watanzania hawana jema Wala shukrani na km unaona nabii humtaki pita na yako tunaomkubali mtuachie jaman tunampenda then tunampenda tena na tena 🎉🎉🎉🎉
@neemamwanga54475 ай бұрын
🎉nabii Mkuu umeupiga mwingi waache waongee bado hawajathemaaaa . Injili mbele kwa mbele🎉
@MamaBroyo-n4b10 күн бұрын
Ngurumo.ya.upako.iko.savi.sana.baba.chapa.kanzi
@barikimollel7890 Жыл бұрын
Hongera Sana Kingwendu kwa kukimbilia Kanisani Hawa wanaokuponda waache usiwajibu maana wangekuona unaingia kwa mganga Wa kienyeji wasingekusema hivo Shikilia Imani yakoo Kingwendu Nabii Ni Mtumishi Wa MUNGU na tumeona akiwafufua waliokuwa kifoni Hawa wanaokuponda hawajui wafanyaloo
@dorcassoza6788 Жыл бұрын
Yes, angeenda kwa watchdoctor watu wangempongeza
@aminaasia-jl8fk Жыл бұрын
Umepewa sh ngapi kingwendu
@samwelmollel602 Жыл бұрын
Uko sahihi sana
@honestmsigwa920 Жыл бұрын
We kingwendu acha ujinga kazi yako ni maana sana kuliko kusifia mambo ya upumbavu hujui Siri iliyopo mungu ndiye ayejua.
@mozespatnam7469 Жыл бұрын
Kabisaa ana zingua sana
@williamalfred-hz6zp8 ай бұрын
Hakili ikijaa kufkr uovu utaona kila jambo ovu ach nabii apige kaz
@user-gn7nk7mw8v6 ай бұрын
Mikono might umepewa na unakitu chakukupatia rizki tamaaa atakuja kujuta hy pesa za bureeeee du kuna siri
@lightnessgamasa60395 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣kingwendu okoka mjue mungu vizuri ,acha mzaha ndinga kitu Gani Bora umtafute Mungu utapata zaidi yandinga , nafikiri umenielewa
@lwitikoasa6899 Жыл бұрын
Hahahaha 😂😂😂😂 ukisema akupendinga anakupa ndinga nakukubali sana kigwendu
@issazalala4907 Жыл бұрын
Daaah bonge la Baba full midevu eti nabii pumbavu zako njaa mbaya fanya KAZI 😂
@soulegadaffy3615 Жыл бұрын
Halafu wasani walokwenda kwa huyo wanao mnyenyekea wte ni comedians/movie's,aaise njaa mbaya Sana unaeza roopoka..yy ndioo hajitambui
@mozespatnam7469 Жыл бұрын
Dadekii njaa iziii
@samwelmollel602 Жыл бұрын
Savi Sana gd
@honhonhaule9232 Жыл бұрын
Mr geode vie you are a real prophet we are very Happy all the world are listening and watching you thanks papaaaa
@Bless-sk8uv5 ай бұрын
😅😅😅😅😅ety viungo
@petermugurubi78378 ай бұрын
Hiz hela, Kingwedu ogopa dhambi
@Ibrahim-py6hp Жыл бұрын
Iyi njaa bwana 😢😢😢😢😢
@barakatabdul3212 Жыл бұрын
Kingwendu ilkua nkikukubali lakini nshakukataa Njaa mbaya sanaa...😂😂😂😂
@jumannerajabu8259 Жыл бұрын
hakuna kitu kibaya kwenye maisha kama ukishndwa kuikontroo njaa Yako ndio mana watu wanaliwa kiboga tamaaa
@davcodavid8651 Жыл бұрын
Umeona eee😂😂😂
@mozespatnam7469 Жыл бұрын
Kabisaa n kwel njaa izi dadekii
@angelatarimo1969 Жыл бұрын
Pole sana
@YunusiAthumani-zg8py8 ай бұрын
Kingwendu umekosea sana hakuna nabii tena baada ya mtume mhamadi s. A. W. Mlejee mora wako halaka sana mtake msamaha atakusamehe
@photidasfrancis-io4gc Жыл бұрын
Big up kingwendu
@mwinyidullailovetheprogram7404 Жыл бұрын
Kingwendu wwe dishi limeyumba coz unajichora imana dhaifu ivi uislam na Nabii mkuu nwapi na wapi njaa ni miongoni wa mitihani. Subra muhimu kingwendu
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
kwani.mkisema.mmeanda kuomba shida bongo movie bana kkk
@user-fb2ts8tc9f Жыл бұрын
Hatua ulitoichukua inafaa MBELE za Mungu.Mungu amekujibu yale yaliyokuwa hayawezekani .Songa MBELE mtu wa Mungu 11:45
@fundiumemenakamera2027 Жыл бұрын
kaka kingwendu ulifanya vizuri kwenda kabisani kaka
@user-ox8pc5wu7u10 ай бұрын
Njaa inakupeleka motoni
@OnesimoMapniduzi10 ай бұрын
Kweli nambii anabadiriha wtu wengi
@surehamlela8538 Жыл бұрын
Safi sana kingwendu umejibu kwa hekima na akili sana
@paschalpaul3862 Жыл бұрын
Tamka kwa kinywa chako unachotaka kwa nabii geodevie kuliko povu jingi
@ntakirutimanaetienne592Ай бұрын
Duh
@user-vl3pr8rh9q11 ай бұрын
Nakuku bari sana nabimuku
@ritapiusnicolaus7068 Жыл бұрын
Kingwendu upo sahihi
@honhonhaule9232 Жыл бұрын
I like to communicate with you I don't know how can I reach there to your church please how and when
@SalmaAbanoor7 ай бұрын
Hiyo kingwendu ni wa dini gani kwanza?
