Huwezi kaa ukayazoea haya maisha , unless umezaliwa au umekulia katika hii nchi, sisi ambao tumekuja huku tukiwa watu wazima tunajionea Mateso tu, basi tu ni kutafuta maisha, lakini Raha na maana halisi ya maisha ni nyumbani kwetu africa
@gideongithinji35802 жыл бұрын
Kaka Sasa kitu kizuri Nini Kaka Niko Kenya na changaaa?
@modestmkali34362 жыл бұрын
Kaka hakuna kitu kizuri kama kuishi maisha yako ukiwa free, ukiwa hulazimishwi namna yakuyaishi, huku ni kama vile unalazimishwa yaani, sikia, huku Lazima uwe na internet Ya nyumbani ili Tv yako iwake, na unatakiwa kulipia kila mwezi, uwepo au usiwepo, yaani hata uki safari mwaka mzima haupo kwako, bado utaendelea kulipia hiyo internet, simu unatakiwa kuilipia kila mwezi, hata ukisafiri nje ya nchi kwa mwaka mzima hutumii simu yako, kila mwezi utalipia tu, yaani sio kama nyumbani, unanipangia matumizi yako, huku ni lazima uwe na Bima ya afya, maana ukiumwa kidogo tu huwezi kubaliwa hospital nakupewa huduma kama huna Bima ya afya, unless uwe na pesa za kutosha maana bill yake sio mchezo, yaani mfano Afrika hata kama huna Bima ya afya Unaweza ukalazwa wiki nzima hospital na bado bill ikitoka unaweza kuilipia, huku kama huna Bima ya afya, ukilazwa wiki nzima, bill yake unaweza ukailipa kidogo kidogo kwa Miaka mi5 na bado usiimalize, huwezi tembelea mtu hivi hivi, yaani ni maisha ya upweke sana, maisha ya pressure, usipofanya kazi kwa siku hata 2, ujue mwisho wa mwezi una mtihani maana ma bill yalivyo mengi utashinda a kuyalipa, kwa ufupi yapo mengi magumu na mazito katika hii nchi, ni kupambana tu tunapambana lakini mtu asikudanganye eti anaishi maisha ya furaha katika hii nchi, hakuna mwenye furaha
@zamoyonimaganya62822 жыл бұрын
@@modestmkali3436 Aisee nimekuelewa kweli Africa pazuri
@careenallyally36682 жыл бұрын
Kabisa
@careenallyally36682 жыл бұрын
Mimi nilipata shida kuishi Oman maisha kama gerezani😢
@kasiniapotatoes98042 жыл бұрын
Sasa mimi na subwoofer langu. Inakuajee
@damariszuckschwert94892 жыл бұрын
Namshukuru Mungu sikuwa mtu wa kutoka hata nilipokuwa nyumbani, mimi nilipendelea sana kuwa nyumbani.,napenda utulivu. Hiyo yakutokutoka haikunipa stress.
@husseinsauti40542 жыл бұрын
I love that life is very cool
@nicksiko20182 жыл бұрын
Thank you brother Dangote for your generosity may God bless you for what you are doing and above all you still remember how John Paul from Kenya changed your life, and now you are ready and willing to assist those who may be lucky to Join you,,,mungu akubariki na familia yako bro Kwa Roho Safi.
@omarykitololi4472 жыл бұрын
Dah kweli toka umeenza kuchukua video sijaona mtu kukatiza life style kama jela
@donamolloartist872 жыл бұрын
Nimekuwa nikifuatilia channel Yako, na kwa kweli unaelimisha wengi. Mimi ni artist na nafaidika Sana na channel hii. Keep up the spirit
@jerryalfredngailo61062 жыл бұрын
Asante Sana kwa kutupasha
@Mr45678919752 жыл бұрын
Waambie ukweli some Africans became depressed. Niliishi na neighbour miaka kumi bila kuongeleshana . TV channels in thousands to keep you in the house . We have beautiful life in Africa New sub hapa.🇰🇪
@angelageofrey97562 жыл бұрын
True
@starlightofficial52142 жыл бұрын
AhAhaahaahaa
@gloriamwanjali93712 жыл бұрын
Mara ya kwanza kujifunza maisha haya nilisafiti na binti 30 years toka Amaterdam mpaka Atlanta seat moja hata nilipomsalimia hakujibu nikajifunza.
