''MAGUFULI ALITAKA NIWE MBUNGE ARUSHA MJINI/BASHIRU ALINIPIGIA SIMU'' GODBLESS LEMA..

  Рет қаралды 7,014

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 47
@gracemairusya2950
@gracemairusya2950 9 ай бұрын
Na uwezi kufanikiwa unapomsema magufuli
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 9 ай бұрын
Mbona keshafanikiwa? Toka usingizini wew?
@ivanrobert3071
@ivanrobert3071 9 ай бұрын
Magufuli ndio nanii?
@shabanibussara8454
@shabanibussara8454 9 ай бұрын
​@@ivanrobert3071...mwambie huyo mtumwa wa fikra.
@LusajoKabuka
@LusajoKabuka 9 ай бұрын
Unachosha hata kukuona huna sera mwache magu unajidhalilisha
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 9 ай бұрын
Unadhalilika wew usiyejielewa.
@erickenock3198
@erickenock3198 9 ай бұрын
Uyu comedian vip!!
@halimamasai2234
@halimamasai2234 9 ай бұрын
We huna lolote shenzi mwache magufuli jembe letu apumzike kwa amani
@francismahu6218
@francismahu6218 9 ай бұрын
unabwbwaja tu husemi utafanyaje kutengeneza kazi na ajira, husemi ugumu wa maisha utauondoa namna gani , ni makelele tu na kulalamika....
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 9 ай бұрын
Hufuatilii ndo maana hujui chochote. Mbona haya mambo yanasemwa kila siku, yameandikwa kila mahala, yamewekwa kwenye ilani zao n.k! Wew eti hujui watafanyaje kuondoa ugumu wa maisha??? Labda hutaki kuelewa. Lakn kama ni kusema, wao washasema mara nyingi na kwa namna mbalimbali. Toka kwenye blanket la ccm, toka kwenye usingizi mzito. Ewe Mtz usiyejitambua bado, amka kumekucha. Tangu muanze kusombwa kwenye maguta na kuletwa kwenye mikutano yao, kuhongwa chumvi glass moja, kofia, tishirt, vitenge na flana, maisha yenu yamebadilika? Unataka uendelee hivo kwa miaka mingine 60 ijayo🤔?
@petroyohana1126
@petroyohana1126 9 ай бұрын
Well said 👏
@FrancisSamwel-yw5lx
@FrancisSamwel-yw5lx 9 ай бұрын
Mungu awe nanyi viongoz wetu wa chadema maana n Kaz ngumu kujitoa kupambania nchi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 9 ай бұрын
Lema muache marehemu magufuli ameshakufa jamani
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 9 ай бұрын
Mbona Pilato alishakufa lakn tunamsema?
@shabanibussara8454
@shabanibussara8454 9 ай бұрын
​@@samsonfulgence5553jawabu zuri hilo.
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 9 ай бұрын
Kwani unateseka na nini wewe ikiwa magu anazungumziwa?
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 9 ай бұрын
@@venancemwanya4212 sipendi ni mwanazengo wetu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 9 ай бұрын
@@venancemwanya4212 Nakupa pole sana ndugu yangu sikujui hunijui je ingekuwa ni ndugu yako anasemwa na kutukanwa kila siku kwenye mitandao ungejisikia vipi Mungu skulaze mahali pema pepini amina
@edwardmizambwa237
@edwardmizambwa237 9 ай бұрын
Hakuna hata mpinzani wa vyama vyote vinavyo hubili maendeleo kama nchi na wananchi Watanzania. Wao ni kutaka kutawala tu. Kitu maendeleo hakipo vichwani nwao Mpe nchi, nakwambia asubuhi tu kabla ya kuapishwa keshauza nchi.
@emmanueldaniel1781
@emmanueldaniel1781 9 ай бұрын
Hajielewi
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 9 ай бұрын
👍✌️👊.
