#live

  Рет қаралды 17,655

ARISE AND SHINE TANZANIA

ARISE AND SHINE TANZANIA

Күн бұрын

Пікірлер: 65
@Margaret-s4c
@Margaret-s4c 2 күн бұрын
Naomba nipate mme sahihi toka nje ya Tz akawe Baba wa watoto wangu mapacha 3 katika jina la Yesu, nashukuru nimepokea AMEN ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@PendoShilya
@PendoShilya 2 күн бұрын
Asente mungu nimeokea kwa jina la yesu amena
@sarafinamangasila6267
@sarafinamangasila6267 2 күн бұрын
Najiunganisha na Ibada hii ya kutawala na kumilik ktk maisha yangu napokea maombi yangu 12 kabla ya mwez huu kuisha amen
@DorrinDanken
@DorrinDanken 2 күн бұрын
Naitwa Doreen natokea kyela naomba kwenye kongamano La leo uwafungue watoto wang wafunguliwe katika kifungo cha Giza na wafaulu masomo yao, na pia wafunguliwe katika maisha yao na wawe wenye baraka Tele na hekima ya kumjua mungu amen
@AshaKalambo
@AshaKalambo 2 күн бұрын
Mungu nimepokea miujiza yako kwa utukufu wako ameen
@Margaret-s4c
@Margaret-s4c 2 күн бұрын
Daima nitamiliki na kutawala, kiuchumi,kikazi,kibiashara,kilimo na ufugaji na kifamilia kwa jina la Yesu. AMEN
@Margaret-s4c
@Margaret-s4c 2 күн бұрын
Yesu wangu naomba upangue maisha wangu niweze kukiliki n kutawala kwa Jina la Yesu. AMEN
@MgombaNdizi
@MgombaNdizi 2 күн бұрын
Mungu naomba watoto wangu wafauli masomo yao na maisha yao yawe yenye mafanikio
@ElizabethRumbael
@ElizabethRumbael 2 күн бұрын
Mungu naomba uniponye kila ugonjwa ulioko ndani ya tumbo langu kwa jina la yesu na biashara ya mume wangu mungu unibariki na kuitakasa spare kazi na azidiwe na wateja kwa jina la yesu
@RachelPoul-r8x
@RachelPoul-r8x 8 сағат бұрын
Mungu nisaidie wale panya waiishe kibandani kwangu mungu nipe majibu mapema Sana watoke kwa jina yesu
@ShadyaJuma-k2h
@ShadyaJuma-k2h 2 күн бұрын
Mungu Naomba safar yangu ikawe nzur baba nisafiri tarehe 15 isifike baba niondoke Tanzania baba
@PendoShilya
@PendoShilya 2 күн бұрын
Napokea kwa jina la yesu amina
@ElizabethRumbael
@ElizabethRumbael 2 күн бұрын
Naomba mungu anitendee kwenye kongamano la siku ya leo anifungue kila vifungo na mungu anibariki nipate ujauzito ninaamini kwa jina la yesu
@Margaret-s4c
@Margaret-s4c 2 күн бұрын
Nitamiliki na Kutawala kwa Jinan la Yesu. Amen
@MgombaNdizi
@MgombaNdizi 2 күн бұрын
Mungu naomba huu mwaka nimiliki na kutawala kwenye ndoa kiuchumi na kiafya
@Margaret-s4c
@Margaret-s4c 2 күн бұрын
Mungu wa Madhabahu ya Inuka Uangaze naomba mwaka huu 2025 nifanikiwe kupata mume toka nje ya nchi, pia nifanikiwe kuzaa watoto mapacha 3 ktk jina la Yesu. Daima mwaka huu nitamiliki na kutawala. Ameen
@MgombaNdizi
@MgombaNdizi 2 күн бұрын
Mwaka 2025 mungu naomba mme wangu anisamehe na arudi nyumbani mungu naomba roho ya hekima
@chillan.Jovith
@chillan.Jovith 2 күн бұрын
Mungu naomba uipe yanga ushindi leo kwajinalayesu ameen 🙏
@pejesalum615
@pejesalum615 2 күн бұрын
Nataka Neema amiliki na kutawala kwenye masomo yake Amina
@BernardAustin-n7k
@BernardAustin-n7k 2 күн бұрын
mungu naomba kupitia haya maombi naomba muponye mama yangu mossi makwaya
@KaumbyaCyprian
@KaumbyaCyprian Күн бұрын
Mungu naomba nipate mme sahii
