TBC Oyeee ♥️🇹🇿🌻👍🏽🌹 Hongera Sana TBC na team yenu ya HADUBINI 👍🏽👏🏽👏🏽👏🏽
@mandyfitnesstv67385 жыл бұрын
Hongereni wazee wetu kwa ubunifu.
@hamidyhashimu68075 жыл бұрын
Mifumo ya kuweza kutengeneza nchi ya viwanda inajulikana... Politics-engineering-industrialization- business-then high national income... Ila sasa bongo. Engineering-business-industrialization-politics-controls incomes....hatuezi fika.. TANESCO sasa wawe watu wa Safety control to the public.. Ila sasa , ila umeme uzalishe kila mtaa wa kwake..... Na malipo nafuu tyu...umeme itakua hakuna kitu cha historia kukatika... Na watu waache politics watu wafanye kazi ....aise Hapo mbna tunafika... We can make small quantity of power but satisfy our streets.... Na watafute njia....we need to decentralize the power production,supplying,safety care . Tutapunguza tatizo la ajira kwa wanangu wote tulio soma kwa gharama kujua hivyo vitu.... And tutaongeza pato kubwa... Kuliko kuingia kila siku gharama za kuwaita wachina na wazungu kututengenezea centralized power production system... Itakua fresh kinoma.... Kama umeelewa ...gonga like hapo.
@bernardmasambaji4665 жыл бұрын
hamidy hashimu uko vizuri
@kiatu5 жыл бұрын
TBC ahsanteni sana, hivi ndio vipindi vyenye tija, acheni mambo kupoteza muda kutangaza "send-offs", harusi na vipindi vya dini kwenye national TV. Haya matukio yatangazwe Kama news tu na ikibidi. Ama sivyo wanunue muda kwenye private TVs.
@edwardgwaspika49435 жыл бұрын
Tanesco anasema waje kuripoti ofcn sasa we we kwanini usimtembelee huyo mzee mkatoa ushauri. Hopeless kabisa!
@lutulalihim15855 жыл бұрын
Kama congo tunge bahatikiwa kupata tunu kama Rais Mangufuri Tuongee kuwa mbali sana wa tanzania mlindeni Rais wenu
@masachihorticultureunitcol7115 жыл бұрын
Tunashukuru Sana ndugu. Napenda saa na Mie nije kutembea Kongo maeneo ya Goma, Bukavu, Kinshasa na Lubumbashi
@salamamzee22265 жыл бұрын
Huyu ndio rais wa wanyonge Kwadhati nampenda San huyu rais wetu
@mimamelchior78215 жыл бұрын
Na miwani yake meusi tatizo dharau zimezid ..mungu mbariki rais wetu Aya watanzania tunataka nini kila sehemu anaweka mambo Sawa
@mumbasag6795 жыл бұрын
Safiiii
@chumizola18475 жыл бұрын
Serikali isimwache huyu, hawa ndio wanaopaswa kupewa nafasi ya kuongoza Shirika letu la TANESCO
@erastoselemani54435 жыл бұрын
Kweli kabisa
@chumizola18475 жыл бұрын
@@erastoselemani5443 Tumwombee Rais JPM anayethubutu kufanya jitihada nyingi kwa maendeleo endelevu ya nchi yetu...
@modestaabeli33895 жыл бұрын
Tena tuzidi kbc kuomba maan jpm ataibadilisha tz yetu tumelizwa siku yingi muno
@chumizola18475 жыл бұрын
@@modestaabeli3389 ni kweli kabisa ndugu Modesta! Maana kwa anayoyafanya maadui ni wengi!
@2003hintay5 жыл бұрын
Bado na Huku dawasco nao Mpaka wafuatwe ofisini hawatembei Mitaani kufanya utafiti wateja wanaotaka kuunganishiwa maji. Kuna Mitaa mingi wakitandika mabomba wateja Wengi wataunganisha maji. Hasa tandale wameachia wauzaji maji tu
@vincentauxerbius75545 жыл бұрын
Safi sana naomba kipaji hiki kiendelezwe naww mwenye miwan myeusi inabd boss wako awe huyo mbunifu
@chachamagoti24005 жыл бұрын
Huyu meneja wa njombe hajatumbuliwa. Yani afatwe ofisini yeye hawezi kuwafata.
