MAJIBU KWA MUHAMMAD AL-HATIMIY | SEHEMU YA TATU |Muhammad Bachu

  Рет қаралды 29,400

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

Күн бұрын

Пікірлер: 212
@alimasiga8422
@alimasiga8422 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi na kila shari. Na akuzidishie upole, unyenyekevu na hikma zaidi.
@omarsirleem7105
@omarsirleem7105 Жыл бұрын
Wallahi mtu pekee aliyenifanya mimi na Maulidi sahii ni X ni Allah kupitia Sheikh Nassor Bachu Allah amuhifadhi,mwataka maelezo gani mengine jamaa zaidi ya haya......Muhammad Al Hatimy Allah amuongoze aweze kuifuata haki....tatizo labda hataki kuonekana ameshindwa lakini katika dini hakuna kuoneana haya kama hujui ULIZA ,wafuate waliokuzidi ILMU....tumeimbishwa Maulidi kuanzia utotoni madrasa SubhanaAllah 😪 Allah atusamehe....
@yussuphsaleh767
@yussuphsaleh767 Жыл бұрын
Sheikh Muhammad bachu, tunakupata vizuri, wamekufungia zanzibar,lakini tunapata elimu kupitia huko huko mombasa, mungu akuzishie ustahamilivu wa vikwazo unavyopewa ,, ,amin
@yusufathman2478
@yusufathman2478 Жыл бұрын
Maa shaa allah. Haki itabaki kua haki tuu .... ان الباطله كان زهوقا
@eastzooadmin6416
@eastzooadmin6416 Жыл бұрын
Ustaz wenu ndio ilikua anajipanga, kaja kuvunja hoja ya miaka mitano iliyopita sharti Muhammed Bachu amjibu
@yusufathman2478
@yusufathman2478 Жыл бұрын
@@eastzooadmin6416 mmi sisapoti maulid akhy
@mahfoudhcalender2747
@mahfoudhcalender2747 Жыл бұрын
Allah Akulinde na Shari, na akulipe kheir Dunian na Akhera.
@omarally6819
@omarally6819 Жыл бұрын
Maashaa Allaah Shekhe Muhammad ALLAAH akuhifadhi na akulinde na shari za watu waovu, pia tuna muomba Mola wetu Mlezi awaongoze ndugu zetu Masufi kwenye Sunnah
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Alafu haka kajamaa kanajichanganya chenyewe.mwanzo kataja hadith ya ibn Agassi akielezea aya ya bifadhli kuwa rehma inayo kusudowa hapo ni mtume na Allah anatutaka tufurahi kwa rehema hiyo. Sasa mbele anakanusha.sasa huwo si uchizi. Alafu anapodai kuwa rehma ya mtume inapatikana baada ya kupewa utume.sasa angepewaje utume ksbla ya kuzaliwa.au angepewaje utume kama asingezaliwa.au angepewa utume tumboni kwa mamake. Yani mawahabi ni akilifupi.
@rashidimahmud8605
@rashidimahmud8605 11 ай бұрын
Mwenyezimungu akulipe kheri Kwa kututoa gizani
@zajode
@zajode Жыл бұрын
Jazakhillah kheri nimejifunza Allah akuifadhi sheikh maisha malefu kwako
@midahalomwanga9328
@midahalomwanga9328 11 ай бұрын
Mashaallah allahumma barik alaihi, allahumma hifadhu hu
@mwaramimwarami1479
@mwaramimwarami1479 Жыл бұрын
Baaraka llahu fik,nakuelewa sana shekh Muhammad bachu,niliyaacha maulidi tangu nilipokusikiliza mara ya kwanza na Leo umenikinaisha, namuomba M'mungu akujaalie kila la kheri,azidi kukujaalie elimu na ufahamu ili tustafidi pia akupe mwisho mwema
@NoorAli-vj4gn
@NoorAli-vj4gn Жыл бұрын
Ameen
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 Жыл бұрын
Aamiin
@nassirzamzam9312
@nassirzamzam9312 Жыл бұрын
Mwenye zimungu amfungulie sheikh mohd bachu ilimu na mtu anae shikana na bidaa huwa yuko kwenye giza haioni haki .(astray peoples)
@yunusali5728
@yunusali5728 Жыл бұрын
Amiin
@juxjemc5768
@juxjemc5768 Жыл бұрын
Kwa hyo maulid n bidaaa?
@misbahukhalifa3216
@misbahukhalifa3216 Жыл бұрын
Maulidi ni yoote ni Rehma na Kuzaliwa. InshaAllah utapata jawabu lako.
@hometownke.9658
@hometownke.9658 Жыл бұрын
Jazaka ALLAHU khairan
@muhammadnassor2389
@muhammadnassor2389 Жыл бұрын
Allah akuzidishie elim yeny manufaa ewe sheikh wetu isiokua na riyaa
@bakariomari8758
@bakariomari8758 Жыл бұрын
Swali zuri shekhe kapeana. Jazakallah million kheir
@misbahukhalifa3216
@misbahukhalifa3216 Жыл бұрын
وما أرسلناك إلا رحمة للعالمين. Tutasoma maulidi mpaka Qiyama inshaAllah. Na wewe utakoma kupinga karibu inshaAllah kama wenzako. Jisifu tuu ati wewe ni Muhammad Bachu. اللهم صل على سيدنا محمد وعلى آل سيدنا محمد الطيبين الطاهرين.
