzuri katika simulizi, hata ya tupo kigwe amaivurugavuruga 1,3,7.yani kazi imeanza,l😇🤔 mazoea, umakini inapuuzwa
@lightymmary22lightymmary27
@lightymmary22lightymmary27 6 ай бұрын
Na we Haji ungemwambia baba yako vitu vyote
@user-oi1qy8uj6r
@user-oi1qy8uj6r 6 ай бұрын
Hapo sasa jaman
🔴LIVE :RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA HASSANI SEHEMU YA 10   -   26 JULY
57:08
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
100❤️
00:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 24 МЛН
🔴LIVE :RIPOTI YA LEO SIMULIZI  EDGAR O3 -  JUNE 12
54:47
EFM TANZANIA
Рет қаралды 7 М.
USIKU WA EMMANUEL NA MARIA  UTAFURAHI ALIVYOTAMBULISHWA
9:34