🔴

  Рет қаралды 24,833

Global TV  Online

Global TV Online

Ай бұрын

🔴#Live: TUNDU LISSU AJILIPUA VIBAYA AKIWA MPWAPWA - AZUNGUMZA MAMBO MAZITO - RUSHWA CHADEMA...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 87
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@godlovekimaro7167
@godlovekimaro7167 29 күн бұрын
Zamani nilivyokuwa darasa la nne nilikuwa najua Zanzibar ni miongoni mwa mikoa ya Tanzania😂😂😂
@suleimancomplex2036
@suleimancomplex2036 27 күн бұрын
Duh sasa umeshakuwa na ukweli ushaupata
@user-le7ek2zs4t
@user-le7ek2zs4t 15 күн бұрын
Mungu akutunze baba usiogope kutisha kwao Mungu yuko upande wako.
@YohanaPetro-xv9tp
@YohanaPetro-xv9tp Ай бұрын
Akuna Kiongozi Wa Ccm Anae Weza Kumjibu Tundu Lisu Kwahoja Ila Watakao Ropoka niwengi
@Nyanda506
@Nyanda506 Ай бұрын
Lisu ni darasa tosha kabisa .Asante
@allenmassangwa3438
@allenmassangwa3438 29 күн бұрын
Hongera kamanda mungu akutie nguvu kwa kutetea wananchi
@kelvinathuman8545
@kelvinathuman8545 29 күн бұрын
Tindulissu ni mwamba kabisaa daah hadi nimeliaa Mungu akutunzee baba
@ElishadaiSam-rq3hl
@ElishadaiSam-rq3hl Ай бұрын
Mheshimiwa sana, uko timamu mno. Hiyo nafasi inakufaa,
@allyshaban406
@allyshaban406 Ай бұрын
Mmeyataka!!! Ccm.
@RingsonMwabulanga
@RingsonMwabulanga 25 күн бұрын
Daa! Mpinzani wa kwel mwamba wew ni mwamba
@user-le7ek2zs4t
@user-le7ek2zs4t 26 күн бұрын
Mungu akubariki mr Lisu Mungu amekuponya ili uisaidie nchi hii kupata elimu unayoitoa watanzania hatuna maarifa ndio maana ni kilio kila kona maccm yanacheka tu wanahalalisha uongo big up Mr Lisu.
@packisapaulmakwembe8176
@packisapaulmakwembe8176 Ай бұрын
Umetisha sana
@BonaBonala-bp5qm
@BonaBonala-bp5qm Ай бұрын
Usipo mwelewa Mh Huyu kajipime akili milembe auko sawa Wewe sio tundu lissu Mungu anamtumia kutuokoa wala mihogo Sisi wa tanganyika
@pdwanakaza2411
@pdwanakaza2411 29 күн бұрын
Nakukubali sna lisu
@shd12m55
@shd12m55 29 күн бұрын
Daah kuuumbee Tanganyika tumepigwa😳😳😳😳
@EliaHiluka-uz3ty
@EliaHiluka-uz3ty Ай бұрын
Hongera sanaaaaaa
@farajimmari1523
@farajimmari1523 29 күн бұрын
ZAsante kwa kutuelimisha
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn 28 күн бұрын
Hotuba nzito imejaa ukweli utafikiri unasikiliza mahubir iseeeh.Lissu kamanda kweli kweli
@geraldgedi4657
@geraldgedi4657 Ай бұрын
Na leo nembo ya Taifa siku hizi haionekani kwenye kit cha Rais au katika meza ya kutoa hotuba ya Rais , bibi na bwana hawaonekani kwenye nembo hiyo ya Taifa.
@danielkavugha189
@danielkavugha189 29 күн бұрын
Wewe ni Mwalimu. Asiyekuelewa jua tu amefundishwa ujinga Hadi amekuwa mjinga.
@bashiruwise
@bashiruwise 28 күн бұрын
Ndio maana walijaribu kumpiga risasi ikashindikana ama kweli Mungu kashampa kipawa hiki anakifanya vizuri, barikiwa Mh. Lissu
@aminieljohn5475
@aminieljohn5475 29 күн бұрын
Mheshimiwa jirani yangu mzee kinana hebu mjibu huyu bwana ukweli...usimleble mbaguzi...mwambie ubaguzi wake uko wapi...sema ukweli....ukweli utakuweka huru...Hoja za Lissu ni progressive...
