MUOGOPE SANA MTU ANENAYE KWA LUGHA (MARKO

  Рет қаралды 13,481

Ukweli Ministries

Ukweli Ministries

2 жыл бұрын

MUOGOPE SANA MTU ANENAYE KWA LUGHA (MARKO 16:17-18, 1 WAKORINTHO 12:29-30) | Mtume Meshak
Katika kanisa letu la kisasa, Wale wanenao kwa lugha wanachukuliwa kuwa wazimu, kana kwamba lugha si karama halisi. Lakini biblia inaweka wazi katika kitabu cha alama kwamba ishara zitafuatana na hao waaminio na ndani ya hizo ishara, kunena kwa lugha zitakuwa mojawapo yao.

Пікірлер: 198
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 2 жыл бұрын
leo nimemalizia video hii hapo mwishoni wakati unaimba katika Roho nimetikiswa na kujazwa mno ubarikiwe Sana mtumishi Asante Yesu kwa zawadi ulionipa.amen
@Rafahel15
@Rafahel15 Жыл бұрын
Amensana Mtume MALIYABWA
@-uq5oq
@-uq5oq 7 ай бұрын
Amina
@anasialauwo4922
@anasialauwo4922 Жыл бұрын
Asante mtumishi nafunguka sana sana sana sana sana barikiwa sana sana barikiwa
@amonadriano9346
@amonadriano9346 Ай бұрын
Utukufu kwa Bwana Yesu Kristo
@MLIMA-WA-YESU
@MLIMA-WA-YESU Ай бұрын
Amen sana BWANA YESU awabariki UKWELI minister
@workwithmadeleine8623
@workwithmadeleine8623 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mungu Baba wa Mbinguni akuvike tena na tena nguvu kwa kazi zake.
@johnmutheengari2766
@johnmutheengari2766 Жыл бұрын
@muriukingari. Ni baraka na kupendelewa na Mungu kuwa mwanafunzi wako Mtume Mishak. Nimesoma mamba ya ajabu siku ya leo na ni baraka kwa wale wote waliokusikiza katika funzo la ajabu ambalo Bwana wa Majeshi Amekufunulia ili utufafanulie mambo ya Kiroho yaliyofichwa sana katika Ulimwengu wa Roho. Somo hili limenifunza sana na nimepata kuelewa zaidi mambo amabayo nilitamani sana kuyaelewa kwa miaka mingi tangu nimekuwa Mkristo. Ni dhabi ambazo zinazuia karama ya kunena kwa lugha na pia zile karama zimgine ambazo Yesu Mungu Wetu Aliwaahindi wamfuatao katika ukweli wa Roho bila unafki. Ubarikiwe na zaidi Mungu Atakuinua zaidi ndiyo uendelee kutufunza zaidi. Sina maneno ya kukushukuru ila Mungu Akuachie taa Yake na pia Akufunze zaidi.Amen.
@ladychichi609
@ladychichi609 Жыл бұрын
Asante Mungu jina lako litukuzwe.
@marypeter4584
@marypeter4584 2 жыл бұрын
AMINA
@failaprince9250
@failaprince9250 Жыл бұрын
Ninashukuru mumb kanijali neema yake amen sana
@user-ml3on6ze4x
@user-ml3on6ze4x 9 ай бұрын
Natamani sana kujua kupambanua lugha, yaani kutofautisha kati ya ndimi za kipepo na za Mungu. Tafadhali nielekeze kwa maombi
@itael9264
@itael9264 Жыл бұрын
Amen mtumishi
@samuelnyagesoa5269
@samuelnyagesoa5269 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi Kwa masomo mazuri
@janetmutua6207
@janetmutua6207 Ай бұрын
Amen
@naikekangele7117
@naikekangele7117 Жыл бұрын
MUNGU akubariki sana mm nafurahi sana mafundisho yako unayasema.yaliyo kwenye bible
@fruitfulmpanduji2494
@fruitfulmpanduji2494 2 жыл бұрын
Natamani sana kunenavkwa lugha za malaika mtumishi naomba uniombee nipokee Neema hiyo.barikiwa mtumishi.
