Part 1_USHUHUDA WA MTANZANIA ALIYEKUFA NA KUFIKA MBINGUNI KISHA KUREJEA DUNIANI

  Рет қаралды 199,735

PROMOVER TV

PROMOVER TV

3 жыл бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 335
@magrethedson7445
@magrethedson7445 3 жыл бұрын
Mungu baba, wewe uliyetupenda upeo hata kumtoa mwanao Yesu Kristo aje atukomboe, tusaidie tuwe warithi pamoja na mwanao. Tupe kukupenda wewe na kukutumikia. Na utupe neema ya ushindi wa dhambi.
@rashidjuma6967
@rashidjuma6967 3 жыл бұрын
Mungu hana mtoto ingia katik uislam
@deboramasui6799
@deboramasui6799 Жыл бұрын
Hayajakutokea ndo maana
@avelinamusungu8142
@avelinamusungu8142 3 жыл бұрын
Ni kweli ukifika hatua ya kufa nikipindi kigumu Sana kila kitu ulichoona cha thaman kwako ikifika siku hiyo hutokumbuk marafik ndugu wazazi n.k ndipo unakumbuka kumbe kuna Mungu ? Nilipitia mm kipind hicho ilibaki robo tu nife kaka unavoshuhudia nikweli Mana da?😫😫 E Yesu ulie niokoa katika mauti nijalie kiumbe wako nisije kukusahau Bali niishi katika njia yako .Amen
@anordlaurent8751
@anordlaurent8751 3 жыл бұрын
Hakika
@happynjita4290
@happynjita4290 3 жыл бұрын
Amen
@sheillahwairai4691
@sheillahwairai4691 3 жыл бұрын
Oh Jesus! Thanks for the testimony may God bless so much. Glory be to God. Heaven is real may everyone seek for forgiveness 🙏🙏
@queenesther8505
@queenesther8505 Жыл бұрын
What this gentleman is saying is true i have listened to alot of near death experiences and that is exactly what happens.😅
@danielkiponda3419
@danielkiponda3419 3 жыл бұрын
Asnte mungu kwakutukumbusha ukuu wako kupitia wenzetu nakuomba unikumbuke ktk ufalme wako Amen
@mwambakibucheche735
@mwambakibucheche735 3 жыл бұрын
Huyu kijana atakomboa wengi sana watakao msikiliza kwa umakini na kuamini katika kiristo nikiwemo namimi asanteni sana Mungu atujaalie ss watoto wake tupate kumtumikia kwa nguvu zote na akili zetu zote,Ameen.
@shukujaibu7143
@shukujaibu7143 Жыл бұрын
Amini kweli kabisa tuwe 'na nguvu yake Mungu
@shukujaibu7143
@shukujaibu7143 Жыл бұрын
Ni kwa vile alikuwa 'na Mungu
@bettynino7354
@bettynino7354 3 жыл бұрын
We love you jacktan thanks for bringing stories that has opened our eyes.
@PROMOVERTVLive
@PROMOVERTVLive 3 жыл бұрын
I love you too, thanks for following
@annanduku2835
@annanduku2835 3 жыл бұрын
Wapi wewe hapo alizimia tuu hakufa
@mercyjesus6637
@mercyjesus6637 3 жыл бұрын
Oo oh Aleluuuya mme wa Vick barikiwa mnoo kW shuhuda nzr Enginear
@shukujaibu7143
@shukujaibu7143 Жыл бұрын
Wewe Yesu usiniache nishike popote unizingile maadui asinipate katika jina lako Yesu
@user-wk5tc7pt6m
@user-wk5tc7pt6m Жыл бұрын
Mungu nimwema hakika anatenda kweli ushuhuda ni kweli ubalikiwe jacktan
@stellaakaro1150
@stellaakaro1150 3 жыл бұрын
Asante Sana mtumishi
@likatiabunuas2701
@likatiabunuas2701 3 жыл бұрын
Muwe makini na hizi shuhuda za aina hii. Wengi watakuja kuwapotosha.. amekwenda wapi na kurudi?. Mtafakari sana
@isaacochieng8460
@isaacochieng8460 3 жыл бұрын
Kuna daut gani kwani
@saraakumu3452
@saraakumu3452 3 жыл бұрын
Kwetu Kuna mtu alikufa kwa siku moja aliporudisha fahamu ulimi n mzito haezi ongea chochote ad wa leo kifo n fumbo kwetu iwapo utakufa na kurejea mungu haezi kubali urudi kufafanulia watu siri yake
@emmanuelgodwinmollel3714
@emmanuelgodwinmollel3714 3 жыл бұрын
@@saraakumu3452 hahahha hujajua ktu kuhusu Mungu. Kwan huyo aliyeshindwa kuongea unajua siri aliyoona. Au pengine alishindwa kwa kuwa ameshaambiwa hatma yake na ni mbaya.
