MAHOJIANO NA LISSU KUHUSU HOTUBA ALIYOITOA JANA TEMEKE MWEMBEYANGA. DR SLAA AMEONGEA PIA

  Рет қаралды 13,380

Chanzo Tv Online

Chanzo Tv Online

2 ай бұрын

Пікірлер: 44
@williammwamalanga1065
@williammwamalanga1065 2 ай бұрын
Hongera sana sana Mwenyezi Mungu AKUTUNZE VIONGOZI WA DINI WANAENDELEA KUCHANGA ILI MCHANGO WAO UKUFIKIE. ...Mimi ni Askofu William Mwamalanga
@user-le7ek2zs4t
@user-le7ek2zs4t 2 ай бұрын
Mr Lisu tuko tayari kukuchangia Mungu akubariki
@binsherbal6089
@binsherbal6089 2 ай бұрын
Tunaomba Namba ya kuchangia na sie tuchangie pia.
@LazaroMwakasege-bh5en
@LazaroMwakasege-bh5en 2 ай бұрын
Kamanda mungu akubaliki Sana kwajitiada zako
@nelxonsingaile3301
@nelxonsingaile3301 2 ай бұрын
You are real man
@prospermalala6636
@prospermalala6636 2 ай бұрын
Dawa imewaingia wanaogopa michango ya mh Lisu
@humphreymkony8915
@humphreymkony8915 2 ай бұрын
Kwani hao waliotaka kumuua watapona basi?
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 2 ай бұрын
WATANZANIAA SHIME TUMCHANGIE HUYU SHUJAA ALIYECHAGULIWA NA MUNGU
@ChristerKoku
@ChristerKoku 2 ай бұрын
Adam ajili huna unacheka kovu kwa kuwa hukufikwa jeraha ajili huna hujalazimishwa kuchangia watanzania wanajitambua sio mbumbu.
@johngibson3089
@johngibson3089 2 ай бұрын
Mwenye jero, buku, elfu 10, laki, millions TUTACHANGA KAMA TULIVYOCHANGA WAKATI UKIHITAJI MATIBABU. Usikatishwe tamaa na wasiokuelewa. Wenye akili tunakuelewa vzr na tunakupenda.
@edsonkahesi8603
@edsonkahesi8603 Ай бұрын
Ni jambo jema chama kupata vitendeakazi kwa ajili angalau ya kurahisisha utendakazi na kuzungukia nchi kwa ajili ya kukiimarisha zaidi. Niko tayari kuchangia. Naongezea kwa upande wa vijana, inabidi BAVICHA iimarishwe zaidi kwaajili yakuwaandikisha na kuwahimiza vijana wengi wakapige kura maana mustakabali wa taifa hili uko mikononi mwao, CDM kwasasa ni chama kinachokubalika sana kwa wananchi ila hii isiishie tu mitandaoni bali hata kwenye daftari la kudumu.
@Samweli-ij3im
@Samweli-ij3im 2 ай бұрын
Wewe kama humpendi lisu hakika utakuwa ni adui wa haki wacha tumchangie kiongozi wetu wewe fisadi nyamaza hatuna shida na mia yako nyie ccm ndio man njaa mnaiba mpaka makaburi mmelaaniwa na mungu damu ya lisu na wengine utakuwa juu yenu na watoto wenu wanao shabikia mauaji na dhulma pita handeni tanga
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 2 ай бұрын
Jibwa la fisiyemu halijitambui linamtukana hapa watanganyika halisi tunamwelewa mbeba maono tunachanga ili apiganie huru wetu kutoka mikononi mwa mkoloni mweusi fisiyemu
@user-bq4tk6yq2q
@user-bq4tk6yq2q 2 ай бұрын
Usiogope baba tuko pamoja nawewe
@prospermalala6636
@prospermalala6636 2 ай бұрын
MH Lisu Kwa kazi unayoifanya ndani ya Taifa letu, kuielimisha, kuifundisha hiiiiiiii jamiiii iliyopo mbele yetu, ondoa hofu kabisa tunachanga ili watanganyika wafahamu Haki zao zilizofichwa ndani ya Taifa letu kupitia haramu CCM, huo mwanga unaomulika maisha ya watanganyika waliowengi wameanza kuona mwanga unaomulika maisha huko mbele yetu
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 2 ай бұрын
USILOLIJUA NI USIKU WA KIZA LAKINI IPO SIKU AKILI ITAWAKAAA SAWA TU ETI KUMCHANGIA LUSSU MNASHINDWA KUWACHANGIA WAGONJWA WATOTO WENYE UHITAJI MAALUM PEPO HAMTOIONA MILELE LISSU HANA SHIDA ILA ANAWANYONYA MSIOJITAMBUA
@user-vl4rz6lf6d
@user-vl4rz6lf6d Ай бұрын
Anamaono gani zaidi yanjaa inayomsumbua AMA kweli wajinga ndio waliwao
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 2 ай бұрын
Tapeli unatembelea fursa ya ulemavu Kuchangiwa ili ulipie watoto wako Ada
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 2 ай бұрын
Nex week na changia dollars Mia
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 2 ай бұрын
Amekuomba weweee?
@rogathesarwatt
@rogathesarwatt 2 ай бұрын
Inakuuma sana Sisi tutachanga we katapeliwe na Betting, mikopo mitandao Nia CCM yako iliyojaa dhuluma
@MonicaBeni
@MonicaBeni 2 ай бұрын
tapeli ni ww ambaye huwezi kuamka Kwene fikra zako mwenyewe umbaye unajitapeli uwelewa wako mwenyewe pole sana
@MonicaBeni
@MonicaBeni 2 ай бұрын
@@ceciliamagalabajimmy4391 hahaha jibu Zuri Sana ulilompa
@maligiretongora3333
@maligiretongora3333 2 ай бұрын
Mshenzi wewe adamu lubawa. Tundu Lisu mwenye maono siyo wewe kikarragosi ccm.
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 2 ай бұрын
Yaaaani wewe ndiye mshenzi usiejitambua kabisa yaaani wewe ni kiziwi wa fikra kabisa nyaaani Wewe ni ZERO BRAIN
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 35 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
WATCH: Trump speaks at Turning Point USA event summit | LiveNOW from FOX
58:18
KUMEKUCHA TUNDU LISSU ANAMJIBU NAPE NNAUYE
12:51
Tifu Tv
Рет қаралды 35 М.
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42