MAKONDA AMBANA MKURUGENZI PESA ZETU ZIKOWAPI/WATENDAJI MNAJISAHAU/HAWA WATU WASHITAKIWE.

  Рет қаралды 9,747

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 59
@CharlesElias-zh5hz
@CharlesElias-zh5hz 4 ай бұрын
Asante makonda unaivua nguo CCM. Hongera sana unafaa uvae viatu vya Mjombà. Omba ridhaa wanyonge tutakupigania
@esthersissamo1120
@esthersissamo1120 4 ай бұрын
Mungu mlinde na mpe afya njema mkuu wetu Makonda mpe maisha marefu maswali yako bomba sana sana Mungu ibariki Tanzania Mungu ubariki Mkoa wetu wa Arusha na wananchi wote
@agnesmogere413
@agnesmogere413 4 ай бұрын
Hongera makondo kazi nzuriiiiii sana
@sarahdeograthias9097
@sarahdeograthias9097 4 ай бұрын
Viva makonda vivaaaaaa
@nowamateyo3318
@nowamateyo3318 4 ай бұрын
Ubarikiwe sana mkuu wa mkoa mwiz ni mwiz TU m.banee
@justinemisigaro1471
@justinemisigaro1471 4 ай бұрын
Mungu akubariki sana RC P Makonda kwa utendaji wako mzuri uliotukuka Nakuombea ulinzi Ili uendelee kuchapa kazi hiyo njema
@AbelLazaro-y4p
@AbelLazaro-y4p 4 ай бұрын
Kwakweli mungu akupe maisha makonda, kama atauona comedy angu raisi samia, angemhamisha makonda akaenda , mkoa wa mwanza, na penyewe akapiga kazi wala rushwa wako wengi sana.
@julypetros7692
@julypetros7692 4 ай бұрын
God bless. You Mr makonda
@nowamateyo3318
@nowamateyo3318 4 ай бұрын
Safi sana mkuu wa mkoa endelea kuwa bana waizi
@user-tp5eu8cx8d
@user-tp5eu8cx8d 4 ай бұрын
Safiii
@josephmwabange9633
@josephmwabange9633 4 ай бұрын
Akisha kuwa mtumishi si unajua inabidi tufuate eee , Kaka Makonda Mungu awe nawe muda wote , ww ni Daudi , shujaa wetu
@MwinyidadiJuma-jl4gm
@MwinyidadiJuma-jl4gm 4 ай бұрын
Yani watu wameiba mahela nabado wanaendelea na kazi duuuuh
@josephmwabange9633
@josephmwabange9633 4 ай бұрын
😂😂😂😂 yaani Makonda ni baba
@ErnezaKivulenge
@ErnezaKivulenge 4 ай бұрын
Kwakuona haya madogodogo kunamakubwaa mabaya sana yanapita hatujui mungu tusaidie
@lordsm.k-db3wy
@lordsm.k-db3wy 4 ай бұрын
Tatizo makonda amesimama mwenyewe Viongozi wengine wamesinzia
@clementhiddi1486
@clementhiddi1486 4 ай бұрын
Hii nchi watu wanaonewa sana cjui nani mwenye dhamana na nchi.
@EliauMtishbi-os5ky
@EliauMtishbi-os5ky 4 ай бұрын
Mama wa UWT unaesema Wanawake wanadhalilishwa , sema kwa uzembe huu wa Mkurugenzi wa Monduli
@LekuleKipuyo-gk4rq
@LekuleKipuyo-gk4rq 4 ай бұрын
Hao wamezidi sana wizi monduli ndio kwenyewe makonda piga monduli madudu mengi sana tumechoka wanachi
@BonifaceHassani
@BonifaceHassani 4 ай бұрын
Ibrahim.T-Bukina & P.M - Tz🎉🎉🎉!
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 4 ай бұрын
Huyu mkurugenzi Kazi hana😂
@lusajomwakalinga5813
@lusajomwakalinga5813 4 ай бұрын
Ndiyo sheria
@PeterMlungu-fb2jv
@PeterMlungu-fb2jv 4 ай бұрын
Mama Samia tunaomba ateue watu wenye utendaji Bora siyo kama huyu mkurugenzi hafai kiti hicho
@hassanmeidimimollel1874
@hassanmeidimimollel1874 4 ай бұрын
Eee Mungu msadie Makonda huyu ni kiongozi bora inabidi viongozi wengine wamwiige ili nchi yetu ipige hatua
@novatusabond9253
@novatusabond9253 4 ай бұрын
Huyo mama nae anahusika kwenye kula pesa inavyo onekana
@hyy4114
@hyy4114 4 ай бұрын
Kwa Kwel maelezo yake tu nae ni mwizi
@KamwandaNzowa-eo4ur
@KamwandaNzowa-eo4ur 4 ай бұрын
Ndiyo maana wananchi wanailalamimiya sana hii serikali ya chama Cha mapinduzi
@MahamduMduma
@MahamduMduma 4 ай бұрын
Wewe unayemponda mhe. Makonda huna akili kabisa.
