🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA MERC SEHEMU YA 7 - APRIL 3

  Рет қаралды 11,609

EFM TANZANIA

EFM TANZANIA

3 ай бұрын

🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA MERC SEHEMU YA 7 - APRIL 3
-
Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9
Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
-
Follow Us On:
INSTAGRAM:
efmtanzania
TWITTER:
efmtanzania
FACEBOOK:
efmtanzania

Пікірлер: 122
@leahmshanah6709
@leahmshanah6709 3 ай бұрын
Duuuh aisee mes pole sana kwel mapenz ni upofu huwez Kuona jema au ubaya..meshak ni tapel tena nijambaz duuuh Mungu atusaidie sana sisi mabinti
@jacobmwandenga3364
@jacobmwandenga3364 3 ай бұрын
Nilitamani sana mecry aolewe na kaka ingeweza kutemgeneza jambo kubwa sana Mery atakuwa anawekewa na madawa ndani ya kilevi
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 3 ай бұрын
Yaani nasikitika huyo kaka anaenda kuharibu maisha ya mercy,na mwisho wa siku utaachwa maskini daah😢
@user-un9xv6mu8b
@user-un9xv6mu8b 3 ай бұрын
We dada had unafikia hatua ya sigara hsushituk tuuu mungu akusamehe sana Kwa dhambi. Uliyoitenda katika familia iliokutunza.. na hauna hata shkran we Dada
@jacobmwandenga3364
@jacobmwandenga3364 3 ай бұрын
Yaani sigara , pombe pangi kutolewa usichana halafu Bado hajaelewa Kuna madawa ya kulevya anatumia
@user-oy5oj6hh2q
@user-oy5oj6hh2q 3 ай бұрын
Niliwahii KUPENDA ila sjawahii kufikia viwango ivoo , uo ni utumwa Sasa hayo siyo mapenzii
@jacobmwandenga3364
@jacobmwandenga3364 3 ай бұрын
Ni madawa anawekewa huyu kwenye kilevi
@SwahibahSwedy-li5du
@SwahibahSwedy-li5du 3 ай бұрын
Hivi chuo kikuu au vyuoni sio wote wanafunzi eee Mungu wasaidie watoto wetu
@shirimaoliva7695
@shirimaoliva7695 3 ай бұрын
Tusitoa comment za matusi jmni mpaka mtu anaelezea history ya maisha yake yeye si mjinga, ataka jamnii ujifunze pia, kwo tuwe na nidhamu jmniii, Hata mim namapito yangu, utakuwa na nguvu ya kueleza kweli,, tuwe na subra, anayesimulia it's means mwisho wake ni mwema na Mungu alimsaidia kwa hilo
@dayana5513story
@dayana5513story 3 ай бұрын
Namimi ninashangaa watu wanatupa past life ili tujifunze tusipitie mistakes ambayo wamepitia but binadamu 🙌🙌🙌
@PricillahNinga
@PricillahNinga 3 ай бұрын
Sure✌️
@ArafaAlly-gs3yi
@ArafaAlly-gs3yi 3 ай бұрын
Uyu meshak usikute ata anauza madawa ya kulevya uyi😢 wanawake sisi jmn mwalimu wetu kweli kipofu
@jacobmwandenga3364
@jacobmwandenga3364 3 ай бұрын
Mechaki ni muuzaji wa madawa kabisa na ana genge la majambazi 😊
@Doryatilio
@Doryatilio 3 ай бұрын
Hata mm nawaza hivyo😢
@devothafilbert2347
@devothafilbert2347 3 ай бұрын
Mercy kakutana na Yahaya anaeejiita Meshack 😢
@Grace-zr5nb
@Grace-zr5nb 3 ай бұрын
Mungu atulinte mabinti 😭😭😭
@andrewseleli2331
@andrewseleli2331 3 ай бұрын
Yani nimejikuta nashikwa na hasira juu ya meccy Sio kawaida 🥹🥹🥹🥹🥹🥹
@blawrencetv5641
@blawrencetv5641 3 ай бұрын
Hunishindi mimi yani nachukia hadi hasira hana shukurani hata robo