@osmanabuu7989
@osmanabuu7989 Жыл бұрын
Wallah najuvunia sheikh Muhammad kua nae katika upande mmoja
@omarishamata781
@omarishamata781 Жыл бұрын
Mashaallah shekh Allah akufanyie wepsi duniani n ahera
@hometownke.9658
@hometownke.9658 Жыл бұрын
Watu wa bidaa hawamo kabisa shk shukran sana kwa uwazi wa kweli wapoteza ummah watu wa bidaa
@allymwinyi970
@allymwinyi970 Жыл бұрын
Wewe Muhammad unaumia roho sana Mtume Muhammad (S.W.) kusifiwa, kutajwa kwa mazuri. Na hii ni kwa mawahabi wote. Jichunguzeni na mjitathmini. Hivyo vitabu unavyorejea vyote vimeandaliwa na mawahabi. Tafsiri kwenye baadhi ya maeneo zina mawazo tofauti. Wewe n i Mtoto mdogo kwenye dini. Kwenye din uelewa wako hauko juu ya kila mtu.
@amissandayishimiye-su4wm
@amissandayishimiye-su4wm Жыл бұрын
Barakallahu fik
@aslamswalah7852
@aslamswalah7852 6 ай бұрын
Ramadan tunaomba tupate seira ya Rasuli llah
@abubacarabdala3814
@abubacarabdala3814 6 ай бұрын
Nenda ukasome tadhali sana kwasababu unachokisema ujuwi
@chelseafcinafrica4313
@chelseafcinafrica4313 Жыл бұрын
Sheikh wangu kwaajili ya Allah nataka mawasiliano nawew
@AliAhmed-vd6qp
@AliAhmed-vd6qp Жыл бұрын
Maulid ni bidah Yani uzushi imeleweka shukran shekh
@naahla19
@naahla19 Жыл бұрын
Maasha Allah
@adnanomary1955
@adnanomary1955 Жыл бұрын
Tumekupata vuzuri sana maalim wetu,ubishi ubaki kwa maslahi ya watu tu
@shadidakhamis-gn5nz
@shadidakhamis-gn5nz Жыл бұрын
Maashallah
@saidyusuf9245
@saidyusuf9245 Жыл бұрын
Mashaa allah Mungu akuhifadhi tumefaidika alhamdulilah Mungu akulipe kila lakheri nabaraka
@abuahmad1206
@abuahmad1206 Жыл бұрын
الله يعطيك العافيه
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 Жыл бұрын
Naaaam sahih Allah akulnd
@abdulmwakubambanya9091
@abdulmwakubambanya9091 Жыл бұрын
Barakh Allah fikh
@gamalashur5412
@gamalashur5412 Жыл бұрын
KUNA HADITH YA MTUME SAW YAASEMA FUATA AMBALO HUNA SHAKA NALO UWATE AMBALO UNA SHAKA NALOO. دع ما يريحبك إلى مالا يريحك. KWA HIVO KUTETA KUTUKANANA HAKUSAIDI KUNA MENGI YA WAAJIB. INSHA ALLAH.
@omarally6819
@omarally6819 Жыл бұрын
Elimu inayo tumika hapa inawatia khofu masufi Wallaahi nakwambia Shekh Muhammad
@user-rp4eb5xw1z
@user-rp4eb5xw1z 10 ай бұрын
Mung akulinde sheh wangu yaaan wew umekuta kuokoa watu najanga la wapotoshaji nausikate tamaa sheh indelea nadaw nallah atakulipa
@abdulrahmanmussa4479
@abdulrahmanmussa4479 Жыл бұрын
Elimisha sheikh langu elimisha
@abdulkarimhassan4863
@abdulkarimhassan4863 Жыл бұрын
Haki ya haki nikkubali haki.
@omarally6819
@omarally6819 Жыл бұрын
Allaah akulinde na Riyaa
@saidimadzumba2266
@saidimadzumba2266 Жыл бұрын
Sheikh vipi mbona riyaa tena? Umejuaje riyaa tena?
@mwinyikitupa167
@mwinyikitupa167 Жыл бұрын
Suratu fiiil inaeleza rehma zamtume siku ya kuzaliwa jeshi la ndovu lilisambaratishwa
@sidrasidra8616
@sidrasidra8616 Жыл бұрын
Masha'Allah! Ss kwetu Burundi hizo mambo za kusoma maulidi hakuna kabisaaa sijawahi ziskia na kuna nini hiyo kusoma maulidi
@mwalimumuhidini1544
@mwalimumuhidini1544 Жыл бұрын
Ndo maana hamwishi vita
@hassankiloba217
@hassankiloba217 Жыл бұрын
Humjuyi kitu burundi inasomwa eeee huyu Hana lolote elim hakuna hapo weka namba tuweke hoja
@hassankiloba217
@hassankiloba217 Жыл бұрын
Maulidi siyo haram
@chelseafcinafrica4313
@chelseafcinafrica4313 Жыл бұрын
@@mwalimumuhidini1544 alie kwambie Burundi kuna vita ninani?
@omarally6819
@omarally6819 Жыл бұрын
Sisi tunaendelea kukuombea maarifa ya Dini zaidi na zaidi, maana masufi hujiona wao peke yao ndio wenye elimu, lkn ukiwaangalia wenye elimu nafsi yako hujiskia rahaaaaaaaaaaa. Hahahahahaha Maashaa Allaah. Allaah akupe zaidi na akufungulie milango ya fahamu, na uwezo wa kuyabeba yalio potoshwa na kuyadadavua moja baada ya moja kwa adillah swahiihah swariihah
@suleiman5257
@suleiman5257 Жыл бұрын
Hatmy hapa Kenya twamjuwa Hana kitu ndipo masheikhe wasijibu
@rashidramadhan7600
@rashidramadhan7600 Жыл бұрын
Mashaalahh
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 Жыл бұрын
Mtume Alikubalika na kuaminiwa toka mtoto mdogo, Kila Mtume aliendaliwa na Mungu basi jua kuna mazuri mengi ambayo wamefanya ili kuja kumlinda wakati alipo mdhihilisha kuwa ni rehma
@suleimantwaha282
@suleimantwaha282 8 ай бұрын
Shekh bachu umetumwa au au kuna nn.