@alexndihokubwayo8010 Жыл бұрын
Nabi Mukuu kwa nani akapewa cheo nanani?
@stevensosipita3 ай бұрын
MTUMISHI WA SHETANI PESA ZA SHETANI ZITAWATOKEA PUANI POLENI NJAA ZITAWAUA
@sheehamadnganzi8317 Жыл бұрын
Mlevi wakawaida huyu kingwendu
@charlzlomo9219 Жыл бұрын
Viongozi wa dini Africa inatupasa kuiga utoaji kwa jeodevi
@zehrahaji1566 Жыл бұрын
Njaa mbaya Jamani 🤔🤔🤔
@ALIKHAMIS-un4fv8 ай бұрын
Kumbe huyu kingwendu mkristo
@vieritwobakhresamz Жыл бұрын
Master k njaaa inakuhusu
@timotheontibayaga-lq2xx Жыл бұрын
Kuna msanii aliimba umasikini huu umasikini huu utaisha lini ×3
@koyiasunga9785 Жыл бұрын
Sasa huyu nabii ana wasaidia wasanii tu😂😂
@SalminSaidi-dg3fq10 ай бұрын
Wew acha ujinga kubwa Zima ovyo njaa inkupeleka pabaya wewe matatizo Yako peleka Kwa mungu mshamba wewe
@Kuminamoja19958 ай бұрын
Mlevi huyooo
@christianchando70418 ай бұрын
Hizo ndinga zitawatoa roho,
@user-em1cq2fd9g9 ай бұрын
Lazarofondation usikateetamaa songambele
@engzuberir.akilenza1764 Жыл бұрын
Njaa mbaya sana yaani eti anakubali mtu ni nabii wakati yy ni muislam abadilishe tu dini.
@neemamwanga54475 ай бұрын
Mnaoongea vibaya kuhusu nabii nahisi mmechoka hamna jipya mnaongea Sana na nahisi mkipewa hela hamuachi shida ya wabongo mkiwa na njaa mnatapika Sana mwacheni nabii Mkuu apige kazi nyie wenye maneno mkifa mtaacha urithi wa umbea hauna faida mnaudhi nyie
@user-ge3jc2kd9o8 ай бұрын
Kingwendwe tubu wewe kenge tu nilikua nakuaminia sana kumbe kenge tu huna lolote nguruwe mweusi wewe
@ndayizigabienvenue137 Жыл бұрын
Muze wambiye mambo yanabi muku nibabawababa uyonabiwaukweli
@ramadhanmgumba3680 Жыл бұрын
Innaalillah wa,innaa,Ilaih raajighun
@jituakilimali15 Жыл бұрын
Umechoka kingwendu njaa inakupeleka bapaya
@mutiembingi-le6kz11 ай бұрын
Huongo huongo kigwnd ACHA
@user-vl3pr8rh9q11 ай бұрын
Naitaji kunisa saidiya
@samwelmollel602 Жыл бұрын
😊😊😊😊😊😊
@edge6016 Жыл бұрын
Jahili mkubwa huyu mzee hajuii dini nabi na mtume wa mwisho ni Muhamad S.A.W nabii muongo Subjanala
@dorcassoza6788 Жыл бұрын
Nyie washika dini badala ya Mungu, kitu gani kinawauma baada ya Kingwendu kwenda kwa mtumishi wa Mungu, unesaidia watu wangapi hapo mtaani kwako?
@danielidanieli9599 Жыл бұрын
Inamtaka utapata tuu
@nelsonnyamle Жыл бұрын
Huyu siyo mtumishi wa mungu soma maandiko utajua huyu ni mtu anayemwakilisha nani.
@osmansalim17211 ай бұрын
Na mm nitafika one day, namuamini
@venitarugemalila929010 ай бұрын
😂😂😂😂
@osmansalim17210 ай бұрын
@@venitarugemalila9290 yaani nasubiria nipate nguvu ya kurikodi nimeandika nyimbo nzuri sana.