@bernadette62662 жыл бұрын
Asante Sana unasema kweli
@bebick37242 жыл бұрын
Aaahh....!!! Ndugu. Hayo ni mambo una sema ni muhimu... Asantee Sana...
@BINTIwaKITANGA2 жыл бұрын
Waooh! Mimi maisha hayo ndiyo nayapenda😘🤗maana hata nikiwa nyumbani huwa sina mambo mengi kuzurula,sijui niende Kwa shosti Gani ,sijui vigodofo hapana nakuwa bize na mambo yangu .ndiyo lazima utembelee ndugu na ushiriki katika baadhi ya mambo lakini sio kivileee Sana Sana nikiwa sina kazi huwa nakaa Tu ndani naweza nimaa ndani kutwa nzima .Kwa sasaa Nina miaka minne Niko Oman pia NI ndani Tu 😰
@landmadvd57952 жыл бұрын
acha ufala ww mai$ha. ya kiboya hayo umekua kuku ww mpka ukaendan. mda wote ndomna anzga kufanya ujinga uko ndan mda wote
@azizaawadh72312 жыл бұрын
Hahahaha 🤣🤣 pole ndugu uko oman sehem gani nikutembelee habity
@pembemussa28042 жыл бұрын
Kiukweli nikiwa ktk maisha kama hayo nitakonda hata kama nitakua naingiza mshiko kiasi gani maana suala la kua mbali na kidimbwi hapo ndipo tatizo litakapoanzia.
@maidamwaipopo96032 жыл бұрын
😂😂😂
@enelebowden23732 жыл бұрын
thanks for your help
@shabanmaulana85942 жыл бұрын
Masha Allah, umesema kweli kabisa kakangu, mimi sasa nimeishi miaka kama 32 hivi uwengereza nakubaliana na wewe kabisa, shida na maisha ya ufahari ndio yana tufanya tutoke makwetu kuja kutafuta. Lakini kama sio hivyo kwetu Africa ni peponi.
@miriammalugu9742 жыл бұрын
By the way, such a lifestyle isn't a negativity, it's kind of life I thik everyone should start to consider, I am in Africa yes but really i hate this kind of life most of the people live in our societies. Of course it's not a kind of life to be proud of at most times because we know exactly what kinds of misfortunes we are getting ourselves into while living like this. I really love such kind of life in west countries and I think everyone should consider living like such otherwise uwe ni gossiper and other types of behaviors like such 😊
@netid50642 жыл бұрын
Miaka 32 UWENGEREZA? Duh! Miaka yote hiyo umeishi nchini mwa watu bila kufahamu nchi yenyewe inaandikwaje?