@estangande8164
@estangande8164 Жыл бұрын
Mtumishi Mungu akubariki sana nayaelewa sana masomo yako
@mediavumbi9243
@mediavumbi9243 Жыл бұрын
Kila nikiona MAFUNDISHO Yako ninakuwa nanena mtume, ubarikiwe sana 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@christinasanga9709
@christinasanga9709 Жыл бұрын
Mungu nakusihi nami nipate neema ya kunena kwa lugha
@gospelistwesley7927
@gospelistwesley7927 Жыл бұрын
Bwana Yesu Kristo apewe Sifa, 1) uumbaji wa Mungu wote ni kazi ya Mungu yenye upinzani Duniani, na wanadamu wanaofanya kazi ya Mungu tambua upo upinzani kwenye uhudi zako. NCHI NA VYOTE VIIJAZAVYO NI MALI YA BWANA, DUNIA NA WOTE TUIJAZAYO. Hii ninamaanisha nchi,bahari,jua, mvua, watu na viumbe vypte, mahubiri nk yote hayo ni kazi na uumbaji wa Mungu, hivyo adui hawezi kuingilia asipopata kibali cha Mungu au Mwanadamu mwenyewe. UUMBAJI WA MWANADAMU Music systems , cameras etc hizo ni kazi za ulimwengu. Na ndizo zenye support kubwa kwenye kazi za muovu, Hapohapo zinayo milango ya upinzani kwa kazi ya Mungu.
@askaounga6456
@askaounga6456 Жыл бұрын
Watumishi wajichunge Sana wanapotosha kondoo wameichukua neno LA mungu kama mzaha
@failaprince9250
@failaprince9250 Жыл бұрын
Amena mtu mishi
@governorusa4479
@governorusa4479 Жыл бұрын
Nawezaje kuwasiliana na wewe.niko kenya ubarikiwe
@user-cy6jw7lc1l
@user-cy6jw7lc1l 11 ай бұрын
Nikweli unavyosem mtumishi mungu akubariku
@monicamwasi9961
@monicamwasi9961 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana sn Mungu wa mbinguni azidi kukuwezesha kufikisha kweli yake
@judychelangat1730
@judychelangat1730 Жыл бұрын
Amen mtume
@stephenmomanyi4104
@stephenmomanyi4104 Жыл бұрын
Napenda sana mafunzo yako, mungu akubariki sana na akuongoze kwa kila njia.
@modestarlihabi5964
@modestarlihabi5964 2 ай бұрын
Glory to Jesus I have been watching from kenya, nimesaidika sana na hizi vedio za kwako za kunena kaa Lugha, atukuzwe Yesu leo na hata milele, sikujua nanena nini till I came a cross your vedios, wakati ukinena hata mimi ni nanena japo sijajua nasema nini, wakati umeimba kwa Lugha nimenena pia,God has really given you Authority, and may He continue using you for His Glory.Be blessed Mtumishi
@estasombo5305
@estasombo5305 Жыл бұрын
mungu akubariki sana
@charlottechance675
@charlottechance675 2 жыл бұрын
Yesu Kristo ni mwema sana. Nani mwanaume kama Yesu? Mungu ambaye alikuita akulinde na mabaya yote Mtume Meshak. Wivu ulionao kwa ajili ya kazi ya Mungu, hakika sijuwi niseme nini. Mungu akuongeze nguvu. YESU KRISTO ambaye tunamtumikia akukumbuke milele kaka yangu😇🙏
@categithui
@categithui Жыл бұрын
Asante kwa injili safi
@Deboraclementgm
@Deboraclementgm Жыл бұрын
Mutumishi barikiwa sana
@EliaMvungi
@EliaMvungi 2 ай бұрын
Nataman kuwa kama ww mtumishi wa mungu
@gmdalalimchamungu_tz1170
@gmdalalimchamungu_tz1170 2 жыл бұрын
Asante sana sana Mtume Meshak kwa masomo haya ambayo huwa siwengi wanayafundisha kwakuwa huwa ufahamu pia wameukataa!! Najifunza mengi sana kupitia wewe na ninageuzwa utuwangu wandani siku hata siku kwaajili ya utukufu wa Mungu.