@barakanoel1433
@barakanoel1433 3 ай бұрын
Uwiiiiiii Mercy
@latifamiluko-gr9iw
@latifamiluko-gr9iw 3 ай бұрын
Mmmmh!!kweli fadhira mfadhiri mbuzi,binadam hafadhiriki mercy akili huna ww😢
@jacobmwandenga3364
@jacobmwandenga3364 3 ай бұрын
Kuna mda watu wanakuwa wakali na Wana Roho mbaya Sababu wema wao kulipwa ubaya
@janethferous
@janethferous 3 ай бұрын
Da very moyowang mdog siwez kuendelea kusikilz hii simulizi maana naona familia ikiingizwa matatizoni na huyu mpuuzi mmoja
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 ай бұрын
jmni Mercy wetu pole mama. ila tumeshukuru kutusimulia maish yako. ila Meshak ataenda kumuacha baada ya kupata donge nono kisha Mercy atabaki akilia binti wa watu jmni. Mzee wake na kaka yake sijui itakuaje Mungu wetu wa Mbinguni Huyu jmni
@Lilian2023-pc1lr
@Lilian2023-pc1lr 3 ай бұрын
Daaa inaumiza sana naameisha anza kutumia madawa ya kulevya😢
@aysherbuhet3875
@aysherbuhet3875 3 ай бұрын
Aisee nimeshindwa kuendelea 🙌
@khorima
@khorima 3 ай бұрын
Inenisikitisha sana jamani yaani Binti ameingia kwenye gebge hatari mnooooo
@rosemofuga8101
@rosemofuga8101 3 ай бұрын
Nilipoona tu ameanza kumwambia anywe pombe nikajua hilo ni tatizo na sio mtu
@daynecleonard5906
@daynecleonard5906 3 ай бұрын
We dada unalaana 😭😭.mpaka nimelia. fanya haraka uokoke 😭.
@blawrencetv5641
@blawrencetv5641 3 ай бұрын
Anatia hasira dada huyo 😅
@sarasaraz-vn1vl
@sarasaraz-vn1vl 3 ай бұрын
Hayo ni maisha yalishapita kwake ngoja tuone mwisho wake ilikuaje
@aliciaprojestus2336
@aliciaprojestus2336 3 ай бұрын
Amefanya nn jamani 😢 ndio nasikiliza huku nasoma comment
@gladyrobbin
@gladyrobbin 3 ай бұрын
Alishapitia hayo maisha subiri mpk mwisho ndio utajua Nini kilimkuta mana ni simulizi na sio maisha anayopitia kwa sasa
@ufudhcjxc1359
@ufudhcjxc1359 3 ай бұрын
😪😡😡mes ana bowa😏😏😏ujinga gani huu anao ufanya😢😢
@doricehungu5817
@doricehungu5817 3 ай бұрын
Na hizo ndio roho za watu masikin wengi wao wana roho mbaya sn ndio ule msemo wa masikin akipata nackiliza hii simuliz natamani nisiimalizie naumia sn
@jacobmwandenga3364
@jacobmwandenga3364 3 ай бұрын
Ninaumia sana familia inayojitolea Kwa mtu Baki inaingia kwenye matatizo Kwa sbb ya wema wao my hart very pain
@roseallan6016
@roseallan6016 3 ай бұрын
Kabisa hata mimi natamani nisimalize inaumiza mnooo
@user-xh8zm8pw2p
@user-xh8zm8pw2p 3 ай бұрын
Huyo kaka tapeli jaman itakuwa kama smlizi ya Yule dada alitapeliwa gari na pesa jamn duh dunia inamambo mungu taupe macho ya kuona na watu tunao kutan nao
@shaluuanthony1836
@shaluuanthony1836 3 ай бұрын
Story hii n mbaya san 😢😢😢 Kwann mercy shukran yako ndio hii
@JoyceKizo
@JoyceKizo 3 ай бұрын
Meshaki shetani kweli
@csato9415
@csato9415 3 ай бұрын
Yaani mimi niliposikia anakunywa pombe na kuvuta sigara nilihisi kuwa hapa mambo yasiwe mazuri kwa Mercy. Maana kashaanza kumshawishi kuanza kunywa pombe, kuvuta sigara, na bangi Mercy kashaharibikiwa sasa.