@mussababu56232 жыл бұрын
Nje ni bora saana maana Hata ukiumwa unatibuwa full but Huku matibabu shida na unakufa Kwa kukosa matibabu. Na kwa Huku unapata socialization kutokana na kipato. Bila hela na Huku unatengwa tu
@azizaawadh72312 жыл бұрын
MashaaAllah nice life
@gogerrah4472 жыл бұрын
Hapo ningeishi freshi sana bro
@justinwambua51802 жыл бұрын
Ahsante kaka
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Maashallah maisha hayo ni mazuri Sana maashallah hata mm ndiyo napenda hivyo ndiyo maishaya ngu toka mtoto na ss hivi nipo Oman. Naona kawaida tu nishazoe a hayamaisha
@starlonejadamskp82242 жыл бұрын
Thank you kk
@rehemampangala9322 жыл бұрын
Asante Kaka kwa ujumbe mzuri
@fatumahengo68492 жыл бұрын
Mimi napenda sana maisha ya utulivu
@Pedeshee012 жыл бұрын
😄😄👍👍👍
@mankacharles45592 жыл бұрын
Huo sio utulivu utulivu hata tanzania upo huo ni utumwa wa maisha
@Pedeshee012 жыл бұрын
@@mankacharles4559 manka wewe hutaki utulivu ausemao ndugu yako anataka maisha ya hivi huenda kila mtu anapenda lifestyle kivyake.si unajua.mwengine kujumuika na watu hapendi kabisaa.Maisha kama ukienda pande za msasani Dar ama sala sala na sehemu za kishua wanaishi kama hivi tu ukitoka kazini ukirudi home ama gym zaidi ni super market.bassi hayo ndiyo maisha yao
@fatumahengo68492 жыл бұрын
Asante kwa kutufahamisha maisha ya huko
@meckpeter37102 жыл бұрын
Izo ni porojo alafu inaonekana ni kijijini ulipo wewe nenda town uone nyomi ya watu toka uko njoo hapa new York uchumi wanapataje kama wanna kaa ndani usizanie kijiji unachoshi nisawa ulaya mzima hata vijiji vya kwetu akuna watu mambo yote yako mjini sisi soon watoto tunamiliki smart phone tafuta au uliza mjini ni wapi utashangaa maisha ya mtu alivyo ndio fikra zake tusikulaumu
@chosen1.2 жыл бұрын
Love from kenya.. Asante sana kwa hili
@amourmtungo6232 жыл бұрын
Asante EBM. Kwa kuongezea tu hata mwanao wa kumzaa ni lazima akujulishe anakuja saa fulani na atakaa nawe kwa siku fulani. Huendi tu kwa mtu bila ya taarifa.
@denisililo14292 жыл бұрын
Ni kwel kaka yangu lakini kwa sisi watoto wa kimaskini hatuna hatuna namna ya kuchagua maisha kwa mimi hicho sio kipengele kigumu kwangu kwa sababu ni mtafutaji ,,,,niko tayari kuishi katikaa hali hiyo
@stanslausmteme84552 жыл бұрын
Ndo uwende ndg
@allykaranja43982 жыл бұрын
Poleni jamani
@gracekagoma32312 жыл бұрын
NI kweli kabisa ndugu yangu
@hajatihajati53572 жыл бұрын
Kaka Asante juzi Kuna mutu amekuja kwangu bila kunitaarifu kiukweli nili mufukuza si kungojea aingie ndani anieleze kinacho muleta kwangu bila kunijulisha nimona kama sina usalama njoo maana ni ka mufukuza
@shabanimwinyikhery11742 жыл бұрын
Umefanya kitu kizur sana Mungu akubariki
@emmanuelzani28892 жыл бұрын
Duh.. afadhali nimezaliwa Tanzania, maana maisha ya jinsi hiyo, siyawezi. Asante sana ndugu.
@maidamwaipopo96032 жыл бұрын
😂😂😂😂
@hanirashuwesu42392 жыл бұрын
🤣😂😂
@damasiuspetro51782 жыл бұрын
Wamefika hatua ya kufanya kazi kwa ratiba kwasababu maisha yanabana
@annajohn24882 жыл бұрын
Yaani patanifaa sana sipendi kuzurula sipendi
@frankmwinuka62982 жыл бұрын
Dah kazi ipo huko
@johnjuma22242 жыл бұрын
Hio sio shida ndugu kikubwa una make Doo hapa penyewe nipo lonely mazingira Kama hayo nahisi ndio niliyo jiandlia toka kitambo
@charleskuyeko44002 жыл бұрын
Mimi ni mzee wa miaka 72. Na hayo maisha ya kukaa ndani ndiyo ninayoishi huku Dar. Natoka nyumbani mwangu nikienda Kanisani tu. Kwa hiyo hali ya huko mimi nimeifurahia sana. Tena unaletewa mahitaji nyumbani unanunua? Hiyo ni raha sana kwangu. Ningekuwa na uchumi mzuri ningekuja huko haraka sana. Sasa kwa umri huo nitafanya kazi gani Marekani? Nishauri ndugu yangu. Nimependa sana maisha hayo ya kizungu.
