No video

KUMEKUCHA TUNDU LISSU ANAMJIBU NAPE NNAUYE

  Рет қаралды 36,211

Tifu Tv

Tifu Tv

3 ай бұрын

TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
#Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi

Пікірлер: 113
@adorchmassimba4413
@adorchmassimba4413 3 ай бұрын
Ee mwenyezi Mungu mwenye haki zote simama na wapenda haki wote wanaoitakia mema nchi hii ya Tz walinde na kuwatetea kwa jina la Yesu Amin
@user-vq3zu8ne9b
@user-vq3zu8ne9b 3 ай бұрын
Kumpata lisu chukua CCM wote+ wanasheria uchwara wa ccm wote 😂😂😂
@mariamumechara3398
@mariamumechara3398 3 ай бұрын
Uko sawa lisu
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 3 ай бұрын
Hoja zijibiwe kwa hoja sio matus
@SamweliDaudi-sc1mj
@SamweliDaudi-sc1mj 3 ай бұрын
Shujaa lisu mwalimu wa siasa nape kasome usibishane namjomba Ako mjomba ni mama
@abdullahalkindi9673
@abdullahalkindi9673 3 ай бұрын
Hapo Lisu Kisha piga gongo lake hana hoja mbona Kuna MA RPC Zanzibar kutoka Bara?
@user-ij6eo6pq6z
@user-ij6eo6pq6z 3 ай бұрын
Ani kichwa kimoja kinawachanganya ccm wote .tundu lissu juu
@ElihurumaThomas-kz8nq
@ElihurumaThomas-kz8nq 3 ай бұрын
LISU NI SHUJAA WA TAIFA LETU
@JumaMgeri-fb2qs
@JumaMgeri-fb2qs 3 ай бұрын
Ukweli lazima usemwe
@user-vq3zu8ne9b
@user-vq3zu8ne9b 3 ай бұрын
Lisu ni mtu na nusu
@AyoubMsonga-ch5xg
@AyoubMsonga-ch5xg 3 ай бұрын
Kama weweni mtanganyika na unamkosowa lisu huna hakili kabisa
@user-cw4jr1jz4x
@user-cw4jr1jz4x 19 күн бұрын
Mzee achana na uyo boya eti anajua mbingu za uchaguz acha kuchochea moto ww unatangaza aman alafu unaivunja tunaomba nape unyamaze
@user-qe5fk3py4b
@user-qe5fk3py4b 3 ай бұрын
Wewe huna shukrani Wala sera
@alphaexaud5279
@alphaexaud5279 3 ай бұрын
Wewe unashindwa je kumuelewa Lissu
@R10_Rajab
@R10_Rajab 3 ай бұрын
Wewe ni Shujaa kwa Wazanzibari kama Zanzibar ipo Tanganyika iwepo na kila mtu afanye mambo yake mwenyewe bila ya kuathiri mahusiano ya nchi husika Tanganyika na Zanzibar
@martinsimkoko4729
@martinsimkoko4729 3 ай бұрын
Ongera
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 3 ай бұрын
Ingefanyika hivyo hizo kero za Muungano zisingekuwepo kwa kiasi kikubwa lakini ukikaa chini utagundua kuwa watu hawana dhamira nzuri katika kuzitatua wanasimama majukwaani wakiwa sio wakweli katika kuzitatua.
