#Live

  Рет қаралды 16,611

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер: 71
@ElijahAmon-uq6zk
@ElijahAmon-uq6zk 10 ай бұрын
Huwa napenda sana mafundisho unayofundisha ninajua unaongozwa na roho mtakatifu MUNGU akubariki sana the man of god
@tamarali8325
@tamarali8325 Жыл бұрын
Wana Promover ninawapenda Bure. Barikiweni. Pastor Katekela your my favourite Pastor God Bless you. I love you in the name of Jesus
@isayanyingi6387
@isayanyingi6387 Жыл бұрын
Daa! Member of promover tv Sina neno ila Mungu awapinganie ktk ufanyaji kazi wa kazi ya Mungu,,,,,, akubaliki
@StellahKadesa-bg8rc
@StellahKadesa-bg8rc Жыл бұрын
Hello pastor am a Kenyan but currently in Saudi Arabia I've been following the preaching and is like everything you've preach today is about me and my family but as you were praying today I've feel the power of the Holy Spirit and I believe me and my family tumekombolewa
@VeronicaPaul-d4d
@VeronicaPaul-d4d Жыл бұрын
Amina bb mimi velonika niko mwdui shinyanga nabalikiwa saaan na MUNGU wa binguni akulinde daima uendelee kuwa fichua hao mashetani
@NdayiTitia
@NdayiTitia Жыл бұрын
Mungu hapendi maombi ya lawama na manunguniko anapenda sifa na shukrani
@mgallahtv4704
@mgallahtv4704 Жыл бұрын
Nimekuwa nikijifunza mafundisho haya .....na kwenye maono shetani akija natambua njia zake na kuzikataa Yesu ndiye Mfalme na kwake Kila goti litapigwa
@YESUNIBWANA84
@YESUNIBWANA84 Жыл бұрын
Amen Amen Amen 🙏 🙌 nimefunguliwa kwa Damu ya YESU KRISTO AMEN 🙏 🙌
@StephanChanzi
@StephanChanzi Жыл бұрын
Amina pastor katekela utukufu Kwa Mungu
@tumumasha1568
@tumumasha1568 Жыл бұрын
Wambie mtumishi wamezidi, badala ya kufundisha watu wamjue Mungu , na toba hao ni toa utabarikiwa tuuu
@daisymuthoni675
@daisymuthoni675 Жыл бұрын
Nahisi haya mahubiri ni yangu na jamii yangu barikiwa sana mchungaji naamini nimefunguliwa Amen
@estheridzah64
@estheridzah64 Жыл бұрын
Ndio Yesu uponyae,hakunaMungu kama wewe🙌🙌🙌🙏🙏🙏
@everlynemiriam5943
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Amen Amen glory to God be blessed alot man of God
@esterpeter8295
@esterpeter8295 Жыл бұрын
Kweli MCHUNGAJI hata mim Hilo tamashalilinishangaza sana Roho yangu ikaugua sana
@lucylyale7169
@lucylyale7169 Жыл бұрын
Sema tupone baba,, barikiwa milele🙏🙏
@AgnesKalinga-if3uf
@AgnesKalinga-if3uf Жыл бұрын
Pastor, Mungu akutunze maana unanena yote imekuwa kama kioo Kila anayekusikiliza anayaona maisha yake yote
@edwardmukama9607
@edwardmukama9607 7 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu Katekela naomba namba ya simu niweze kuwasiliana na wewee
@rosemaryalex9786
@rosemaryalex9786 Жыл бұрын
Mtumishi ubarikiwe kupitia mafundisho yako na Shuhuda zako nimefunguliwaa mmooo yani namtukuza YESU aliekutuma
@emmysarikiurio6445
@emmysarikiurio6445 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi yaani dah
@joyyjoyy5474
@joyyjoyy5474 Жыл бұрын
Ongea mtumishi watu wapone, Aminaa
@raelnangila3006
@raelnangila3006 Жыл бұрын
Mungu akulindee muchungaji wa mungu
@lenahmuia6023
@lenahmuia6023 Жыл бұрын
Kuibiwa,kuzimishwa na kufungwa kwa nyota ya mtu ni suala ambalo halihubiriwi kanisani hata makanisa ya kiroho ila Hali Roho mtakatifu ni mmoja. Bona
