MAGEMBE KATOA WIMBO MPYA BAADA KUTOKA T.A.G.?

  Рет қаралды 24,013

ELIJI DANIELI

ELIJI DANIELI

Күн бұрын

Пікірлер: 49
@AlexAlphonce-m8b
@AlexAlphonce-m8b 4 күн бұрын
Wachungaji mjitasimini sio kila kitu mnaona maovu ya washirika alafu maovu yenu mnaficha hamtaki kukosolewa pastor magembe big up sana kwa kutovumilia uovu wa viongoz wa dini viongoz vipofu
@Mari89wx
@Mari89wx Күн бұрын
Wimbo mzuri sana 👍🏽
@joanestomas9028
@joanestomas9028 3 күн бұрын
Mungu akusamehe tu, kwa sababu haujui ulitendalo, hivi ulikaa ukafikiri vizuri kuhusu ujinga huu ulioutunga? Hongera sana kwa sababu una muda mwingi wa kupoteza ktk kujaribu kuchafua watu sahihi, laana na iwe juu yako wewe na vizazi vyako vijavyo.
@PatriciaSidi-c4w
@PatriciaSidi-c4w 4 күн бұрын
Mungu atapingana nao wanao mupinga vita mtu wa Mungu, Pastor Mungu yupamoja nawe usiku na mchana usiogope kabisa wala usiwe na hofu kwa hilo, ole wake mtu yule anaye mfedhehesha mtu w Mungu,tuko pamoja nawe Pastor sisi tu wafaasi wako kwenda Mbinguni kw baba yetu aliye kufa na siku y 3 akafufuka tutakula naye milele na milele,Amina ❤❤❤❤
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 5 күн бұрын
Ni n aom b a huyu ba b a aishi zaidi ya miaka miamoja❤Abarikiwe🎉
@pstndyambi5630
@pstndyambi5630 Күн бұрын
Huyu siyo Mzee Magembe tunayemfahamu.
@FellaMbogela
@FellaMbogela 5 күн бұрын
ACHENI DHARAU HUYU NI MT. WA MUNGU
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 4 күн бұрын
Magembe mumgu akupe maisha malefu akupe nguvu dunia ipone
@claudsindano2675
@claudsindano2675 Күн бұрын
Mmetengeneza ,wimbo haundani na picha
@EliaHiluka
@EliaHiluka 4 күн бұрын
Huyu Mzee inaonyesha ameamua kutafuta kumpendeza Mungu na sio wanadamu sawa na Galatia 6:10
@VivianShao-p1y
@VivianShao-p1y 4 күн бұрын
Jaman sio kila mtumish ni wa kufanyia mzamaha huyu ni masihi wa MUNGU jaman not fare
@elikanahsuku6589
@elikanahsuku6589 5 күн бұрын
Acheni kumchanganya Mzee na vitu vya ajabu mna edit anacheza step Kumchafua mjue ndo kumpandisha juu zaidi
@EliaHiluka
@EliaHiluka 4 күн бұрын
Nimeamua kumfuata yesu sintarudi nyuma
@PrisPeter-f2g
@PrisPeter-f2g 4 күн бұрын
Mungu akusamehe wewe,umetuona vipofu siyo,achen mizaha na watumishi wa Mungu
@PGM20179
@PGM20179 4 күн бұрын
Uzuri Magembe anamjua Mungu wa TAG vizuri sanaaaaa. Huu wimbo hajautoa yeye, lakini kama ilivyokuwa kuhani Eli amekubali upigwe mitandaoni ili kulifedhehesha Kanisa la Bwana. Sasa Mzee unapunguza miaka yako ya kuishi kama utaendeleza hizo kejeli juu ya Kanisa la Bwana. Ulianza kama nabii unaweza shitukia unamaliza kama mchawi
@bahatadof5543
@bahatadof5543 59 минут бұрын
Sinui kinachoendelea lkn huyu Mchungaji ukimtoa Mzee wetu Moses kulola,huyu wa pili namuamini Sana,samahani kwa yeyote niliemkwaza
@ChristinaKembe
@ChristinaKembe 4 күн бұрын
Hivi nyie mbamtakia nini huyu baba, Mnatafitia pesa jina la baba ya hi… we mwandishi UTAVUNA ULICHOKIPANDA
@salomemgaya1244
@salomemgaya1244 4 күн бұрын
Hamuwezi kutudanganya , hiyo siku akicheza hivyo alikuwa akieleza jinsi sifa za zamani zilivyotofauti na sifa za kizazi hiki cha leo , tulisikiliza mafundisho yote ibada nzima 😂Sasa huu ujinga sijui mmeutoa wapi , lakini hatuwashangai ndo kawaida yenu mtangoja sana kumchafua huyu baba
@sophiacharles1196
@sophiacharles1196 2 күн бұрын
Mmhhh jamani!
@OmegaMwinuka-dj4zw
@OmegaMwinuka-dj4zw 2 күн бұрын
Wewe uliye toa wimbo huu nende katumbu utakufa sio mda si mlefu
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 3 күн бұрын
Tuache uragai na upotoshaj na uongo kupitia mitandao jaman, tumuogope Mungu, kuwazushia mambo watumish wa Mungu, tunapata laaana jaman