@mohamedsoud3225
@mohamedsoud3225 11 ай бұрын
Daaii shekhe nimeanza kukuelewa kwa ufafanuzi wako mungu akupe umri mrefj upande wa pili ? Kimya
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 Жыл бұрын
Elimu kubwa sanahii wallahi kwa wenye akili
@daudijuma5914
@daudijuma5914 Жыл бұрын
Hakikaaaaah
@saidyusuf9245
@saidyusuf9245 Жыл бұрын
Watu wabidaa hawapendi mtume salalahu alayhi wasalaam wangekuwa wampenda wagemtwee
@yasinitwaha3192
@yasinitwaha3192 Жыл бұрын
Muhamd bachu kasome weww acha kubishana na masheikh lugha ya kiarabu hujui ww
@athmanbabusa8020
@athmanbabusa8020 Жыл бұрын
Hayo maneno ya Ibn Hajar Al-Asqalany yameachiwa katikati....siku nyengine yamalize.
@abynduwimana1767
@abynduwimana1767 Жыл бұрын
Naaam
@abdallhabinmkasibayyat6657
@abdallhabinmkasibayyat6657 Жыл бұрын
Duh wewe ndugu yangu unamatatizo katika mahfumu
@yoramabubakar8012
@yoramabubakar8012 Жыл бұрын
Mashaallah . Tokomeza bidaa imedhihiri
@abdurahmanalnaufaly3835
@abdurahmanalnaufaly3835 Жыл бұрын
HUYU KIJANA MUNGU AMUONGOZE NI MGONJWA WA UFAHAMU NA KUELEWA NI MZITO MNO AND MTUME NDIE RA7MAH NA MTUME NDIE QUR'AN YAANI QUR'AN NI THEORY MTUME NI PRACTICAL LAKINI HIDAYA IKO KWAKE ALLAH TUNAMUOMBA ATUONGOZE SOTE YAA RABB
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 Жыл бұрын
Kwahiyo Quran ni kiumbe??? Ukisema Quran ndio mtume inamaana nikiumbe na imefariki .au sijakuelewa?
@saidnassor5655
@saidnassor5655 Жыл бұрын
Kwahiyo mtume saivi yupo hai maana tupo na Quran namtume kafariki miaka na miaka sasa ukisema mtume swalallah alayhi wasalm ndio Quran sukuelewi
@barakahoma2956
@barakahoma2956 Жыл бұрын
Ww masaka tonge barzanj hata mm nisiyesoma najua ya kwambia barzanji imejaa ushirikina na yyte mwenye kufa ktk mambo hayo huyo ni mshirikina na makazi ya washirikina ni Moton yaan mwamsingizua mtume yuwaja ktk magoma yenu ktk maulidi
@haridyhillaryndembo1946
@haridyhillaryndembo1946 Жыл бұрын
Mtume ni Quran inayotembea
@salumharuna5872
@salumharuna5872 Жыл бұрын
Innalillah wainailaihi rajiun, mi nadhani wewe ndie mgonjwa hasaa wa ufahamu maana umeandika kufru
@generalchumongafricanboy
@generalchumongafricanboy Жыл бұрын
Keep good job
@chelseafcinafrica4313
@chelseafcinafrica4313 Жыл бұрын
Jamani napataaje mawasiliano ya Sheikh
@noffalsalim
@noffalsalim Жыл бұрын
Me bachu ww sikufati,ni mpotoshaji.
@khatibbakhresa7615
@khatibbakhresa7615 Жыл бұрын
Usimfate Muhadhir ila fuata kile kinachoelimishwa kuwa ni Haqi
@omarally6819
@omarally6819 Жыл бұрын
Maana walichokua wakiringia ni kule kuivungavunga haqqi na ikawa watu hawaelewi kua imevungwa, ila inapo kuja bayana kama hii hakuna atakae chomoza uso wake hapa
@hamzangunga1578
@hamzangunga1578 Жыл бұрын
Swadakta
@abynduwimana1767
@abynduwimana1767 Жыл бұрын
Wambie washirikina
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 Жыл бұрын
Aje na vitabu aje na vitabu. Sio mifano ya udereva dini sio gari
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 Жыл бұрын
Duu mama wa Yesu aje kumzalisha Mama yake Muhammad mbona uongo ulio tukuka, daah, haya kanyaganeni wenyewe ila tunawafatilia vizuri
@azizaaziza7996
@azizaaziza7996 Жыл бұрын
Assalaam allaykum warahmatullah wabarakatu enyi mashekh mngali kaa chini mkafahamiana nyinyi nimfano kwetu Sasa mkiwa hivo elekea wapi
@hamidaawadh9024
@hamidaawadh9024 Жыл бұрын
Anatuelimisha sote
@user-ip5nr5iy2u
@user-ip5nr5iy2u Жыл бұрын
@Aziza Aziza sio makosa kunapochafuliwa jambo la dini mwenye ilimu kuliweka sawa, na hilo alhamdulillah Sheikh Muhammad bachu aliliweka sawa kwa idni ya Allah kwa kupitia vitabu mbalimbali vya wanachuoni wakati gani mtu anatakikana akosolewe kisiri au kwa dhahiri.