@evermayala5817
@evermayala5817 Жыл бұрын
Machukizo ni Mengi mbele ya Mungu wetu tunayoyatenda. Mchungaji anaongea bila kuficha na kwa uchungu. Inauma
@mathiasjoseph6920
@mathiasjoseph6920 8 ай бұрын
Hiyo ndyo injiri ya mungu Yuko vizur tatzo hajui kuwa wachungaji wenzake wanapelekeshwa na wazungu. Soma isaya 28 utajua anachokiongea
@sarahkishaluli6087
@sarahkishaluli6087 Жыл бұрын
MUNGU akulinde uendelee kutusaidia kiroho na kimwili
@mariakalama3014
@mariakalama3014 11 ай бұрын
Mungu akutie nguvu mchungaji mwema 🙏
@gerardineakima1766
@gerardineakima1766 Жыл бұрын
Hallelujah hallelujah niko nafunguliwa MUNGU Apewe sifa🙌🙌🙌😭😭😭
@neemakamgisha2951
@neemakamgisha2951 Жыл бұрын
Barikiwa Sana mchungaji
@estheridzah64
@estheridzah64 Жыл бұрын
Amen🙏,Asante Yesu kwa kunifungua.🙏🙏🙏
@mabelgreatverypowerfulspir3470
@mabelgreatverypowerfulspir3470 Жыл бұрын
Wacha Bendera ya Kristo ipepeeee. Tunabarikiwa sana.
@amishambar3418
@amishambar3418 Жыл бұрын
Amen amen JESUS IS LORD 🙏
@AzAz-sy6zp
@AzAz-sy6zp Жыл бұрын
Kweli kbx ubarikiwe mtumish
@everlynemiriam5943
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
P. Amiel please pray for me kidole yangu ya 5 (gumba) kinauma Sana kinawaka kama moto wa GAS
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Pray yourself
@efgeniashayo8531
@efgeniashayo8531 6 ай бұрын
Mchungaji, Nakuelewa sana. Ila nakuomba unisaidie Nifanikiwe sasa! Uchumi! Elimu:Wepesi wa kufanya Tafiti nyingi, Kuandika machapisho yenye Viwango, Ku'Publish' sana! Na Biashara zangu zipate wateja weeengiii...masoko mengi mpaka nishangae!
@dankiragu720
@dankiragu720 Жыл бұрын
PROMOVER TV KINDLY ARRANGE FOR A SESSION ON DREAMS AND INTERPRETATION AND THE WAY OUT IN PRAYERS.... KINDLY YOU CAN ARRANGE WITH THE TEAM.. FROM KENYA
@daphine8229
@daphine8229 Жыл бұрын
True,mchungaji anaonekana ako na kipawa cha kutafsiri ndoto.
@noelashaoona
@noelashaoona Жыл бұрын
Fr
@PromovertvTz
@PromovertvTz Жыл бұрын
Amen
@floramongi1410
@floramongi1410 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji napenda sana kusikiliza injili Yako inaishi
@lukresiajohn2177
@lukresiajohn2177 Жыл бұрын
Sema ukweli baba kanisa lipone
@mamertarweyemamu3438
@mamertarweyemamu3438 8 ай бұрын
Tunaomba uje mwanzA. Tunaomba ututangazie. Tunakutafuta kwenye simu hatukupati.tunapata ya kwenye tv😅
@Priska247
@Priska247 Жыл бұрын
MCh please ongeya nahawo waimbaji ju wameingiza confusion muwatoto wetu yani Mungu tu awahurumiye
@akothchristine4752
@akothchristine4752 Жыл бұрын
Amen and amen 🙏🙏🙏
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Kumbuka Wanangu Kizo na Leonce Nyota Zao Zirudi Ee Yesu
@naomirabanibushury1538
@naomirabanibushury1538 Жыл бұрын
Barikiwa Sana naomba namba ya cm mtumishi wa Bwana
@everlynemiriam5943
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Amen Amen naitaji damu ya yasu
@esterpeter8295
@esterpeter8295 Жыл бұрын
Natamani mje mwanza mtumishi
@everlynemiriam5943
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Nime choka na maisha yasiyo yangu minara ya majini
@esthermwaigwisya1775
@esthermwaigwisya1775 Жыл бұрын
Bwana aliponye kanisa lake.