@aberymsovela8866
@aberymsovela8866 2 жыл бұрын
Amen amen amen,,,,nimekua nikinena lugha mbali mbali,,,yaani naweza anza lugha hii naenda nyingine tena nyingine,,,,,kunawakati nanena ad nacheka,,,,na muda mwingine naimba pia mtumishi adi hua najiogopa sana,,,na watu huwa wananishangaa mno
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 2 жыл бұрын
baada yakufuatilia video zako nyingi nilikua namwambia Bwana anipe kunena namshukuru Mungu mwaka huu nilipokea kunena nabado nazidi kumusihi Mungu asiniache,barikiwa Sana nimeshuhudia hapa sababu kiu yakunena kwa lugha ilizidi sana baada yakukufuatilia mahubiri yako.
@paschalpaul5793
@paschalpaul5793 2 жыл бұрын
ninaamini ndio naamini YESU KRISTO NI MWANA WA MUNGU ALIE HAI ninaamini masomo haya , nitafunga sanaa ndio na nina kiu sanaa nina kiuu sanaa ROHO NISIKIE,NA UNIJAZE
@amosmdesa5555
@amosmdesa5555 2 жыл бұрын
Ubarikiwe kazi yako ni njema na unaongea ukweli
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 Жыл бұрын
God bless you
@-zj2zd
@-zj2zd 11 ай бұрын
Asate sana
@rosemarymghoi3581
@rosemarymghoi3581 2 жыл бұрын
Tafathali niombee
@neemanabwangu8384
@neemanabwangu8384 2 жыл бұрын
Amen, mtumishi🙏
@carolinederi5690
@carolinederi5690 2 жыл бұрын
Na amini yesu ni mwana Mungu na mokozi wa maisha yangu
@fragmin3
@fragmin3 2 жыл бұрын
A men
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 2 жыл бұрын
Mungu atusaide
@doricemrema2177
@doricemrema2177 2 жыл бұрын
Amina 🙏 AMINA kweli kabisaa tuungane kwa pamoja 🤝 KUINUA nakuitangaza injili ya kweli, na tusimpe SHETANI nafasi kamwe 🙅
@paulkaka6411
@paulkaka6411 Жыл бұрын
Powerful .
@miriammpatrick5795
@miriammpatrick5795 2 жыл бұрын
Amen Amen Amen
@HabilyTech
@HabilyTech 2 жыл бұрын
Mungu wetu aliye hai, akupiganie nami sitaacha kukuombea wewe na huduma hii ya mlima wa Ukweli kwa ujumla.
@suvenkanyolo6104
@suvenkanyolo6104 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mutumishi wa Mungu
@yusufuassani2032
@yusufuassani2032 2 жыл бұрын
Asante sana mwana wa aliye juu tunatakiwa kuwa wamoja nasisi wakristo hili kupeleka jina la kristo wetu juu zahidi.