@azizaaziza7996
@azizaaziza7996 Жыл бұрын
@@user-ip5nr5iy2u shukran allah alete kheri zake
@user-ip5nr5iy2u
@user-ip5nr5iy2u Жыл бұрын
🤲🏽آمين🤲🏽
@athmanbabusa8020
@athmanbabusa8020 Жыл бұрын
Mimi siku zote hubaki kuwa mwanafunzi, toa hoja ukirejelea tafsiri kadhaa za Quran. Ni vizuri ukisoma ayah ukirejelea kwenye hizo tafsiri. Na hii ndio nidhami ya elimu ya Quran.
@omarally6819
@omarally6819 Жыл бұрын
Hoja zinahitaji maarifa yalio pevuka kama haya, nasio maarifa machanga, au yalio vungwavungwa kwa uongo na upotofu ambae elimu haitambui manyago yake
@balkisamisi2131
@balkisamisi2131 Жыл бұрын
Kama tuna ruhusu yaku furahikiya qur'an bila kaifiya, vipi kumfuraikiya aliye kuja na qur'an ?
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 Жыл бұрын
Lakin haka kajamaa ka Lamu tukaombee maana wengi wamepata faida kupitia video hii kwa sababu ya kuropoka ropoka kwake uzushi wake maana kuanzia itikad yake na mafundisho yake yote ni mabovu. ukiwa na akida mbovu ambayo ndio msingi basi kote kwengine ni ubovu mtupu na naamini wengi waliokuwa wanaifuatilia video hii wamepambazukiwa na wamepata faida ya kujua kuwa Barzanji (au Baraza nje) ni maneno ya barazani tu ya porojo ambayo tunapaswa wote tusimamie watu wajue maana ya upuuzi ulioandikwa humo. Hivi mtu anakufa halafu arudi kumzalisha mtu wamepata wapi haya kama sio wahyi wa shetani kwa kuwatokea? na kwakuwa hayapo katika Quran na hadith wamepata wapi haya mambo? Naomba kila anayetetea hoja ya Barzanji aje na aya au hadithi sio blaa blaa. na hao wanyama waliofurahia waliwaona wapi katika hadith na vipo visa vingi vituko barzanji imevisheheni humo, Kiukweli ulio wazi barzanje ni kitabu mithli ya hadith za punda na Juha
@fatmahfatmah8227
@fatmahfatmah8227 Жыл бұрын
Hivi Shekh maulidi hayafai mm nakusikiza kila siku ukiskia ma shekh wengine wasema yafaa hujui umuamini nani mwatuchanganya jamani Lakini sitochoka kusikiza maneno yako
@adamsamata8754
@adamsamata8754 Жыл бұрын
Kila anaemchukia mtume hapendi maulidi
@pongwebeachhotel2806
@pongwebeachhotel2806 Жыл бұрын
@@adamsamata8754 ndugu zangu waislamu,tusifisteni mikumbo na akili ya kichwa tusomeni ndio tutapata ufumbuzi wa hayo yote,Allah anasema hatomuadhibu mja mpak amletee mjumbe ,mjumbe ndio aliokuja na ufunuo wote kupitia Quran,na allak akasema poa mkizozana kuhusu jambo Fulani rini kwenye qurani na Sunna aii hadisi sahihi buhari na Muslim na hadithi Al qudus.wallahu aalamu.
@mahfoudhally2879
@mahfoudhally2879 Жыл бұрын
Mh
@chelseafcinafrica4313
@chelseafcinafrica4313 Жыл бұрын
Sheikh wangu naitaji mawasiliano yako
@cabduraxmaanxaaji2472
@cabduraxmaanxaaji2472 Жыл бұрын
Hatuachi kosoma maulid.
@rehemakhamis5517
@rehemakhamis5517 Жыл бұрын
@@cabduraxmaanxaaji2472 utaenda kuacha motoni sio maneno yangu (kila uzushi ni bidaa na kila bidaa ni moto)
@abdulazizmapendano4692
@abdulazizmapendano4692 Жыл бұрын
Nyinyi mufate hakii acheni kutusi masherhe ndo haki île watu wa bidaa musikiye na viremba al-hatimy kuja ujibu sasa na shirki zenu!!
@eastzooadmin6416
@eastzooadmin6416 Жыл бұрын
Eti ni kweli mimba ya mtume SAW wanyama waliongea kiarabu fus'ha 😂
@chelseafcinafrica4313
@chelseafcinafrica4313 Жыл бұрын
Sheikh wangu naomba namba zako ninashida nawewe sana sijui nazipataaje
@mustafahamdu1900
@mustafahamdu1900 Жыл бұрын
SHEKHE tunataka namba. Za simu tunataka mdahalo sisi
@abdulkarimhassan4863
@abdulkarimhassan4863 Жыл бұрын
Mdahalo wa nni mbona majibu yanajitosheleza akhy!
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 Жыл бұрын
Kama mnataka mdahalo jipangeni mumualike yeye hana neno maadam mdahalo.wa kielimu sio wa kiujanja ujanja wa vijitabu visivyo na kichwa wala miguu, mdahalo bora wa Quraan na hadithi sahihi na sio hadith za kutunga ambazo dhaifu.
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf Жыл бұрын
kama mnahoja nzur mtafteni tu tupate kuelimika zaid
@mahfoudhcalender2747
@mahfoudhcalender2747 Жыл бұрын
iyooo
@nassirzamzam9312
@nassirzamzam9312 Жыл бұрын
Wenye kufuata bidaa siku zote wa natembea kwenye Giza ni watu walio potea ata ukimlekeza njia hawataki njia ilio nyoka wana taka njia ilo potea.
