Tunamkumbuka sana rais wetu mstaafu kwa uongozi mzur 🙏🙏
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
"Mawazo hayaitaji kupigwa rungu hoja hujibiwa kwa mawazo bora zaidi. " Hoja tano za Hon Dr. Mrisho Jakaya Kikwetr. Legacy of Hon Dr .Mrisho Jakaya Kikwete
@johnkahuko63724 жыл бұрын
This guy's are some of the best Analysts in the entire East Africa. I subscribe....
@e.jack.473 жыл бұрын
Their analysis is just amazing
@selemanmandeni14294 жыл бұрын
History mzuli Sana,mungu akupe afya njema mtoaji wa hii history.
@sonmsb18393 жыл бұрын
Ananias una sauti nzuri sana ya kufanya simulizi nakuombea usonge mbele ,tunaomba utuandalie Makala iliyoenda shule ya Hayati John Pombe Magufuri
@gasperjohnson33884 жыл бұрын
Nakukubali sana ananiasedgar salute kwako mzee
@yusuphyunusi68653 жыл бұрын
Mimi namkubali sana kikwete aliwapenda sana RAIA na aliwapa watu freedom of speech na duniani hakuna kitu bora km Uhuru wa kujieleza
@margarethpolepole74383 жыл бұрын
Kwa kweli napenda historia zako za historia za viongozi maendeleo kuzitunza kichwani nakuziandika baadhi ya vipengele mungu akubariki sana
@saimonmanyerezi71693 жыл бұрын
Hayo ni maoni yako tu,lakini ukweli ni kwamba Magu aliwapenda zaidi wtz kuliko watangulizi wake wote,Uhuru wa kuongea ulikuwepo lakini Wtz wengi walikosa haki za huduma za Afya na nynginezo sababu kubwa ni kushindwa kuuthibiti ufisadi na kusababisha hats mahospitalini hakukuwa na dawa.Ukichunguz waliokosa uhuru wakuongea ni wachche sana sio kama wale waliokosa dawa,weka mizania hapo tuone nani alikuwa na mapenzi zaidi na Wtz.
@arunamwaholi13514 жыл бұрын
Namukubari kikwete sanaaaa
@kennethndingo25443 жыл бұрын
Mstafu uraisi Jk Kikwete watanzania hakika umetufanyia mengi mxr tunakukumbuka Sana kwa uvumilivu.kwa kila jambo hongera Sana.Mungu atakulipa.
@tabuseleman83894 жыл бұрын
brother una story nzuri mno mungu akucmamie kwenye kazi zako
@auntdorah91414 жыл бұрын
Mimi nampendaga bure. Mungu azidi kukulinda muheshimiwa...
@margarethpolepole74383 жыл бұрын
Nafurahi sana kusikiliza kumbukumbu za viongozi wa Tanzania nami nazihifadhi kichwani japo mzee ananisager
@catherinemakombe60903 жыл бұрын
Good job keep it up
@Julius_Lugwisher2 жыл бұрын
Thanks broo tuletee historia ya obama
@tabumussa94064 жыл бұрын
yapo mazuri aliyoyafanya jakaya wetu.tunakuombea maisha marefu
@Ivanmtanzania3 жыл бұрын
Hiyo nimeielewa
@abduldangote29162 жыл бұрын
Hongera jakaya mzawa wa nyumbani
@pascodenis60324 жыл бұрын
Cc watanzania wepec Sana kusahau huyu kikwete Mungu atamuona tu....
@simonmsumari61064 жыл бұрын
Mzee Wa maisha bora kwa kila mtanzania
@roselynmpwiniza9 ай бұрын
Jakaya ni krasmatic leader
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
Sauti nzuri kama ya Bati Kombwa RTD. Ubarikiwe.
@salimkassim6454 жыл бұрын
Thanks for this masterpiece
@africa74794 жыл бұрын
I LOVE YOU KIKWETE
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
Wakenya ndio wanaojua utamu wa Mh Dr. Mrusho Jakaya Kikwete wakati alipowasuluhisha kwa diplomasia ya hali ya juu na akaenda kuwahutubia kitaifa. Hazina ya diplomasia suluhishi.
@gaudenceswai53824 жыл бұрын
Safi sana JK
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
"Usifuate ya kuambiwa tu changanya na zoko". "Mtanikumbuka tu".