@R10_Rajab
@R10_Rajab 3 ай бұрын
@@jumamohamed3168 hakuna kero za Muungano ndugu yangu huo Muungano wenyewe ndio kero
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si 3 ай бұрын
Umewasaidia sana ccm kupata kura znz , maana wale walioko znz sio majuha kama wewe! Ubaguzi sio mzuri
@smallscaleminingsupplies9670
@smallscaleminingsupplies9670 3 ай бұрын
Kwani anasema uongo, Mzanzibari ana haki Tanganyika, ila Mtanganyika hana haki Zanzibar
@EmmaMwaituka
@EmmaMwaituka 20 күн бұрын
Majitu ya ccm akili hayana kabisa yanapinga hata ukweli
@thomasanthony7338
@thomasanthony7338 3 ай бұрын
Very true
@josephsisa8139
@josephsisa8139 3 ай бұрын
Ndugu wananchi
@elipidhugotesha1909
@elipidhugotesha1909 3 ай бұрын
Suala la.muungano.waulizwe wananxhi haswa waliounganishwa pande zote mbili kuwe na referundum Kukusanywr maoni ili yapitiwe na kuona kama kuna mapungufu na kama wananxhi wanatakaje kuhusu muungano muungano.mzuri ni ule unaokubalika na wananchi kwa100%
@leonardsebunga7187
@leonardsebunga7187 2 ай бұрын
Hoja haiakisi tukio na wakati wa tukio na sababu ya kuwepo kwa Sheria hiyo na siyo ubaguzi
@chaganageorge7388
@chaganageorge7388 3 ай бұрын
Ili mawazo yasiyo ya kibaguzi yasiwepo ni pale tu tutakapokuwa na katiba moja. Huwezi ruhusu upande mmoja kuwa na mawazo ya kibinafsi juu ya upande wao na kisha ukafanikiwa kuzuia mawazo hayo upande mwingine yasiwepo na upande wenye watu wengi. Ili kuondoa mawazo haya ya utanganyika na uzanzibar ni kuwa na katiba moja kwenye nchi moja. Mengine yabaki kwenye his5oria
@Kajunakabyemela
@Kajunakabyemela 3 ай бұрын
lisu yuko sahii asimia 100, ccm ndo wabaguzi namba 1, nchi imekuwa ya watu wachache!
@user-yx3ex4vy7o
@user-yx3ex4vy7o 3 ай бұрын
Alafu tambueni watanganyika.MAMAHatawali Tanganyika Anatawala Tanzania uyo lisu mwanasheri gani asie lijua hilo.
@romanusmwombeki5650
@romanusmwombeki5650 3 ай бұрын
Serikali ya Tanganyika iko wapi?
@romanusmwombeki5650
@romanusmwombeki5650 3 ай бұрын
Na ni nani atalinda maslahi ya watanganyika?
@romanusmwombeki5650
@romanusmwombeki5650 3 ай бұрын
Maana Zanzibar wana serikali yao inayolinda maslahi yao.
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 3 ай бұрын
Kinacho kutesa unajibi swali wakati hujui
@AthumanDauda
@AthumanDauda 3 ай бұрын
Ccm awanadata ispokua wanadata yakutumia lisas nguvu nk awana sifa nambaya zaid kufa magur sisi wanyonge tumewaona hawa ccm nihatar kwa afya zetu
@twincetwicetv6031
@twincetwicetv6031 3 ай бұрын
Umechanganyikiwa
@salvatoryboniface1089
@salvatoryboniface1089 3 ай бұрын
Wakala wa ubergiji
@IssaAbdallah-rt2sh
@IssaAbdallah-rt2sh 3 ай бұрын
Nape usimjibu.huyo.siriziki achana nae mjinga umeongea bungeni tumekusikia.achahuyo.aongee.maporini
@JosephuSwai
@JosephuSwai 3 ай бұрын
Hujielewi wewe ndio sio riziki lisu wewe ndio mchungaji wa kweli kemea hao watu sio riziki
@issahdady608
@issahdady608 3 ай бұрын
Kaongea porini pia tumemsikia
@kinkybanjukome217
@kinkybanjukome217 3 ай бұрын
Nyinyi wabara mumejaa zanzibar na mnapiga kura kuiweka ccm madarakani kule zanzibar kwa sababu mzanzibar hawaitaki ccm wala muungano ila ni nyinyi ndio mnalazimisha kama kweli wewe lissu na huyo mbowe wako ni vidume kweli washawishi watanganyika muvunje muungano huu mbovu hatuutaki
@ChristopherSteven-oe1dd
@ChristopherSteven-oe1dd 3 ай бұрын
Shida ipo
@evelina9621
@evelina9621 3 ай бұрын
Kwelika.kabisa.unasema.hongerA
@magilafranco681
@magilafranco681 3 ай бұрын
Hii imeenda
@JosephLushinge-uy3tc
@JosephLushinge-uy3tc 3 ай бұрын
Ni kweli mwizi
@user-sz8ic2tm7n
@user-sz8ic2tm7n 3 ай бұрын
We tundu lisu Acha kuwadangany watu
