Amlaze alipojichagulia atamlazaje peponi kama mwenyewe hajapaandaa.msimfundishe Allah yeye anajua anapoatahili .
@jumakalukule53123 жыл бұрын
@@hassankatungunya804 simfundishi m/mungu ila namuombea ndomana nikasema amsamehe kwayale aliyokosea apo kunamafunzo?
@aishakhamis29963 жыл бұрын
Ameen...
@kassimkobby16793 жыл бұрын
@@hassankatungunya804 acha ukilaza wewe
@kinyamal82013 жыл бұрын
JPM alisema Tanzania mtamkumbuka, ila kiuhalisia Africa nzima tutamkumbuka daima. He was one of a kind. Legend of Africa. I called him Lion of Africa.
@stevensimtowe45113 жыл бұрын
Hakika 🤝
@danielmwasi54503 жыл бұрын
Sawa mjane
@salimsaid72003 жыл бұрын
@@danielmwasi5450 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@abdulnguguli99923 жыл бұрын
Kwakweli tuna mkumbuka tuna mlilia taifa zima kiongozi wetu bora mchapa kazi alikuwa mzalendo dah pumzika kwa aman Jpm
@kinyamal82013 жыл бұрын
@@danielmwasi5450 🖕🏻🖕🏻🖕🏻
@kitosmayunga87223 жыл бұрын
Ninachung sana naomba mungu awaumbue waliomuua jpm walio lenga yasfamikwe
@pericykiko61983 жыл бұрын
Wafe kiholo
@najmaulaya88193 жыл бұрын
Ipo siku
@dicksonchauganga53253 жыл бұрын
Amina! !
@kichenjekichenje20723 жыл бұрын
Mungu atadili nao
@mussatayarjames6393 жыл бұрын
ulimwambia sawa ila mwenzio kageuka Kama kinyoga asaivi anatutelezeka wanyonge machinga wanafukuzwa Kama mbwa,anaangalia tu,mungu muludshe bas jpm wetu
@joshuaerinesty73813 жыл бұрын
Mama samia kumbuka usia wa kaka yako Magufuli
@neemakilomoni42583 жыл бұрын
Asubutu kaota mbawa sasa uta mwambia nini kwa sasa
@mohamedhaji22003 жыл бұрын
@@neemakilomoni4258 mbawa gani?
@saitawilson73073 жыл бұрын
🙆🙆🙆
@veronicamatebya75643 жыл бұрын
Mama maneno hayo yatakutesa wee kengeuka tuu
@magretkijanga60383 жыл бұрын
Kwani wapi kaongea vibaya????Rais wa wanyonge ...kwanza maaana ya mnyonge nini....ubaguzi, mtupu kwanini aliwafungia wafanyabiashara pesa zao.waliwachukia,hata Mungu aligawa talanta tofauti...mwenye bidiii anaongezewa..sasa asitokeee mtu anaubaguzi ..Mungu naye ana wivu..Hataki atokeee Mungu mtu hapa duniani
@helentelemla56233 жыл бұрын
Nilimpenda Magufuli bila unafiki hata Kama amekufa siwezi kuwa kigeugeu.Hata kuchanjwa sichanjwi na familia yangu.R I P shujaa nitakukumbuka daima
@nelsonmgaya83913 жыл бұрын
Tuko pamoja!
@saitawilson73073 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
@rashidubruhani89813 жыл бұрын
Tupo wengi inauma sana hii sauti naisikia kila siku
@natashaasha69093 жыл бұрын
Nchi ya watanzania maskini na wanyonge aliondoka nayo magufuli kwa sasa imebaki nchi ya matajiri wafanye wanavyotaka sisi tutalindwa na mungu
Oh nooooo. My brothers and sisters in Tanzania, you truelly lost a KING of Kings. MAY ALLAH GIVE YOU STRONG AND GET YOU ANOTHER MAGUFULI.
@priscambwambo10303 жыл бұрын
We lost a King David ., Dario and Aulemann. Sooooo saaad hakuna wakuziba pengo. Sema kuna kitu nakishangaa sana baada ya Rais wetu kufa nimekuwa kuna vitu sipati majibuyake na sitayapata nina utata tu . MUNGUBANISAIDIE SANA SANA
@priscambwambo10303 жыл бұрын
HUYU AMELALA MWILI ILA ANAISHI HUYU NI BABA NI BABA YETU ALITUJALI JAMANI WATANZANIA . DA SISI TUNAELEWA WAZALENDO. ILA SASA YOTE YAMEBAKINI STORY TANZANIA BILA MAGUFULI NCHI IKO ICU SASA.
@coin90073 жыл бұрын
😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔
@florencekimotho8873 жыл бұрын
@@priscambwambo1030 mbona maneno yenu ni bure kabisa?? Tulimjua Magufuli mpake Mungu kampandisha?? Kulikuwa wazalendo na hata sasa wapo. Wewe omba Mwenyezi Mungu ampandishe awezeshe nchi. Maneno ya bure acheni.
@florencekimotho8873 жыл бұрын
@@priscambwambo1030 kumbe umekuja hapa kuzidi kutiririka ujinga??? Huu mlolongo wa maneno yasiyo na msingi mkizidi yatakuwa!
@hbdina3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿Dr.John Pombe Magufuli ❤️❤️❤️kuna wawekezaji majambazi,mfano:Wachina wanaotaka kumiliki bandari kwa miaka 99.Tanzania tuwe makini
@sethsindamka84653 жыл бұрын
Kwataarifa yake huyo mchina tutamwomba mungu aludi mapema ili tupate hasara wote liwalo na liwe
@nishasalim28803 жыл бұрын
Tuwe makini ndio sawa. Hivi hatumuoni watu wanaingia ikulu kila kukicha? Wengine" wanasema" Tanzania imekuwa nchi rahisi kuingia kufanya biashara! Hivi tujiulize Dangote si mwafrika na ana kwao? Kitu gani kinachomfanya kusema vile? Mama samia amefanya nchi ni kama yake. Hausishi watanzania kwenye kuleta wawekezaji. Kwanini Dangote asiende Ghana au kwao Nigeria?