@reganjosephcharles8778
@reganjosephcharles8778 2 жыл бұрын
amen
@kelvinmwandiga6883
@kelvinmwandiga6883 Жыл бұрын
Ameni
@irenewilfred7767
@irenewilfred7767 2 жыл бұрын
BWANA YESU asifiwe
@dieudonne724
@dieudonne724 2 жыл бұрын
Amena baba yetu MUNGU akubariki
@rehemamkumbo2082
@rehemamkumbo2082 2 жыл бұрын
Amina ubarikiwe mtumishi wa mungu. Mungu akuwezeshe zaidi na jina lake lizidi kuhimudiwa zaidi juu ya mataifa yotee
@paschalpaul5793
@paschalpaul5793 2 жыл бұрын
somo hili nimelielewa sana , nimeokoka nampenda YESU natamani kujazwa ROHO MTAKATIFU na hao Maraika wa wa BWANA nawakaribisha kwangu wafanye matuo sitaki dhambi naichukia dhambi kwa jina LA YESU
@gracejoshua9650
@gracejoshua9650 2 жыл бұрын
Yaan kuelewa kwako tu tayari unamaraika ndani yk ila huwezi kumuona damu ya yesu Izidi kukaa ndani yk
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mutumishi kwa ujumbe huu
@anfalaljohani7480
@anfalaljohani7480 Жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu nafurahia mafundisho yako barikiwa sana na pia naomba pia roho mtakatifu akafanye makao ndani yangu na roho ya upendo kwa watu wote barikiwa sana
@amishambar3418
@amishambar3418 2 жыл бұрын
Amin amin
@rashidkayeke712
@rashidkayeke712 2 жыл бұрын
Amen. Injili ya kweli imekuwa hadimu makanisani.
@sylvianyognesa2964
@sylvianyognesa2964 2 жыл бұрын
Amen amen amen 🙏🏼amen God bless you 🙏🏼so much happy 😊💟💟💟🙏🏼🙏🏼💪🙌🙌👏🏿🙌💪🙏🏼💟
@onesmojonas2495
@onesmojonas2495 2 жыл бұрын
Ubalikiwe mutumishi
@liesharehema5193
@liesharehema5193 2 жыл бұрын
Amina baba yetu mungu akubariki sana
@diana56-lorient
@diana56-lorient Жыл бұрын
Amen MTUME, God bless you and your family 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙌🙌🙌🙌👏👏👏🇫🇷
@lydiamunyiva6113
@lydiamunyiva6113 Жыл бұрын
Amen,Amen.mtumishi Mimi ninaomba kwalunga,Naomba kuitambiri.
@annachachage4765
@annachachage4765 2 жыл бұрын
Mie pia nilimdai MUNGU naenda kanisani miaka kama miaka 15 sijawahi nena siku moja, niliona raha sikutaka hata kuamka kabisa nilinena sana,mpaka hata niliposhtuka cku nzima niliona furaha tu ,nilishindana sana na mafundisho ya kutufundisha tuseme asante Yesu,ahsante Yesu et ndo utaona lugha inabadili,ahsante Yesu sasa mie hunena nalianza si kanisani nikiwa mwenyewe nyumbani nikiwa naomba,ahsante mlima wa ukweli,tupo pamoja,
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 2 жыл бұрын
kabisa ata mm nilinena nikiwa nyumbani Tena chumban wow ilikua njema sanakwangu,amen
@lightness183
@lightness183 2 жыл бұрын
Amen Very POWERFUL, nimebarikiwa na somo.
@josephsimba7662
@josephsimba7662 2 жыл бұрын
Amen.
@rosemarymghoi3581
@rosemarymghoi3581 2 жыл бұрын
Amen Leo nimebarikiwa sana nahili SoMo ubarikiwe Mimi saa zote najazwa na roho na kunena kwa lugha hata naomba kwa lugha hata kanisa Zima linani shangaa saa nyengine napigishwa magoti kanisa nzima hakuna anaye piga magoti muendesha ibada anakatizia hata saa nyengine nambiwa Kuna watu Wana fanya saini za luminati nikiangalia nikweli namuona hakuna mtu anajua naomba wanacha
@gracekazungu7468
@gracekazungu7468 2 жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu,niko na swali,na je ukinena kwa lugha alafu huelewi maana yake,je hiyo ni roho ya Mungu kweli
@emanuelmsaky8074
@emanuelmsaky8074 2 жыл бұрын
Kweliii Mtumishi Mungu atuongezee kwa kila Jambo
@violetwilliam6895
@violetwilliam6895 2 жыл бұрын
Neno la Mungu limenijenga , Mungu akubariki mtumishi
@bonfacemwakapenda8857
@bonfacemwakapenda8857 2 жыл бұрын
Umenigusa sana mtumishi kwenye swala la vyombo nikweri kabisa wenye vyombo vyanguvu niwale waongo
@annambilinyi3722
@annambilinyi3722 2 жыл бұрын
Amina Mtume , nashukuru Sana kwa mafundisho mazuri,Dini zingine hawaelewi umuhimu wa kunena kwa lugha na wanapinga sana, Nakudhihaki wale wanaonena eti wanaongea Kama vyura,Mungu awasaidiee!!
