MAKONDA AWABANANISHA VIKALI WATENDAJI WA SERIKALI/HUYU MWANDIKIE BARUA AHAMISHWE

  Рет қаралды 21,383

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 63
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 4 ай бұрын
T M U Team Makonda Ukombozi, Mungu azidi kuwatangulia na kuwalinda. Zaburi 35 ikawatangulie, kwa jina kuu la Yesu Kristo, tuko nyuma yenu kwa maombi
@aloyceponela3249
@aloyceponela3249 5 ай бұрын
Safi sana makonda. Piga kazi usiogope mtu.
@maswimaswi-zo5cf
@maswimaswi-zo5cf 5 ай бұрын
maswi joseph
@bihagazeayoub1197
@bihagazeayoub1197 5 ай бұрын
It's a good way to earn an income through youtube Channel account because you reminded me of home in Kigoma, where palm oil is our Favorite when I was staying there now I'm in Kondoa Dodoma Tanzania very nice sister to make your channel reminiscent.
@gilberthanjovu6340
@gilberthanjovu6340 4 ай бұрын
Makonda awe mkuu wa mkoa wa nchi nzimaa azunguke mikoa yotee
@MohsenAljahwary
@MohsenAljahwary 5 ай бұрын
Makonda Apewe zaidi ya mkoa mmoja hata Mitatu au Minne ili aweze kumaliza Dhuluma kwa Watanzania na ktk MIKOA ya kuongezewa Makonda Ukiwemo mkoa wa kwanza Morogoro ni Matatizo sana Haki za Wananchi zinabanwa ni ujanjaujanja tupu Viongozi waliopo ni shida tupu.
@hssanrubota3891
@hssanrubota3891 5 ай бұрын
Mm nafikiri kama mama rais wetu angetupatia wakuu wa mikoa kama hawa asingepata kazi ya kuendesha nchi yeye angeendelea kula mtoli hapo ikulu sasa kuna wengine hajielewi hawajitambui wanasababisha kunyima haki za watu kuharibu hela anazohangaikia mama yetu kuzitafuta huko nchi za nje
@maulidharuna183
@maulidharuna183 5 ай бұрын
Mbona kama nimemuona aliyekuwa mkuu wa mkoa tabora mzee wa soma hiyooo
@rahmarama5669
@rahmarama5669 5 ай бұрын
Yaan watu tuna degree mtaan wengine wanalewa madaraka
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je 5 ай бұрын
Kuna akina mma eanapiga vigelegele kwenye matukio ambayo hayaitaji vigelegele
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 5 ай бұрын
Wako na furaha
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 5 ай бұрын
Icho kigelegele chenyew hatar 😂
@richardmagaka9525
@richardmagaka9525 5 ай бұрын
Yaani huyo mama humwambii kitu tena ukimkosoa mh anaweza kukuua
@stephenkitururu5588
@stephenkitururu5588 4 ай бұрын
Kazi ipo hapo baba makoda mama anapata shida kujieleza na amesoma duuu!!!! Pole yake maana unamuuliza maswali marahisi sana ila kwake ni magumu sana yani
@deniskaguo4698
@deniskaguo4698 4 ай бұрын
Timu yamakonda iko makini sn huyu jamaa angepewa hili taifa baada ya mama kumaliza miaka yake,, 5 tena kwa Samia wetu
@mwalagokache375
@mwalagokache375 5 ай бұрын
Huyu mwanasheria WA almashauri ni wale WA kuwekana MTOTO WA mjomba shangazi hakuna kitu tubataka uweledi sio kuwekana ndio zao lake
@RobertMachenga-tz3re
@RobertMachenga-tz3re 5 ай бұрын
Makonda kwa kisukuma ni Malendi na sifa ya Malendi wasukuma wanajua ina mambo mengi sana ukitaka kula ni sawa ukitaka iwe sabuni ya kufulia na kulainisha nywele sawa kwa hiyo Paul Makonda nimwamba. tukubali tu na Halmashauri nyingi ziko chini ya usimamizi dhaifu mno lakini serikali haijui na uzuri asilimia 90 ya watanzania wote hatujui sheria na wale wanaojua sheria wanakauoga fulani kusimamia sheria wasichukiwe na jamii hapo ndiyo kazi ipo hapo na Malendi ndiyo watamchukia mno anapowabana watumishi wazembe.