@kasomishedrack50275 жыл бұрын
Yaani shirika la Tenesco limesha Dumas sana umemskia huyo anavyoongea yaani wao mpaka wafuatwe wako tu maofisini wala hawezi kujishughulisha kusaidia wabunifu kama hawa Bali huwa linajitahidi sana kutoa vitisho ili kuwadiscorage wabunifu kama hawa.Tenesco mpaka iwe na ushindani na mashirika mengine ya umeme ndo litaamka.Kingine nimshauri rais wangu ni kwamba hawa watu wa bonde yaani ungefuta hizo ofisi maana wanakusanya pesa na kuzitumia ovyo kwa kujiripa ovyoovyo night bila hata serikali kupata pesa toka huko bonde ukitaka kuona hayo njoo bonde la ziwa Victoria makusanyo mengi ila yanaishia mikononi mwao maana wateja wanalipa ktk ac. Yao ni wanapanga wanavyotaka na kutumia watakavyo maana sheria inawalinda uanzishwaji wake wa ofisi za bonde na kuomba mh rais upitie upya ofisi hizi na kufanya marekebisho ya sheria juu ya uanzishwaji wake ni shida sana.
@corrolesscps5 жыл бұрын
Kasomi Shedrack . Huyo meneja sijui wa Tanesco, anajidai kaka officen anajiona yeye ndio msomi, yeye ndio yeye, hajui hata hao wavumbuzi wa miaka hiyo hawakuwa na office na kujiona ni wasomi, kwani miaka hiyo ya zama hizo hata hao wavumbuzi uko ulaya hawakuwa na shule, Bali ni vipaji vyao na akili walizokuwa nazo waliwezaje kuzitumia akili zao, ndio vilivyofanya mpka hivi Leo maendeleo yanayonekana Sio kukaa darasani tu, alafu officin alafu ukajiita msomi,
@anuaryally61775 жыл бұрын
Uyo ndiye anayekaa ofisini na miwani meusi anasubili watu wamjie bila yeye kwenda kujionea ndio aliyeambiwa miwani meusi ya nini nawewe upo ofisini akuna jua duu magufuri kweri jiwe kwa midongo ya papo kwa papo anarusha tu
@chesconkwera20053 жыл бұрын
Manager Acha Umwinyi Nenda Kamuone Mdau
@shukurukihwelo55755 жыл бұрын
Mimi nafikiri njombe yetu inavipaji vingi naomba tuweke harambe na tumshirikishe mh raisi maana hivi ndio viwanda ili tuwainue
@jimmymnuano71655 жыл бұрын
Watu kama hawa ni muhimu sana huku Ulaya lakini Africa wasomi wetu wakipata yveti yvao mbio wanakimbikia kwenye siasa kuja kuleta unafiki tu. Hongera mzee wa njombe
@shukurukihwelo55755 жыл бұрын
Mh Rais hizi nidariri kuwa Tanzania tunaweza
@ramadhanisuru18225 жыл бұрын
Hawa wazee wanatakiwa waasaidiwe kikwelikweli mpka hao waliyo kuwa wanawaziba midomo wabaki naaibu zao
@grysonjuma89555 жыл бұрын
Tanesco awana majibu tatizo wanatumia vishoka
@renatuskapenda49985 жыл бұрын
"Elimu ya kujifunza mwenyewe inanguvu kubwa kuliko kufundishwa darasani"
@msemwawalter8375 жыл бұрын
Namfahamu Pwagu miaka mingi na nilishawahi kumtembelea. Ana kipaji kikubwa cha ufundii kwa upande wa innovation. Wasaidiwe kwa ufahamu wa Mheshimiwa. Simple and cheap technology kwa maendeleo, fedha za kigeni zinaokolewa pia.
@ostychambi89725 жыл бұрын
Dah bora tumempata rais mzalendo miaka ya nyuma ukigundua kitu unafungwa
@issayamkanyilila56535 жыл бұрын
Tbc ni tasisi kubwa makufuli nakupenda kwauamuzi wa apoapo uko vizuri awa wabunifu walikuepo so long time
@DrFatmaKhanPanAfrikan5 жыл бұрын
Mheshimiwa Mpendwa Komrad Rais wetu Dkt Magufuli, TANESCO wanatatizo kubwa la Bureaucracy, Yaani mpaka mtu anakata tamaa. Barua hadi makao makuu ya DSM maombi yanaweza kupotelea mbali njiani. Na RUSHWA ni tatizo katika ngazi za utendaji vijijini. I have proof
@geofreymalila2575 жыл бұрын
jamani sauti vipiiiiiiii
@japhykkidoshi44335 жыл бұрын
Huna akili ww elimu ovyo umekaa tu office n kwann usiwatembelee? Mh magu ona sasa
@edwardgwaspika49435 жыл бұрын
Sasa utakuta TANESCO wanatafuta mtu mwenye GPA kubwa ndo wamwajiri wekeni wazee kama hawa hata kwenye bodi ya wakurugenzi!