@emmanuelgodwinmollel3714
@emmanuelgodwinmollel3714 3 жыл бұрын
Likati Abunuasi... inatosa ww kucomment hvo
@saraakumu3452
@saraakumu3452 3 жыл бұрын
@@emmanuelgodwinmollel3714 c mmoja wala wawili walikufa wakafufuka bt they're not talking
@dinairenge
@dinairenge 8 ай бұрын
Amen napokea
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 3 жыл бұрын
Amen asante Mtumishi kwa ushuhuda wako maana unabariki
@user-wr3ir3yg9m
@user-wr3ir3yg9m Жыл бұрын
Mungu ni. Mkuu
@asiasalim4634
@asiasalim4634 3 жыл бұрын
Pole kaka mungu ni mwema sijawahi amini wengi wao kwa huyu hakika ni kweli
@nellychamba1507
@nellychamba1507 Жыл бұрын
yesu mwenyew tangu aende safari ajawahi rudi maana muda wake anasema bado, na yeye ndie aliye yafanya yote kuwa sahihi,inakuwa mwanadamu utangulie fufuka kabla yake??? No! Hata shetani hanao uwezo wa kutengeneza ndoto au miujiza ,binafsi naikataa hiyo
@DiorKenneth-oy6ut
@DiorKenneth-oy6ut Жыл бұрын
God iis good
@rosemwangome8996
@rosemwangome8996 3 жыл бұрын
Mungu ashkuriwe ,aki kama yeye hajapanga ata silaha yoyote inuke kiasi gani haitafaulu maishani
@villagerabroad7703
@villagerabroad7703 3 жыл бұрын
Dakika za mwisho, yesu alimsamehe yule mwizi pale msalabani na aliishi maisha ya kuiba. Someni neno/biblia zenu to know the word. This was his testimony and I am not questioning its validity but rather pointing out the obvious kuwa tunaokelewa kwa Grace (Neema I think). 2010 I had a vision niliapewa tour ya mbingu and nikauliza if nitakwenda kule but nikaambiwa it depends if I live right then nikarudishwa kwenye mwili wangu. Kuna watu wameishi right all their lives but died in sin at the last minute and the opposite is true. Mungu atupe wote neema ya kuuona ufalme wake. Asante kwa ushuhuda mzuri.
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisa lakini usitembelee Neema ya mwenzako.Mfano rahisi kuna watu wawili wamehukumiwa miaka 10 gerezani lakini mmoja ametoka kwa msamaha wa Rais mwingine kabaki je!unaweza kuhoji hapo?!
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Amen, barikiwa sana, nimefurahi kusikia hivo
@villagerabroad7703
@villagerabroad7703 3 жыл бұрын
@@PromovertvTz Nakubaliana na wewe 100% thats why I said its by Grace and nothing else
@bmmtv1753
@bmmtv1753 3 жыл бұрын
Amen
@millicentayangokunting3728
@millicentayangokunting3728 3 жыл бұрын
Safi sana kaka jactan
@josephpopoli2303
@josephpopoli2303 3 жыл бұрын
Pole sana kk
@sabrinalazaro950
@sabrinalazaro950 Жыл бұрын
Promover kazi zenu nzuri sana tunabarikiwa sana kwa shuhuda zenu.