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Күн бұрын
Kwani Zanzibar inaipenda Tanganyika mbona ninyi ndiyo mlianza kuhamisha kila kitu? Labda mnapenda kiunafiki kupora ardhi yetu kwa kujipenyeza kwenye ardhi ya Tanganyika. Na huyo Nyerere ndiyo atatuletea matatizo makubwa na yeye hatakuwepo.
@goodshoo4060
@goodshoo4060 29 күн бұрын
Tupo mpaka kieleweke
@godsonmosi8428
@godsonmosi8428 25 күн бұрын
Huyu mwamba ni darasa kubwa sana
@user-uv3ns8zj4m
@user-uv3ns8zj4m 26 күн бұрын
MUNGU AKUBARIKI LISU
@akramissa3393
@akramissa3393 28 күн бұрын
Mimi sijawahi acha kuwapigia chadema kura hata kama najua wanaibiwaga kura
@irenekitomary7271
@irenekitomary7271 Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@paulmabena5684
@paulmabena5684 29 күн бұрын
Shida kidogo mkuu sera ya chama chetu inahitaji kuongelewa acha hadithiiii Lisuuu, sheria unauja sawa
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 29 күн бұрын
Jifunze elimu hiyo anayokupa Lisu wala hulipii pesa ccm hawawezi kukuelimisha kama hivyo.
@aminieljohn5475
@aminieljohn5475 29 күн бұрын
Muungano wetu ni Hollow trinity!!..hollow!!......
@user-le7ek2zs4t
@user-le7ek2zs4t 26 күн бұрын
Mwandishi acha uchawa Lisu sio kajilipua Lisu katoa elimu ya ubaguzi,madini na kikokotoo kilichopandikizwa na maccm
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Ай бұрын
Hiyo la kuhamishwa. Je, wameuza bandari kweli? Mbona tangu kwenye SERIKALI zote bandari zilikua zinaendeshwa na makampuni kutoka inje? Sidhani ameuz bandari kwa upande wangu au mbuga za wanyama. Kuhamishwa watu masai na watu wengine hiyo sidhani kuna kosa kama wamepewa pakuishi. Kwakua hata hapa Marekani ikiwa SERIKALI inahitaji eneo husika ambayo haimiliki wawekezaji wanafidia na kuchukua maeneo na watu kwenda kununua au kukodi baada ya kufidiwa
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Күн бұрын
Wandishi ndiyo machawa wakubwa. Kwanza huwa hawaongei kuhusu matatizo ya CCM hata wanaccm wakisema matusi kwa wanainchi huwa hawawezi kuziandika sasa hao ni waandishi. Ni wachawa tu wa CCM.
@user-vh9wt8zh4n
@user-vh9wt8zh4n 26 күн бұрын
Kisu kimeingia kwenye mfupa
@rajabmsinzia1715
@rajabmsinzia1715 Ай бұрын
Lisu kuhusu Muungano upo sahihi bhana asilimia Mia moja na Wazanzibari wanakusapoti asilimia Mia moja ila hayo mengine ni yako mwenyewe
@AMOUTOPARTS
@AMOUTOPARTS Ай бұрын
CCM daima ni propaganda kwa kila jambo yaani siku Hadi siku
@kenanmwabamba
@kenanmwabamba 29 күн бұрын
Hoja zote ulizo ongea zinaeleweka sana. Na hawawezi jibu maana wametufanya mambumbumbu wananchi.😮
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 29 күн бұрын
Je angeshinda uraisi Salim Mwalimu angekua nani? Na je angeuvunja Muungano?? Au kwa vile kaukosa uraisi ndio anajisika vibaya??