@msemakweli1332 жыл бұрын
😅😅 Fika ujionee. Baada ya miezi mitatu, utakua unalilia tu kijiji chako cha nyumbani.
@marwamarwa68362 жыл бұрын
Umeshazeka wewe kaa utulie babu
@ismailasman91032 жыл бұрын
Kwa hivyo wenimwamerikani
@لبيد-ك7ل2 ай бұрын
Mzee una miaka 72 kisha upo mtandaoni🤣
@faithbosibori77212 жыл бұрын
Oh I love this,I'm extremely introverted and when I go out I prefer no people. I just got my Visa and I can't wait to live in a place where people don't bother me
@dorahisinika75762 жыл бұрын
Iam introvert too..I love indoor life.
@rose_Winchester862 жыл бұрын
Me too❤
@rahimukisandu99612 жыл бұрын
Sio oooooh naomba nyanya jirani
@footy_genius2 жыл бұрын
I'm an introvert by the way this lifestyle suits me a lot, am looking forward to live in US someday
@yyaterayasin27592 жыл бұрын
Shukran, kwa kufungua vichwa vyetu wengi tusiojua hilo.
@silengombanga78172 жыл бұрын
Duuuuuh thanks bro nimeelewa kiukwel life la huko so poa kwa sisi tulio zaliwa uswaz
@thanksgivingchannel62472 жыл бұрын
Good
@joasyeliya24812 жыл бұрын
Fantastic ...i like this life
@godfreykisinda82902 жыл бұрын
Ndio ningefurahi saanaaa
@scollajoseph57052 жыл бұрын
Nimepapenda
@oparetionmaalum90302 жыл бұрын
Na warabuni pia ivoivo maisha Yao ni hivohivo
@maidamwaipopo96032 жыл бұрын
Kote tu
@aaronmturi22302 жыл бұрын
Hatari sana
@abdulshariff47392 жыл бұрын
Asante kaka Bora nibaki Nairobi kuliko upweke huku tuko free kutangamana nikienda kwa mjomba sinalazima ya kumtaarifu baada ya chakula mwanadamu nikutangamana kama kuku wakienyeji
@kirathimorathima11772 жыл бұрын
mimi napenda indoor life kiasi
@adelaidamufumbo83522 жыл бұрын
Mmh kwakweli bora umetoa mwanga kwa hilo
@bernardsamizi72892 жыл бұрын
Kwa kweli hayo maisha ni mazuri sana na hasa ukiwa na familia yako. Kwa kweli maisha ya kushinda unazurura kama mbwa wa kienyeji siyo mazuri. Ninapo angali mazingira hayo naona kuna usalama huku bila ngome na milango ya chuma panya road watakukuta chu mbani
@breezydee75452 жыл бұрын
ndoa za uko nje ni pasua kichwa, wanawake wamepewa nguvu zaidi kuliko waume zao... kuna ile mindset ya miss independent huwa inawaharibu sana, atakuacha na inabidi uwe unampa pesa za matunzo ya watoto kila mwezi
@lampadshigonko30062 жыл бұрын
Maisha hayo mimi hapanaaa... bora niishi kimaskini na furaha yangu
@benedictmrisho59472 жыл бұрын
Bro mtu kwao. Hongera kwa kusema ukweli unaofichwa na waganga wa kuishi ughaibuni. Ndioaana waliochanganyikiwa wakiwa wanachangia ktk mijadala Wana mihemko kumbe depression zao. Hata wanaporudi Tz baada ya Mda mrefu huchanganyikiwa. Waambie. Utajenga lini? Endeleza makala yako Nzuri.