@ElizabethRumbael
@ElizabethRumbael 2 күн бұрын
Mwaka 2025 naomba mungu nimiliki na kutawala kwenye uzao ndoa biashara na mungu anipe Imani amen
@BernardAustin-n7k
@BernardAustin-n7k 2 күн бұрын
mungu. me fatuma naomba kupitia haya maombi naomba mwanaume wangu kengey hii week apate pesa mufungulie Jia zake
@ShadyaJuma-k2h
@ShadyaJuma-k2h 2 күн бұрын
Leo hii upako Napokea ameen
@jacquelinegeorge5388
@jacquelinegeorge5388 2 күн бұрын
Karibu Roho mtakatifu ndani yetu
@RobinaMatiku-vo3qu
@RobinaMatiku-vo3qu 2 күн бұрын
Namuomba mungu amufanye mchumba angu anitolee mahali na tufunge ndoa mwezi wa3 kama alivyo niahindii
@UdahGama
@UdahGama 2 күн бұрын
Namm Leo nafunguliwa kwa jina la yesu
@AgnessEvaristo
@AgnessEvaristo 2 күн бұрын
Najiunga Isha na hibada hi mungu anisaidie kutoka apa nilipishililiwa na emmagresheni na passport yangu igongwe muuli
@sarafinamangasila6267
@sarafinamangasila6267 2 күн бұрын
Leo napokea amen
@WilliamBabingwa
@WilliamBabingwa 2 күн бұрын
Naomba ufungulivu wasafari yangu kwamwakahuuu
@Iptysam-r8s
@Iptysam-r8s 2 күн бұрын
Mungu naomba nipone leo
@AnchilaRobert
@AnchilaRobert 2 күн бұрын
Amina naamini
@chillan.Jovith
@chillan.Jovith 2 күн бұрын
Nakuombea baba yangu afunguliwe uchumi
@ShadyaJuma-k2h
@ShadyaJuma-k2h 2 күн бұрын
Mungu nisaidie mmewangu arudi Hassan I Leo hii anitafute
@jacquelinegeorge5388
@jacquelinegeorge5388 2 күн бұрын
Namiliki na kutawala kwa jina la Yesu
@ShadyaJuma-k2h
@ShadyaJuma-k2h 2 күн бұрын
Nikasafir baba safar yngu ikawe nzur baba Damu y yesu ikanifikie Leo hii baba
@sarafinamangasila6267
@sarafinamangasila6267 2 күн бұрын
Amen
@ElizabethRumbael
@ElizabethRumbael 2 күн бұрын
Nitamiliki na kutawala kwa jina la yesu
@AweMagdalena
@AweMagdalena 2 күн бұрын
Ee Mungu najiungamanisha saa hii na mtume bonofece Mwamposa
@sarafinamangasila6267
@sarafinamangasila6267 2 күн бұрын
😅 Napokea amen
@Margaret-s4c
@Margaret-s4c 2 күн бұрын
Ameen
@Margaret-s4c
@Margaret-s4c 2 күн бұрын
Siku yamukesha usio saulika nilipoteza simu yangu nikaweka nikajiungamanisha kwenye radio ili simuyangu ipatikane baada yamda yule alie iyokota akapiga sm kwa dadaangu akamwambia nifate nikafata nashukuru mashabau yainuka uwangaze mtume Boniface Mwamposa mwenyezi Mungu ampe miaka ming aombeeh na vizazi vijavyo
@sarafinamangasila6267
@sarafinamangasila6267 2 күн бұрын
Amen
@NimsiimaIsaka
@NimsiimaIsaka 2 күн бұрын
Aminaaaaaaaaa
@asinamkally1007
@asinamkally1007 2 күн бұрын
Naomba kwenye kongamano la leo limfungue mtoto wangu limponye mwanangu malazi yanayimpata mara kwa mara
@ImelidaMethodi
@ImelidaMethodi 2 күн бұрын
Naomba elida amiliki na kutawala chuoni
@annastevensteven9515
@annastevensteven9515 2 күн бұрын
Mungu natak watot wang wapendan na wapat marafik sahih ns.wakujuw ww na.waache ujeuri na.kunizarau na waache kunibia hel dukani apa
@annastevensteven9515
@annastevensteven9515 2 күн бұрын
Mungu natak kma kuna mtu alinitengenezea madhabau ykutoka damu mume wangu akirud nyumba nakuomba mung.ilitatiz liisha na blidi yang nakuomba niwe naend.siku tat tu
@ShadyaJuma-k2h
@ShadyaJuma-k2h 2 күн бұрын