@ImamFarid-we9pl
@ImamFarid-we9pl 29 күн бұрын
Huyu ni mbbaguzi 😂😂
@eliasjimmy1821
@eliasjimmy1821 25 күн бұрын
Huu Muungano uvujike tu
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 29 күн бұрын
Tanzania kweli Rais ana madaraka makubwa sana. Hasa kwenye uteuzi. Ni kama yeye ndo anakaa anateua nchi nzima na kutengua. Ambao wanataka kupata nafasi wazishindanie kutokana na qualifications zao. Ili tuanze kuona namna watu wanarogana. Kwenye uchaguzi....hata kenya ambapo Chadema wanasifia mbona chaguzi wanasema kua SERIKALI imeiba. Kwahio hata Marekani ambapo rais hawachagui Rais isipokua watu 538 ambao ndo wanamchagua Rais na wakwanza kupata kula 270 ndo automatically anatangazwa kua Rais. Tunawasifia kila siku lakini hata uchaguzi wa kwao mbona una kelele? Kwahio hata aje Mungu kutufanyisha uchaguzi na ushenzi wetu tutaishia kupinga matokeo. Mfano hata kwenye makanisa pangekua panafanyika uchaguzi wakuwateua wachungaji, utadhani pangekua na maneno ya kua wamepakwa mafuta na kutudanganya kua mungu ndo amewateua wakati Mungu tunajua kua hateui watu baada ya watu kua na akili zao
@visionstudios6804
@visionstudios6804 Ай бұрын
Kwan mama Abdul ni Nani?
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 29 күн бұрын
Rais Samia
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 Ай бұрын
Hao unaongea nao usidhani ni wajinga. Kwani wao hawaoni maendeleo yaliyofanyika?
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Күн бұрын
Hapa siyo kuvunja muungano bali kuweka muungano sawa. Kwanini kuwa na muungano wa upande mmoja? Kwa sababu Mzee Warioba alipokuwa anaelezea kuhusu Zanzibar alipokuwa anaelezea kuhusu muungano alisema Zanzibar wamehamisha kila sheria iliyokuwa kwa ajili ya muungano wamehamishia Zanzibar. Zanzibar ni Inchi kamili ina waziri wake wana serikali yao sasa kuna muungano gani. Mtanganyika huwezi kushika hata ujumbe wa nyumba kumi. Sasa Tanganyika iliungana na Inchi gani? Sasa kwa nini tusikatae? Tundu Lissu Zanzibar inatunyonya tu tuna wabunge 80 wanakula pesa za bure. Muungano uko wapi? Tunaachia watoto wetu mzigo tu. Na kwa vile hawaelewi watawafanya watumwa wakati hatupo! Waelimishe hawa watu ambayo wanadhani kuna muungano.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Күн бұрын
Na huyu mzanzibari kwa nini auze mali ya Tanganyika? Kwa nini kwa muda mfupi ambavyo aliingia kwa sababu ya KATIBA aweze kumaliza awamu ya 5 ya Magufuli kwa nini akabadilisha kuwa awamu ya 6? Alifanya hivyo ili apate kujipenyeza kugombea uraisi kwenye awamu iliyokuwa inaanza 2025. Mungu mshughulikie kwa sababu wewe Mungu unapenda haki hupendi unafiki wa hawa CCM. Watoto toeni uongo wa CCM msije mkawa watumwa wa warabu tena.
@geraldgedi4657
@geraldgedi4657 29 күн бұрын
Kwanza mshahara wa Rais ni kiasi gani kwa mwezi naomba tufahamishwe wananchi maana sie ndo waajiri wake.
@sambigaTZA
@sambigaTZA 28 күн бұрын
Sasa unaanzaje kuajiri mtu bila kupanga na kujua mshahara wake ?? Tatizo limeanzia kwako 😅😅😅
@user-lp4fi7bx9q
@user-lp4fi7bx9q 27 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 29 күн бұрын
Chadema hawaipendi Zanzibar na wananchi wake na ndio maana hata wazanzibar ktk chama chao ni mmoja tu..
@MuhungaMasengo-og3vk
@MuhungaMasengo-og3vk 29 күн бұрын
Unastahili kufungwa unapotosha watu umekimbiya kodi zawatoto wako siyo kweli kakimbiya kodi ubelijiji kazi kweli kweli
@user-gr9px4pi2w
@user-gr9px4pi2w 29 күн бұрын
Sasa na Sumaye na lowasa na wengine wengi walienda chadema na rushwa? Huyu mzee mbona sikuelewi vizuri
@richardnganya2311
@richardnganya2311 29 күн бұрын
Mamluki
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 Ай бұрын
Mbaguzi mkubwa wewe. Tuache wanawake .