@natosimchimba68445 жыл бұрын
Ujinga mtupu gpa sjui ndonn, kipimo cha degree nilazima kipime matokeo ya elimu yani nilazima uoneshe umefanya nn katika hii jamii inayokuzungukaa.
@hamidyhashimu68075 жыл бұрын
Sio kwamba watu hawawezi kuzalisha umeme..wanaweza system ndogo tyu hio sema...wasomi wengi hawafanyi sababu na Tanesco hawatoi lesen hiyo...ila ukizalisha ...wewe wauzie wao wawauzie umeme then wawauzie watu....ndo ilivyo...na kuweza kufanya hivyo wao wanaanza kununua umeme kuanzia kiasi kikubwa ili upate faida...kwasababu umeme mdogo hautapata pesa...ila kuwauzia umeme raia ingeleta faida...kiasi kidogo kwa mtaa na mtaa mwingine... Ila authority hazitaki kwa7bu ya safety... So tunatulia.. Na ikija kujulikana umefanya sehem na umesoma ..unataka nifungiwe vyeti hahahahahah...hapana ...engineer hutwara nda itwa just because i didnt follow the safety protocal...
@mumbasag6795 жыл бұрын
Sio afike kwenu wakati mpo tu ofisini. Umepata habari nenda eneo la tukio. Watu wengine n waandishi wa habari wametulia tu. Wanafata maisha ya watu binafsi wanaojiita mastaa Instagram badala ya kuwapa air time watu kama hao na wabunifu wadogo
@geofreymalila2575 жыл бұрын
kuna kila sababu ya watu wote katika nchi hii kuwa kama mh Magufuli na ikiwezekana tuelewe nia yake hawa wazee wameanza zamani huu ufundi wao lakini hata siku moja hawakuonekana
@edwardisack18905 жыл бұрын
Hawa wasomi Wa pwagu na mwenzake nimewaelewa hawana story sana
@othmanshahib11155 жыл бұрын
Wataram tunao wengi tu tatizo serikali haiwakusanyi wakapata utaram zaidi wapo wanajua kutengeneza hata bastora za kisasa lakini Tanzania Utafia jela
@felixjoktan78385 жыл бұрын
Meneja anasema wamevunja shelia alishawahikuwashauli cha kufanya? Sasa hao la saba wanasubutu je ma professor kulikoni had sindano njiti za kutolea nyama kwenye meno zitoke ulaya duu
@mumbasag6795 жыл бұрын
Ni umburura tu ndugu yangu. Na ubinafsi, just imagine angekuwa mtoto wake au ndugu yake amebuni?
@tithomwamengo65713 жыл бұрын
Mzehee pwagu ukovizuri
@anuaryally61775 жыл бұрын
Kuna wa kusambaza mabomba ya maji mitaa ipo ila wanataka kufuatwa ofisini na miwani yao meusi ata usiku wamevalia
@lucianodeo41035 жыл бұрын
Sido wanatakiwa wafanye vitu kama hivi sasa
@fainnamvungi43645 жыл бұрын
Boreshen mzee anufaishe jamii yake nyaya hazina ubora asije akalipua wa2 mkamgeuka
@pindabutter27365 жыл бұрын
Hao ndio nabii wa ukweli, na ni wachungaji, hivyo ndivyo watumishi wa MUNGU wanavyo fanya kazi, naomba nijiunge na nyinyi. mafake nabii wanapenda sana kuchika biblia na kuongea tuuuuu, lakini ma nabii wa ukweli wanafanya kazi, mimi najua Raisi wetu ana moyo kama hawa watu, na anaelewa ataka ni kinyume na sheria, MUNGU ambariki Raisi wetu, na hao watu. yani awaongei ata sanaaaa…….najua Raisi kafurai sana kwamba jamaa awana maneno mengi… ila vitendo
@jimmymnuano71655 жыл бұрын
Watu kama hawa ni muhimu sana huku Ulaya lakini Africa wasomi wetu wakipata yveti yvao mbio wanakimbikia kwenye siasa kuja kuleta unafiki tu. Hongera mzee wa njombe
@jimmymnuano71655 жыл бұрын
Watu kama hawa ni muhimu sana huku Ulaya lakini Africa wasomi wetu wakipata yveti yvao mbio wanakimbikia kwenye siasa kuja kuleta unafiki tu. Hongera mzee wa njombe