@musaamos2431
@musaamos2431 4 ай бұрын
Sasa huyo mwanamke si wawalipe hao hela kwani anatoa mfukoni mwake
@StevenAdamsongela-k4r
@StevenAdamsongela-k4r 5 ай бұрын
Makonda mtoto wa nyerere julias kambarage.
@MasawilaGoa
@MasawilaGoa 5 ай бұрын
Bro upo vzr mungu akubark sna wanyooshe bro
@stanleymhozi7590
@stanleymhozi7590 5 ай бұрын
Mbn kapanik? Kama sio mzulumaji?
@JeniphaAkimu
@JeniphaAkimu 5 ай бұрын
Vizuri havidum tumuombee tu
@mtakatifubony5525
@mtakatifubony5525 5 ай бұрын
Makonda kichwa kweliiiiiiiiiii kweliiiiiiiiiiii
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 5 ай бұрын
Makonda anatakiwa kuwa waziri mkuu au rais kabisa
@miriamdavis3893
@miriamdavis3893 5 ай бұрын
Huyu mwansheria ana wenzie wengi tu vizara kama yy shida aliforce mambo ya open University hadi kutoboa
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 5 ай бұрын
Sio sasa Kipindi kile🤣🇰🇪
@emanuelsamaytu9437
@emanuelsamaytu9437 5 ай бұрын
Vzr san
@stanleymhozi7590
@stanleymhozi7590 5 ай бұрын
Dada wahovyoo sana sielewi hata maelezo yake
@agnessangawe3844
@agnessangawe3844 5 ай бұрын
Toa Hoja Kwa Mh. Acha kujipendekeza
@adammlonganile7921
@adammlonganile7921 5 ай бұрын
Mbona hamumpi nafasi mwanasheria wa halamashauri, huo ni upouzi
@katwigayona8041
@katwigayona8041 5 ай бұрын
Nafasi gani ambayo mahakama ilishamalizaa kutoa hukumu,kama angekuwa anataka nafasi angekuwa amekata rufaa kupinga hukumu y mahakama... Wewe unachuki zako binafsi
@stephenkitururu5588
@stephenkitururu5588 4 ай бұрын
Apewe nafasi Gani ikiwa akipewa nafasi anashindwa kujieleza ,,, Tena anaulizwa maswali ya kiyoto tu ila hawezi kuyajibu anaanza kusimukia stori nyingi za Kona Kona
@CharlesMisungwi-f8t
@CharlesMisungwi-f8t 5 ай бұрын
Kiongozi huyu hanakazindogowala kubwa anawezakuishi kwenyekundilanyangumi ausisimizi najamii hiyo maisha yakaenda bilashida.
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je 5 ай бұрын
Watumishi wa serikali Arusha wataacha kazi.makonda ukimaliza Arusha jiji njoo Meru D.C.
@stanleymhozi7590
@stanleymhozi7590 5 ай бұрын
Dada hadi aibu maana unacheza na moyo wako unavyosema sio sheria inasema nn
@rehemaMkumbo-mf5gs
@rehemaMkumbo-mf5gs 5 ай бұрын
Huyo mama akalee watoto tu nyumbani hana anachojua hadi mimi nimeelewa kinachoendelea
@deodathrobertquacker3879
@deodathrobertquacker3879 5 ай бұрын
Ujampa nafasi ya kumsikiliza
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 5 ай бұрын
Makonda akaharibu akatiie hasara serekalin. Na si wanyonge hao
@EmmanuelNyinyigwa
@EmmanuelNyinyigwa 5 ай бұрын
Hiyo sio kes tana ilisha kwisha jambo la msingi ikifika mwaka 2029 ndo muwalipe sawa
@Justinndalama01
@Justinndalama01 5 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂 sijui kama ni maisha ya kweli ila kama nimaigizo?