@JacobMbosalee
@JacobMbosalee 9 ай бұрын
Unatutukana boda boda.sisi tunachumba kimoja lema acha utoto
@SayiMakaranga
@SayiMakaranga 9 ай бұрын
Wewe mjinga
@JacobMbosalee
@JacobMbosalee 9 ай бұрын
Acha uongo Lema.tunaipenda chadema sana lakini sio jwa dharau zako
@thomasmollel9465
@thomasmollel9465 9 ай бұрын
Lema nakukubali
@petroyohana1126
@petroyohana1126 9 ай бұрын
Genius
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 9 ай бұрын
Mbwa wewe hunalolote .Mara akuuwe Mara alitaka uwe mbunge .mbwa tu wewe
@barikmwakibete-yi1fq
@barikmwakibete-yi1fq 9 ай бұрын
Your thinking capacity is at lower level😂😂😂😂😂
@mataypanga5262
@mataypanga5262 9 ай бұрын
Ukiwa mchaga ,nini maana yake!. Tanzania itoke kwenye ukabila.Ila ubunge unastahili kwa sababu maneno ya kutosha
@Kim19onlinetv
@Kim19onlinetv 9 ай бұрын
Sasa hoja za siasa na uchaga zinaingilianaje? Au unataka kutuambia wew ni mpambanaji zaidi kwa kua ni mchaga
@jworld1480
@jworld1480 9 ай бұрын
jpm alikuwa chuma bhana achana naye fanya mambo yako kiajana
@gracemairusya2950
@gracemairusya2950 9 ай бұрын
Mbona ulikimbia na mkimpa madaraka huyu atakimbila huko huko
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 9 ай бұрын
Ulitaka akae mumuuwe nyie si ndo mlikuwa mnajiita watu msiojulikana?
@MohamedBlanker-jw9qy
@MohamedBlanker-jw9qy 9 ай бұрын
Kiki tu
@gracemairusya2950
@gracemairusya2950 9 ай бұрын
Huyu muongo
@JacobMbosalee
@JacobMbosalee 9 ай бұрын
Siasa za Lena siyo za Chadema.muache mtu alyeikufa please.
@gracemairusya2950
@gracemairusya2950 9 ай бұрын
Huyu anahubiri fujo uongo tu
@sempaprudence9052
@sempaprudence9052 9 ай бұрын
Acha propaganda Lema, kwenye maandamano yenu ya CHADEMA Mwanza mmekodi Boda Boda kwa 10,000 na wengine mmewapa mafuta ya pikipiki waandamane, Leo unasema CCM wanawatumia umesahau mara hii.
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn 9 ай бұрын
Kuna vilaza wanacomment ujinga hata kipato cha milion moja tu kwa mwez hawana..mishe zimegoma afu wanaohamasisha wana nchi kudai tume huru ya uchaguz unakejeli? Maixha magumu kodi kila sehem watawala hawana habar halafu vilaza,masikin mnacomment ujinga kufifisha harakat daaah ni aibu sanaa iseeh.
@titonkwabi7430
@titonkwabi7430 9 ай бұрын
Hili jamaa Ni hamnazo kabisa sijawahi kusikia anaongea busara zaidi ya utumbo.
@charlesryoba192
@charlesryoba192 9 ай бұрын
Mbona unahutubia watu 20 harafu unasema jembe Makonda hahahaha
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 9 ай бұрын
La kufanya ni kuiondoa fisiyemu madarakani tunataka asemeje
@henryndosi2002
@henryndosi2002 9 ай бұрын
Wewe mwizi mzoefu
@petroyohana1126
@petroyohana1126 9 ай бұрын
Una kura yangu asubuhi mapema
@JoachimKisoka-d5l
@JoachimKisoka-d5l 9 ай бұрын
Ninyi mnaomshambulia huyu bw akili zenu ni kama mataara na hamjielewi hata kidogo.
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 9 ай бұрын
Lema sterling hakunaga Arusha kma Lema
@athumanhamad8522
@athumanhamad8522 9 ай бұрын
Muongo mbona hukusema akiwepo
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,6 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
Siri Nzito ya Azimio la Arusha, Ugomvi wa Kambona na Nyerere Yafichuka
26:18
Mbarikiwa ahoji. Je kikwete atakamatwa na simu yake...
20:02
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 469 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН