MAKINI NA NZI NDANI YA MAISHA YAKO | MTUME MALIYABWANA

  Рет қаралды 9,665

Ukweli Ministries

Ukweli Ministries

11 ай бұрын

www.youtube.com/@UkweliMinist...

Пікірлер: 84
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 11 ай бұрын
Raha ya kusikiliza neno na uku roho anafikia na unaanza kunena kwa lugha hallelujah
@user-cc8fy5il4n
@user-cc8fy5il4n 11 ай бұрын
Amen amen ninaulizo mtumishi kwa nini Yesu msalabani pamoja na wizi wawili mumoja alimuambia nitakuwa nawe paradiso ilaunasema saa hii hakuna paradiso samahani asante
@queenesther2639
@queenesther2639 11 ай бұрын
Uuuuuuuuuuwiiiii Wewe ni BWANA UTABAKI KUWA BWANA YESU... Karibu Sana MtumeMaliyaBwana.... Najua nitakuwa vizuri nitakuwa mmoja wa kukuhudumia! Karibu sana Tanzania karibu karibu baba
@emilyngandu7999
@emilyngandu7999 11 ай бұрын
Mtumishi Uganda wanaongeya kingereza piya kiganda which is the most spoken language
@winnyrocha190
@winnyrocha190 11 ай бұрын
Amen Amen karibu Tz mtumishi MALI YA BWANA Africa yote utufikie
@KM-hx8zy
@KM-hx8zy 11 ай бұрын
Mutume Meskak hapakazini KAZI sio sawa na kwetu Afrika. Mungu atubariki tujifanyie KAZI, hapana kutumikiana
@sarabura8933
@sarabura8933 11 ай бұрын
Amen mtumishi wa MUNGU
@Ma86na
@Ma86na 11 ай бұрын
MUNGU Awabariki sana mtumishi wa BWANA kwa ukweli wa neno la MUNGU
@victorialauwo8324
@victorialauwo8324 11 ай бұрын
Bwana abariki safari mfike salama katika jina la YESU KRISTO
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 11 ай бұрын
Mie Niliona tiger 🐅
@fatumaminyeko1875
@fatumaminyeko1875 11 ай бұрын
MUNGU akujalie safari njema
@user-ez1rx1qs6d
@user-ez1rx1qs6d 11 ай бұрын
Wooh!punde si punde naona utafika Kenya pia .mungu awepamoja nawe.
@Mjakazisafi8361
@Mjakazisafi8361 11 ай бұрын
Amen Amen karibu sana mtume MALIYABWANA ata kenya pia na safari njema
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 11 ай бұрын
Wachambe mtumishi!!!! watu yani wamefungwa ufahamu sanaaa wabishi ni vizuri unawachamba Kiroho Ila tatizo wagumu kweli kuelewa mnooo, ubarikiwe mtumishi, chapaaaaaaaa INJILI mwanangu HALLELUJAH amen
@kendikendi5634
@kendikendi5634 11 ай бұрын
Niota Kuna kamnyama Fulani kaliingia Kwa mdomo wangu kanakaa kama lizard what does that mean
@tumainisamweli260
@tumainisamweli260 11 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi karibu Mbeya tanzania
@RahelNkuni
@RahelNkuni 11 ай бұрын
Mungu Akupe kusonga mbele mtu wa Mungu
@user-hf7gw9qk4d
@user-hf7gw9qk4d 6 ай бұрын
Mtumishi , mungu akulinde endelea kusema ukweli wakiufunuo wa roho mtakatifu
@belyseirakoze5371
@belyseirakoze5371 11 ай бұрын
Amen mtumishi karibu na burundi pia namuomba Mungu akupe kibali cha kuja burundi pia nitafurahi sana ubovu wa bahati sipo Africa 😢😢😢 ila kile watu natapokea nita kipokeya pia in Jesus name
@3leggedbird222
@3leggedbird222 8 ай бұрын
Karibu sana mtume njoo arusha utukomboe
@user-xe2qm4yt6w
@user-xe2qm4yt6w 3 ай бұрын
Amen
@carohkombo8133
@carohkombo8133 11 ай бұрын
Amina kuna wengine mahubiri yako yamenifungua macho tangu nianze kukufuatilia nimeona mabadiliko makubwa sana,nakuangq mtu wa vita na hasira ya ajabu,lakini sahii kweli kama mtu anawezanifuruga na nijiendee zangu nikikemea kimoyomoyo kweli mungu ni ajabu,unapoomba niweke katika maombi tafadhali mtumishi
@gitongazoneman4100
@gitongazoneman4100 11 ай бұрын
Chunga sana mtumishi usicomlaini sana Kwa madui complain inspirit but waonye tu kidogo wataskia pia yesu alisema ,mwenye macho haambiwi tazama, thn ulipiga kelele sana unaelekea kama nganga ,siku izi anaitana umbwa na kushauri watu Waite maadui ivo
@chekaelia4282
@chekaelia4282 9 ай бұрын
Nashukuru sana kwa maombi ya wauudumu walio niombea kuusu mtoto wangu anaendelea afazali kabisa. Asante sana mimi Dada Sophia toka Australia 🇦🇺
@Judy37307
@Judy37307 11 ай бұрын
YESU niwezeze ninjitenga sana na nzi kwa wokofu wangu🙏
@dadafrida9202
@dadafrida9202 11 ай бұрын
Uganda wanaongea kingereza 'kiswahili sio sana mtumishi
@TumainiThomas-sg3rd
@TumainiThomas-sg3rd 11 ай бұрын
MWANA KONDOO AMESHINDAAAAA TUMFUATE karibu sana sana Tanzania
@user-vo3bi6fe2s
@user-vo3bi6fe2s 11 ай бұрын
Nihabari njema jamani hii , karibu sana
@AzAz-sy6zp
@AzAz-sy6zp 11 ай бұрын
Amen ubarikiwe san mtumishi kwa kipawa cha kupapanua roho mungu akubarki kwa huduma yako
@sarabura8933
@sarabura8933 11 ай бұрын
Kwakweli ninaomba MUNGU anikumbuke atembee na mm natamani kwenda mbinguni sitaki kwenda jehanam sioni.kitu cha muhimu hapa duniani zaidi ya kuingia mbinguni eeeh YESU kirsto nisaidie mana wewe ulikufa kwaaijiri yangu naitaji.msaada lakini.sina.majibu je kuishi kwangu ni bure arafu niikose mbingu mutumishi wa MUNG naomba uniombe mana nipo njia panda mana nataka kujua kile ambacho sijui hata kukisema lakini nafsini.mwangu naona kunakitu kinapelea jamani watumishi mnisaidie
@daudsimon1488
@daudsimon1488 11 ай бұрын
Hii ni mpya sana kwangu sio wote wanaofunuliwa kuhusu kuzimu ni wa ukweli, na kutovaa mapambo sio utakatifu. Kumbe inatubidi tumuuze MUNGU kwa ufunuo wowote
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 11 ай бұрын
Weweeeeeeee hallelujah good news jamani karibu Tanzania
@joannekesa1835
@joannekesa1835 11 ай бұрын
Amen amen
@zawadimwangupili4518
@zawadimwangupili4518 11 ай бұрын
Ukifika Tanzania karibuni nyumbani Kwangu segerea
@queenesther2639
@queenesther2639 11 ай бұрын
Tanzania utafikia kwangu
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 11 ай бұрын
Hao waliokataaa moto wa mungu unawasubiri, Kazi ya Mungu haikatataliwi, Hivyooo mtu unasnza je kukataa Kazi ya Mungu, UNAFIKIA TANZANIA SEHEM GANI, I mean dar es salaam sehem gani
@3leggedbird222
@3leggedbird222 8 ай бұрын
Anakuja arusha ndo jirani na kenya
@KizaJacqueline-dw8eh
@KizaJacqueline-dw8eh 11 ай бұрын
Nikwali kabisa 🙏 ❤
@mariasalomelukosi6846
@mariasalomelukosi6846 7 ай бұрын
Ameen
@marymwanziamary6623
@marymwanziamary6623 11 ай бұрын
Fika kenya utubatize sisi badoo tunahitaji sana huduma hii.
@rosekendi8380
@rosekendi8380 11 ай бұрын
karibu sana Africa mali ya bwana tumekusibiri sana sana hapa kenya
@LeocardiaDaniel-sj3wl
@LeocardiaDaniel-sj3wl 6 ай бұрын
Nabii karibu Sana Tanzania ili ujisikie ukiwa katikati ya watu wa mungu.