@masharubundevu37654 жыл бұрын
Nyerere ndo aloiuwa zbar na kumuuwa Karume, Aboud Jumbe kamtowe nje kisa kutaka Serikali tatu mshenzi sana
@mgangasaid79903 жыл бұрын
Wacha upimbe huo
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
"Akifungua mdomo na kiswahili chake na tabasamu lake unaweza kulichukulia mkopo"
@erickkipenya58014 жыл бұрын
Nice ctory
@azzaazza36864 жыл бұрын
Mashaallah
@msafirimatingo44473 жыл бұрын
Nakukubali mzee baba
@ianmtengo32734 жыл бұрын
Safi bro piga kaz
@jumamnumbwa94833 жыл бұрын
Jakaya humjua nikiongozi bora kabisa wa level nyingine,aliifungua nchi iliofungwa,na kupoteza dira kabisa,aliweka misingi imara ya maendeleo ya nchi,utawala wa mwl.ulikuwa utawala mbovu kabisa kutokea uliifilisi nchi ,ulipoteza hazina zote zilizoachwa na wakoloni
@nasseralhabsi14833 жыл бұрын
Anas Edgar, unanikosha usomaji wako wa makala 👍
@rajababubakari27014 жыл бұрын
Kweli brother story tamu
@ayubumligi66634 жыл бұрын
Tunamkumba sana aithe
@kiyabolnjemu96464 жыл бұрын
Hujaeleweka
@zuberykharoub68684 жыл бұрын
Kama unamkubal ananias edga gonga likee❤
@makungamapalala79822 жыл бұрын
Jakaya namkubali sana
@safinatourssafaris25193 жыл бұрын
Hizoo sifa za mabaa na mapombe na uhuni hazimpendezi Mungu
@Ivanmtanzania3 жыл бұрын
#Mtanzania
@emmanuelgodfrey94004 жыл бұрын
Ahsante sana Denis Edger Mpagaze
@fackramadhani72924 жыл бұрын
Thanks brother
@Ivanmtanzania3 жыл бұрын
@Jastinmadoi
@tintz31574 жыл бұрын
Hutapata mpizani miaka buku dogo utabaki kuwa juu kileleleni daima
@rahmahersi21163 жыл бұрын
Sahihisha usemi WA WALAKA...... AU WARAKA.....Inatia aibu.
@kassimzubermdhakir58132 жыл бұрын
Tunaomba utuandalie historia ya jpm
@hassansaleban74293 жыл бұрын
God bless you for amazing information keep it up brother to be honest if u could do this English u could have won best stories all the time but still still ur Informationen us ur bless ur contributing alot to educated more and more
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
"Kuachana na siasa za maji taka" "Siasa ni tope".
@jaffarchimbuvu74993 жыл бұрын
Uyu achana nae,ana girous,kama katiba yetu ngekuwa kama ya ezlaeli ageshaludi kwenye kuongo tena👏
@safiasuleiman31194 жыл бұрын
Ndio Mana allimjua mama samiya kumbe aliishi Zanzibar kwa pengine walifanya kazi pamoja tangu zamani😁😁😁😁😁Aristoteeeeeeee
@marykibwana94134 жыл бұрын
Da,napenda sana makala zenu mnazoandaa, zinavutia mno.
@marykibwana94134 жыл бұрын
Asante, kwa ku-like comment yangu.
@gilbertkasikila52944 жыл бұрын
Umeeleza vzuri lakini bila mtiririko wa kueleweka
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
"Si wa kukurupuka na kuweweseka kama mapepo yaliyotolewa kwa......."
@salmaathuman91563 жыл бұрын
R.I.P MWAMBA MAGUFULI♥️💔
@stephanochazi51743 жыл бұрын
Jonpobe. Makufuli
@kapondamsita4763 жыл бұрын
Jakaya atakumbukwa sana
@juliusnakembetwa18723 жыл бұрын
We jamaa unajua kinomer...
@abuuchaula69614 жыл бұрын
Nakubali
@mamavivi33244 жыл бұрын
.
@joycengasa13264 жыл бұрын
Nimeingia tatu ya kwanza wap like
@documixtanzania91503 жыл бұрын
Osama
@hajihaji48754 жыл бұрын
Tuleteeni makala ya rais Ali Hassan mwinyi WA Tanzania
@benedictmango95614 жыл бұрын
Noma sana
@mgangasaid79903 жыл бұрын
Zaidi ya noma
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
" Mh Lowasa alipokatwa imani ya watu wake ikawa haba"
@sikoseihtz37844 жыл бұрын
Safi
@chagurichad60524 жыл бұрын
Umezingua kuxema et hatujawahi hata kupata umonitor kwa hyo tukichukua form et tutaishia jela
@mgangasaid79903 жыл бұрын
Kalale huko
@pendomalisa81483 жыл бұрын
Yaani hii haifai
@mgangasaid79903 жыл бұрын
We unafaa
@kwatilotv36754 жыл бұрын
Historia taamu. Kaka edgar w n wa kipekee . W n roll model wang kweny kazi hizi.