@PromovertvTz
@PromovertvTz Жыл бұрын
Amen
@EgdiusJohakim
@EgdiusJohakim 23 күн бұрын
japo unatukumbush uwezowamungu ulivyo jalibu kkumbuka mungu ataniw
@josephinemanyama5329
@josephinemanyama5329 3 жыл бұрын
Mungu yupo na anatupenda
@essaumabigi669
@essaumabigi669 3 жыл бұрын
Mungu atutie nguvu kwakwel kazi bado ipo kubwa tuzidi kumtumikia Mungu #kaka #Jacktan #Mungu #Akubariki 🙏🙏🙏
@petermageta4987
@petermageta4987 3 жыл бұрын
Kusema kweli ndugu jactan umekuwa wa baraka kwangu sana.ila naomba uwe makini sana maanake shetani hafurahishwi na namna ambavyo mambo yake yanawekwa hadharani, kwa hiyo atapanda watumishi wake kuja kushuhudia uongo uwe makini you are warned stay blessed
@tuzakavera534
@tuzakavera534 3 жыл бұрын
Yesu ni muweza wa yote
@zohoraramadan4540
@zohoraramadan4540 3 жыл бұрын
Mungu ni muweza wa yote
@mamymamy7938
@mamymamy7938 3 жыл бұрын
@@zohoraramadan4540 kabisha😍😍😍😍allah
@harunikiongozi3831
@harunikiongozi3831 3 жыл бұрын
Bwana Yesu atusaidie
@FrediMolell-ql9sg
@FrediMolell-ql9sg 2 ай бұрын
Nikweli ama mungu akubariki atakufatena
@rebeccalaizer4066
@rebeccalaizer4066 3 жыл бұрын
Mungu tusaidie kuishi maisha matakatifu tuwe warithi pamoja nawe.
@neemakoinasey4298
@neemakoinasey4298 2 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@danielndusilo4723
@danielndusilo4723 3 жыл бұрын
Uwongo unaitwa ushuhuda siku hizi kazi ipo.
@ruu6592
@ruu6592 3 жыл бұрын
Nimecheka
@jacklinejoseph4060
@jacklinejoseph4060 3 жыл бұрын
𝐡𝒐𝒏𝒈𝒆𝒓𝒂 𝒎𝒕𝒂𝒏𝒈𝒂𝒛𝒂𝒋𝒊 𝒉𝒂𝒖𝒏𝒂 𝒑𝒂𝒑𝒂𝒍𝒂 𝒌𝒂𝒕𝒊𝒌𝒂 𝒌𝒖𝒉𝒐𝒋𝒊....𝑴𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒂𝒌𝒖𝒕𝒂𝒏𝒈𝒖𝒍𝒊𝒆 💪💪
@samwelyona63
@samwelyona63 3 жыл бұрын
Mungu Akubark
@nalulemajorine8917
@nalulemajorine8917 3 жыл бұрын
Brother try to use so that even us who don't know swahili can understand coz I seems that testimony is so massive. Heaven is real.
@aswilejoseph502
@aswilejoseph502 Жыл бұрын
Let you WhatsApp me
@eliemugisa5118
@eliemugisa5118 3 жыл бұрын
Ukweli kabisa
@HappyJohn-kk1pr
@HappyJohn-kk1pr 2 ай бұрын
Jamani Aya Mambo yapo mm mwenyewe yalishanitokeaga
@sylviah9666
@sylviah9666 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂there's a difference between dying and fainting! I only trust in the Lord! Hayo ya kufa na kuingia kwa ulimwengu mie sipo!
@lawrenceleonardassenga4457
@lawrenceleonardassenga4457 3 жыл бұрын
Huo ndio ukweli kabisa, aache kutufanya punguani
@sylviah9666
@sylviah9666 3 жыл бұрын
@@lawrenceleonardassenga4457 Siku hizi everybody is trying to be famous! So they use every means!