@JOVINSTORY1984
@JOVINSTORY1984 11 ай бұрын
Amen Baba karibu sana nakusubiri
@user-nr2yy7px9k
@user-nr2yy7px9k 6 ай бұрын
Njoo Uganda pia Wana ongea kiganda ,kingereza,na kiswahili.
@casiphaabdi3896
@casiphaabdi3896 8 ай бұрын
Karibu kenya kwa ukombosi na neema ya watoto wa Mungu waliowapotevu❤❤❤safari njema😊
@sophierkhatib1862
@sophierkhatib1862 11 ай бұрын
Amina mtumishi wa MUNGU karibu sana TANZANIA
@user-hq9qy6qe1f
@user-hq9qy6qe1f 11 ай бұрын
Nashukuru Mungu kwa kutupa mtume wa kweli kama wewe.umenisaidia saana kiroho hasaa swala tata la chanjo ya korona. Endelea kuanika manabii wa uwongo ili mwenye masikio na asikie.
@AzAz-sy6zp
@AzAz-sy6zp 11 ай бұрын
Amen mtumishi mungu atawatangulia kwa hiyo safar mungu atawabariki
@_Ananias
@_Ananias 11 ай бұрын
Amina, Barikiwa Mali ya bwana
@MLIMA-WA-BWANA
@MLIMA-WA-BWANA 11 ай бұрын
AMEN AMEN kweli kabisa Mtume MaliyaBwana ❤
@NimethNdelwa-zc9zj
@NimethNdelwa-zc9zj 11 ай бұрын
Amina karibu mbeya mtumishi wa Bwana tutafurahi kukuona
@queensgambit5496
@queensgambit5496 11 ай бұрын
Glory to Jesus! ❤✅
@TumainiThomas-sg3rd
@TumainiThomas-sg3rd 11 ай бұрын
ARUSHA KARIBU
@nestorypesambili7341
@nestorypesambili7341 11 ай бұрын
Kwa Tanzania utafikia mkoa gani mtumishi
@njorijanavenand3632
@njorijanavenand3632 11 ай бұрын
Chalom mtumishi Mungu wa roho ya Manabii akujaze tena upako samahani naomba number ya simu
@user-zy6pf4td8d
@user-zy6pf4td8d 9 ай бұрын
Karibu,brund,
@JACKLINEMUENI-vh5lc
@JACKLINEMUENI-vh5lc 11 ай бұрын
Na kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 pia ukuje tunakupenda
@josephkabayakataya-ut8jt
@josephkabayakataya-ut8jt 10 ай бұрын
Karibu Sana kwetu Congo drc Pia djimbo la Katanga usiisahau mtume Mali ya bwana ameee❤❤❤
@zenamhumba2767
@zenamhumba2767 11 ай бұрын
Mnadhiri anaweza kupunguza nywele au zisipunguzwe kabisa??
@user-nr2yy7px9k
@user-nr2yy7px9k 6 ай бұрын
Njoo Jinja ni nyumbani
@chekaelia4282
@chekaelia4282 9 ай бұрын
Njoo kwetu Australia 🇦🇺 ♥️
@MetodMakungu
@MetodMakungu 5 ай бұрын
Siri yamtu huwa anaijua mungu hata ww pia nitapeli kama mataper wengine maana unajiita mtume 😂😂😂😂 jitahidi sana kaka mungu atakuja kuwaumbua hata wewepia lazima utaingia motoni
@user-hq9qy6qe1f
@user-hq9qy6qe1f 11 ай бұрын
Hujambo mtumishi?Ukiota umezaa mtoto ina maana gani?huwa nimeota kama mara nne kwamba nimezaa mtoto wa kiume.
@joannekesa1835
@joannekesa1835 11 ай бұрын
Amen 🙏🙏🇰🇪
@LeocardiaDaniel-sj3wl
@LeocardiaDaniel-sj3wl 6 ай бұрын
Uganda wanaongea kingereza na kiganda.
@chekaelia4282
@chekaelia4282 9 ай бұрын
Uganda wa Swahili na English na ughand dialect
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 11 ай бұрын
Esta ni Muongo tena sasa hivi sikuhizi na nguo za kilingeni anavaa mitandio mikundu, Ila manabii wa uongo ni hatari mie nilimwamini, Ila kunavitu vilinisaidia, Ila now inatisha
@user-nr2yy7px9k
@user-nr2yy7px9k 6 ай бұрын
Tupo wengi sana
@dadafrida9202
@dadafrida9202 11 ай бұрын
Bujumbura utakuja lini mtumishi ?