@nurdiniissa2508
@nurdiniissa2508 Жыл бұрын
Washangaa hilo na jiwe lilivyo muamkia lilipata wapi mdomo sheikh Kalale bwana ulithibitisha hapa kwamba jiwe lilikuwa likimumkia mtume umesahau na hili muda huu
@mohamedswaleh6778
@mohamedswaleh6778 Жыл бұрын
Km ujui kitu kakojolewe
@abdlaahabdalaah6911
@abdlaahabdalaah6911 Жыл бұрын
Hayabwanaa wafundishe watu wasimpende mtume sindioutakavoo halafu hueleweki pia muogope mungu usimtaje mtume kama mtuwakaidaa achasifaaa okomambasa utawafitinisha waislam kwamambo yako nachuki zako juuyamtume ila utasumbuka buree alishindwa abuujehli utaweza ww
@jumamahmoud9271
@jumamahmoud9271 Жыл бұрын
Sisi sote tunampenda mtume ila mapenzi yetu isiwe sababu ya kupetuka mipaka tukampachika sehemu asio stahiki.
@khatibbakhresa7615
@khatibbakhresa7615 Жыл бұрын
Allah akupe ulinzi put utapokuwa na akuepushe kila sharri Tumekuelewa Maulid hayamo ktk dini ila ni uzushi ila ni mipango tu ya kufanya Israfu ya Mali zetu WTawfiq Amiyn
@khamisamoursaleh6630
@khamisamoursaleh6630 Жыл бұрын
قال الامام الشافعي رحمه الله ((من سام نفسه فوق قدره رده الله إلى.قدره )). من قريب إن شاء الله ستعرف قدرك
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 Жыл бұрын
Muhammad alisilimiswa na nani? maana alitakiwa awe wakwanza kusilimu
@mwamdudumwamdudu4689
@mwamdudumwamdudu4689 Жыл бұрын
Mwenyezmungu Anasema, HAtukukupeleka ewe MoHAMMAD ila hali y kua n Rehma kw viumbe wote. Swali , HUKU KUA MTUME MOHAMMAD NI REHMA kwa viumbe kulianza wakati gn? Je kulikua kabla ya utume wake wa baada ya utume?
@hassankiloba217
@hassankiloba217 Жыл бұрын
Huyu habiya Hana akili rudi shule kasome uhabiya niukafiri Hana elim
@hassankiloba217
@hassankiloba217 Жыл бұрын
Hampendi mtume kabisa
@hassankiloba217
@hassankiloba217 Жыл бұрын
Towa namba watu wakufuze wewe ndevu kama abujahali tunajuwa hampendi maulidi nyinyi wahabiya
@abdallhabinmkasibayyat6657
@abdallhabinmkasibayyat6657 Жыл бұрын
Unajitia ahibu ndugu yangu dah kweli wewe ni kaniki
@salimmohamedakidzmoh6993
@salimmohamedakidzmoh6993 Жыл бұрын
Assalamu alaikum warahmatullahi wabarakaatuh jamani Shaikh Ahmad Bachu challenge yako hata i"rabu ya hizo aya mbili bainal ardh was samaa' tufanyieni madarasa kwa insaaf ikhtilaaf ni rahma kwetu kwa kuwa nyinyi ndio wa kutuekea vipimo tujue ukwel na baatwil wa illa tukijaziana anwaani za kukomeshana huko tukipeana challenge za kupimana akili badala ya kuelimishana si vzri
@abdallaheji1269
@abdallaheji1269 Жыл бұрын
Mawahabi na shia ni baba mmoja na mama mmoja
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf Жыл бұрын
hivi msufi yeyote aje anijibu apa... hvi mimi nisipofanya mawlid napata dhambi? na je moja ya itikadi yao kwamba kama usherehekei mawlid utakua humpend mtume s.a.w???
@daudijuma5914
@daudijuma5914 Жыл бұрын
Hupat dhambiiiii
@hamisisalimu6908
@hamisisalimu6908 Жыл бұрын
Kwahiyo watu wakienda maulidini wakila wali ndio wanashiba mwaka mzima?
@nurdiniissa2508
@nurdiniissa2508 Жыл бұрын
Ishara za utume walianza kuziona watu wa injili acha uongo bwana
@milanizuberikasimu1859
@milanizuberikasimu1859 Жыл бұрын
Sasa we hapo rehma kama zipo zaid ya moja mtu acha achague mwenyew
@muhammadibrahim8840
@muhammadibrahim8840 Жыл бұрын
Tufundisheni dini sio kuoneshana usome mashekh kwely wameisha Sasa ni washindani tu
@Halima-zx4pg
@Halima-zx4pg Жыл бұрын
Mimi naona silazima kubishana mwapata nini achenikubishana kilamtu angaliye anacho kifanya mwatia aibu
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 Жыл бұрын
Kwa ambaye hapendi elimu ataona ni mabishano lakin ndio akida na ni msingi wa dini na dini yetu inakwenda kwa elimu na elimu ni kitu cha kwanza, tukiwa tutakaa kwa ujinga eti hatujui kitu tunataka umoja ndio bila elimu ndio zile zama atakuja mtu aso na elimu atawapoteza watu naye anapotea na hiI ni zama mbaya sana ambazo hadith sahihi imezitaja zitatokea, Wanaomukhofia Allah zaidi ni watu wa elimu sahihi. na mtume ndipo elimu ilipochukuliwa.