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 29 күн бұрын
Ongea sera za chama chako acha kuimba taarab
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 29 күн бұрын
Utakuwa chawa wewe
@geraldgedi4657
@geraldgedi4657 29 күн бұрын
Kichaa peke yake ndo anaweza kutoa maoni ya hovyo namna hiyo.
@rashidyusuphwewenimtotowam1761
@rashidyusuphwewenimtotowam1761 29 күн бұрын
Hòngera sana lisu namim nimejua nin mana ya mungano nilikuwa naishi tu kula na kunya
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 29 күн бұрын
Ukimsikiliza huyu Lisu utajifunza mengi ambayo hujawahi kuyasikia kutoka kwa viongozi wote wa CCM mchukie Lisu lakini wengi wanaendelea kujifunza kupitia yeye kwa sababu ni mkweli.
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 Ай бұрын
Kichaa kabisa
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 29 күн бұрын
Kama baba Yako aliekurisisha uchawa
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 Ай бұрын
Huyu akapimwe akili.sera wapi.kulalama tu
@WinfridaFabian
@WinfridaFabian 29 күн бұрын
Sera n tunataka Tanganyika yetu
@hajishabani6913
@hajishabani6913 29 күн бұрын
kwel kbsa
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Ай бұрын
WAPINZANI badala ya kuongelea sera zao WANANCHI WANATAKA MAJI safi na ajira kukuwa kwa UCHUMI na Afya kwa WANANCHI badala yake WANAZUNGUMZIA Raisi katoka wapi wakati UK inaongozwa na muhindi lakini watu wanaangalia leadership na experience 😢😢😢😢😢😢
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 Ай бұрын
Maji safi yapo?miaka 60 maji madawa yapo hospital?unataka waongelee nini wewe chawa? Jitambue kidogo basi
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Ай бұрын
@@mbwanahasan2971 WEWE PINGA WENZAKO WANAGAWANA RUZUKU HALAFU WEWE HELA YA BANDO NI SHIDA
@erickmsigala138
@erickmsigala138 Ай бұрын
Akili ya mpumbavu hakuna cha kujifunza zaidi ya utahira
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Ай бұрын
@@erickmsigala138 AKILI KILA MTU ANA NYWELE MIMI SIFATI MKUMBO LAKINI WAPINZANI BADO SANA HATA MDUDE AKISIMAMA CCM CHADEMA HAWATOBOI SABABU WANARUKARUKA BILA SERA MPAKA MATUKIO YAJE NDIO WANABWEKA 🤪🤪🤪🤪🤪
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 Ай бұрын
Hawawezi kuzungumzia maji na afya kwasababu hawakusanyi kodi,wapinzani duniani kote kazi yao ni kuikosoa serikali iliyopo madarakani.
@Ba63828
@Ba63828 Ай бұрын
Chizi
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 Ай бұрын
Chizi mama Yako
@Ba63828
@Ba63828 Ай бұрын
@@mbwanahasan2971 mashoga nyie pamoja na walokuzaa pumbavu yobo
@user-uq5vm2ge4q
@user-uq5vm2ge4q Ай бұрын
Mshenzi ww
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 Ай бұрын
@@Ba63828 umetaja ushoga wewe inaelekea ndio shoga hakuna anaetaka nyoro lako hilo bwabwa wewe
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 Ай бұрын
@@Ba63828 choko wewe unaonekana tu
@user-le7ek2zs4t
@user-le7ek2zs4t 26 күн бұрын
Mwandishi acha uchawa Lisu sio kajilipua Lisu katoa elimu ya ubaguzi,madini na kikokotoo kilichopandikizwa na maccm
🍟Best French Fries Homemade #cooking #shorts
00:42
BANKII
Рет қаралды 45 МЛН
The delivery rescued them
00:52
Mamasoboliha
Рет қаралды 7 МЛН
CHEKI FASTA: Lissu ANAONGEA na NCHI, DUNIA nzima Inamfuatilia!!
42:11
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 11 М.
PROF KABUDI AWARUDISHA WABUNGE SHULENI KWA DAKIKA 13 ASHUSHA NONDO
13:07
🍟Best French Fries Homemade #cooking #shorts
00:42
BANKII
Рет қаралды 45 МЛН