Walijuaje kuwa mna kuja na ndege. Kuna mtu anapeleka taarifa.?poleni sana.
@rithersospeterkati33552 ай бұрын
Poleni sana.
@Hyun6262 ай бұрын
Oh my God too much!
@nasramusaro2 ай бұрын
Jamani mbona kama walikamata majambazi
@donaldmaziku79152 ай бұрын
Sugu kaumizwa zaidi, maana aliharibu dili la kumtumia msigwa ndani ya chadema.
@gililwise2 ай бұрын
Nauliza kwa nini waziri na IGP msijiuzulu? NIMEENDA.LEBA MTOTO ANAUMA.JAMANI KWA NINI MNAWATESA WATOTO wa wenzeni enyi polisi wa kiume ambao hamuendi Leba?Ee Mungu shughulika na hao polisi ikiwezekana wafe sikia ombi langu ee Mungu.
@Uhuru-s8c2 ай бұрын
Msigwa achunguzwe kwenye hili
@peterantony58902 ай бұрын
Haki huinua taifa, bali dhambi ni aibu kwa watu wowote.
@emanuelsinyinza2 ай бұрын
Serikari ya kaburu na serikari hii tofauti yake ni nini. Kama anavyo eleza. Kama ni kweli.