@mwinyikitupa167
@mwinyikitupa167 Жыл бұрын
Raisi wetu ni ruto tumsherehekee siku yakuapiswa au siku yakutangazwa ushindi au siku yakufa waonaje zote tatu tukafurahikia ataskia vbaya akienda safari sikuyuwarudi tukasherehekea atakasirika sioni kipimo chakumfurahia rais ruto je sembuse mtume muhammad
@khamismuhamadi4806
@khamismuhamadi4806 Жыл бұрын
Hana elimu huyu kwanza kasoma wapi anajisomea tu mwenyew ndo maana wenye Elimu zao hasa watu wazima hawamjibu akikua ataacha balehe inamsumbua anafasiri matini kwa ubongo wake mwepesi inamana huko kote wat walikufa maqafiri. Mtume (saw) UKIMREMBELEA MWENZIO UKAFIRI BASI UNAKURUDIA MWENYEWEO, mtajijua na kuyumbishwa kwenu na watt wadogo wasio na elimu ya mambo, Imam Shafi anasema ANAEJIDAI KAJUA MWAMBIE KAJUA JAMBO MOJA MENGINE HAYAJUI. hamna kitu hapo HANA AGENDA HUYO SHEKHE WENU KOKO.
@muhidinally3753
@muhidinally3753 Жыл бұрын
Sheikh usilete maneno ya kwenye khanga. Lete hoja zako zilizowazi. Unaposema kasoma wapi unataka ujue nini. Kama una hoja pangua hizo zilizoletwa kwa aya. Sema kama hizo aya hazipo kwa mashaf au anatunga fasiri yake. Wewe waonekana hata hujui kitu. Mtu anakupa rejea hutaki kufuatilia hizo rejea unaleta maneno ya mtaani hapa???You are damn dead
@ikabako2454
@ikabako2454 Жыл бұрын
Tulia dawa iingie bwege wewe
@rehemakhamis5517
@rehemakhamis5517 Жыл бұрын
Kwaio unasema hajasoma izo aya na hadithi anazozianisha katunga mwenyew? Kama rahisi hemu toa japo hadithi moja na aya moja inayosema maulidi ni halali
@mwanaidmagasa3082
@mwanaidmagasa3082 Жыл бұрын
Wewe unayo elimu mbona mumeacha watu ujingani huyu babake mwenyewe shekh dini imo ndani ya damu yake ubishi usio na maana hautampeleka mtu peponi duniani tunapita ukiwa kaburini ndio utajua
@midahalomwanga9328
@midahalomwanga9328 11 ай бұрын
Wewe kaa na chuki zako
@kaliskaguzkalis4424
@kaliskaguzkalis4424 Жыл бұрын
Kumbe waumini huwa wanaongozwa Qur an acha uoga zungumza ukweli mzee
@fauziakitenge8061
@fauziakitenge8061 Жыл бұрын
Watakao kuunga mkono ni wale walioghafilika
@mwinyikitupa167
@mwinyikitupa167 Жыл бұрын
Nisifa gani ambayo mtume hana kama ni mawidha mtume ni mir'aatu lilmuuminiin mtume nishifaa mswalie mtume ukiwanamaradhi utapona mtume ni haadin yahdii ila ssabiil sifa ambayo hana mtume sijaiona kuwa muadilifu
@rahmahabibu1432
@rahmahabibu1432 Жыл бұрын
Ni sawa ila tumieni hekma munapoongea
@jumamahmoud9271
@jumamahmoud9271 Жыл бұрын
Nimekua wa mwanzo kusikiliza hii.haya tunamsuburi malemba aje uwanjani ajibu hoja.
@abdallahmgaya7521
@abdallahmgaya7521 Жыл бұрын
ZSHEIKH MUHAMMAD NASSOR BACHU YAANI NAKUELEWA SANA KULIKO SHEIKH WA VILEMBA
@abdallahmgaya7521
@abdallahmgaya7521 Жыл бұрын
Sheikh Muhammad Iddi aupate ujumbe huu
@yusufathman2478
@yusufathman2478 Жыл бұрын
@@abdallahmgaya7521 😂😂
@halidmaunga9150
@halidmaunga9150 Жыл бұрын
sasa inamaaana sheikh tusione hata umuhimu wa mama yake maana wakati anapewa utume yeye alikuwa keshafariki na hakumjenga kiaina yoyote maaana mama alikufa mapema.hapa vipi sheikh
@fauziakitenge8061
@fauziakitenge8061 Жыл бұрын
Allah akuongoze unavopotosha watu na khutba zako 😢
@mohamedswaleh6778
@mohamedswaleh6778 Жыл бұрын
Ww kakojolewe uko Jing kbx
@khatibbakhresa7615
@khatibbakhresa7615 Жыл бұрын
Usihukum jambo usillolijua utaidhulumu Nafsi yako
@fauziakitenge8061
@fauziakitenge8061 Жыл бұрын
@@mohamedswaleh6778 kama unavokojolewa na babako mzazi
@mohamedswaleh6778
@mohamedswaleh6778 Жыл бұрын
@@fauziakitenge8061 nendaa kakojolewe usilete utto mbele y wanaume unavyo kose heshim n walimu inaonekan waz bbako mzz anakukojolea
@mohamedswaleh6778
@mohamedswaleh6778 Жыл бұрын
@@fauziakitenge8061 mbwa km ww unawez thubutu KU comment nni mbele y walimu xhenz kbxa
@noffalsalim
@noffalsalim Жыл бұрын
Xx km mtume kuzaliwa kwakwe hakukua na faida unakosea sheikh wangu ,maana xiku ya kuzaliwa mtume ni xiku ambayo ilikua ni yenye barka kubwa, xx ww unasema kama hakukua faida yoyote. Na wakati dalili zote za utume alikua nazo ,na baadhi ya watu walijua,. Xx ww bachu unapotoa watu ,ww kazi yako mipasho tu
@abdalahusseinmtotohalalina9239
@abdalahusseinmtotohalalina9239 Жыл бұрын
Shekhe wewe unawenge lugha bado sana hujui
@mohamedswaleh6778
@mohamedswaleh6778 Жыл бұрын
Iyo lugha bk nayo ww
@user-ip5nr5iy2u
@user-ip5nr5iy2u Жыл бұрын
@Ahmad Zubeir...matusi ni tabia yenu ila haki itabaki haki hata ukimtusi sheikh matusi yote unayojua, sisi jibu letu kwako na wenzako kama wewe ni SALAAMAN.. "Na waja wa ALLAH (ARRAHMAAN) ni wale ambao wanatembea juu ya ardhi kwa unyenyekevu, na wajinga wakisema nao (maneno mabaya) huwajibu (maneno ya) salama. *SURAH AL FURQAAN* #AYAH 63#
@osmanabuu7989
@osmanabuu7989 Жыл бұрын
@omarahmedAllah akuhifadhi
@user-ip5nr5iy2u
@user-ip5nr5iy2u Жыл бұрын
@OsmanAbuu, Allah atuhifadhi sote na atusamehe na atuongoze njia ya sawa, na atuingize mahaba katika nyoyo zetu kuipenda haki na kuifuata.
