Majibu ya Serikali Kuhusu Musiba, Diwani wa Zitto Aliyepotea!

  Рет қаралды 61,456

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Majibu ya Serikali Kuhusu Musiba, Diwani wa Zitto Aliyepotea!
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, George Mkuchika, amefafanua leo Bungeni kwa kutoa majibu juu ya hoja mbalimbali zilizowasilishwa na wabunge zinazohusu idara yake, ikiwemo msimamo wa serikali juu ya matamko ya Mwanaharakati Cyprian Musiba na Kupotea kwa Mwenyekii wa Halmshauri ya Kibondo mkoani Kigoma.
Hoja kuhusu matamko yanayotolewa na Musiba iliwasilishwa Bungeni hapo na Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini, ambapo Waziri Mkuchika, amesema idara ya Usalama wa Taifa inafanya kazi zake kwa siri, hivyo haitakaa itoe taarifa juu ya watu wanaowaita kuwahoji na kuwashughulikia.
Kuhusu Malalamiko ya kupotea kwa Mwenyekiti wa Halmshauri ya Kibondo, hoja ambayo iliwasilishwa na Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe, Waziri Mkuchika amesema serikali haipuuzii kupotea kwa watu nchini, isipokuwa suala hilo lipo chini ya jeshi la polisi na sio idara ya Usalama wa Taifa, hivyo watazidi kulisisitiza jeshi hilo kufanya uchunguzi wake kwa haraka zaidi na pia amempongeza Zitto kwa kumpigania Mwenyekiti huyo ambaye ni mwanachama wa CCM.
lnstal GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Пікірлер: 66
@edwarddaniel5683
@edwarddaniel5683 6 жыл бұрын
Hakuna kitu Huyu Mzee amesema hapo labda Mimi sijamwelewa. Ben Saanane, Yule mwandishi na hao watu wakigoma wamepotea Halafu Mzee anacheka kweli 😢😢😢😢😢
@seniornyungu9718
@seniornyungu9718 6 жыл бұрын
Zitto Unakubalika Sana na CCM, hongera Sana kaka Zitto, kigoma mbele kwa mbele.
@freddymello3227
@freddymello3227 5 жыл бұрын
Senior Nyungu Zitto kibaraka tuu yule.hana jipyaa
@josephmashaury6520
@josephmashaury6520 6 жыл бұрын
Hadi wew mzee unpndxha haki
@emmanuelmohammed1294
@emmanuelmohammed1294 6 жыл бұрын
haki IPI kwani yeye ni mahakama?
@yvangalvan5379
@yvangalvan5379 6 жыл бұрын
Simple explanations in complicated matters... Tz😢😢😢
@lupanjoba6029
@lupanjoba6029 6 жыл бұрын
daaaah waziri unacheka wakati watu wanaumia
@jensennashon6147
@jensennashon6147 6 жыл бұрын
Just simple that much.
@haruninkelebe4599
@haruninkelebe4599 6 жыл бұрын
hatua gani wewe mzee mungu anakuona kwa mungu hakuna uwazili mzee
@fidelmbai3642
@fidelmbai3642 6 жыл бұрын
Haruni Nkelebe MUNGU
@blastermkama9805
@blastermkama9805 6 жыл бұрын
Had I ww mzeee unatetea uharifu unaofanywa
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 6 жыл бұрын
Haya Majibu Ya Kusema Eti ni. mamno ya Usalama. Wa Taifaa.. Nyoooooooo..Haya bwanaaaaaa
@kamboarheritage461
@kamboarheritage461 6 жыл бұрын
Unajibu hoja ya Mtu kupotea kwa kicheko hivii...! Kweli tumefika pabaya. Ila Mungu anawaona
@mozejcs9160
@mozejcs9160 6 жыл бұрын
Maji mepesi kwel! Lakn huyu diwan si alipita kwenye vyombo vya usalama ! Kwann msianze na waliomfuata! Hamna kitu hapo
@festomambwe5131
@festomambwe5131 6 жыл бұрын
angezumgumza maneno ya hatari MTU wa upinzani kama anavyozingumza msiba mgemuacha bila kumchukulia hatua? huyo ni wenu
@robertboniface5827
@robertboniface5827 6 жыл бұрын
mzeee..... yanamwisho haya...