@lawrenceleonardassenga4457
@lawrenceleonardassenga4457 3 жыл бұрын
@@sylviah9666 Kuna vitu vya kutafutia umaarufu lakini si kijichuria kifo
@hawababuu4350
@hawababuu4350 3 жыл бұрын
Huyu ata asituchanganye kabsa mana naona yuanimalizia wifi yangu bure.. This man fainted akaamka after 10hours ati alikufa akafufuka mutaacha mchezo 😀😀
@marthajackson8667
@marthajackson8667 2 жыл бұрын
usi hukum usije ukahukumiwa kama huwamini bora ukakaa kimiya mungu simwana dam kama tunavyo fikilia. ubalikiwe kaka
@rosepeter8996
@rosepeter8996 3 жыл бұрын
huyu kijana anafungua akili yangu kwa ushuda wake sana🤔kweli dunia mapito tujirekebishe ili tuje kuuona ufalme wa mungu.
@davidwambura5915
@davidwambura5915 3 жыл бұрын
Amen ushuhuda unajenga Sana, tunaomba muendelezo halaka iwezekanavyo kaka jacktani.
@zuhuradanny6307
@zuhuradanny6307 3 жыл бұрын
Ushuhuda mzuri,unajenga kwakweli
@isaacochieng8460
@isaacochieng8460 3 жыл бұрын
Watu wa Mungu tujitahidi kumsaport kwa fedha,maombi,mali bwana yesu wa jactani jamn ukweli ubarikiwe sana
@yohanamayala2502
@yohanamayala2502 3 жыл бұрын
Wadanganye wasio soma neno la mungu mchezeeni mungu kama shemeji yenu
@meresianamuja7684
@meresianamuja7684 3 жыл бұрын
Usihukum usije ukahukumiwa
@barakaemanuel6638
@barakaemanuel6638 3 жыл бұрын
Urambo sehem gan mtumish
@hhhghyghgg8640
@hhhghyghgg8640 3 жыл бұрын
Ameen umenitia moyo sana
@angelanyororo2472
@angelanyororo2472 3 жыл бұрын
Acheni uongo mnajiandalia hukumu wenyewe hakuna aliye wahi kufa na akafufuka isipokua Kristo Mwenyewe tajirii katika maandiko alisisitizwa hilo yaani haiwezekani
@samwelaronbarabarabarabara5997
@samwelaronbarabarabarabara5997 3 жыл бұрын
Ushauri wangu kuwako mtangazaji, Ukishamaliza introduction ya ushuhuda na kumruhusu mgeni wako kuanza kutoa ushuhuda wake, kwa ushauri tu ni vyema ukamuacha atoe ushuhuda wake wote wa siku hiyo amalize bila ku interact na maswali mengi katikati ya ushuhuda, maana unampotezea flow ya ushuhuda, ni bora ukaandika maswali yako yote wakati akishuhudia kisha akishamaliza ushuhuda wake, unaanza kipindi cha maswali kulingana na ushuhuda wake, maana akiwa kwenye flow ya ushuhuda ukiingiza maswali anatoka kwenye flow yake na kuanza line nyingine ambayo haikuwepo kwenye flow yake, akisha maliza ushuhuda ni wakati mzuri wa maswali maana anakuwa amepitia point zake zote za msingi kuliko kumfanya aanze kuwaza jinsi ya kujibu maswali katikati ya ushuhuda, Thanks alot bro take it or leave it.
@glorynguma3593
@glorynguma3593 3 жыл бұрын
Jmn wala hata haulizi maswali ki hivyo unavyosema ww anauliza kwenye sehemu ya umuhimu
@hamishassan5127
@hamishassan5127 2 жыл бұрын
Hadithi nzuri sana
@slydianamulavu5763
@slydianamulavu5763 3 жыл бұрын
It might be true,I also had a dream of going to heaven twice and back, so I don't question the guy
@nalulemajorine8917
@nalulemajorine8917 3 жыл бұрын
Same applies to me dia. But let's us not give up to praise en worship him. Jesus is our source of everything we always seek for. I will never get tired of saying God thank you for everything thing you always give us without ceasing en asking for any perry. Amen
@maryanmohamed3615
@maryanmohamed3615 3 жыл бұрын
Siamini
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 11 ай бұрын
wow, anaongea kama wameru hapa kenya
@AlfaSanga
@AlfaSanga 3 жыл бұрын
Amen, tunasubir inayofata.
