MAKONDA AMPA MILIONI 10 MTOTO ALIYELAWITIWA KWA NIABA YA RAIS SAMIA, ASHINDWA KUVUMILIA ATOA MACHOZI

  Рет қаралды 60,580

Millard Ayo

Millard Ayo

5 ай бұрын

Mwanamama mkazi wa Iringa amemueleza Mwenezi Makonda changamoto nzito anayoipitia kutokana na mkasa aliyokumbana nao kutoka kwa Dada yake aliyemtendea vibaya mtoto wake wa kiume ambaye kwasasa ana miaka 5.
Mwanamama huyo amesema alikuwa Iringa na baada ya kukosa nafasi ya kuongea ilimpasa kumfata Mwenezi Makonda hadi Njombe ambapo ndipo amepata nafasi hiyo, Katika maelezo yake amesema awali mtoto wake alikuwa mzima wa afya na alipomuacha kwa dada yake akampiga, kamvunja miguu na mikono na kumpasua maeneo ya kichwani pamoja na kulaitiwa vibaya kiasi cha kupelekea kuoza.
Ameendelea kueleza kuwa ametoka Iringa kufuatilia kesi yake huku mtoto akiwa ICU kitengo cha MOI hospitali ya Muhimbili zaidi ya miezi miwili kwa matibabu lakini ana zaidi ya miaka 3 bado haki haijatendeka kwa mtoto wake na ameshindwa kwasababu aliwekwa chini ya ustawi wa jamii.
Baada ya kuendelea kufuatilia zaidi, Mama huyo ameeleza kuwa kupitia ustawi wa jamii walitoa hukumu kwa huyo dada yake ya kumlipa fidia ya Tsh Milioni 2 na kumpa kifungo cha nje cha miaka 3 na kijana wake aliyefanya tukio la kumlawaiti mtoto wake kuonekana hana hatia kwa madai kuwa mule ndani kulikuwa na wavulana wawili.
Mwanamama huyo ameonesha simanzi kubwa zaidi na kumueleza Mwenezi Makonda kuwa ameishi miaka 3 katika kituo cha watoto yatima akiwa chini ya ustawi wa jamii bila mtoto wake kupata msaada na zile milioni 2 alizokuwa amepewa kama fidia akazitumia kwa kipimo cha CT Scan kupima masikio na macho na hadi hatua aliyofikia mtoto kwasasa ni hawezi kufanya chochote hata kutembea hawezi.
Mwanamama huyo amemuomba Mwenezi Makonda kumsaidia kwakuwa anatakiwa kwenda kliniki katika hospitali ya Muhimbili kila baada ya miezi 3 na hajaenda mwaka mzima katika mwaka wa 2023 kutokana na kukosa fedha ya kukidhi na Bima yake ya Afya imeshakwisha muda wake.
Kutokana na hayo yote na kwa kwa upendo na dhamira njema ya Mwenyekiti wa CCM na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mwenezi Makonda amemueleza mama huyo kuwa Chama Cha Mapinduzi kitamsaidia kumpatia Bima ya Afya ya Mama na Mtoto, Kumpatia Kiasi cha Tsh Milioni 5 kumuwezesha katika biashara pamoja na kumsaidia kumfikisha Dar es salaam kwaajili ya kuudhuria kliniki katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Пікірлер: 154
@SurprisedRetroCamera-kl8yx
@SurprisedRetroCamera-kl8yx 5 ай бұрын
😭😭😭😭Dah nasikia Uchunguu nahisi Moyo unataka kupasuka Mungu msaidie Uyo mtoto Makonda Mungu akulinde pamoja na Mweshimiwa Raisi Mama Samia🙏🙏
@user-wu9xb9jz5v
@user-wu9xb9jz5v Ай бұрын
Mungu tulindie watoto zetu
@florakidamwina7516
@florakidamwina7516 5 ай бұрын
Binadamu wamekuwa katili sana,kuna mambo yanaumiza sana. Nimevaa viatu vya hyu mama hakika vinanibana. May God bless u Mh. Makonda, kazi unayofanya ni zaidi ya utume. Tunakuombea.
@memoryngambi7570
@memoryngambi7570 5 ай бұрын
Nimeumia sana ,nimelia sana Dunia Ina mambo mengi,matatizo nimengi, Mungu tunamuani sana ,majibu ya daktali na Mungu ni vitu viwili tofauti, Mungu naomba utende muuniza mtoto huyu apone.Moyo wangu umeumia sana.pole sana mwanamke mwenzangu.
@DorcusYusuph-yy4xr
@DorcusYusuph-yy4xr 5 ай бұрын
Big up makonda wew umewekwa kwa kusudi la Mungu, mwenyezi Mungu aliyekuleta duniani azidi kukuinua kwa viwango vingine na aendelee kukupa afya njema wew na familia yako