@amiribakari2528
@amiribakari2528 4 ай бұрын
Huyo mkurugenzi hata hajui wajibu wake
@PeterMlungu-fb2jv
@PeterMlungu-fb2jv 4 ай бұрын
Kaza mwendo makonda wahuni Hawa usiwaache
@frankdionis7700
@frankdionis7700 4 ай бұрын
Kwali nitamani kuwa namsikiliza makonda kuliko mkuu
@FilbertKalembe-fy4oq
@FilbertKalembe-fy4oq 4 ай бұрын
Viongozi wetu elimu hawana wanateuliwa kiundugundugu hii ndiyo Tanzania
@StevenAdamsongela-k4r
@StevenAdamsongela-k4r 4 ай бұрын
Waulizwa mbona hatu wasiki voice sauti zenu,mbona makonda tunamsikia vizuri???
@Charlzlomo
@Charlzlomo 4 ай бұрын
Unamwambia nini kk kwani hamjui kisima cha milion 4 mpaka 10 kinachimbwa kwa milion 600 ?Na hakitoi maji?africa tunahitaji ukombozi wa fikra na uwajibikaji ili tufike mbali
@juliusdonard933
@juliusdonard933 4 ай бұрын
Huyu mkurugenz naye n mwizi
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 4 ай бұрын
Gombania Uraisi Utachukua kwa kishindo kiti cha Uraisi Tanzania 🇹🇿 Mzima kwa kazi mzuri yako tunakuwa kama Ulaya wataogopa kila kitu cha Alam😂😂😂
@khadjamhozya
@khadjamhozya 4 ай бұрын
Atachukuwa kwa kishindo kupitia njia gani
@JovinPeter
@JovinPeter 4 ай бұрын
Tulieni mwanaume apogee kaz wavulana tulieni
@LaureanKajugusi
@LaureanKajugusi 4 ай бұрын
Charles Elias, vipi? Mbona hueleweki? Ni chekechea wa upinzani nini? Punguza ubaby!
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 4 ай бұрын
Huyu mkurugenzi usoni tu ni mwizi, yani anavoongea machoni anawatetea wezi
@gtvonlinemdee7001
@gtvonlinemdee7001 4 ай бұрын
Rule and regulations ndio zinazoongoza siku mtu akichukuliwa hatua pasi na kufuata taratibu watu wanaanza kulalamika. Mkurugenzi yupo sahihi kabisa kwa kusimamia instruments zinazowaongoza. Tuwe waumini wa taratibu
@abrahamkashingo9949
@abrahamkashingo9949 4 ай бұрын
Nakuunga mkono
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 4 ай бұрын
Mwizi mkubwa wewe
@gtvonlinemdee7001
@gtvonlinemdee7001 4 ай бұрын
@@SmilingBulldogPuppy-nb9ur wewe ni mtumishi au mchunga ng'ombe kama umeshindwa kuelewa namaanisha nini utaweza kutafakari Maandiko katika Biblia
@EzekiaMyila
@EzekiaMyila 4 ай бұрын
Mimi nataku kuwajulisha kuwa makonda muache afanye kazi bila kushulutishwa na watu kuomba urais mungu atasema maana aliomna ubunge akanyimwa sababu huko ccm acha kunawatu wezi huko warsfi wa madaraka hawawezi kupa kule ndani maana wai makonda anafanya kazi wao wanasema ataka kiki wajinga hao
@josephjulio6112
@josephjulio6112 4 ай бұрын
Ivi kumbe wanawake ni wezi
@abrahamkashingo9949
@abrahamkashingo9949 4 ай бұрын
Mkurugenzi hajaiba jaman! Msihukumu
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 4 ай бұрын
Makonda omba Ridhaa ya kua raisi wanyonge tupo pamoja na wewe
@success-only
@success-only 4 ай бұрын
Hana jipya just Kiki tu
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 4 ай бұрын
Ndivyo mlivyo,hatuwashangai
@khadjamhozya
@khadjamhozya 4 ай бұрын
Pumbavu
@godfreykablanyika
@godfreykablanyika 4 ай бұрын
Ww Ambae una kitu umetusaidia nini
@olaislukumay2208
@olaislukumay2208 4 ай бұрын
Kaaa kimya Kama unaishi kwa Bela hizi za dhulma nyamaza
@RashidMakumbuli-xx3gc
@RashidMakumbuli-xx3gc 4 ай бұрын
Mjinga ww
@alfredngilitikahonga672
@alfredngilitikahonga672 4 ай бұрын
Makonda anatafuta kiki kwa kutowapa nafasi watendaji kujieleza vilivyo na wanamwogopa kumueleza ukweli
@africanreaction8501
@africanreaction8501 4 ай бұрын
Asa kama mtendaji ajibu swali analo ulizwa ana badili maswali yan watendaji wengne apana asee
@clementhiddi1486
@clementhiddi1486 4 ай бұрын
Na wewe una akili kama za watendaji, huo uzembe wewe unauvumiliaje?
@hamisombali8545
@hamisombali8545 4 ай бұрын
wewe fara kabisa
@RashidMakumbuli-xx3gc
@RashidMakumbuli-xx3gc 4 ай бұрын
Kiki kivipi mjinga ww
@HappyCobra-wk6rq
@HappyCobra-wk6rq 4 ай бұрын
Wewe unachangia hoja Kwa kutafuta Kiki ,wewe MTU mwizi ,mzembe fukuza
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 334 М.
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 32 МЛН
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 46 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 46 МЛН
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 334 М.