@doricemikanga5077
@doricemikanga5077 3 жыл бұрын
Amen
@finiasezra7072
@finiasezra7072 3 жыл бұрын
Mtaongopea watumishi adi lini umesoma wapi mtu akifa anaenda mbinguni? Mura oborongo nobobibi
@aokinsindi6948
@aokinsindi6948 3 жыл бұрын
Utopolo mtupu hakuna kama hicho acha kuigiza hayo maigizo
@isaacnderitu8664
@isaacnderitu8664 3 жыл бұрын
Wacha Halaka bro utakufa tu.
@mwajumamasumbuko2170
@mwajumamasumbuko2170 3 жыл бұрын
Leta nyingine kaka leo jamani
@allykinyogori139
@allykinyogori139 3 жыл бұрын
Hakuna binadamu anakufa anakwenda binguni alafu akafufuka na kuludi duniani
@valentinomethod6680
@valentinomethod6680 3 жыл бұрын
Avelina musungu umeandika ujumbe mzuri sn ni kweli kbs ulichosema maneno mazuri an1barikiwa mpendwa
@costamakenebgmalisa3872
@costamakenebgmalisa3872 3 жыл бұрын
Amen barikiwa Sana mtumish kwr Maisha uliyoish Dunian ndo yanaamua unaend wp
@fistonntakarutimana5387
@fistonntakarutimana5387 3 жыл бұрын
Ongo huo 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@danielkiponda3419
@danielkiponda3419 3 жыл бұрын
Da! mtumishi ushuhuda wako unatukumbusha kuwa dunia tunapita. sasa baada ya kufa tunakwenda wapi? kwakweli mungu atusaidie
@marthalasoi8253
@marthalasoi8253 3 жыл бұрын
Mm pia nimeshuhudia huku kwetu kuna dada alifariki for 5days na alipofufuka ulimi wake ulikuwa mzito sana. Alikaa for 13yrs but nasikitika sana alifariki mwaka jana
@benjoliga1136
@benjoliga1136 3 жыл бұрын
Hizo 5 days ni alizimia tu sio kwamba alikufa, kifo ni kutenganisha mwili na roho/uhai/uwezo wa kuishi Hiyo miaka 13 baadaye alipokufa ndio alikufa haswa
@christinajmnkenyi724
@christinajmnkenyi724 3 жыл бұрын
Wengine wanachukuliwa kwa nguvu za giza msisahau kwamba kuna vita ya kiroho ktk ulimwengu wa kiroho ,hamna anaekufa na kurudia maisha ya duniani tena.
@christinajmnkenyi724
@christinajmnkenyi724 3 жыл бұрын
Someni maandiko matakatifu vizuri ndugu zangu tunaangamia kwakukosa maarifa.
@hassanbinally7127
@hassanbinally7127 3 жыл бұрын
Huyo hakufa alichuliwa tu na wachawi
@mwinjilistmariafalagha8328
@mwinjilistmariafalagha8328 3 жыл бұрын
Hasan kwaiyo wachaw wanaeza kuchuku Lkn Mungu hawez au?
@didatratranee2531
@didatratranee2531 3 жыл бұрын
Sauti ndogo sana
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Sina uhakika na hilo unalosema,angaia vizuri kifaa chako unachotumia kusikiliza kitakuwa ndo kina shida
@ciekai7356
@ciekai7356 3 жыл бұрын
Matendo yako ndio yataamua unaenda wapi.
@ey3022
@ey3022 3 жыл бұрын
Waefeso 2:8-9 [8] Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu; [9] wala si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu.