@ManuuNgingo-cs3hx
@ManuuNgingo-cs3hx 5 ай бұрын
Asante makonda kwa kazi nzuri ila hao watu washugulikiwe kisawa sawa nahuyo aliye hukum hiyo kesi angekaa pembeni kwanza kesi ianze upya
@jkifutu7936
@jkifutu7936 5 ай бұрын
Makonda nakukubali mpaka maisha yangu yote
@abbumwaipopo2940
@abbumwaipopo2940 5 ай бұрын
Natoa pole sana kwa mtoto na mama anaeangaika kuuguza muda wote bila kusahau mweshmiwa makonda. Mungu awabaliki sana binafsi Sina lakuongea ila tu itoshe kusema mungu akubaliki wewe na mama Samia pamoja na selikali Yako. Inauma sana
@GladnessMushi-uq8ol
@GladnessMushi-uq8ol 2 ай бұрын
Mungu akulinde mh Makonda kwa kazi unayofanya
@rithersospeterkati3355
@rithersospeterkati3355 5 ай бұрын
Barikiwa Makonda kwa kazi ya Mungu unayo fanya.
@juliaskasiaka
@juliaskasiaka 5 ай бұрын
Mungu akubariki sana Makonda pia tunakuombea uje uwe Rais wa Tz miaka sijazo
@tukuswigaikasu5227
@tukuswigaikasu5227 5 ай бұрын
Daah dunia inatisha.Ndugu ndo wanatuumiza kuliko hata maadui zetu😢😢
@NeemaMassawe-qg6kf
@NeemaMassawe-qg6kf Ай бұрын
Moyo wanqu umeumia sana munqu ndiye muweza atawalipia makoda munqu akulinde baba umekua kama mzee makofuli asante sana
@JennyJma
@JennyJma 5 ай бұрын
Yaani dada yako ndio kamfanya hivyo mtoto wako?? Looh Mungu nipe umri mrefu nilee watoto wangu mpka wajitambue
@user-dx6dm6lh1i
@user-dx6dm6lh1i Ай бұрын
Amiiin.
@bwikizobilly5220
@bwikizobilly5220 5 ай бұрын
Kazi nzuri unayifanya Makonda usivunjwe nguvu na mtu yeyote
@willydugilo3258
@willydugilo3258 5 ай бұрын
Kaka Mimi nakuombea sana!! Umekuwa msaada japo Kwa hao wachache!! Yamkini kupitia wewe Kuna watakao badilika na kuwa na hofu ya mungu!! Kwa kuwatendea watu yaliyo mema!!! Mungu akulinde ndugu yangu
@user-wq8kw7wb1n
@user-wq8kw7wb1n 5 ай бұрын
Kama kweli dada yako ndie alisababisha mtoto wako awe hivo mungu amlipe stahiki yake
@aaa64sa13
@aaa64sa13 5 ай бұрын
InshaAllah..🙏
@HAPPYLIGHT
@HAPPYLIGHT 5 ай бұрын
ur the best leader for sureu remind me Dr John Pombe Magufuli our late president😭
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 5 ай бұрын
Mokonde Allah akulipe kaka yangu
@tumainlession411
@tumainlession411 5 ай бұрын
Mungu tutunzie watoto wetu huyu mama analiza jamani
@hamidaiddy2278
@hamidaiddy2278 5 ай бұрын
Allah awalipe kila.lenye kheri wotee mliojitolea kufuta machoz ya mama🙏makonda Allah akupe ulinzi wake
@FadhiliMgalla-ds9fx
@FadhiliMgalla-ds9fx 5 ай бұрын
Huyu makonda anafanya mambo makubwa sana hakika mungu amusimamie katika safali yake yamaisha
@bakariomari8758
@bakariomari8758 5 ай бұрын
Huyu tayari atachukua urais baada ya samia labda afanyiwe roho mbaya na chama
@ManuuNgingo-cs3hx
@ManuuNgingo-cs3hx 5 ай бұрын
Huyo mama na vijana wake walifanya tukio Hilo kwanini wasifungwe maisha lela kitendo kama hicho kakikubariki
@mcmifukotz7267
@mcmifukotz7267 5 ай бұрын
Dah pole sana mama angu mungu atakusaidia😢
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 5 ай бұрын
Yesu nilindie uzao wangu 😭😭😭😭
@mohamedlegacy255
@mohamedlegacy255 5 ай бұрын
Amina🙏
@farajamwakamyanda3014
@farajamwakamyanda3014 5 ай бұрын
Pole mama Kwa jaribu ilo big up Makonda
@yohanamollel1565
@yohanamollel1565 5 ай бұрын
Mungu akulinde baba makonda
@josegambi7149
@josegambi7149 5 ай бұрын
No way out. God may bless you Makonda.
@ReonceRevocatus-dp9eu
@ReonceRevocatus-dp9eu Ай бұрын