@user-rw8gc1is6m
@user-rw8gc1is6m 3 ай бұрын
Kisicho riziki akiliki jmni mungu tupe mwisho ulio mwema
@jacobmwandenga3364
@jacobmwandenga3364 3 ай бұрын
Hii imeanza kunitisha sasa wema wa Ile familia
@floramakanya8859
@floramakanya8859 3 ай бұрын
Jaman nimekuwa wa kwanza 🥰
@AtuBen
@AtuBen 3 ай бұрын
Nakufuatiliana sana dada Veronica,,ila hapa Mbeya mjini hatukupati kwa njia za redio ile frequency haishiki naomba unisaidie kama mlibadili
@mkwajiJeremiahphineas-te9us
@mkwajiJeremiahphineas-te9us 3 ай бұрын
MApenzi ni upofuu ila kwako hata alama ya upofuu hukuwa nayoo😢😢
@dorakalinga6238
@dorakalinga6238 3 ай бұрын
Huyo ni kunguru hafugiki
@blawrencetv5641
@blawrencetv5641 3 ай бұрын
😂ni shidah
@anna-sw9hd
@anna-sw9hd 3 ай бұрын
Kiukwel natamani kulia😂 jmn ila sjui mers yuko wap kwasasa
@user-zw2oh1ej9w
@user-zw2oh1ej9w 3 ай бұрын
Mers amejikosesha uaminifuamechemka
@marylwanzega617
@marylwanzega617 2 ай бұрын
Hakuna cha mapenzi ni upofu wala nn huo ni upumbavu😡
@vickysteven1172
@vickysteven1172 3 ай бұрын
😭😭inasikitisha saana
@ashelizakaria6306
@ashelizakaria6306 3 ай бұрын
Umekutana we dada bahati baya iyo
@MsAggie5
@MsAggie5 3 ай бұрын
Mercy hii ndo jinsi ya kumshukuru mtu anayekutunza na kukulea kama mwanae? Kuna yatima wangapi hawana hata pa kulala? Umekuwa msichana mkubwa WA chuo kikuu unakutana na mwanamme siku ya kwanza anavuta misigara na kunywa mipombe bado huoni kama huyo sio type yako? Utalaanika wewe. Ndo mnafanya watu wasiwasaidie watu wasio na damu nao.
@zaytunsuleyman-pp3yl
@zaytunsuleyman-pp3yl 3 ай бұрын
Iishe tu hii stor kwakwel maana 😢😢😢
@blawrencetv5641
@blawrencetv5641 3 ай бұрын
Huyu mercy anaboa
@zaytunsuleyman-pp3yl
@zaytunsuleyman-pp3yl 3 ай бұрын
Mnoooo ad anatia hasira Yan msom lakin akil zake ziko nyuma kama kichogo
@LuciaKimambo
@LuciaKimambo 3 ай бұрын
Mungu wangu simulizi imeniliza ina nimaliza meshaki shetan kabisa
@rosemofuga8101
@rosemofuga8101 3 ай бұрын
Pepo mapenzi toka kabisa
@PricillahNinga
@PricillahNinga 3 ай бұрын
😂😂😂 jmn ww
@vickysteven1172
@vickysteven1172 3 ай бұрын
Kama movie vile aisee
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 3 ай бұрын
Ningekuwa kaka yake Mercy, ninge inua mikono juu🙌🏽
@blawrencetv5641
@blawrencetv5641 3 ай бұрын
😄😄😄ni shidahh
@IreneWangwe
@IreneWangwe 3 ай бұрын
Mercy kuna haja ya kutubu kwa muumba wako😢😢😢😢😢
@SalmaMohamed-ts9sg
@SalmaMohamed-ts9sg 3 ай бұрын
Daa swsw na yule pandrii mtihani hii kweli inaitwa shule hana mapenzi hyo mercy huyo jambazi
@FransiscaThomas-zs4nn
@FransiscaThomas-zs4nn 3 ай бұрын
Da v sauti yako bomba
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 3 ай бұрын
Love z blind
@user-wt5zb6fr3j
@user-wt5zb6fr3j 3 ай бұрын
Nikweli lkn kwaupande mwingne hajitambui bhn
@ArafaAlly-gs3yi
@ArafaAlly-gs3yi 3 ай бұрын
@@user-wt5zb6fr3jkabisa kwan anashindwa kukataaaa
@vickysteven1172
@vickysteven1172 3 ай бұрын
Yaani siku alipokushawishi kutumia sigara na kilev bac alipaswa kushtuka maana hivyo vitu ni hatar
@efrazialovenesshenerico3208
@efrazialovenesshenerico3208 3 ай бұрын
Da V umependeza 💕❤️
@priscakanjanja5256
@priscakanjanja5256 3 ай бұрын
Mmmmh...hiii inatisha jamani😢😢
@naimamalekela812
@naimamalekela812 3 ай бұрын
Mtihan wallah
@abdulsalim1069
@abdulsalim1069 3 ай бұрын
Yaaan we unayeejiita mess cjui ronaldo huna akil wala huruma na familia yako " umejawa na upuuuzi tup kichwani mwako!!