@maishamazuri98973 жыл бұрын
naskia weshaanza jenga. wachina weshachukua. taratibu tutakua watumwa ka wazambia. angalieni Zambia wananchi wanalia. wachina wamekula hadi kazi za wauza genge na za kimachinga. Huyu magu Mungu alitupa na tumempoteza bado tukimuhitaji.
@kiri58073 жыл бұрын
@@nishasalim2880 wewe huyo Magu alikuhusisha alipofanya maamuzi? kwenda huko imekuwa sewe analolifanya mama samia silo aloyafanya Magu hata km ni ujambazi yalikuwa mazuri. wanyonge muna akili za pumba.
@hbdina3 жыл бұрын
@@maishamazuri9897hawa Wachna wanaingia Taratibu baada ya miaka kadhaa itakuwa tabu hata kuwatoa Tanzania hapo ndio chanzo cha matabaka na Utumwa
@ernestmasanja25893 жыл бұрын
Huyu alikua mzalendo wa kweli mtetezi wa wanyonge mtu wa watu hakika tutakukumbuka daima.
@petermanganji96083 жыл бұрын
Aisee hyo maguful we acha tu kwakwel tutamkumbuka daima milele
@engzuberir.akilenza17643 жыл бұрын
Mzalendo kwasababu gani? Duh ila alijitahidi kuwa brain wash Sana watu mpaka wakaamini unyonge ni sifa
@ernestmasanja25893 жыл бұрын
@@engzuberir.akilenza1764 ukiwa una asili ya wizi huwezi kumwalewa hata siku moja.
@v_i_p11093 жыл бұрын
@@ernestmasanja2589 asante kaka 👊
@ernestmasanja25893 жыл бұрын
@@v_i_p1109 haya kaka
@mimitijara48063 жыл бұрын
Kwenye soko mama mbona tena ukamg3uka mwenzio ss hauko tena mama ashammaliza maisha ni bahati mama na kiwete kufa ni lazima one day u guys will pay the death of our african leader our hero wil never never ever forget u rip our beloved africa father
@rosetreffert67273 жыл бұрын
Kabisaa malipo ni hapa duniani
@Jal2103 жыл бұрын
JPM was strong in all roles and I don't think we will ever get a president like this in Tanzania, Africa. God bless you he will always be remembered for his dedication to Tanzanians and Africa in general.
@petermollel14713 жыл бұрын
No, hapa alipotosha Sana na kuvuruga practice za kawaida za uendeshaji wa miji ili kujipendekeza kwa wamachinga. Haiwezekani kundi lolote liamue kujifanyia biashara ktk eneo lolote la mji. Itakuwa ni uchafu mjini. Na hata hakutakuwa na njia kwenda mjini au kufanya biashara smoothly kwa wale walipa Kodi. Sasa hapo si mtakuwa mmeleta majanga?. Katiba haiwezi ku-accomodate kila kitu jamani. Mambo mengine ni practice tu.
@Jal2103 жыл бұрын
@@petermollel1471 Nafikiri wewe upo upande wa pili na ndiyo maana unapinga wakati mwenye macho haambiwi tazama na cha kushangaza watu wanaopinga ndiyo wapotoshaji wakubwa.
@aminamikidadi77543 жыл бұрын
@@petermollel1471 Mr Peter mi nimemuelewa sn..Mr Magu hana alipopaacha amepati sehemu zote ..kwa umakini mno. .khs hlo la wamachinga ...hakusema waruhusiwe wawe endelevu anasema ni kwa muda tu ili viongozi waliobeba dhamana ktk sekta hyo hususan wizara ya tamisemi wawajibike kuwatafutia sehemu mbadala ambayo itakuwa ni ya kudumu na ambayo itakuwa na huduma zote kwa ajiri ya wafanya biashara na wateja wao hususan ..choo n.k .... kingine pia kagusia machinga wasijenge mabanda nadhani mpk hapo watakapotengewa eneo Lao sahihi ...Mungu akupe pumziko la amani ktk kaburi lako.. simba wa Afrika uliyesubutu kutowa sadaka maisha yako kwa ajiri ya nchi yako Tz ..baba ...Ameen .....