@MansourKabuhaya
@MansourKabuhaya 3 ай бұрын
Anawadanganya nini, unajua kusoma kweli wewe?? Kasome katiba anayoisema ndo utajua
@josephsisa8139
@josephsisa8139 3 ай бұрын
Ndugu wananchi tumpuuze mtu huyu jukumu lakumlinda Rais niletu sote kwahiyo kumsema vibaya Rais nikumuongezea maadui kwahiyo mtu huyu achukuliwe hatua
@richardmwandanji65
@richardmwandanji65 3 ай бұрын
Hakuna anae msema vibaya rais wetubali ameshindwa kutusikiliza tunataka bandali yetu tunataka KATIBA MPYA hiyo nihaki yetu lasivyo atasemwa tu
@pedri-nc5in
@pedri-nc5in 3 ай бұрын
Tundu lissu anaongea point usituchanganye ww baki na mawazo yako usituchanganye sisi
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 3 ай бұрын
Goli la mkono hana lake ni msaka Tonge tu axikukatixhe tamaa kamanda wetu
@LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
@LeodegardRutakyamirwa-hg9hu 3 ай бұрын
NI KWELI LAKINI MIMI NILIMKATALIA AFANDE WANGU
@burhanisaidi9811
@burhanisaidi9811 3 ай бұрын
Mw Nyerere angerudi duniani Jambo la Kwanza angempiga risasi huyu jamaa😂😂
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 27 күн бұрын
Nafikiri Kuna kazi kubwa ya kuhakikisha watanzania tunaelewa
@user-ef2ln1mx3s
@user-ef2ln1mx3s 3 ай бұрын
Ccm nawaomba mtoke mkamjibu lissu na chadema kwa uja kwani ccm atuna wanasheria? Wabobezi wa katiba nao waje sio kabudi uyo nae anachanganya mafaili kwa ukweli lissu ana oja na anatumia katiba zote mbili tz znzbr nanyi twambie kwamba lidsu apa ni mwongo kwa ili sio nape ajui chochote wasila ajui chochote walioba jaji na wazili mkuu anaungana na lisu sasa kwanini tusimwamini?
@IssaAbdallah-rt2sh
@IssaAbdallah-rt2sh 3 ай бұрын
Ndio maana alinyooshwa dem huyo
@jackisonmlaari4556
@jackisonmlaari4556 3 ай бұрын
Unaongea nini mbwana hii funga mdomo 😊
@josephsisa8139
@josephsisa8139 3 ай бұрын
Katina ina sema ili uweze kugombea urais lazima utokee chama chochote cha siasa lakini ukisha shinda una kuwa Rais wanchi naima bila kujali vyema sasa mtu huyu unaongea nn?
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 3 ай бұрын
Hujui kitu nyamaza sikiliza mambo ili ujifunze kwanza juu ya jambo hilo na ,akisema katiba kifungu fulani kinasema hivi au vile nenda ukachukue katiba uiangalie aliyoyasema ni kweli au sio kweli ,kama sio ya kweli basi njoo uandike komenti yako kumkanusha maneno yake kuwa sio ya kweli anadanganya watu.
@R10_Rajab
@R10_Rajab 3 ай бұрын
Ila kwa nchi za Kiafrica Nyinyi wenyewe mnataka madaraka mambo yenu binafsi yawe poa tu
@RashidThabite
@RashidThabite 3 ай бұрын
Ww nimsenge tunajua ivi watanzania hatuna akili kiasihiki uyu ndoanakubali mashoga unampaje uwongoz uyu nifalaaa
@user-qz2cs5wm5u
@user-qz2cs5wm5u 3 ай бұрын
CCM wameishiwa Awana oja
@user-rr4dw3ii8d
@user-rr4dw3ii8d 3 ай бұрын
Katiba ya tanzani kwani kaitunga mzanziri
@MoinaminaAmina-qh1jb
@MoinaminaAmina-qh1jb 3 ай бұрын
fukuzeni tundu lissu mumpeleke kwao Congo RDC mkimwacha tundu lissu Tanzania basi mtajuta badae nyinyi watz nchi yenu itavamia na magaidi tundu lissu ataharibu Amani na umija wataifa la tz
@user-vq3zu8ne9b
@user-vq3zu8ne9b 3 ай бұрын
Unaakili za kitumwa
@rashidyusuphwewenimtotowam1761
@rashidyusuphwewenimtotowam1761 3 ай бұрын
Kumbe ukivuta bangi unaongea ya hovyo hivo. Hizò n siasa tu kuwa na akil
@user-nk3gj3sj2t
@user-nk3gj3sj2t 3 ай бұрын
RDC ndio wap wewe zezeta
@othumanomari1589
@othumanomari1589 3 ай бұрын
Ccm typing 😂😂
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 3 ай бұрын
Siku haya majamaa yakipata nchi itakua ndio mwisho wa amani ya Tanzania yanawaza ubaguzi2 ndio Magufuli hakuyapenda kumbe alimanisha.