@restutervenac2870
@restutervenac2870 2 жыл бұрын
Nikweli kabisa mwenyezi mungu atusaidiye
@kelvinmwandiga6883
@kelvinmwandiga6883 Жыл бұрын
Mm namini nataka kumpokea roho mtakatifu nataka kunena Kwa lungha
@kizajacqueline8583
@kizajacqueline8583 2 жыл бұрын
Tunashukuru mtumishi kwa taharifa. Na mungu hakubariki na hakuzidishiye guvu za kutuhimiza katika njiya ya kwenda mbiguni.
@anfalaljohani7480
@anfalaljohani7480 Жыл бұрын
Amen mtumishi nakupata nikiwa Saudi Arabia mungu wa mbinguni akubariki na na nko na shida ya mkono unanisumbua sana nikumbuke kwa maombi barikiwa sana
@christophermrema5277
@christophermrema5277 2 жыл бұрын
Mungu akubariki azidi kukuinua akupe afya ya Roho na mwili uweze kuhubiri kwa uwezo wa Roho mtakatifu.bwana yesu asifiwe Sana Amina.
@kennedyonyango8336
@kennedyonyango8336 Жыл бұрын
Mungu akupe nguvu na imani zaidi ya kutuongoza kwa njia ya ufalme wa Mungu 🙏
@deborahcharles6507
@deborahcharles6507 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@merycamos4270
@merycamos4270 Жыл бұрын
Mungu akubariki Sana Mtumishi wa Mungu
@serenakimigho8449
@serenakimigho8449 Жыл бұрын
Glory to God. Nimebarikiwa xana mtumishi Mungu azid kukutumia jinsi apendavyo 🙏 🙏
@magdalinamwikali7251
@magdalinamwikali7251 Жыл бұрын
amen 🙌🙏
@hillarymecha2839
@hillarymecha2839 Жыл бұрын
Kweli unapo hubiri mtume najazwa na kufurikwa na Roho Mtakatifu
@alexnyirenda5470
@alexnyirenda5470 2 жыл бұрын
Mungu akuzidishie maradufu uweze kutulisha chakula cha rohoni-AMEEN 🙏🏿
@kweliyakristoyesu
@kweliyakristoyesu 2 жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu
@manedumadegwa471
@manedumadegwa471 Жыл бұрын
Mafunzo ya kuokoa nafsi na roho za watu wengi mtume meshack.barikiwa sana
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 2 жыл бұрын
Amen Mtume wakati unaimba usingizi mzito ulinipata nikaamka kati kati Amen
@victormwanza1495
@victormwanza1495 Жыл бұрын
More grace in Jesus Christ of Nazareth.
@vumiliawambula1716
@vumiliawambula1716 Жыл бұрын
Na kuusu kanisa yenye watu wanatabiri ao kunena kwa luga kama uku tulipo kuipata kwenye wamanena ao kutabiri sijuwe kama ipo kwa hii state tulio labda kuzingine ,na labda African ziko nyingi Mungu tu atusaidie Amen 🙏
@halimahaliet8603
@halimahaliet8603 Жыл бұрын
Amen be blessed my spiritual farther may the blood of Jesus Christ be upon you forever Amen
@pascalcharles4935
@pascalcharles4935 2 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu mtumishi
@mariummwaipe1650
@mariummwaipe1650 2 жыл бұрын
Amen and Amen
@kelvinmwandiga6883
@kelvinmwandiga6883 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi ni kweli kabisa manabii wa uwongo wanaaminiwa kuliko wa wa kweli
@marymgumia7715
@marymgumia7715 2 жыл бұрын
Asante mtumishi wa Mungu. Barikiwa
@fideliswangari197
@fideliswangari197 Жыл бұрын
Amina mtumishi wa mungu mesheki. Mbarikiwa sana.