@denismonahera93813 жыл бұрын
Rip the African hero
@hashimlowela2943 жыл бұрын
😭😭😭😭pumzika kwa Aman Mzee mungu ameamua Ila kunawakati unaweza ukakufuru mungu bure nahisi kama nimeondokewa namzazi wangu wakunizaa
@marrymenas3 жыл бұрын
Uliye muamin Baba kakugeuka! Twafa kwa pain 😭😭 hatuna wa kututetea wanyonge. Kibaya zaidi hili neno "wanyonge" sasa hivi tukilitamka tunaonekana ni bwege mtozeni piga uwa. Tunakukumbuka sana Baba
@wadeelegbogun30153 жыл бұрын
R.I.P JPM 😭😭😭😭tutakukumbuka daima JPM baba yetu JPM 😭😭😭
@muniramunira4013 жыл бұрын
😭
@innomaina14823 жыл бұрын
@@muniramunira401 776 .6 ..9 6 60k to ... inches wide
@fatumahamis42573 жыл бұрын
😭😭😭😭
@ericklaurent14843 жыл бұрын
N Lin watanzania watakuwa wawekezaj kwenye nchi yao RIP JPM MZALENDO WA KWEL WENGINE SIJUI
@imamuyassir36753 жыл бұрын
Tutakukumbuka shujaa wetu was afrika mungu ailaze roho ya mwanamapinduzi wa was kweri na mtetezi Wawa nyonge ww ndio mfano wa wakuigwa r.i.p baba
@wadeelegbogun30153 жыл бұрын
JPM tutakukumbuka daima JPM 😭😭
@damarismatheka23083 жыл бұрын
Baba taifa tulikutambua Sana may your soul continue resting in peace,from 🇰🇪🇰🇪
@mussaelia86933 жыл бұрын
Actually , I feel sad for the loss of our beloved president , but sincerely He was doing things honestly and made a good neighborhood with nearby African countries , We appreciate you neighbours . 🇹🇿🇹🇿 🇰🇪🇰🇪 🇺🇬🇺🇬 💠
@pendomarco89283 жыл бұрын
Jamani watanzania wenzangu tuacheni uzazi Wa mpango na tuliotoa mimba Mungu atusamehe ili tuzae watoto Wa taifa la kesho watakaokuwa wazalendo na kuokoa nchi yetu Kama Magufuri
@tanzanian88473 жыл бұрын
Umeongea kw uchungu
@prettyh75093 жыл бұрын
Kabisa ndugu yangu
@ashampore60703 жыл бұрын
Samia upo au ndo asiyekuwepo machoni na moyoni pia hayupo,lkn kwa hili mzimu utawatafuna wale wote watakaomsaliti hayati JPM ,Raisvaliyeteuliwa na mungu pumzika shijaa watanzania tunakulilia sana ,umetuacha katikati ya bahari nahodha wetu,mahiri mwenye hofu ya mungu oh moyo wangu unauma sana lkn ni kazi ya mungu haina makosa ila tunaumia sana watabzania kuona mambo yanakwenda sivyo.
@hadijaabdul87653 жыл бұрын
Kweli kabisaaa tuzae tuu
@jamshirdally41573 жыл бұрын
hakna kazi ya mungu apo sema wa tz hatuna uchungu na nchi yetu tunapelekwa km kondoo
@jescadeogratias52923 жыл бұрын
Dah! Kama mtu akifa anaweza samehewa makosa yote. Kama Kuna sehemu amekosea Mungu msamehe Maana sisi n binadamu, muweke katika pepo yako. Tumekumic sana shujaa wetu😩😩😩😭😭😭😭😭😭😭😭
@wanzambinya85013 жыл бұрын
The best president ever! not only Tanzania lost their hero, i am a kenyan but up to now my heart its still heavy when i remember u left us JPM. in ur speech, u never missed to talk about the poor people... lala salama...
@wilkistermorningstar4063 жыл бұрын
Kwa hakika ulikuwa rais wa watu na hakuna mwingine ataweza kuyatimiza ulioyatenda kwa ajili ya Tanzania, daima tutakukumbika milele.pumzika kwa amani
@estherelia6693 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭baba yangu jaman mbona hunitoki akilini Nakushukuru Mungu tu kwa yote 🙏🙏🙏🙏
@neemakilomoni42583 жыл бұрын
Samia anavyo itikia utazania ndio anayo yatenda sasa mmh Mwenyezi Mungu ulijua ficha miyoo yetu Mama kageuka kama sio yy alikua office moja na Magufuli Rest In Peace Paradise Mh Magufuli. 😭😭🇹🇿💔💔💔Samia Mama rudi kwa Mungu wako Mama kumbuka haya Maneno Mama ya Hayati Magufuli baadhi ya wa Tanzania 🇹🇿 wana lia Mama
@tanzanian88473 жыл бұрын
Huyu mama hata uislamu haumfai. Maana hata Qur'an inasisitiza zaid kujali watu wanyonge zaidi kuliko wenye pesa
@mohamedhaji22003 жыл бұрын
@@tanzanian8847 kwani hawajali jamani
@jambo37513 жыл бұрын
Kwahiyo Umesikia SAMIA kawafukuza wamachinga sio? Na pia Magufuli kama umemsikia vizuri amewaambia wamachinga wasije wakavunja sheria kuuza pembezoni mwa barabara au kujenga vibanda pembezoni mwa barabara eti tu kwavile yeye amesema wasifukuzwe na sasa wakibomolewa vibanda alivyowakataza Magufuli utakuja kusikia baadhi ya watu watasema MAMA SAMIA anawaonea huyoo. Na pia haya mambo ya kutaka SAMIA afanye kila alichokuwa anafanya Magufuli hakuna kitu kama hicho bhanaa.Yeye ni Rais ana amri anajua lipi la kufanya.Sio kama kila jambo hana ubunifu ila kucopy na kupest atakuwa si kiongozi huyo.
@depaolo34613 жыл бұрын
@@jambo3751 ushaingizwa kipimo Cha corona kwa matako au? Mbona unapovu sana
@jambo37513 жыл бұрын
@@depaolo3461 Tayari nishafanyiwa yaani rahaaa.Usiogope wewe mbona vitu vya kawaida hivyo au umeambiwa utatobolewa jicho ndio ukaogopa?
@fediruben50093 жыл бұрын
Nasema hivi Kama Kuna mtu ameshiriki kwa namna yoyote ile haki ya Mungu mwaka huu hauishi Mungu atatenda😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@azizawadh59733 жыл бұрын
Ni mungu
@bonymrengule64183 жыл бұрын
Amina👏🏻
@dianamarobo57333 жыл бұрын
Amina
@weremawangwe78013 жыл бұрын
Amina
@hazayusufu75463 жыл бұрын
magufuliwetu jamani mbona umetuachia upweke huzuni mioyo imeugua amka basi tumekumisi sana
@bellutbellut30493 жыл бұрын
Baba yetu tutakumiss sana .uliwajali watu wa maisha ya chini .sana . waliobaki wanawajali tu. sio ss watu wachini .Mungu akupumzishe mahali pazuri
@georgerichard12423 жыл бұрын
Maneno ya huyu baba yataendelea kuishi kwenye akili zetu daima na nasema damu ya huyu baba haitamucha MTU salama,waacheni wakengeuke lkn nao watakufa tu,,pumzika baba yetu tutaonana badae
@tonyjamessantiago46173 жыл бұрын
Tanzania, itachukua zaid y miaka 100, kumpta m2 kama uyu King.