@chaganageorge7388
@chaganageorge7388 3 ай бұрын
Hivi mtanganyika akiwaza kama mzanzibari juu ya ardhi yake ni vibaya?
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 3 ай бұрын
Hili jamaa haliko sawa kiakili
@abeidnalino8584
@abeidnalino8584 3 ай бұрын
Wewe ndio mgonjwa wa akili
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 3 ай бұрын
Huna hata aibu kumuita LISSU Hana akili muombe msamaha nyumbu wwe inaonekana umeishia memukwa
@Brandina-ub9uo
@Brandina-ub9uo 3 ай бұрын
Waliotaka roho yake wametangulia wao
@AnoliasiKope
@AnoliasiKope 3 ай бұрын
Sasa uwongo uko wapi
@user-rk9gr9yf3i
@user-rk9gr9yf3i 3 ай бұрын
Ndo maana ukapigwa risasi kwa uchonganishi wako akili zako zimechanganyikiwa bandari sio ya Tanganyika ni ya Zanzibar Tanganyika haina bahari ina maziwa mkuu iyo ufahamu
@meryshekoloa961
@meryshekoloa961 3 ай бұрын
😮😮
@madenge731
@madenge731 3 ай бұрын
We kuma kweli
@rashidyusuphwewenimtotowam1761
@rashidyusuphwewenimtotowam1761 3 ай бұрын
Kwan wew ambaye hujachanganyikiwa unaona haki ni sawa kwa kipi kati ya maendèleo ya tz na zanz au na wew ni chawa wa mama
@YunisRichard
@YunisRichard 3 ай бұрын
Kichwa mchungwa
@user-ml3zf7mw1y
@user-ml3zf7mw1y 3 ай бұрын
Hawa wazanzibari wanakuja kufanya kazi/biashara na hata wakimiriki ardhi, wanaume hawaruhisi kuoa bara hayo sio maneno yangu waosema no vijana WA kizanzibar kariakoo kwenye maduka ya nguo "kama sio ubaguzi ni nini"?
@user-rg8fq8fc3k
@user-rg8fq8fc3k 3 ай бұрын
Hata hyu lisau anabwabqaja bure akipewa madaraka anaangalia maslahi yake nyie mnaomuunga lisu mkono yeye ana maisha yake ubelgiji akiharibu anakimbilia huko nyie maboya umbwa nyie mnapakwenda ama mmebebewa akili na huyo mpumbavu mwenzenu
@user-yx3ex4vy7o
@user-yx3ex4vy7o 3 ай бұрын
Zanzibar ni visiwa hatuwezi kuwapa mamlaka ya kupiliki kila kitu halafu sisi tukashindwa nipakukaa nakuzikana.
@piusprospa8832
@piusprospa8832 3 ай бұрын
RISU POKEA MAUA YAKO
@user-cz5qg1rh5o
@user-cz5qg1rh5o 3 ай бұрын
Kifungu gani Cha katiba Sasa kinasema hayo maneno
@elizariatsere7701
@elizariatsere7701 3 ай бұрын
Haki yake kijieleza acha upuzi
@user-cz5qg1rh5o
@user-cz5qg1rh5o 3 ай бұрын
@@elizariatsere7701 matusi ya nn. Kama haki yake kujieleza nami haki yangu kuuliza... Sa upuuzi wa nn. alafu ilikuwa si lazima ujibu Kama ukuwa na Cha kujibu
@EdwardAlphonce-xe1yi
@EdwardAlphonce-xe1yi 3 ай бұрын
Waulize waliopita chuo
@thomasraiton7760
@thomasraiton7760 3 ай бұрын
Siku mtu wa bara akitawala kama rais kule Zanzibar ndio nitaukubali muungano, lakini sio hii changu changu chako changu
@Brandina-ub9uo
@Brandina-ub9uo 3 ай бұрын
Kufa wewe lisu yupo sana
@AhmedHassan-vl5zf
@AhmedHassan-vl5zf 3 ай бұрын
Kila ujinga mnaongea SASA umejichora mzanzibar kwani Hana kuwa rais NI haram hata ufanye nini heshima yako imeshuka
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 3 ай бұрын
yaani kama kuna ubaguzi na wewe unataka kuwa m,baguzi
@EliaHiluka-uz3ty
@EliaHiluka-uz3ty 3 ай бұрын
Chadema wako vizuri sana hawa ndio wana sifa ya kuwatetea watanzania kwa dhati
@user-rr4dw3ii8d
@user-rr4dw3ii8d 3 ай бұрын
Kwanza ww muongo bora wange kuwa kabisa mbwa ww
@rashidyusuphwewenimtotowam1761
@rashidyusuphwewenimtotowam1761 3 ай бұрын
Unahasira sanà kaka kwani na wew ni mzanzibali anayosema lisu ni kwer kabisa tumuunge mkono lisu ili tupate katiba ya haki sawa.