@corrolesscps10 ай бұрын
😮😅😅😅😅
@mohdmohd25502 жыл бұрын
Dah hilo jambo la upweke co poa maana nikiona hayo mazingira naona kama ndio Mimi, Ila mwanangu tutaonana hukohuko Mungu akipenda c unajua lisilo budi......
@bahatimtatah56802 жыл бұрын
Ni kweli kabisa hapo mm naweza kuugua make ninavyopenda kutoka
@seurilomayani57162 жыл бұрын
Nomaa Bora nibaki afrika
@kadunawewe72482 жыл бұрын
Nataka sana maisha haya
@suleimanmasoud98862 жыл бұрын
Sasa kw style hio si unaweza ukafa ndani ukaoza na watu wakawa hawana hata habari, maana si kw upweke Kama huo, duh hatar acha niishi bongo tu full kujiachia, Kama hata kidimbwi hamna ahhh mm siji huko babu,
@mwamengele2 жыл бұрын
Huko upweke umefanya mpaka wizi wa watoto, utekaji na mauaji kuwa kitu cha kawaida, watu wanatafuta human touch kwa shida, depression pia inaweza kukufanya ukaenda kwenye downward spiral ya kushindwa au kupoteza kabisa uwezo wa kuhusiana na watu au jamii nzima Ukikosea maisha kidogo tu unaenda homeless
@neemaangelo93012 жыл бұрын
Mmmh makubwa.
@mohamedjakaya53552 жыл бұрын
Kwa anaetamani maisha hayo ajue kwamba sisi na wazungu ni utamaduni wetu ni tofauti kabisa ingawa sote ni binadam. Mfano kuku na kanga wote ni ndege lkn kila mmoja anaishi kulingana na alivyoumbwa. Kikubwa ni kuiga maendeleo yao na siyo utamaduni wao.
@kamalmukaddam15212 жыл бұрын
Beautiful
@kavoomshana72892 жыл бұрын
Dah kwel itabid ujiandae kisaikologia,swali langu ni je unavyozunguka ivyo hawawez wakakuletea shida au umeshawapa taarifa.
@myunaniniahmad64632 жыл бұрын
Mazingira mazuri sana.
@michaelsamson96632 жыл бұрын
Duh 😂😂 Eti kuongelesha stoli ambazo azina mana
@amoskagika88842 жыл бұрын
😂😂😂nchi za watu changamoto Sana aiseee
@kimsamir9652 жыл бұрын
Tuonyeshe ndani y nyumba kukoje
@bettygeorge41612 жыл бұрын
Jamani napenda sna HayA maisha ya ndanii jamani natamni sna kuja huko
@djfiremoto34292 жыл бұрын
Duuuh Noma🔥🥺
@muntakindamba20532 жыл бұрын
Unatishatisha watu kama vile umekwenda pekeyako huko ulaya?
@edgarnandonde482 жыл бұрын
Ni kweli ulaya kama unataka kumtembelea mtu unampa taharifa wiki moja mbele shida sana aisee
@bonifasemmanuel47002 жыл бұрын
kWa halo hiyo bora Swideni
@HanifaUrassa2 ай бұрын
Ni heri ukose pesa uishi na watu maisha ya marekani hayana tofauti na jela, unapoteza hadi kumbukumbu
@macyagervr58882 жыл бұрын
Sasa mbona corona iliwamaliza km wanakaa ndani?
@halimaoman87262 жыл бұрын
Ni kweli kaka unavyo ongea na upo na swadakta kwa maneno yko na kila nnchi na mazingila yke
@petersilas42342 жыл бұрын
Kumbe ndiyo sababu tunapenda kwetu. Kutembea ,kujichanganya ndiyo maisha. Hata corona ilipotelea mitaani. Kujimwaga ndiyo maisha.