@josykogei7647
@josykogei7647 11 ай бұрын
Nyasike chaula naona ako sawa ju iyo kuwacha nywele wazi na ni fupi aki sawa,mwanzo Mimi hupitia mandiko,nimepata Mahali ampambo inasema na mwanamke yeyote asiache nywele kuwa ndefu Bali apunguze kiasi na isiwe kipara ako sawa Mimi ni mandiko nimesoma please
@liesharehema5193
@liesharehema5193 11 ай бұрын
Aminaa tutawajulisha
@daudsimon1488
@daudsimon1488 11 ай бұрын
Amina Mtume
@everlynemiriam5943
@everlynemiriam5943 10 ай бұрын
Uganda national language is English don't worry about that
@LeocardiaDaniel-sj3wl
@LeocardiaDaniel-sj3wl 6 ай бұрын
Je. Mtu ambaye Ameliwa na wanyama atafufukia kwenye kaburi gani?
@mmm4199
@mmm4199 11 ай бұрын
Mariam musa Amen Amen Amen
@evaristebenoit5029
@evaristebenoit5029 11 ай бұрын
Na sisi sweeden?
@evaristebenoit5029
@evaristebenoit5029 11 ай бұрын
Na sisi Tunahamu na wewe mtumishi hapa sweeden
@user-zy6pf4td8d
@user-zy6pf4td8d 9 ай бұрын
Mimi,bene,nimerudi,nyum,kimaombi,nifanye,nini
@MetodMakungu
@MetodMakungu 5 ай бұрын
Sasa na wewe tutakuamini vp kua nawewe nimtume?
@user-zu9kf2vi7f
@user-zu9kf2vi7f 10 ай бұрын
Mualimu umenipandisha kiwango sitakosea mafundisho yako ajapo sijui technologie ingine yakuwasiliana
@julieluziga4773
@julieluziga4773 10 ай бұрын
Hapo sijaelewa mtumishi wa Mungu, mtu akifa kwamba muda wa Mungu amepanga Je mtu akifa amekamulisha miaka ambayo Mungu alipanga, lakini alikuwa hajaokoka, ataenda sehemu ya mateso (yaani kuzimu)?
@UkweliMinistries
@UkweliMinistries 10 ай бұрын
ndio.
@sophiaombasa6029
@sophiaombasa6029 11 ай бұрын
Amen
@harrisonmusyaideastv1192
@harrisonmusyaideastv1192 11 ай бұрын
Amen
LAANA YA MZAZI | HESHIMA KWA WAZAZI IMEPUNGUA SANA
1:11:41
Ukweli Ministries
Рет қаралды 2,4 М.
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 41 МЛН
OMG🤪 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:50
Potapova_blog
Рет қаралды 18 МЛН
Nutella bro sis family Challenge 😋
00:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 9 МЛН
Day3_"Nguvu ya sadaka" SEMINA ITILIMA SIMIYU NA MCH.AMIEL KATEKELA
1:55:14
MTUME MALIYABWANA MAKUBWA KUHUSU RUTO, SAMIA NA VIONGOZI WA AFRICA
16:29
Ukweli Ministries
Рет қаралды 13 М.
If You Notice These Signs In Your Life, You Are Anointed By God
27:18
God's Country
Рет қаралды 510 М.
SHIKILIA ROHO MTAKATIFU ACHA WATU WASEME | MTUME Maliyabwana
26:48
Ukweli Ministries
Рет қаралды 3,8 М.
SIKUJUA KAMA WEWE UNANGUVU NAMNA HII  NIKIKUMBUKA UMBALI UMENITOA  WEWE WAAJABU WORSHIP
42:48
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 505 М.
JINSI YA KUOMBA
49:51
Ukweli Ministries
Рет қаралды 8 М.
Usifurahie Kuanguka Kwangu | Mika 7:8 | Mtume Meshak Maliyabwana
11:53
Ukweli Ministries
Рет қаралды 4,6 М.
HIVI NDIVYO UTAWEZA KUCHOCHEA VIPAWA VYA MUNGU NDANI YAKO | MALI YA BWANA
49:21
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 41 МЛН