@ameokichaka9456
@ameokichaka9456 Жыл бұрын
Duuu aiseee,watoto kumbe
@harrietsigalla9598
@harrietsigalla9598 Жыл бұрын
Naomba Akaunti namba yenu ya CRDB. nitume sadaka yangu Nipo Dubai
@PromovertvTz
@PromovertvTz Жыл бұрын
Tutafte What'sApp +255784074462
@marthaumazi2197
@marthaumazi2197 Жыл бұрын
Hiyo ni ukweli jamani Mungu arehemu kanisa.
@anneedward6981
@anneedward6981 Жыл бұрын
Nakomboa urithi wangu
@patrickpaandi6759
@patrickpaandi6759 Жыл бұрын
Amieli Daniel Katekela Yeledi wewe umenifundisha ginsi napaswa kuomba
@RAYMONDKORNEL-gb8ty
@RAYMONDKORNEL-gb8ty Жыл бұрын
Mchungaji Mimi nina kifungo Cha kupiga punyeto lakini kanisani naen daga je nifanyeje Ili Hali hii iondoke
@imagepower3641
@imagepower3641 Жыл бұрын
Hiyo ni roho. Mwambie mchungaji akuombee
@AngelShukur-df4rq
@AngelShukur-df4rq Жыл бұрын
Amen
@ameokichaka9456
@ameokichaka9456 Жыл бұрын
Sasa mbna picha zinazima?
@VictoriaMachozi
@VictoriaMachozi Жыл бұрын
Amen Amen 🙏
@rahelstanley
@rahelstanley Жыл бұрын
🤣🤣manabii wa yanga na Simba.
@naomirabanibushury1538
@naomirabanibushury1538 Жыл бұрын
Baba mi ndoto mbaya zinaniandama kufanya mapenzi ndoton na kula nyama nifanye nini kujikomboa? Nipo geita mjini
@everlynemiriam5943
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Nyota yangu imefungwa
@Priska247
@Priska247 Жыл бұрын
Amena!
@EliaMwaijumba
@EliaMwaijumba 10 ай бұрын
Manabii wa maokoto anatabilia mpila wa yanga na simba
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
🤣🤣🤣Bishop Gwajima husema ati mtu anaombea chakula ati Mungu shuka ubariki chakula kwa hivyo Mungu awache shughuli zake aje nyumbani kwako nahapo akatufunza jinsi ya kutumia malaika
@carolinekandie8499
@carolinekandie8499 Жыл бұрын
Nisaidie number ya mchungaji nateseka sana
@nalogwamakala8494
@nalogwamakala8494 Жыл бұрын
Ndugu nenda kanisa lolote la wokovu ukajieleze utasaidiwa
@everlynemiriam5943
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Amen Amen
@everlynemiriam5943
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Amen Amen
小路飞和小丑也太帅了#家庭#搞笑 #funny #小丑 #cosplay
00:13
家庭搞笑日记
Рет қаралды 10 МЛН
Lazy days…
00:24
Anwar Jibawi
Рет қаралды 8 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 18 МЛН
#LIVE: HII NDIO SWALA YA ISTIKHARA - (WADHAKKIR)
1:21:34
Kishki Online TV
Рет қаралды 3,5 М.
2.KUSHUGHULIKIA MADHABAHU ZA KISHETANI SIKU YA PILI(2)
4:05:42
MAJINI NA NGUVU  ZA MUNGU
7:01
Ki home home Tv
Рет қаралды 35 М.
UNAPOHITAJI MCHUMBA ZINGATIA!!!!
24:24
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 97 М.
Ee mungu wangu medrick sanga
9:24
Lydia Andicha
Рет қаралды 109 М.
KAMA HUMUAMINI MASANJA SIKILIZA MAHUBIRI HAYA #FREECHURCH #MASANJA #MKANDAMIZAJI
10:24
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 19 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
2:26:34
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 49 М.
小路飞和小丑也太帅了#家庭#搞笑 #funny #小丑 #cosplay
00:13
家庭搞笑日记
Рет қаралды 10 МЛН