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 3 ай бұрын
Aaaaaa wewe naukoo wako mtalaniwa kwaujinga unao mwombea lisu
@jumanneratili9829
@jumanneratili9829 3 ай бұрын
Wewe ulikuwa wapi acha waanzilishi wewe ulikimbia nchi amekurudisha unaleta ndabi mshukuru magufuri amekufa usingerudi tz ole wako hakutaki
@user-rg8fq8fc3k
@user-rg8fq8fc3k 3 ай бұрын
Tena mpumbavu huyu hana shukurani bora wangeliachilia mbali hata lingerie huko umbwa hiiii
@Brandina-ub9uo
@Brandina-ub9uo 3 ай бұрын
Utakufa wewe lisu hafi
@user-cz5qg1rh5o
@user-cz5qg1rh5o 3 ай бұрын
Itume hyo clip aliyosema hayo maeneo hayati Nyerere...
@allonjoseph5467
@allonjoseph5467 3 ай бұрын
unamatatizo ww akutumie crp tafta mwenyewe
@user-cz5qg1rh5o
@user-cz5qg1rh5o 3 ай бұрын
@@allonjoseph5467 nchi yangu Tanzania Naipenda Sana...watu wanataka hoja ukihoji hawatoi hoja...nitafte wakati msemaji yupo
@rashidyusuphwewenimtotowam1761
@rashidyusuphwewenimtotowam1761 3 ай бұрын
Lisu ni mkwer sio hadi kripc kwa sas watanzania tuna anza kujielewa. Mim maoni yangu mama akubali meza ya mazungumzo watunge katiba mpya ili kuepusha vulugu kama hizi. Kwani asiogope kama tunampenda tutamchaguà katiba mpyaaaa . Kama unaumia na mamneno ya lisu
@KabwikaIbrahim-ld8vf
@KabwikaIbrahim-ld8vf 3 ай бұрын
Nonsense!
@claudiussilas
@claudiussilas 3 ай бұрын
Umeongea ukweli kabisa,wafungue macho watu waone.wanaopiga kelele ni kwa sababu ya ulaji
@Brandina-ub9uo
@Brandina-ub9uo 3 ай бұрын
Mbwa ni wewe huna akili
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si 3 ай бұрын
Umewasaidia sana ccm kupata kura znz , maana wale walioko znz sio majuha kama wewe! Ubaguzi sio mzuri
@salmaabdu5011
@salmaabdu5011 3 ай бұрын
Acha uhanisi wewe mmetunyonya miaka 60 na kutuuwa kila uchaguzi ujayaona na yule mwinyi kula katuuziya bandari yetu mchukuweni hatumtaki hameni zanzibar na ss tutahama tanganyika muungano tupa baharini
@obinasimbeye1750
@obinasimbeye1750 3 ай бұрын
Acha uhanisi ndio Nini, hata huelewi . Toa hoja
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 13 МЛН
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 9 МЛН
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 33 МЛН
KWA LISSU, WASAFI MEDIA, NA NAPE TUMEJIFUNZA MAMBO YAFUATAYO
34:16
SK Media Online TV
Рет қаралды 25 М.
LISSU AMJIBU FATMA KARUME SAKATA LA SIASA ZA UBAGUZI....
16:10
HOJA DHIDI YA HOJA: TUNDU LISSU VS. NAPE NNAUYE (STAR TV)
26:50
M.M Mwanakijiji
Рет қаралды 333 М.