@anasialauwo4922
@anasialauwo4922 Жыл бұрын
Nimekuwa nangena kwenye ndoto mara kadhaa
@sifaemily3902
@sifaemily3902 2 жыл бұрын
Tunabarikiwa sana mtumishi wa bwana
@mambehassan553
@mambehassan553 2 жыл бұрын
Mungu awe nawe mtumishi
@nestorsospeter4957
@nestorsospeter4957 2 жыл бұрын
Amina mtumishi
@marsianamsunza8172
@marsianamsunza8172 2 жыл бұрын
Amen Mtume Meshack ubarikiwe
@wingunet2946
@wingunet2946 2 жыл бұрын
Mimi naitwa Paul Nyamwaya , injili yako imeni inuawa sana nabii wa mungu,hi ni video yako ya tatu mimi ku watch
@clemetinarwekiti4067
@clemetinarwekiti4067 2 жыл бұрын
Amina nakupenda kweli yako kutoka kwa Mungu
@Yerusalum
@Yerusalum 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana. Nimebarikiwa sana katika hii huduma.
@BHULENGE
@BHULENGE 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@josephinezawadi5773
@josephinezawadi5773 2 жыл бұрын
Asante sana mtumishi Mungu ubarikiwe ni kweli kabisa
@vumiliawambula1716
@vumiliawambula1716 Жыл бұрын
Amen Amen mtumishi wa Mungu nikweli mtupu unaohongea nahizo hela za mchango tupe mahelekezo ya kutuma na nikuta ngapi
@meshackmyumpu2139
@meshackmyumpu2139 2 жыл бұрын
Natamani nisipitwe na kila somo linalofundishwa katika mlima wa ukweli ministries. Mungu akutie nguvu tena na tena uzidi kuyafanya mapenzi yake Kwa moyo mmoja.
USIOGOPE KUNENA KWA LUGHA
33:34
Ukweli Ministries
Рет қаралды 14 М.
Neno, Maono, na Ushuhuda | Meshak Maliyabwana Mausa
53:28
Ukweli Ministries
Рет қаралды 2,9 М.
small vs big hoop #tiktok
00:12
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 28 МЛН
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 29 МЛН
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 34 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 128 МЛН
--KUWENI MAKINI NA CHAKULA HIKI!-- (DANIEL 1:12, WAGALATIA 2:11, MARKO 1:6)
32:37
KUMTUNZA NA KUMLEA ROHO MTAKATIFU | MTUME MESHAK
45:06
Ukweli Ministries
Рет қаралды 14 М.
MAKINI NA NZI NDANI YA MAISHA YAKO | MTUME MALIYABWANA
2:07:34
Ukweli Ministries
Рет қаралды 10 М.
MTUME MALIYABWANA MAKUBWA KUHUSU RUTO, SAMIA NA VIONGOZI WA AFRICA
16:29
Ukweli Ministries
Рет қаралды 13 М.
SABABU TATU HUJAPOKEA ROHO MTAKATIFU | MTUME MESHAK
56:54
Ukweli Ministries
Рет қаралды 22 М.
PASCHAL AMLILIA MWESHIMWA RAISI AMESHIMDWA KUVUMILIA MOYO UNAUMA
25:44
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 48 М.
UTIISHO WA MUNGU  NDANI YAKO ITAMFANYA KILA MTU AJUE UKUU WA WAKE NA NGUVU ZAKE NDANI YAKO.
7:03
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 297 М.
Usifurahie Kuanguka Kwangu | Mika 7:8 | Mtume Meshak Maliyabwana
11:53
Ukweli Ministries
Рет қаралды 4,4 М.
small vs big hoop #tiktok
00:12
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 28 МЛН