@LisaLisa-wd8oy
@LisaLisa-wd8oy 3 жыл бұрын
@@ey3022 ameeeeeeeeeen👏💃💃👏
@teresiakwambo9018
@teresiakwambo9018 3 жыл бұрын
Shuhuda zingine azieleweki..
@williamsville3493
@williamsville3493 2 жыл бұрын
Mbona wewe hueleweki?
@hassanbinally7127
@hassanbinally7127 3 жыл бұрын
Wewe uluchukuliwa na wachawi hakuna jipya
@valentinomethod6680
@valentinomethod6680 3 жыл бұрын
Hakika nimeguswa sn pole sn hata mm nimepitia mapito magumu naelewa unachokizungumza asante kwa ushuhuda mzuri mbarikiwe sn kwa kipindi hiki
@violachelangat7411
@violachelangat7411 3 жыл бұрын
This story is true,, i hope to see part 2,
@oswaldmushani2432
@oswaldmushani2432 3 жыл бұрын
Jeee? Huyo aliekuwa anacheka ambae alikuwa pemben hakumuuliza juwa we na??????
@user-ys2em5cq9z
@user-ys2em5cq9z 7 ай бұрын
Alafu watu wanasema asente Jackson kwa kwenda mbinguni😂😂😂😂
@dolyjinejohn9755
@dolyjinejohn9755 3 жыл бұрын
What next brother Jacktan?? We want to hear the coming episode
@cosmaskeya9438
@cosmaskeya9438 3 жыл бұрын
mungu achen aitwe mungu
@kadigatanzaniya4792
@kadigatanzaniya4792 3 жыл бұрын
Jamani mungu ni mwema
@juliethmayai8134
@juliethmayai8134 3 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@shilimaabdallah-mw2bj
@shilimaabdallah-mw2bj Жыл бұрын
Hizi shuhuda hizii, zingine ni mipasho
@samwelyona63
@samwelyona63 3 жыл бұрын
Kwahiyo Mpendwa Tufanyej Kuhusumbingun
@noelamwitwa7672
@noelamwitwa7672 2 жыл бұрын
Jamani tusitishane
@husnarajabu4295
@husnarajabu4295 3 жыл бұрын
Haya tuambie ulitolewaje roho? Ulisikia uchungu au
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 3 жыл бұрын
mi naona km anazingua tu
@kuruthumuissa5539
@kuruthumuissa5539 3 жыл бұрын
Mmeonae labda aliwekwa msukule anatudanganya kaenda mbinguni mfyuuuuu
@scolastikarajabu8268
@scolastikarajabu8268 3 жыл бұрын
Nimelipenda swali lako
@avelinamusungu8142
@avelinamusungu8142 3 жыл бұрын
Ndugu usiseme hivo kaa to kimy Mana kila nafsi itaonja umauti nikipindi kigumu hicho hakin mfano
@gideonjackson3659
@gideonjackson3659 3 жыл бұрын
Sio kweli
@jumakoga2179
@jumakoga2179 3 жыл бұрын
Huo ni uchawi tu , haiwezekani ufe halafu ufufuke haiwekani, sema ulizimia, tuache uwongo, kama kuokoka ndio kumekufanya ufufuke basi walokole wasingekufa
@angelanyororo2472
@angelanyororo2472 3 жыл бұрын
Atakua anajichawia mwenyewe
@ey3022
@ey3022 3 жыл бұрын
unasema bila kubatizwa huingii mbinguni vipi yule mwizi pale msalabani hakubatizwa Luka 23:42-43 [42] Kisha akasema, Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika ufalme wako. Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi. tusome Bibilia na tuamini NENO LA MUNGU sio ushuhuda wala mafuta ya upako 😎
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisa lakini usitembelee baraka za mwenzako.Mfano rahisi kuna watu wawili wamehukumiwa miaka 10 gerezani lakini mmoja ametoka kwa msamaha wa Rais mwingine kabaki je!unaweza kuhoji hapo?!