@anoldsakaya
@anoldsakaya 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂🙌
@MacrinaLameck-yv2mu
@MacrinaLameck-yv2mu 3 ай бұрын
😂😂😂😂eti Ronaldo nacheka kama mazuri 😅
@abdulsalim1069
@abdulsalim1069 3 ай бұрын
@@MacrinaLameck-yv2mu yaaan ameniuzi xan mpuuuzi huyo
@user-yv4wd5ii8k
@user-yv4wd5ii8k 3 ай бұрын
Nimecheka Da vero et anakufundisha kupuliza shisha😂😂 duh mapenz ya kumpenda mtu hivi mungu aniepushe
@khorima
@khorima 3 ай бұрын
Huyu dada nae bwana ameniudhi kwanini alipoona TU dalili za kwamba huyu sio rafiki mzuri angeachana nae
@khorima
@khorima 3 ай бұрын
Ameingia kirahisi kabisaaaaa sikutegemea kabisa maana alikuwa iron lady kumbe analika nkirahisi au uchawi?
@user-oh9bh9ko8j
@user-oh9bh9ko8j 3 ай бұрын
Yni hii simulizi yiishe tuu tusikilize nyengine...yni ilianza vizuri ssa ya boo.....watu waaribu pesa zao kukusomesha kisha uwalipe dhambi...yuwakupnda angekufutisha masigara na pombe..? DAA VERO MALIZA HII CMULIZI PLIZ
@AmranKumwenda
@AmranKumwenda 3 ай бұрын
yaani we mdada Kila mara nitakuwa nakukosoa comments zako azina mashiko kabisa Sasa inaboa nini simulizi,hii shee ili iweje kunawezako wanafatilia kiundani tofauti na uono wako mfupi.😮
@user-oh9bh9ko8j
@user-oh9bh9ko8j 3 ай бұрын
@@AmranKumwenda 😅😅😅😅😅yuwaniudhi aki ssa umepata fursa yakusomeshwa wafanya upuzi wa kuvuta magangi wwe binafsi hko ha moyo wakumfundisha mtu usomjua mpka chuo kikuu tuanzie hpoi
@anoldsakaya
@anoldsakaya 3 ай бұрын
Yaani hii imeniuma zaidi 😢😢😢😢
@user-oh9bh9ko8j
@user-oh9bh9ko8j 3 ай бұрын
@@anoldsakaya umeonaeeh bora yiishe tu tusikilize anae ratia
@AmranKumwenda
@AmranKumwenda 3 ай бұрын
@@user-oh9bh9ko8j mbona ujui kuandika uchapia tuu tuu
@SwahibahSwedy-li5du
@SwahibahSwedy-li5du 3 ай бұрын
Ujajua kunamakundi mengine ya watu Mu ngu kawaandikia YES na kuna makundi mengine ya watu wo ni NO kwa hiyo hataufanyaje atakwenda tu kwenye NO au atakwenda kwenye YES.
@joycemetili3876
@joycemetili3876 11 күн бұрын
Wenye mali wanajishughulisha halafu wewe unaesaidiwa unataka tu pesa za bwerere!! Khaaa!🙄😠
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 3 ай бұрын
Mbuzi wa maskini hazai na akizaa anazaa dume unapewa msada na mzee asiyo wako naunaiga anasa duu sikupi pole
@user-ht1xe6me4y
@user-ht1xe6me4y 3 ай бұрын
Hii simulizi kadri ninavyozidi kuisikiliza inanitia hasira tu yani 😡 mwanzo niliipenda ila inakoelekea naona inanipa hasira
@fora2009
@fora2009 3 ай бұрын
Wallahi wasichana mtihani
@MacrinaLameck-yv2mu
@MacrinaLameck-yv2mu 3 ай бұрын
Sio wote 😢😢
@Rose-Anni
@Rose-Anni 3 ай бұрын
Matokeo ya kumlinda sana mtoto
@vickysteven1172
@vickysteven1172 3 ай бұрын
Yes kwa kiasi
@janethferous
@janethferous 3 ай бұрын
Yan mes mkak anakunywa na sigar anavut af anakushawish et anatak mean anae mpend lazim atumie anach tumia na sigar pia bado ukakalish masikio hapi sijui akil yako ilikuwaje ila pole yako
@arjansonmloge5608
@arjansonmloge5608 3 ай бұрын
Kweli asiyefunzwa na Mamaye hufunzwa na Ulimwengu!