@WilbroadKaatano
@WilbroadKaatano Күн бұрын
Mambo mengine uwe na busara kwenye kz zako
@EliaHiluka
@EliaHiluka 4 күн бұрын
Huyu Mzee anaweza akawa aramu yakuwafanya watu wakumbuke wlipojukwaa wakatubu ili kuyaimalisha mambo yaliyo salia yanayotaka kufa sawa na ufunuo 3:15-22
@ackimackim1880
@ackimackim1880 3 күн бұрын
BWANA UKUKEMEE,ULIYE TENGENEZA HII VIDEO,NA KUIPOST.
@AlexBoniphaceKamomole
@AlexBoniphaceKamomole 2 күн бұрын
Busara zitumike apewe angalau kiinua mgongo.
@ZakayoKalinga-nq5qy
@ZakayoKalinga-nq5qy 3 күн бұрын
😢😢😢😢 hivi huyu aliyefanya hivi ni nani??? Mungu na afanye mapenzi yake
@RobisonJulius
@RobisonJulius 4 күн бұрын
Acha kudanganya watu Wala magembe hajaimba wimbo, ila unatafta hera kwa njia ya udanganyifu, jinga kweli,
@InnocentMlembe-e8y
@InnocentMlembe-e8y 2 күн бұрын
Munaongea mno kama ni Mungu mmuacha noe tunakubali kuonywa
@sherebiatv
@sherebiatv 3 күн бұрын
Jalini ujumbe hiyo ni kivutio tu, huyu ni mtu wa mungu
@Mwimbajiwainjili
@Mwimbajiwainjili 4 күн бұрын
Hii clip ya muda mrefu sana unajua unadanganya
@januaryjanuary6388
@januaryjanuary6388 2 күн бұрын
Acha ujinga wa kudhalilisha watumishi wa Mungu hivo, Futa huu Wimbo wako hafu katubu
@prisiladuwe8392
@prisiladuwe8392 4 күн бұрын
Kwanza hapo sio mwemben
@georgematiko-g1c
@georgematiko-g1c 5 күн бұрын
We mwandishi acha ujinga !
@AgustinoMaskaty
@AgustinoMaskaty 4 күн бұрын
Kanisa lina mwitaji Mungu sana sio wakati wa kushabikia yanayoendelea Mungu aingilie kati tu
@kamandapendo802
@kamandapendo802 4 күн бұрын
😂😂😂😂 kwa njia yoyote ujumbe ufike
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 5 күн бұрын
Mzee kumbe anajua kucheza
@MllunguPeter
@MllunguPeter 4 күн бұрын
😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
@ukumbushoadam5691
@ukumbushoadam5691 Күн бұрын
𝗦𝗶𝗼 𝗸𝘄𝗲𝗹 𝘁𝗵𝗮𝘁 𝗶𝘀 𝗙𝗮𝗸𝗲 𝘃𝗶𝗱𝗲𝗼 𝗮𝗰𝗰𝗼𝗿𝗱𝗶𝗻𝗴 𝘁𝗼 𝗵𝗶𝘀 𝗦𝗶𝘁𝘂𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻
@Elisiana-im1yb
@Elisiana-im1yb 5 күн бұрын
Hyo clip alikuwa anaelezea namna praise ya leo wanavocheza madhabahun bwana ww
@cessyliamkenda
@cessyliamkenda 4 күн бұрын
Utapigwa usicheze na watumishi
@joshuamatagane
@joshuamatagane 5 күн бұрын
MJINGA KABISA, KWA NINI KUMCHAFUA MTUMISHI WA MUNGU??
@Phibamosa
@Phibamosa 4 күн бұрын
Hivo mnajua kinachoendelea chini ya jua acheni kufanya mambo ya kijinga
@AnaniasBenedict
@AnaniasBenedict 5 күн бұрын
Utapigwa na Mungu uliyetengeneza huu ujinga
@FrancisMankambila
@FrancisMankambila Күн бұрын
Kabisa
@FrancisMankambila
@FrancisMankambila Күн бұрын
Watu Wana mzaha Sana Kama kwamba hawaoni shetani anavyotikisa Dunia na lawama na masingizio anatupiwa MUNGU na serikali Tunaomba na kulia kwa ajili ya uamusho KANISA halipo vizuri
@QhaweTau
@QhaweTau 5 күн бұрын
wewe huna akili na page yako.
@sherebiatv
@sherebiatv 3 күн бұрын
Jalini ujumbe hiyo ni kivutio kikubwa kwa ajili ya hayo
@IskariMasawa
@IskariMasawa 3 күн бұрын
Edit nyingine za kijinga sana
БАБУШКА ШАРИТ #shorts
0:16
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,1 МЛН
Жездуха 42-серия
29:26
Million Show
Рет қаралды 2,6 МЛН
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Audio)
2:53
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 8 МЛН
ASKOFU MKUU AKIZUNGUMZA BAADA YA KUPOKEA USAJILI WA DHEHEBU LA AGGCI
4:14
AGGCI Penueli Gospel Centre Tv
Рет қаралды 15 М.
BADO SIELEWI. KWANINI TUNDU LISSU ALIMWAMINI ABDUL WA SAMIA?
29:41
SK Media Online TV
Рет қаралды 25 М.
Best Zabron Singers video mix 2023
22:13
Lenny KE
Рет қаралды 96 М.
БАБУШКА ШАРИТ #shorts
0:16
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,1 МЛН