@Mashakamohammedsaidi
@Mashakamohammedsaidi 5 ай бұрын
Daa makondabolaungeletwa hapa kwetu tabora ukanyoosha mstar
@jeremiahngoka4980
@jeremiahngoka4980 5 ай бұрын
Haya ni maigizo hawawezi kulipwa ht mia. Na huyo dada anachanganywa tu na hawezi kuhamishwa.Tuko hapa hakuna malipo
@HellenSulle-m7t
@HellenSulle-m7t 5 ай бұрын
Yaani we ndo Tomaso usiye amini mpaka uone kwa macho haya ni kweli na halisi na wanasheria kama huyu mama ndo wale wanaosababisha yote haya
@eliaschipanda2006
@eliaschipanda2006 5 ай бұрын
Anamchanganya
@davidmziray2048
@davidmziray2048 5 ай бұрын
Katika watu wa hovyo huu unayemuimba
@thedon8467
@thedon8467 5 ай бұрын
KILA SEHEMU KUNA MZOGA AU UVUNDO
@TumtukuzeMbise
@TumtukuzeMbise 5 ай бұрын
Mh kwani akihamishwa huko anapohamishiwa atoleta matatizo? Apa ndo shida ipo maana siyo wakuu wote wa mikoa watafanya hayo,
@davidmziray2048
@davidmziray2048 5 ай бұрын
Acha ujinga
@edinamwafongo9130
@edinamwafongo9130 5 ай бұрын
Makonda Ongera sana,Kaka wewe ni mtetezi wa wanyonge kweli Mungu hakusimamie,natambua unatengeneza maadui wengi mungu awe pamoja nawe
@eliusandrew3762
@eliusandrew3762 5 ай бұрын
Madam yupo vizuri
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 5 ай бұрын
Madam hajibu anachoulizwa anatoa maelezo tu. Jamaa anataka jibu la moja kwa moja hataki stori😂😂😂
@menelus911mene5
@menelus911mene5 5 ай бұрын
Mama mama mamaaa. RAIS SAMIA MUONE HUYU MKOMBOZI WAWANYONGEE MUNGU AMBARIKI MH MAKONDA INSHA ALLAH ❤
@IsmailLoi
@IsmailLoi 5 ай бұрын
Hongera mh ar DC Kuna wezi fuatilia vizuri hata huko maliasili olgilai Kuna mashamba wanakodisha serikali Haina taarifa kamili
@EmmanuelNyinyigwa
@EmmanuelNyinyigwa 5 ай бұрын
Huyo dada huna kazi yani serikali ilipe pesa zote hizo wewe ukiwa madalakani sijui
@MurunguwetoshaDeheaven
@MurunguwetoshaDeheaven 5 ай бұрын
Kudhalalishana huku
@marianmartin7483
@marianmartin7483 5 ай бұрын
Hujawahi kupata shida, tulia kama maji ya mtungini. Ukweli utakuweka huru, hilo ni jipu.
@NescharlesMalando-xm6lg
@NescharlesMalando-xm6lg 5 ай бұрын
Ww kama htaki kuhojiwa kalale!!jnga kbx
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 5 ай бұрын
Wewe utakuwa fisadi, mwizi tu😂😂😂
@khaliduhadi2336
@khaliduhadi2336 5 ай бұрын
Mwizi huyooo duh mijizi bwana ni shida sana
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 5 ай бұрын
Hayaja kukuta ndo maana
@robertmatabalo5454
@robertmatabalo5454 5 ай бұрын
Kila mtu afanye kazi yake hakuna kudhalilishana hapa
@khaliduhadi2336
@khaliduhadi2336 5 ай бұрын
Nyinyi ndio walewale vilaza plus
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 4,3 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН
MAKONDA AWAFUKUZA KAZI WATUMISHI ARUSHA
1:06:20
JAMBO TV
Рет қаралды 99 М.
MUWEKEZAJI MKUBWA AMVUNJA MBAVU RC MAKONDA, SEMA UNA..
18:49
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18