Leo Napokea upako baba namin baba yasr atanitafuta Leo baba
@chillan.Jovith
@chillan.Jovith 2 күн бұрын
Naomba huu mwaka nikatawale na kumiliki
@JosephPeter-f5r
@JosephPeter-f5r 2 күн бұрын
Mumngu mwaka huu nataka nimiliki gari yangu nyumba yangu namke sahii
@Semenimkwinda
@Semenimkwinda 2 күн бұрын
@annastevensteven9515
@annastevensteven9515 2 күн бұрын
Mungu natak wale wot wanaonizaru nakutokunisalimia.mung mung naomb uniheshimishe
@ZiporaObed
@ZiporaObed 2 күн бұрын
Kupitia maombi haya mungu ukanijibu mahitaji yangu yote
@annastevensteven9515
@annastevensteven9515 2 күн бұрын
Natak nipopat pes yasitokee matatiz na nipat pes muda muafak
@annastevensteven9515
@annastevensteven9515 2 күн бұрын
Natak mwak huu nimilik nakutawala mim na mume wang
@ImelidaMethodi
@ImelidaMethodi 2 күн бұрын
Nataka elivia amiliki na kutawala masomo
@ShadyaJuma-k2h
@ShadyaJuma-k2h 2 күн бұрын
Upako ukanifikie Leo jumapil ebaba
@filomenambawara
@filomenambawara 2 күн бұрын
Amee
@annastevensteven9515
@annastevensteven9515 2 күн бұрын
Natak usk nipat uck na kinacho ninyima usingiz kiondok
@annastevensteven9515
@annastevensteven9515 2 күн бұрын
Mung natak anayechez na maish yangu aw ndug yng rafik jirani au mawif zangu au mashangaz zang au ndug yoyot wa baba jos au.wake wenzang naomba kiwarudiy
@annastevensteven9515
@annastevensteven9515 2 күн бұрын
Natak watot wang wamilik nakutawal kweny masomo yao
@annastevensteven9515
@annastevensteven9515 2 күн бұрын
Mung natak kinachoniletea ndot za ajabu ziondoke
@BihusiMagogo-ci7vr
@BihusiMagogo-ci7vr 2 күн бұрын
NAITWA BIHUSI MAGOGO ÑATAKA KUMILIKI NA KUTAWALA KIFYA NA KIUCHUMI BWANA NATAKA NIWE JUU ZAIDI MWAKA WA KUINUKA NA KUANGAZA
@NimsiimaIsaka
@NimsiimaIsaka 2 күн бұрын
Aminaaaaaaaaa
#live : [14.01.2025 ] OPERATION KOMBOA FAMILIA (MAOMBI 12)
2:01:06
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 10 М.
JESUS (Swahili: Kenya) 🎬
2:01:45
Jesus Film
Рет қаралды 4 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
#live : [12.01.2025 ] KONGAMANO LA UPAKO WA KUMILIKI NA KUTAWALA
4:38:13
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 7 М.
#live : [14.01.2025 ] IBADA YA MAOMBI,MAOMBEZI NA KUFUNGULIWA
3:35:35
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 5 М.
5 "KUVUNJA MIZUNGUKO YA KIROHO INAYOJIRUDIA - RUDIA ILI KUKUKWAMISHA" || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
4:00:27
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 35 М.
UAMKAPO ASUBUHI FANYA HIVI.
6:34
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 318 М.
MAOMBI YA KUVUNJA MADHABAHU ZINAZOPINGA FAMILIA .
14:05
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 77 М.
1 "KUVUNJA MIZUNGUKO YA KIROHO INAYOJIRUDIA - RUDIA ILI KUKUKWAMISHA" || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
2:25:57
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 55 М.
HAUJAZALIWA UWE MASIKINI.
19:15
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 31 М.
BABA yangu ni Mkuu kuliko wote| Bishop Dr. Josephat Gwajima | 12.01.2025
6:42:02
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 7 М.
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН