Story nzuri sana muuliza maswali anauliza maswali ya honyo hovyo
@djnizoh9 күн бұрын
Kusoma comment yangu tu kuandika ya kwako aaaah😂😂
@EzraManiratanga-hb9wo18 күн бұрын
Amen tena Asante sana. Basi tunaomba part 3 na zifuatazo ❤
@mahomamahoma77525 күн бұрын
Yaaani unamfanya Mzee ashindwe ku flow ungemwachaa aelezee Kisha maswalii yaje mwisho
@kilalamuhumba461225 күн бұрын
Ungemuacha mzee aongee tu maswali yako yanakera maana tayar tulishamuelewa wew unarudia
@barackbrysonramsey20 күн бұрын
Umekua muongeaji kuliko unae mhoji.
@marionoti576027 күн бұрын
Acha uwongo, hadaa, na ghiliba ili kuwarubuni wana wa Mungu mwanafiale.
@ancecalkitalika760628 күн бұрын
Nilimwona mara ya kwanza pale Makalala Chuo cha Makatekista, siku ya mahafali, akaonyesha michezo kama kuzuia gari kwa mkanda kwa meno yake; kuushinda umati wote wa watu KWA kuvuta kamba; Landrover kupita kifuani n.k.
@ceciliagilbert9736 ай бұрын
Tunaomba no 3
@HildaMyagila8 күн бұрын
Mda mwingine mwache oengee mpe direct swal lakini muache aelezee si kuingilia kati ya mazungumzo