@engzuberir.akilenza17643 жыл бұрын
Ni kweli hatatokea mtu aliyesababisha maumivu makubwa kwa makundi mengi ya watu kwa muda mfupi kama huyu jamaa.
@saifsaidkhalfanalhabsi71243 жыл бұрын
@@engzuberir.akilenza1764 umesema ukweli ndugu. Huyo jamaa mwendazake ameshapendwa na mungu hembu tuangalie wengine waliopo huenda wakafanya mengi mazuri.
@azizawadh59733 жыл бұрын
Umefanyia wapi uchunguzi mwenzetu
@johnmvinile26123 жыл бұрын
Ameondoka magu Sasa tunaye rais na kivuli Cha msoga
@salimsaid72003 жыл бұрын
TONIY BABAKO NDIE ALIE KUTABIRIA.
@simonannettemwetela60173 жыл бұрын
Asanteni sana baba mfalume magu simba wa afrika nzima akubarike sana endeleye kuwàongoza wamalaika mbinguni uliko kiongoza mkweli na ukweli utabaki ukweli msema ukweli ni mpenzi wa mungu kweli kabisa , siwezi nika sema lala salama iyo apana nta sema chapa kazi salama waongoze wa malaika talatibu wa amini kweli kweli kweli wewe nilafiki wa mungu kiu kweli.
@amockkalinga15203 жыл бұрын
Daaa kama upo baba mpaka machozi yananitoka jamani acha tumwachie mungu mweza wa yote kibinadamu inauma Sana rest in peace dady
@1m.13 жыл бұрын
Hakika Tanzania ilimpoteza kiongozi ,mzalendo mtendakazi na mtetezi wa wanyonge ,sijui kama Mungu atawapa kiongozi kama huyu jpm rest in peace tutaonana badae Kenya tulikutambua😭😭
@wilsonmkumbo71993 жыл бұрын
Mmmm!mama yafanyiwe kazi hayooo!
@dianamarobo57333 жыл бұрын
Kweli kabisa umeongea vyema
@mussaelia86933 жыл бұрын
Mungu humuinua MTU kwa kipindi Fulani kwa sababu Fulani , tumtegemee Mungu tu ,yeye ndiye aliemleta Magufuli na kumchukua , Atainua wengine
@kramsjunior44473 жыл бұрын
Amiin
@azizaaziza91133 жыл бұрын
Labda kwa baadaye lkn sasa hivi hakuna
@anithajaphet45873 жыл бұрын
nimeishi mpaka Leo hii niko salama sihitaji chanjo wala mama yake na chanjo magufuli always my legend
@coolruler68203 жыл бұрын
Ni vile tu Afrika hatuna kawaida ya kuwasifu na kuwaenzi Mashujaa wetu, na kama ilivyo kwa Nabii kutokuwa na heshima kwao, bila kudodosa Magufuli alikuwa Raisi mzalendo na chapa kazi. Lala pema peponi baba!
@florencekimotho8873 жыл бұрын
Alimruhusu huyo mda mfupi, hata Yesu alifamya huduma yake miaka 3 tu LAKINI hakuenda na funguo. ALIZIACHA. Haya basi njia mshaa oneshwa mkishindwa sasa ndo mlie majonzi kweli kweli.
@anjunurdin23923 жыл бұрын
Kwakweli anayoongea magufuli sio kama mabaya. Lkn wanaompongeza magu ni wafanya biashara tu. Lazima wampongeze magu na wamponde mama samiha. Hawa wafanya biashara hawataki kupangiwa sehemu. Wanataka mabarabarani hawajali barabara gari wala maduka ya watu wala usalama wao wala usalama wawatu. Hii imekua biashara au kero? Wanataka popote pale magari hayana nafasi yakupita nashangaa madereva hawalalamiki mtu anapambwa barabarani mwanamke amegeuza saloni njiani mama ntilie njiani huu mji ndio maana uchafu umekithiri. Mavanda baki uchafu baki. Majamni na hao boda boda hapohapo tutakufa hebu wapigwe marufuju kama zamani mwisho magomeni watatuuwa fujo la kariakoo na bodaboda hapohapo mkokoteni guta maiskeli basi mh kweli mama samiha chukua hatua. Maana kisa magu imekua nongwa
@esteromary21023 жыл бұрын
We acha tu,J PM 😭😭😭
@lottikishapui73773 жыл бұрын
Ooooh mungu wangu naomba unifariji mimi kwa kilio ya kila wakati jpm nitakukumbuka daima pia watanzaia masikini watakulilia na kukumbuka daima 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@noblechild56523 жыл бұрын
Hakika kizuri hakidumu. Rais wetu JPM😭😭😭😭😭😭 Allah akuweke Pema Peponi inshaAllah 🙏
@rajimatola29753 жыл бұрын
aaamin
@isamony583 жыл бұрын
mm samiya kumbuka hayaaa manenoo jamaniii kwa nn mnageukaa lakini mungu mlazee mahala pema magufuki wetuu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏
@alphoncewilliam43252 ай бұрын
Kaziba masikio na vitambulisho kavizuia avipo tena migambo kawaludisha .kwa hili sitampigia kura asee
@africayetutv3293 жыл бұрын
Daaah!! I'm crying again 😭😭😭😭 what is this? , the one who is getting this message is the one who is leading us now or I'm blind !?