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Yani mimi nikiwasikiliza hawa mawahabi najiuliza tatizo ni ubongo wao au ni mfumo waobmbovu wa elimu.Hivi inahitaji mihadhara ya siku tatu kuwa kukanusha rehema za mtume kweli? Alafu Tina yake ni nini watu wakijua mtume hakuwa rehema hapo mwanzo.alafu kajitutumua na aya nyingi na hadithi na wanazuoni wasiojulika ilikuonyesha anaelimu.kumbe hoja yake ni fupi tu.anachokanusha nikwamba mtume hakuwa rahma kabla ya utume.huo ni uwongo kabisa. Kwanza nimuulize mtume alianza kuitwa Asadik al amini lini.kabla au baada.mtume aliitwa asadiq alamini kabla ya utume.hii ina masna mtume alishaanza kuifundisha na kuishawishi Jamie kuwa waaminifu..jee hii si rehma? Pili mtume aliwakuta wanawake wengi wajane na hawana mtu wa kuwasaidia .mtume akasnzisha NGO maalum kuwasaidia wanawake na watu wanyonge kabla ya utume wake.jee hii si rehma? Tatu tunafundishwa makuraishi walitaka kupigana wakati wakukarabati alkaaba.mtume kwa busara zake na hikma za utume akasukuhisha nakuraishi.je hii si rahma? Hawa mawahabi mujasima ni makafiri tu
@mwaramimwarami1479
@mwaramimwarami1479 Жыл бұрын
Tija mtoke kwenye ushirikina na mkome kumpa mtume Muhammad (swa) cheo asichostahiki,kweli nimeamini kusoma mbali na ufahamu kitu kingine,laiti ungelikuwa umeskiliza vizuri mawaidha hili halikuwa swali la msingi,lkn umekaa kiushabiki ndo matokeo yake kama haya.
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
@@mwaramimwarami1479 mimi nafikiri mawahabi ndiyo mbumbumbu hawailewi kitu. Sasa ukisema mtume ni rahma kabla au baada ya utume shirki ipo wapi hapo. Shirki nikumpa mtu sifa za mungu. Je ukisema mtume ni rehma ndo umempa mtume sifa za mungu.nyinyi ni mahahili kweli.ndo maana mbamungu aiyekuwa Allah.mungu wa mawahabi anaviungo kama binadamu, pia ana shuka na kupanda kama ndege.mungu wenu anamakao makuu mbinguni kama mawingu.pia mungu wenu analaa kwenye arshi na makalio yake yameoitiliza kwa vidole vinne. Haya na mengine utayapata kwenye kitabu cha ibn taymiyah majmaul fatawa vol.2 hadi vol.7.sasa mtu mwenye elimu na akili timamu anaweza kuwa na mtazamo juu ya mungu kweli.ndo maana wanazuoni wamewaita mujasima. Na mujasima ni makafiri kwa mujibu wa ijmai ya wanazuoni wote.