@tariqaziz47994 жыл бұрын
We miss you JK
@khamisiiddi93214 жыл бұрын
Hatari
@michaelmalutandala22144 жыл бұрын
siku moja tupe habari za mtikila bwana mpagaze
@linuskyando41553 жыл бұрын
Alituletea Mitandao ya simu
@kurwamapozi12784 жыл бұрын
broo nakubali sanaa
@juicesodascience4 жыл бұрын
Salim Ahmed Salim Lowasa na Rostam mlituchezea mchezo mchafu sana ila kikwete ali play part yake vizuri 👍
@mgangasaid79903 жыл бұрын
Uliwaona
@azizihfarijala53073 жыл бұрын
Wewe mnafiki aliyefanya kikwete haijafikiwa na marehemu tukiorodhesha.hapa tutakesha
@mgangasaid79903 жыл бұрын
Alikuwa dikteta lakn
@wisdommwakalinga91074 жыл бұрын
Tunapenda xana kazi zako ila angalia kuonyesha maneno yenye elemenzi za dharau kwa askari katika makala zako
@kindokiyanga48054 жыл бұрын
Unakwama wap mzee
@suleimansaid26333 жыл бұрын
Binadamu hawasarifiki huyo ndio binadamu. Mungu Mkubwa kila Kiongozi anamema yake na mabaya yake. Hakuna mkamilifu.
@official_calulu4 жыл бұрын
eka ya Hussein mwinyi
@mgangasaid79903 жыл бұрын
Ya baba ako hutaki au
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
Huwezi kujua uzuri ama ubaya wa Rais yeyote mpaka hapo atakapotoka madarakani kikatiba ama mapenxi ya Mungu mf R.I.P. Si vyema kumsema Rais ambaye hajafikia ukomo wa kazi yake.
Waizi ni kenya walikula pesa za corona bila aibu bado wanajifakharisha
@mgangasaid79903 жыл бұрын
Kula na wewe
@jaffarchimbuvu74993 жыл бұрын
Uyu alipikw,kwanza baba ake alikuwa kionzi,kuna nn tena maji ufata mkongo
@khalidali11304 жыл бұрын
Samaki anaefungua mdomo ndo hunasw na ndoano ikamnasa yeye hahaha mbavu zng mie
@ezekielikagine91684 жыл бұрын
Tuletee na historia ya mtikira.
@munirahmed77533 жыл бұрын
Mmmhhh
@maphandezulu25734 жыл бұрын
Kikwete
@hilalhilal84004 жыл бұрын
LEO STORY MEIPENDA KINOMA.
@bylemu24974 жыл бұрын
Ahaaa we ckupng uko vzl
@mwamedchilung77374 жыл бұрын
chama kinapiga chafya chyee!
@makhosijozi5414 жыл бұрын
Nice
@nelsonkyando81463 жыл бұрын
Leta na za mtikila
@nessmwambogolo25454 жыл бұрын
🤣🤣povu ruksa 🏃 shikamoo anania 💪💪💪
@abdallaameir31534 жыл бұрын
Mm aona hawa wanaotengeneza hizi video watupe za kwao tuwajue zaid
@godblessmarandu45494 жыл бұрын
Nakumis mzee mi dereva sasa sina kazi
@mgangasaid79903 жыл бұрын
Kaparwe
@bonfacesanga67924 жыл бұрын
Safi mzee
@iddyshabani59424 жыл бұрын
MTIKILA ALIKUWA NOMA
@dorahy15793 жыл бұрын
Hakumbukwi kwa shangwe
@jaffarchimbuvu74993 жыл бұрын
Uyu Mwana diplomac,kasha wahambiwaga yy ndio Mwana siasa,na nyerere,ukija Ali hasani mwenyi c o Mwana siasa kaka ake mkapa c o jkija kwa magu ata ujjmbe wa nyumba 10 aujui,izo ya magu ukisema vyuma v me bana jera,wakati wao yasha sema sana kimya,uta mzuia mbwa kubwaka
@hassanjr53183 жыл бұрын
tunataka kusoma comments zenu lkn mnavyoandika ss
@ruginaolympe55874 жыл бұрын
Tunafuata vipindi vyako lakini kiswahili cako ni kigumu saana kuelewa.