@frankmbezi18883 жыл бұрын
Rais wangu
@edisonpeter38943 жыл бұрын
No one believe if she diverted!
@hawamabira14993 жыл бұрын
I’m so heartbroken 💔
@lukasjamessimbababarooooo84233 жыл бұрын
Baba mangufur machiga tumeshaaza kufkuzwa tunaomba ariye huska kwenye kifo chako nae akufate pia
@georginajohn84563 жыл бұрын
Jamani Magufuli Wetu Mtetezi wa Wanyonge Pumnzika kwa Amani Baba bado wa Tz hatuamini tunaona kama ni ndoto Dah Simba wa Africa amelala Wazungu pia walijua yupo Mwanaume Africa Mama Samina tunamuombea sana kwa Mungu Magufuli alijua kuwa utaweza kuiongoza nchi ndo mana akakuchagua tuko pamoja Mama yetu
@jeandelair67473 жыл бұрын
RIP Mr Makufuli, the Great Man of Afrika.
@eliuzejulius35693 жыл бұрын
Mbona Sasa sivyo vinavyo fanyika? Mungu wetu unaye ishi tenda katika nchi hii maana usaliti, ubabe, unyanyasaji, na rushwa tayari zmepamba Moto sana
@saniakarama61133 жыл бұрын
Jmn huyu bibi hajisikii vibaya roho haimsuti dunia kigeugeu 🤲🤲
@tanzanian88473 жыл бұрын
Yaan huyu mama hana hata hofu ya Mungu. Ni zaidi ya msaliti. Na hana huruma na wananchi wake
@lovaelias42243 жыл бұрын
Hili li mama litakufa mda si mrefu na laana iwe juu yake
@mbwanakhamis96343 жыл бұрын
@@tanzanian8847 alafu anajifanya mcha mungu n kuitikia tu hpo, lkn hkn hta moja alilo likumbuka bt malipo n hpa hpa tu...
@magretkijanga60383 жыл бұрын
Acheni ujinga mama anachotetea nikurudisha wafanyabiashara wakubwa vizuri...mnaoongea ni wamachinga najua sababu hamkuguswa ktk ugumu wa maisha ...watu walifunga maduka .watu walifungiwa pesa zao mabenk,magu hakutaka mtu kuitwa tajiri kwake ni mwiko ,Mungu hakufanya hivyo alisema atabariki kazi ya mikono yenu,alafu mtu aje hataki kuona tajiri ...Na amekataza kujenga mabanda lkn kwa sasa mjini km dampo..uchafu.mabanda kila kona ...wanaolipa kodi kubwa ndo walibanwa sana .ongeeeni kwa haki ..acheni kumponda Rais wetu ....mna maneno magumu sana mshindwe sana
OH! My God, Imenifanya nianzishe kilio upyaaa kabisaaaaaa. Mama Samia uyakumbuke hayo leo👆👆👆 Unayajua.😭😭😭💔💔💔
@taeykirundusadallah56593 жыл бұрын
We acha tu
@mosesbutoi28193 жыл бұрын
Lakini Samia umebadilika umemsaliti
@mohamedhaji22003 жыл бұрын
Kabadilika vipi
@ibrahimngurungu56073 жыл бұрын
@@mohamedhaji2200 huwezi kuelewa wewe kaa kimya ila mkumbusheni mama yenu hiki cyo kisiwa cha wapemba maana inaonekana na wewe ni damu ya kisiwani
@mohamedhaji22003 жыл бұрын
@@ibrahimngurungu5607 Huu mwaka lazima unye. Mama anapika miaka 9. Tulichoka na udikteta sisi. Utakojoa mwaka huu ngedere ww.
@sleymohamed38253 жыл бұрын
@@mohamedhaji2200 😀😀
@depaolo34613 жыл бұрын
Watu wameshachoka mapema acha acheze taarabu 2025 aone nguvu ya umma
@samwellwiza10983 жыл бұрын
Ngoja niendelee kuomboleza coz yale yajayo ni maombolezo zaidi ya maombolezo......
@TheSalma19993 жыл бұрын
Kweli kabisa
@geraciusfidelis27753 жыл бұрын
huyu.kamanda.tutamkumbuka.sana.hakuna.mfano
@haikajohn75803 жыл бұрын
Mungu atutie nguvu
@stevensimtowe45113 жыл бұрын
Kwa Sasa Hatuna RAIS 🇹🇿ilo Ndo mjue Watanzania wenzangu
@scolasticadavid34543 жыл бұрын
Tunakukumbuka.baba.Rip.baba
@farajnangojahunauzuliwakup3043 жыл бұрын
Kwel kabisa
@liberatusmassawe56013 жыл бұрын
@@farajnangojahunauzuliwakup304MUNGU SAIDIA
@elineemamalissa52703 жыл бұрын
Mawazo yako na yangu saw
@ibrahimmussa65383 жыл бұрын
100%
@leiratykisura67183 жыл бұрын
Uyu mma mnafki sana apo anaitikia na kusaponti lkn leo hi kashika nchi yy hakuna anacho kifanya zaid ya kutoa mari za watzd
@salhamohamed13583 жыл бұрын
Watanzania ndio kazi zetu hizo kuwakumbuka watu wakitoka kwenye madaraka au wakifa mnasema pengo lake halita zibika. Hata mama
@aminahamisi28373 жыл бұрын
Kazi ni kuteua kila
@dicksonchauganga53253 жыл бұрын
Mm mama alinitoa imani pale aliposema hata hayo madini mnazuia nn wapeni hao waliokua wanatuibia wachimebe tunataka pesa! Mnayaacha ardhini ya nn?? Hahahaaa nacheka kwa uchungu,ikiwa nyerere aliwahi kusema km hatuna utaalam wakutosha kuchimba madini yaachwe aridhini adi vizaz vyetu vitakapo elimika.