@rosemofuga8101
@rosemofuga8101 3 ай бұрын
Hi dada V,
@user-nk3yq3ht4z
@user-nk3yq3ht4z 3 ай бұрын
Hii simulizi ya mess imetaka kufanana na simulizi ya zulfa alietapeliwa gari na pesa ndio huyu mess Sasa yani hajitambui hata kidogo alikotolewa Ovyooo kabisa kanikela sana sio siri
@catherinehuruku9826
@catherinehuruku9826 3 ай бұрын
Bora zulfa alitapeliwa kisomi huyu ni mjinga tuu.
@MwanahawaPembe
@MwanahawaPembe 3 ай бұрын
Huyo dada itakuwa ana matatizo sio akili ya kawaida
@maryjohn1235
@maryjohn1235 3 ай бұрын
Daah jamaani duuuh
@EmJesho
@EmJesho 3 ай бұрын
😮😮😮ndio huko umefikia mercy
@berthasamuel4507
@berthasamuel4507 3 ай бұрын
Mercy unaboa bhana
@ashelizakaria6306
@ashelizakaria6306 3 ай бұрын
Watoto wanamuiyo mutakuwa munasababish wanapt presh wazazi
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 3 ай бұрын
Mercy huyo meshack anakuharibia maisha
@blessgift7797
@blessgift7797 3 ай бұрын
Sijui ata hii hasira imetoka wap,yani nahisi harisaaaa 😡😡
@user-ly8gx4jp1v
@user-ly8gx4jp1v 3 ай бұрын
Mercy huyooo😡
@NeemaMushi-hn9oe
@NeemaMushi-hn9oe 3 ай бұрын
Tuko pamoja
@EmJesho
@EmJesho 3 ай бұрын
Wanaume baadhizi yao mashetani jamani
@user-no9lq4ym5w
@user-no9lq4ym5w 3 ай бұрын
Nasikia hasira😟😟
@jacobmwandenga3364
@jacobmwandenga3364 3 ай бұрын
Hujanifikia Mimi natamani kumpata mercy nimpasue
@berthasamuel4507
@berthasamuel4507 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@maryjohn1235
@maryjohn1235 3 ай бұрын
Duuuh huyu meshack shetani mkubwa uwii
@user-rd1cs6df8r
@user-rd1cs6df8r 3 ай бұрын
jamni dah mpka imenisikitisha
@marryjohn6472
@marryjohn6472 3 ай бұрын
Watoto ukiwakataza hawaelewi kabisa mjuto ni mjukuu
@HaliethYona
@HaliethYona 3 ай бұрын
Mmmh
@irenebazil5639
@irenebazil5639 3 ай бұрын
Wewe acha bwana
@user-qx1ho4vr4o
@user-qx1ho4vr4o 3 ай бұрын
Mwana kulitafuta mwana kulipata
@user-uu6ei1ys3k
@user-uu6ei1ys3k 3 ай бұрын
💔💔💔💔Yani japo kaka ya mercy anavyomfatilia sio siri hata sisi wasikilizaji tunaona kero 😢ila mbele yasafari tutakuja kuiyelewa kero yako kwa mercy Maana matunda nimaradhi,nandoto kuishia njoani😢
@vumi8371
@vumi8371 3 ай бұрын
🙆🙆🙆🙆
@leahmshanah6709
@leahmshanah6709 3 ай бұрын
Duuuh aisee mes pole sana kwel mapenz ni upofu huwez Kuona jema au ubaya..meshak ni tapel tena nijambaz duuuh Mungu atusaidie sana sisi mabinti
@EzekielDebora-cd2ib
@EzekielDebora-cd2ib 3 ай бұрын
Yani nimemchukia meshack
🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA MERC SEHEMU YA 8  -  APRIL 4
52:40
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 8 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 83 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 2,9 МЛН
HABARI WIKIENDI  AZAM TV  -  27/07/2024
UTV Tanzania
Рет қаралды 314
🔴LIVE :RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA HASSANI SEHEMU YA 10   -   26 JULY
57:08
🔴LIVE:  RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA MERC SEHEMU YA 7 - APRIL02
53:32
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 8 МЛН