@yusuphramadhani6749
@yusuphramadhani6749 Жыл бұрын
ndugu umesikiliz clips zote tatu za sheikh muhammad au unakurupuka maan hujui hat kinachoongelew fuatilia vzur km kwel watak kuping sio unaangalia nusu nusu fuatilia kuanzia clips ya kwanz mbk hii ya tatu kwnz hii clip si ya shirk hii mada ni kuw mtume ni rehma baada ya kutumw au kawa rehma kwtu alivyozaliwa na shekh muhammad akasema shirk ipo kwny barzanji hyo mtunzi wa hcho kitabu kwnye baadhi ya riwaya kamap mtume s.a.w sifa amabazo si zake fuatilia vziri katika clip ya pili km kwl watak kuijua haki..Na kuhusu mungu SUBHAANALLAH uko mbali ndug yang Allah kathibitihsh kuwa anamkon akisema kumwambia sheytw la'anatullah a'layh kuw vp unakataa kumsujudia yule ambae nimemuumba kw mikono yang sas Allah anasema kuw anamko wew unaping na Allah nd msema kwl kuliko yeyot na mtume alimuuliz mtu kuwa ainallah. Allah yuko wapi akasema mtu hyo Allahhu fissamaah kuw Allah yupo mbinguni yaan juu na mtume hakukanusha hlo na pia kasome suratul mulk aya ya 16-17 أَأَمِنتُم مَّن فِي السَّمَاءِ أَن يَخْسِفَ بِكُمُ الْأَرْضَ فَإِذَا هِيَ تَمُورُ Mnadhani mko salama kwa alioko juu kuwa hatakudidimizeni kwenye ardhi, na tahamaki hiyo inatikisika! Allah mwenye anathibitish kuw yuko juu f ww unakanusha wee na Qur-an nan anasem kwl na Allah anasema yy hafanani na chochote nae ni mweny kusikia mwenye kuona sas akiwa na mkono sio nd atafanan na mwanaadama akili yako ya kufikilia ni ndog sna kwani mkono wa monkey na wako ni sawa fungua akili yako ndug kuona kwako ni sawa na anavyoona mwewe hakufanani kabx ss viumbe tu hatufanan katika maumbo vip useme Allah akiwa na mkono utafanan na wabinadamu mkono wa Allah unafanan na utukufu wake nakuona kwake pia na hata huko kuwa kwake katk A'arish yay nd anajua vipi yupo hko juu yako kuchukua kam ilivyokuj kwny Qur-an usilete tafsir zako wakat mtume s.a.w hakusafili km hvy والله اعلم Allah akuongoze ww na mm katk kuifuat Haki
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf Жыл бұрын
@@abiabi9353 ukijihis wewe unafaham na yeye afahamu ebu jitahd ukutane nae mfanye mnakasha wa waz tukifunze zaid!!! usije ukawa unasumbua kwny comment section na hoja za kukaririshwa
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
@@Yu-jr9uf Huyo jahili hana chakunifundisha mimi. Huyo jamaa anajiulixa swali alafu anajijibu mwenyewe. Tatizo la mawahabi kiarabu chao kidodo sana alafu nahisi mfumo wao wa elimu wanavyofundishwa ni mbovu sana. Clip zake zote za nyuma nimezisikiliza .nilicho gundua nikwamba ufahamu wake ni mdogo.yeye anataka sifa ikitumika kwa Allah isitimike kwa mtume wala binadamu mwengine yeyote. Nahiyo haiwezekani.kwasababu zipo sifa ambazo Allah anazo lkn pia kama binadamu. Kwamfano Allah ana uhai na sisi tuna uhai.lkn uhai wa Allah ni absolute ,yani tofauti na 8hai wa binadamu.uhai binadamu unategea Allah. Pia Allah anaumba na sisi tuna umba .lkn uumbaji wa Allah ni absolute lkn umbaji wetu unatumia vipawa alivyotupa Allah kutengeneza .vitu. pia Allah ni bwana na mtume pia ni bwana.lkn ubwana wa Allah ni absolute lkn ubwana wa mtume nikiasi alichopewa na Allah. Hapo mawahabi hawaelewi. Pia Alikuwa anakanusha kuwa mtume si rahma kwa mujibu wa ata ya bifadhlillah.lkn yeue mwenyewe katoa hadith ya ibn Abbas mwanzo kuthibitisha hilo.sasa ngonjera zake alizo endelea nazo hatuna haja nazo. Pia alikuwa anapinga kuwa mtume hakuwa rahma kabla yakutumilizwa kwake.hiyo sikweli.labda mawahabi hawajui maana ya rahma. Walahaihitaji aya wala hadithi kuthibitisha kuwa mtume alikuwa pia rahma kabla ya kupewa utume. Unahitaji kujua historia ya mtume tu.kwa mfano mtume aliwakuta wajane wengi na wazee hakuna wakuwasaidia.Mtume akaamua kuanzisha NGO kuwasaidia. Je hiyo si rahma. Mara ngapi watu waliodhulumiwa wailkwenda kwa mtu kuwasaidia na akawasaidia kudai haki zao.je hiyo si rahma. Tunajua mtume alimuwa anaitwa Asadiq Alamin.hii inaonyesha alivyoweza kubadilisha watu mamna yakuamiliana kwa ukweil .je hii si rahma? Pia kama mnasema mtume alikuwa rshma alipopewa mtume.sasa angekuaje mtume bila kuzaliwa. Kwahiyo haya mawili yanakwenda sambamba.tatizo mawahabi wanapenda kujichanganya tu
@hassanambarakmbarak8759
@hassanambarakmbarak8759 Жыл бұрын
Mambo yamauldi kwisha jamani watatuambia nini sasa
@kadizosea6250
@kadizosea6250 Жыл бұрын
Maulidi yapo na tunayapenda
@mahfoudhcalender2747
@mahfoudhcalender2747 Жыл бұрын
@@kadizosea6250 hhhhhhhhhhhhjh endelea na kufa nayoo bidaa yko.
@athmanbabusa8020
@athmanbabusa8020 Жыл бұрын
Ndio Ile siku akatafsiri الحوادث kuwa ni matukio mengi 😂😅. Akasahau kuwa si جمع التقسير
MAJIBU KWA MUHAMMAD AL-HATIMIY | SEHEMU YA NNE |Muhammad Bachu
49:45
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 63 М.
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 698 М.
ATHARI ZA LGBTQ
5:31
IQRAAMA Online Tv
Рет қаралды 2,2 М.
MAJIBU KWA MUHAMMAD AL-HATIMIY | SEHEMU YA PILI | Muhammad Bachu
1:13:26
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 15 М.
Muhammad Bachu UWAJIBU WA KUWA SALAFI NA KUJIEPUSHA NA SAFIYYA JADIDA.
1:09:25
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 24 М.
MAJIBU KWA YUSSUF DIWANI || SEHEMU YA KWANZA || Muhammad Bachu || 2023.
44:58
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 27 М.
#MASUFI UFUNGUZI WA RUDUU KWA #MAKHURAFI || Muhammad Bachu || 14 September 2024
1:14:23
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 698 М.