@ey3022
@ey3022 3 жыл бұрын
@@PromovertvTz sawa sawa asante kwa jibu pia hongera kwa shuhuda hizi huwa zinajenga Mungu akubaliki
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
@@ey3022 Amen
@innocenciamalyawere1503
@innocenciamalyawere1503 3 жыл бұрын
Usikariri mistari mi wili ukatembea nayo
@ey3022
@ey3022 3 жыл бұрын
@@innocenciamalyawere1503 nisikariri mistari #miwili #nikatembea nayo?? #Kwani mistari #miwili sio #NENO la MUNGU ? #hata Hii #Nisiikariri YOHANA 3:16-17 [16] Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. [17] Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye. hata hiyo nisiikariri si ndio mpendwa? #hata mstari #mmoja Ni #NENO LA #MUNGU CHA MSINGI NENO LIWE NDANI YAKO Wakolosai 3:16 [16] #Neno la Kristo na #likae kwa wingi #ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.
@bryanfelix3771
@bryanfelix3771 3 жыл бұрын
Tunaomba muendelezo
@user-gn1mv7nb6n
@user-gn1mv7nb6n 7 ай бұрын
Mbona sarakasi mingi za ushuhuda hutoka Tanzania?kweli zatuelimisha lakini poa muwegeukie Mungu maana ye ni warehema
@niyonsabasaada7831
@niyonsabasaada7831 3 жыл бұрын
Ivi munawomutazama uy jama munaona anafanana namut aliofufuka?😏 wala maelezoyakigugumiz hayanitish
@angelanyororo2472
@angelanyororo2472 3 жыл бұрын
Chizi tu hyo atakua mchawi
@niyonsabasaada7831
@niyonsabasaada7831 3 жыл бұрын
Mb zangu tu . Ivinyiye mbingun mwafikiria nirahisisana kufika. Eti nilienda nikarud uwemakin wew naizo iman zakijinga sana .iy 2020 itacha meng acha tuon 2021 italetanini.
@orverfredy2694
@orverfredy2694 3 жыл бұрын
Ufunuo wa yohana unajieleza hata yeye alipata maono ya mbinguni..pia biblia imesema vijana watapata maono, wazee wataota ndoto etc. omba Mungu akupe masikio ya rohoni.
@adamfundikira4588
@adamfundikira4588 3 жыл бұрын
@@orverfredy2694 ubarikiwe umemjibu vizuri nami ninacho kitabu kinaitwa wengi watatamani kuingia lakini hawataweza
@ruthstephen2791
@ruthstephen2791 3 жыл бұрын
Tupe uzoefu wako wa mbinguni. Unaonekana unajua zaidi.
@tatualmazrui5945
@tatualmazrui5945 2 жыл бұрын
Tuache jamani tuacheni jamani anaekufa harudi asilani abadani acheni uongo huyo mwambieni ache uwongo
@samwelmbahekile8565
@samwelmbahekile8565 3 жыл бұрын
He is really spiritually saved
@charlesmbunda6759
@charlesmbunda6759 Жыл бұрын
Shalom shujaa! Naomba namba za Erick
@officialK-looh
@officialK-looh 3 жыл бұрын
Hii ilimtokea marehemu Godzilla #R.I.P_Kingzilla
@mirriamndunge9444
@mirriamndunge9444 3 жыл бұрын
I confirm this as a true story
@wilisonjoseph1632
@wilisonjoseph1632 3 жыл бұрын
Pole sana mungu akubariki nakukuepusha mauti
@maryanmohamed3615
@maryanmohamed3615 3 жыл бұрын
Ajakufa ila ameend kwa shetani
@annabyekwaso-wt7oi
@annabyekwaso-wt7oi Жыл бұрын
Hayo masaa kumi alikuwa mochwari au wapi?Pia mbingu ilivyonzuri mtu anawezakurudi kweli??? sidhani !