@hamisimwilola3220
@hamisimwilola3220 6 жыл бұрын
babu nyoosha maelezo unavunda maneno tyu
@valeliusdiockiles4506
@valeliusdiockiles4506 6 жыл бұрын
Hacha kutupotosha polisi wanapiga na kua atua gani zimechukuliwa? Kama sio kuwasingizia wanasiasa kua na watu waliousika kufyatua risasi za moto tz akuna aki wala utawala bora
@jacobkatulitsa5395
@jacobkatulitsa5395 6 жыл бұрын
Waliomchukua mnaeaju Léo hii sisi tukatoe taarifa police Kweli ? Duuu we noooma
@ramadhanluhweja5578
@ramadhanluhweja5578 6 жыл бұрын
Siasa hiyo mzee wng mkuchika
@kasmirilamiye6991
@kasmirilamiye6991 6 жыл бұрын
tatzo maneno bila vitendo in sawa na o hujanishawishi,, Zitto kazaa sanaa
@saidali2553
@saidali2553 5 жыл бұрын
Wewe mzee mnafiki musiba anaongea pumba mnamuacha tu ndio mtumishi wenu
@mohdhassan9943
@mohdhassan9943 6 жыл бұрын
duuuu unacheka wakati wezio wanamsiba wa kupotea ndugu yaoo
@Ishengoma1
@Ishengoma1 6 жыл бұрын
Jamani hii dunia imejaa wanafiki.
@revjohnlyimo7299
@revjohnlyimo7299 6 жыл бұрын
Diwani kapotea mkuchika anacheka kinachomchekesha ni nini? au ni kutekwa kwa Diwani
@zaydatharunaverybeutifulma1730
@zaydatharunaverybeutifulma1730 6 жыл бұрын
Shibe hiyo kwa nn asicheke tz bwana
@sedrickkantabula9253
@sedrickkantabula9253 6 жыл бұрын
Tatizo mtu akiambiwa ajibu atajitahidi kujibu hata kama hana majibu ususani watz.
@fredrickmandia1741
@fredrickmandia1741 6 жыл бұрын
Mnajiona nyie viongoz wa nchi hii mpo mahali pa usalama, majib yko hayana tija
@emmanuelhaule1023
@emmanuelhaule1023 6 жыл бұрын
Kinacho mchekesha huyu mzee ni nini wakati ndugu na jamaa wa waliofikwa na majanga wanalia, eti waziri anacheka. This is Tanzania bwana.
@hassannanji4796
@hassannanji4796 5 жыл бұрын
Mzee mkuchikaausipate taabu sisi watanzania tulio wengi tunaamini kwa asilimia 100 kuwa vitendo vya utekaji vinafanywa na wapinzani ili kukwamisha jitihada za mheshimiwa rais magufuli na huu umekuwa kama usanii wa kisiasa ni mara ngapi zitto kabwe jitihada zake za kujiteka zimefeli L A W
@isaackbm1935
@isaackbm1935 6 жыл бұрын
Majibu haya bhn
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 6 жыл бұрын
😴😴
@abdallahabdul8684
@abdallahabdul8684 6 жыл бұрын
Ivi we mzee mbona unazunguka zunguka?????sioni kama umejibu maswali kama inavyotakiwa unajibu shallow sana 🤔🤔🤔na maswali serious yanayo usu usalama wa watu unajibu kawaida kweeeli 😩😫
@andrewsadiki9914
@andrewsadiki9914 6 жыл бұрын
Bozo jeuri zenu ndio mkisagika kama chapati mkipandiwa na malori mjue mungu ndio anakuadhibuni kwa viburi vyenu
@bkdbkd8683
@bkdbkd8683 6 жыл бұрын
maswali mangu majibu mepesi sana
@fredyleonardmaths2546
@fredyleonardmaths2546 6 жыл бұрын
Mzee anaongea nn huyu,axe
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 6 жыл бұрын
hta kujibu vzr inakuwa vigumu
@justinemathias9871
@justinemathias9871 6 жыл бұрын
mi sijakuelewa!!! ludia
@eugenemtaza201
@eugenemtaza201 6 жыл бұрын
Kuna watu sijui mna lala vp?