@vibandaumiza2 жыл бұрын
Hiyo kweli aisee. Kuna maisha fulani hivi ya upweke kama unaishi nje. Nyumbani ni nyumbani, na wote tunatamani sana kuwa nyumbani. Maisha tuu yanatufanya tuhustle nchi za watu.
@jerryalfredngailo61062 жыл бұрын
Sijajua how old you are Ila Mie Mzee (65) nakusapoti Sana we kijana Fanya Kazi kama kichaa huko uliko pick up any piece of money that you think will help maana baadaye utachoka!
@hildahwakonyo35542 жыл бұрын
Waah ombi langu siku moja nitembea huko ,,Mimi sipedi kutembea so nitazoea
@rashidjuma19692 жыл бұрын
Hata Kama Ila kheri hukoo Kuna afadhaliii
@sophiampeta87352 жыл бұрын
Kaka kwema
@sharifasharif39782 жыл бұрын
Sawa broo nimekuelewa sana hakika, lkn naomba namba zako pls pls
@johnmunyambu99382 жыл бұрын
Interested to come there bro
@khelefmuifadal4292 жыл бұрын
Acha kulalama sana Watu wanaishi kwenye vita na fresh We umefata life au watu
@jamilahathumani42222 жыл бұрын
Mim huko kunanifaa saaana kwasababu maisha hayo mim nayapenda na nayaishi Sana Yan ,,Yan napenda kuishi ndan Sana yan
@kelsamtv55292 жыл бұрын
Ooooh
@stamelistameli84612 жыл бұрын
Nipo tayali nampenda hiyo
@officialzex25152 жыл бұрын
Kula hatua tunasogea nazidi jifunza kitu brother
@standardtv34942 жыл бұрын
Duu nimekuelewa Sana baba ukiniweka ndani siku nzima yaani ndani kwangu ni kama jelaaaa haki ya Mungu tena
@djramsoyusuph96612 жыл бұрын
Uko akuna kuchepuka
@jumakapilima72952 жыл бұрын
Hakuna makanisa au misikiti ya watu kukutanika pamoja kwaajili ya kusali?
@lampadshigonko30062 жыл бұрын
dini ni uhuni ulioanzishwa na wazungu ili kuiteka Africa 🌍
Mi nipo ndani miaka 5 Sasa Ata nyumba ya jirani sijui ukimpigia ndugu nyumban utasikia niletee Sim Abaya wakat Ata nje sitoki ila wao waona natalii tuu
@Benardyng2 жыл бұрын
Kuna miraa huko mm bana nikichonga staki kuonana na watu bana wala kuongea hana kutembea.
@jojigeorige10562 жыл бұрын
Indoor lifestyle ni bomba tu
@makacharatv42572 жыл бұрын
Ndugi angu unapo ishi ww kijijini njo Brooklyn
@standardtv34942 жыл бұрын
Hahahahahaha kaka unapajua kidimbwiii 🤣🤣🤣🤣🤣
@lovelymiii15302 жыл бұрын
Mbn hujibu sms
@khaalidcheo53832 жыл бұрын
Ayo maisha niyakibaguzi mi siyaungi mkono.
@malelabmalela50162 жыл бұрын
Ok
@michaelnamji78042 жыл бұрын
Mi nashindwa kuzielewa hizo stop sign, mtu anaetoka main road ndo kawekewa stop
@RashidAbbas-zy6xx3 ай бұрын
Sasa ni kwamba hairusiwi kuishi uavyotaka au ni vip?
@adamdaudi61912 жыл бұрын
Mimi hata nikae miaka hamsini bila kuona mtu kwangu hainisumbuagi kabisa!.
@JohnJoseph-nf2zy2 жыл бұрын
😄😄😄kama Mimi aisee
@franklawrence54522 жыл бұрын
kule queens new york niliona kama uswazi kwetu kwenye coming to america