@gdhdgshe3182
@gdhdgshe3182 3 жыл бұрын
Kweli imeandikwa kuwa mtu azaliwe Mara ya pili, kumbuka yesu kamwambia Nicodemas razima azaliwe Mara ya pili ,soma bblia💯
@strongweakpriceactiontradi9761
@strongweakpriceactiontradi9761 3 жыл бұрын
Azaliwe mara ya pili kwa ubatizo...kuzaliwa kwa mwili na kuzaliwa kiroho(kuokoka) vyote ni hapa duniani
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Nakubali
@christinajmnkenyi724
@christinajmnkenyi724 3 жыл бұрын
Watu wangu wanaangamia kwakukosa maarifa.
@issanurukawishe554
@issanurukawishe554 3 жыл бұрын
Hakika mna mambo nyie wongo mtupu hizi muvi zenu haziishi
@sarahmdindile4301
@sarahmdindile4301 3 жыл бұрын
Hamjalazimishwa kuangalia wala kuamini jaman
@michaelpeter6218
@michaelpeter6218 3 жыл бұрын
Mungu ni mkubwa na hashindwi
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 3 жыл бұрын
Katika watu wanaoongoza kukubari kudanganywa ni wakristo.
@gwishtztz8784
@gwishtztz8784 3 жыл бұрын
Etii tufafanulie naskia kuna majn wema na wabayaaa
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 3 жыл бұрын
@@gwishtztz8784 Majini ni kama unavyoona binadamu tu kuna wabaya na wazuri, ndio maana Allah anasema sikuwaumba majini ni binadamu ispokuwa waniabudu Mimi tu ,kwa hiyo majini ambao watamuas Mungu hao ni wabaya kama binadamu wanaomuas Mungu.
@gwishtztz8784
@gwishtztz8784 3 жыл бұрын
Ndo unaferi hapo ndo maana unayaomba pesa mwisho wa sku yanataka kafara ujue nawe umedanganywa sana kwa hilo tangu lini shetani awe malaika
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 3 жыл бұрын
@@gwishtztz8784 Sasa we kama unasema majini hakuna mwema ila ni wabaya tu lete andiko maana unaazisha mada,nimekupa andiko kuwa majini ni sawa na binadamu kwa mujibu wa Quran, sasa kama bible inasema majini ni wabaya lete andiko usiwahukumu wewe Mungu ndiye mtoa hukmu.
@mwajumamasumbuko2170
@mwajumamasumbuko2170 3 жыл бұрын
Tunapata vitu tuu 😋😋😋
@nasraalamri1226
@nasraalamri1226 3 жыл бұрын
Watu siku hizi wakilala😴😴😴😴😴😴wanawaza kuigiza movie😁😂😂😂😂😂😂😂😂😀😀😆😆😆😆😄😄😃😃😅😬😬😬
@frenkjelad4468
@frenkjelad4468 3 жыл бұрын
Mmm
@kantitriphone5154
@kantitriphone5154 2 жыл бұрын
Acheni huuda za uongo
@penuelfullsalvationchurch3350
@penuelfullsalvationchurch3350 2 жыл бұрын
Brother itapendza km utamtfta mkalimani wa kiingereza il n wenzetu wajifunze kitu
@rayaali7551
@rayaali7551 3 жыл бұрын
Weweeeee ulitolewa msukulee ukazimiaa ukapandishwa juu ya dari ya nyumba walipokuona hufaii wakakushushaa wapo wengi waliopachikwa juu ya dari hahahahaaa AATII NILIKUFA NIKAENDA MBINGUNI KISHA NIKARUDI INAMAANAA MUNGU KAKUKATAAA? ASTAGHAFIRULLAAH
@niyonsabasaada7831
@niyonsabasaada7831 3 жыл бұрын
Walah mi hua nashanga sana izi iman za kictristo sijuw zipoj .
@benjoliga1136
@benjoliga1136 3 жыл бұрын
Hahahah
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 84 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 78 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 7 МЛН
Part1_MKAKATI WA MALKIA WA PWANI DHIDI YA KANISA|Maono ya kutisha
37:45
USHUHUDA WA KILICHO MFANYA OSINACH KUTOKUINGIA MBINGUNI
23:22
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 43 М.
LIVE: Tony Kapola Akifungua Shajara Yake na Babbie Kabae
1:03:40
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 30 М.
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 84 МЛН