@allymasenti8748
@allymasenti8748 6 жыл бұрын
ata asie kua na macho na maskio kwahili la msiba kila mtu abajua kwamba msiba nikati yawale wanaojiita wasiojulikana nakikundi hicho si schabu rais atakua anakijua kwasababu angelikua ni mpinzani kasema anayotasema msiba angelikua amepigwa marisasi ambayo c jini ya 38 sasa cha achabu hatujaskia kahojiwa km ilivyo kwaupinzani
@agustinoedward9963
@agustinoedward9963 6 жыл бұрын
Duuu!
@mohamedimpunda7428
@mohamedimpunda7428 6 жыл бұрын
Xaxa kuhusu msiba huu vp
@festomambwe5131
@festomambwe5131 6 жыл бұрын
mbona mahakama mnazipa magizo waende wapi mahakama ya dunia? acha kudanganya mzee
@hamisimneso5850
@hamisimneso5850 6 жыл бұрын
achen kutufanya vipofu
@thadeipeter2592
@thadeipeter2592 6 жыл бұрын
Nonsense.
@revocatusphilbeth1066
@revocatusphilbeth1066 6 жыл бұрын
Tayari imekweshaiyoooo
@emmanuelhaule1023
@emmanuelhaule1023 6 жыл бұрын
Majibu rahisi kwa maswali magumu. This is Tanzania bwana.
@yvangalvan5379
@yvangalvan5379 6 жыл бұрын
Emmanuel Haule nlikua nataka kuandika maneno kama haya aiseeh , daaah
@hateebcooper1818
@hateebcooper1818 6 жыл бұрын
Mzee mbona majibu mepesi wakati maswali magumu?
@simonmajigop5890
@simonmajigop5890 6 жыл бұрын
pisheni vijana hawana kaz mtaani
@ayubudtktv2684
@ayubudtktv2684 6 жыл бұрын
musiba kweli mmh msiba
@peteropanga9703
@peteropanga9703 6 жыл бұрын
Diwani huyu aliyetekwa na kupotea alikuwa wa chama gani?
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 6 жыл бұрын
Peter Opanga ccm
@issataslima6280
@issataslima6280 6 жыл бұрын
kwani magufuli ni baba wanaani
@curiositygenius9207
@curiositygenius9207 6 жыл бұрын
Maelezo mepesi kama karatasi
@stevenmamba2464
@stevenmamba2464 6 жыл бұрын
Unamshtaki nyani kwa kundule
@akidasalim9798
@akidasalim9798 6 жыл бұрын
Wacheka mambo mazito ya watu kuumia?
@victormauggo
@victormauggo 6 жыл бұрын
duuu hi balaaa
@amosmalakyese1227
@amosmalakyese1227 6 жыл бұрын
Duuuu tumefika pabaya sana!!!!
@joelrugano6517
@joelrugano6517 5 жыл бұрын
Aibu mkuchika wazee mnatakiwa kuwa na busara. Rais ameisha sema watanzania si wajinga.
@wilbertcharles9129
@wilbertcharles9129 6 жыл бұрын
majibu ya kijinga MZEE unasoma ulichoandikiwa tu
@ramadhanluhweja5578
@ramadhanluhweja5578 6 жыл бұрын
Siasa hiyo mzee wng mkuchika
@celitomclassic5085
@celitomclassic5085 6 жыл бұрын
we mzee kuku kweliiii
Gen Zs in Mombasa vow to continue with demonstrations
3:50
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 78 МЛН
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku, 28 Julai 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,7 М.
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 6 МЛН