@dicksonchauganga53253 жыл бұрын
@@whatisthetruth.8793 let's weit, time time will tell.
@dicksonchauganga53253 жыл бұрын
Kitu cha hatari zaid, nikua mama hana uelewa wa mambo mengi kwa hivyo atakua anaingizwa tu box, marehem alikua genius! Hakuna kitu utamdanganya, ujenz.madini. mambo ya maabara na hesabu zimelala,mama yangu nikupokea riport tu nakuteua! Wapigaji wanacheza ngoma hv sasa.
@zuwenakazoka553 жыл бұрын
Dah ,RIP Rais wangu Magufuli 😢😭😭😭🙏🏽🇹🇿💔,
@omosh20233 жыл бұрын
So sad this great man has rested.
@liberatuceboniphace40043 жыл бұрын
R.I.P King. Mungu tusamehe nchi yetu kama kuna mahali tumejikwaa, tusaidie tuinuke tena
@liberatusmassawe56013 жыл бұрын
Itachukuwa muda
@debaronmalumba42033 жыл бұрын
Nimelia mpaka nikagundua kuwa magufuli hatarudi Tena ndo nikanyamaza pumnzika kwa amani baba yangu kila nikikumbuka roho inastuka na kuuma Sana kweli baba uliuteka moyo wangu kwa uongozi wako mzuri kwa kweli haijawahi nitokea aisee nimeteseka Kama kipindi like nilipompoteza baba yangu mzazi kweli magufuli ulikuwa baba mzazi kwangu na zaidi ya uraisi kwangu😭😭😭😭😭
@marianmartin74833 жыл бұрын
Uzalendo huu utapatikana wapi?, ee mungu wee. Nashindwa niseme nn, tutakukumbuka daima JPM. RIP JPM.
@pitargamba92083 жыл бұрын
Sema tu Marian usihofu nami ninasema hata yakiniuwe ndiyo tukutane na Jpm huko busala hii sidhani itapatikana tena.
@shaddybmc83423 жыл бұрын
Mama zingatia haya maneno ya mzee , muhim sana
@rukiaissa52253 жыл бұрын
Mama wanawake wenzio tulifurahi japo kwa machozi ya uchungu mzito.😭😭😭.Sasa yakumbuke Basi hata haya...
@lulanjamd38863 жыл бұрын
Mimi nilisema siku Rais Magufuli akitoka madarakani ujue ndo mwisho wa Ccm mwaka 2025 mama samia hashindi kiti cha Urais watu walipigia kura Ccm sababu ya John Joseph Pombe Magufuli .
@annaphilberth2563 жыл бұрын
Kwanza hawezi ata kuweka jina lake nani ampe kura?
@mdouharoon63163 жыл бұрын
Nakuunga mkono mzee hatutapiga kura ata kwa mtutu
@charleslucas79643 жыл бұрын
Na Mimi pia Niko pamoja na ninyi wenzangu
@maryammustafa11073 жыл бұрын
Acheni ubaguzi
@edwardmsaso73113 жыл бұрын
Iyo inaitwa unaskiliza sikio la kushoto yanatokea kulia,hakuna kitu chchte alikua anakielewa hata muezi 3 haijapita amekengeuka kaanza kuwatimua kisiasa kariakoo
@jenyyusuph49733 жыл бұрын
Duuh usiombe unafunguka kwa mtu ambaye kakuzunguka kwa vibaya duuh 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@annaphilberth2563 жыл бұрын
Ushungi ulibana sana masikio kaka
@mwasoprince34593 жыл бұрын
Hahahaha
@salimsaid72003 жыл бұрын
@@annaphilberth256 KAUZE KUMA
@zuwenakazoka553 жыл бұрын
Dah Samia 😁😁😁 anafanya vibweka huku baba
@hildaeliapenda39383 жыл бұрын
Yaani nimelia tena jamani magu Mungu tunavyokuombea Mungu akuweke mahali pema peponi dah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@kudraahmad56703 жыл бұрын
Mzalendo wa kweli na mpenda haki tutakukumbuka daima,,, eee mola mpokee na umpumzishe kwenye ufalme wako sisi watanzania tunakuombea upumzike Kwa aman, amiiin
@nestor3843 жыл бұрын
Huyu ndiye Rais aliyeijua Tanzania na utamaduni na utangamano wake kwa kina sana kuliko wababaishaji wanne wengine. RIP Baba tutawasimulia watoto na wajukuu wetu juu ya uzalendo wako💔😭
@hijaabdalah92353 жыл бұрын
Msema kweli hadumu .Allah akupe pumziko la milele shujaa sasaiv nchi ishauzwa
@johnmasinde18753 жыл бұрын
What a great leader! With his people at heart. RIP
@martinesizya2343 жыл бұрын
Delila ni delila yule yule, htr sana!
@peaceisrael81583 жыл бұрын
😂😂hivi hili jina alilipata wapi 🤗watu kwa kubatiza
@johnmalembo64643 жыл бұрын
Maneno haya yatahubiri kwa vizazi vingi. Mbegu moja ikipandwa. Itaota na kuzaa mbegu nyingi. Mwenyezi Mungu tubariki Watoto wa Tz
@basharahamtzhalisi68713 жыл бұрын
Mama samia anaiona hii kweli, maana tumeanza kusumbuliwa, MUNGU ATUSAIDIE.
@haikajohn75803 жыл бұрын
Siyupo hapo?
