Рет қаралды 64,683
Subscribe / uwazi1
Kuna mambo mengi yalitokea hapo nyuma kabla na baada ya Uhuru ambayo ndani yake kuna mengi yakujifunza kwa Nchi yetu mashuhuri Tanzania, ikwemo Historia ya Nchi Yetu kwani ni Vizuri kujua tulikotoka na jinsi ambavyo wazee wetu walipambana kuhakikisha Uhuru wa Nchi yetu unapatikana.
Miongoni mwa Majina Yaliotikisa wakati wa enzi za Tanu sambamba na wakati wa harakati za kutafuta Uhuru , ingawa wote tunajivunia jitihada za Baba yetu wa Taifa Hayati Mwl Julius Nyerere lakini ni vizuri pia kutambua mchango kwa wazee wetu wengine ingawa hatuwezi kulinganisha na jinsi Baba wa Taifa alivyopigania Nchi hii.
Tunakukutanisha na Mzee lwanyantika Masha ambaye amefunguka kila kitu.
/ uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1
WEBSITE: globalpublishe...
FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpubli. .