@mimitijara48063 жыл бұрын
Sada imekuwa ni samia na kiwete ndio mwenye mamlaka tanzania hata hawaongipi mungu na mitume wake eti hawa ni waisilamu walaaniwe kabisa laanatulahi mlaaniwe usiku na mchana
@maryamsekibaha47633 жыл бұрын
Kabisa aiseee
@mwahamedychilungu89813 жыл бұрын
kwani nyinyi mlikuwa munatakaje sio inchi tuu hata mke ukifa watu lazima wachukuwe mke na na wamuendeshe wanavyo taka wao
@mohamedhaji22003 жыл бұрын
@@mwahamedychilungu8981 wewe kweli mwahamedy
@legnadmbata12303 жыл бұрын
Nyerere alipinga ukabila na udini
@zulkhasalim34053 жыл бұрын
Acha kulaani waisalmu ww,waislamu wamekukosea nn hata uwalaani,laani walokukosea acha ujinga
@DaveOndiek853 жыл бұрын
RIP Mkombozi Wa Africa 😭😭😭 Africa Will Forever Remember You 💘
@irakozejclaude78693 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 MUNGU ATATULIPIA SAWA Kama alihusika yeyote Mungu Atamzalilisha Kwani wanyonge ndio familia kubwa ya Mungu dua zetu Mungu anaziskia😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@sallygrace14953 жыл бұрын
Tusisahau kuwa Adui wako yupo Mbali mwako, sasa Zaidi Tumuomba Mungu atajibu Uhai wa hayati Raisi Magufuli, Usifikiri damu ya Mtu itaenda Bure..☝
@kichenjekichenje20723 жыл бұрын
Nikweli,damu ya mtu na machozi yetu haviwezi kupotea hivi hivi.Tusubir majibu
@faridamohammed86323 жыл бұрын
kabisaaaaa
@abuushaakir95823 жыл бұрын
Duuh mungu akueke panapostahik kiukweli mzee tulikupenda buuree kabisa kama nakuona...
@karimnurdin85833 жыл бұрын
Uyu mama mnafki sana
@kiri58073 жыл бұрын
@@karimnurdin8583 unafiq wake nini? kwani huyo Magu aliwapatia nini zaidi ya huo ufukara mulifurahia kila munapoitwa wanyonge mutabakia wanyonge forever jina limewasuit .
@RioIpo3 жыл бұрын
@@kiri5807 Hahaha limewasuta voo
@najmaulaya88193 жыл бұрын
Yaaani mpaka namuota huyu baba jamani 😭😭❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mtawalamsisi69933 жыл бұрын
Daaaah mungu hapendi unafiki
@amishadykiswaga10773 жыл бұрын
Never forget JPM, Mungu amhifadhi mahali pema, apumzike kwa Amani.
@Ezeakutelevision3 жыл бұрын
Uyo ndio hayati JPM mungu aiweke roho yako mahali pema peponi
@tumainichamkaga90633 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima baba yetu kipenzi
@ericirankunda28153 жыл бұрын
Kwl mungu azidi kukulalishe mahari pema
@sadickathuman80683 жыл бұрын
Uyu mzee wanasema alikuwa mwizi mm nasema hataaangeiba myka yote aliyoyafanya yalikua yanaonekana
@khadijaabdul50293 жыл бұрын
Rlp magufuli 😭😭😭😭😭😭😭 naumia sana swezi kuelezea 😭😭😭😭😭 tuta mkumbuka daima 😭😭😭😭😭
@geofreymwaipopo14423 жыл бұрын
R.I.P BABA MUNGU ametuponya na colona leo inaundiwa tume na wasiokua wazalendo wanatushauli chanjo MUNGU tunakuomba uiponye Tanzania
@ashuraumari13223 жыл бұрын
Amiini
@issamohamedi36663 жыл бұрын
Kweriiii kabisa Due mzee magufuli pumzika Kwa aman ulikua unasima kwenye ukweriii
@issackmnyama46743 жыл бұрын
R.i.p jpm
@TheNdaki3 жыл бұрын
Amen
@yohanavenance19773 жыл бұрын
Mama samia Kama unafikir hukupewa wosia siyo Kweli,chapa kazi ukikumbuka chuma alikuamini sana na asingekuwa yy pengne tusingekutambua wengine.Naomba usimuangushe hayati.kazi iendelee..
@nishasalim28803 жыл бұрын
Huyu mama anajua kilichomtokea jpm.Manake anakwenda kasi sana!
@neemakilomoni42583 жыл бұрын
Ana jua au ana husika?
@zaizai90893 жыл бұрын
✔
@mohamedhaji22003 жыл бұрын
@@neemakilomoni4258 anahusikaje?
@aminahamisi28373 жыл бұрын
Anaendeshwa tu nae
@mariamukusaga76093 жыл бұрын
@@mohamedhaji2200 naona unapambana acha watu waoneshe hisia zao wtz wasasa sio wajinga
@peaceisrael81583 жыл бұрын
Nisikiapo hii sauti lazima niskilize, kisha naumia gone too soon Mungu akulipe kwa wema wako , ulitupenda ulitutetea ulitupigania 😭😭😭RIP JPM🤲🙏🌺🌺🌺
@@machaggechacha3422 MIMI NIMESIKIA MAGU AKIKUFIRA USHAHIDI SIO LAZIMA KAULIWAN NA SHETANI WA PEMBE MOJA KAMA UBOO MSENGE WEWE.
@kisiipentecostalchurch22723 жыл бұрын
Surely am akenyan but this king of Africa ameniumiza moyo sana sioni kama nitamsahau uyu mtenda Kazi watanzania mumeua gold next 5 years mungekuwa mbali sana hakuna nchi ya africa ingewafikia jamani.
@focusdaily27423 жыл бұрын
Boss , it may also be a foreigner ndio alimuangusha, juu hawa wawekazaji mob ni outsiders...
@evansokemwa65873 жыл бұрын
ukweli hawatapata king kama uyu
@naimamuktar90283 жыл бұрын
Very true indeed👌
@geraldmakalala60913 жыл бұрын
Wameshamgeuka siku nyingi Sana
@florencekimotho8873 жыл бұрын
Ki vipi?
@azizawadh59733 жыл бұрын
Fafanua
@pitargamba92083 жыл бұрын
Nenda baba, pumzika baba, uwasalibie akina baba wa Taifa tuko nyuma tunakuja utatuhubiria huko uwe miongoni kati ya malaika wa mbinguni ulitumwa na yesu mwana wa nungu na uliyatekeleza. Ameni.
@dennisrono19413 жыл бұрын
He was a great leader East Africa has had. Tanzanians will miss this patriot. We Kenyans miss him too. May he continue resting in peace
@mariageorge65173 жыл бұрын
Mungu akulaze mahali pema peponi🙏🙏🙏
@mamumi4293 жыл бұрын
Kaka yangu mpaka sasa sijaamini kama haupo duniani nikisikia hizo hutuba zako. Lakini mwenzako sasa kakugeuka wamachinga sasa hivi wanatamani ufufuke. Yalaa walio kumaliza ili washibishe matumbo yao mungu waangalie . Baba lala salama ulijaribu kuwapigania wanyonge. Mungu alikupenda zaidi akaona akupumzishe.
@isaiahnkoiputa61743 жыл бұрын
Mama Samia ....kazi kwko mamaa wasiteswe wanyonge
@sahalexcha30363 жыл бұрын
*R.I.P MFALME JPM 😭😭😭*
@evodphilibert21173 жыл бұрын
kah jamani tunaambiwa kazi iendee hivi kweli ukiangalia its true
@joshuason5573 жыл бұрын
RIP KING JPM 🙏🙏🙏🙏🙏
@allyfutto87633 жыл бұрын
RIP JPM 😭🇹🇿VIONGOZI wasipoBADIRIKA na kuwafuta machozi waTZ kama alivyoshahuri JPM, IMANI za waTZ zitaKITHIRI USHETANI na NCHI itavurugika MACHAFUKO YATATAWALA UFISADI KUUWANA ITAKUWA NI KAWAIDA Viongozi pia watauliwa kihorela haswa watendahakhi, RIP JPM 😭😭😭🇹🇿
@nishasalim28803 жыл бұрын
Mama mnafiki sana! She is doing the same in ngorongoro.
Hakuna siku naacha kuangalia hotuba zako rip chumaa tutakukumbuka daima😭😭
@pastorhermantv54203 жыл бұрын
Dah hapa sasa nimeamini huenda magufuli hajafa kwa mpango Wa Mungu dah nasikitika sana yaani waliohusika kutuondolea Mfalme wetu Nawalaaani kwa Jina la Yesu hawatamaliza 2025 na wao wataenda walipompeleka Mfalme wetu tena nasema na wanisikie popote walipo
@missmrs8293 жыл бұрын
Kalala ktk pendo la mungu yote kamaliza
@estermathias83543 жыл бұрын
MUNGU ndo anajua🤲🤲😥
@evansokemwa65873 жыл бұрын
ata hao watauliwa pia hakuna mwenye ataishi milele daima.
@yohanaandrew3363 жыл бұрын
Da kweli mwamba umeondoka na ndoto zako za kutetea wanyonge
@grephusingati78073 жыл бұрын
Well informed of the goings amongst his population even statistics ..ghost workers,ghost students,ghost salaries.
@grephusingati78073 жыл бұрын
Shupavu na mwenye kujali maslahi na uhaki wa Tanzania…Pumzika Vema.Nairobi,Kenya.
@prophetmunuo93173 жыл бұрын
hivi muuaji wa huyu mtume wa Mungu akisoma watu wanavyolia na kumlaani huyo, hivi muuaji anajisikiaje?
@عباسعباس-ش9ه4ت3 жыл бұрын
Mama tushike wanyonge ili tufanikiwe katik nchi yetu husia huu mama
@org52333 жыл бұрын
Inauma kinoma daaaaaaaah😭😭😓😓😥😥😥😥😥😥😥😥😥
@mariamnimbo83943 жыл бұрын
Mungu yupo! Mungu atatutetea na tumwona Mungu upande wa pili, tutavuka na Mungu atusaidie.
@lulurubby22353 жыл бұрын
Huyu baba kifo chake kama ni mkono wa mtu hakito waacha ,..
@saitawilson73073 жыл бұрын
Duuuuu 😭 😭😭!! .....kwa kweelii 🙆 🙆. ...
@staralive92603 жыл бұрын
Unasikia anajifanya kuitikia eti mmh, mhh, mhhh. Utadhani lilikuwa linaelewa kumbe hakuna kitu kabisa ni mnafiki huyu mama Basi tu jamani. Mungu atamhukumu yeye na hawala yake soon tu nakuelezeni.
@hemedmtunguja97883 жыл бұрын
Utakamatwa ww
@kichenjekichenje20723 жыл бұрын
@@hemedmtunguja9788 sio issue,acha tu tukamatwe.Inatia uchungu sn.Na hapo ndo ukumbuke ule usemi wa KIKULACHO KINGUONI MWAKO.
@aishaalbalushaishabalush82913 жыл бұрын
kabsa yaani msiwe waoga watanzania mnaumizwa tu huyu baba aliwatoa katka mashetan akawafungua macho msikubal inchi yenu irud kune dhulma
@brightonsospeter51003 жыл бұрын
Hahahahahahahaha
@susanraphael58943 жыл бұрын
Yani tena anasema ndo ajila zao jamani R.I. P. JPM
@jamilasalimvilog67523 жыл бұрын
Lala salama mwamba tulikupenda na tutakukumbuka daima 😭😭😭😭🇰🇪🇸🇾