Aise maskini ya mungu daah mungu amusaidie huyu mama
@user-yh5ty1st4g
@user-yh5ty1st4g 5 ай бұрын
Kuna watu makatili dunian nimelia jmn mungu 2nusuru vizazi vye2 na vya wenze2
@DjpackDjpack
@DjpackDjpack Ай бұрын
Unanifurahisha Sana kaka makonda mungu azid kukuweka hai brother
@stanslausJoseph-b1e
@stanslausJoseph-b1e 17 күн бұрын
Pole sana mama mungu Yuko pamoja na wewe,,
@user-hu5mk5dj6g
@user-hu5mk5dj6g 12 күн бұрын
Mhe. Makonda Mungu akutunze🙏🙏
@fridasanga2494
@fridasanga2494 Ай бұрын
Pole sa mwanamke mwenzangu MUNGU akukumbuke akuponye moyo ulioumizwa juu ya uzao wako Mweshimiwa makonda MUNGU akuabariki sana hakika sada hiyo niulinzi tosha wa watoto wetu.
@UfahamuwaKristo
@UfahamuwaKristo 5 ай бұрын
Mungu Atukuzwe sana
@bakariomari8758
@bakariomari8758 5 ай бұрын
Hii ipo sawa mungubatambariki makonda
@fatemafatema4780
@fatemafatema4780 Ай бұрын
Mungu akubarik kwa kusaidia wanyonge story ya huyu mama inasikitisha sana na inaliza sana.mungu akulipe jamani mmmm
@emmanuelfari8924
@emmanuelfari8924 5 ай бұрын
+MUNGU+ ni MWEMA MILELE yote ISAYA 54:10🙏🙌🙌
@anithiajohn9209
@anithiajohn9209 5 ай бұрын
Yani japo amepewa izo pesa zot lkni bdo maumivu nayasikia mimi aisee binadam tunanini ety
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 2 ай бұрын
Hata mwenyewe asanteni kwa michango,ila maumivu,uwiii
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 5 ай бұрын
Daah😢😢😢😢😢 nimelia eti amishwe huyu mama kwenye hilo eneo
@user-ic2wm6rd1x
@user-ic2wm6rd1x 2 ай бұрын
Ahsante Mungu kwa kiongoz kama Makonda
@benikayange2605
@benikayange2605 Ай бұрын
❤❤❤daaa! kweli nimeamini makonda nimagufuri wakesho
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 5 ай бұрын
Uyo Hakim angekuwa mtoto wake angetoa iyo hukumu kweli?Yaani wanathamini rushwa kuliko utu afukuzwe kazi uyo hakim
@AliHassan-fy6zk
@AliHassan-fy6zk 5 ай бұрын
Kazi safi Makonda
@IsmailChambuso
@IsmailChambuso Ай бұрын
Mungu atakusaidia mam napia atuepushe
@user-zt9sf5vd3y
@user-zt9sf5vd3y Ай бұрын
Mungu akutunze makonda mpaka nimelia 😭
@elibarikmafie7490
@elibarikmafie7490 5 ай бұрын
Mungu wangu du hii Dunia inaelekea wapi ?
@maryamrashid8499
@maryamrashid8499 5 ай бұрын
Makonda Raisi wetu wa baadae Tanzania
@patisondidas6720
@patisondidas6720 5 ай бұрын
Mungu amsaidie uyo mtoto
@ullujaffariyohani1186
@ullujaffariyohani1186 Ай бұрын
Hai Nahid Hainan sheria na sababu watu wasingeendelea kufanya uhalifu😢😢😢
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 5 ай бұрын
Uyo aliye mlawiti mtt Yuko wapi ?! Yani hana hatia kivipi?? Uuuuuuwwwwi Mungu nilindie kizazi changu mm nitakufa na mtu pumbavu zao wabakaji Apigwe mawe hadharani adi afe 😢😢😢
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 5 ай бұрын
Halafu mwana sheria mkuu wa serikali Ana m beza makonda.
@medimisi6930
@medimisi6930 5 ай бұрын
😂😂😂ety nitakufa na mtu, mambo mengine yanatia hasira mtu kabaka halafu hanahatia kwasababu walikua wawili😂😂duh
@user-yr7hj2my2z
@user-yr7hj2my2z 5 ай бұрын
Mim mwenyewee nasema haooo wanao lawiti watu wasijicganganye kweangazetuuu
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 5 ай бұрын
Jaman tujifunze tukae nawatoto wetu
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 5 ай бұрын
Aisee Kila siku nasema Kaa na mwanao tu
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 ай бұрын
Subuhanallah. Walitaka wamuue huyo bila sababu mtoto
@yahkiwera3611
@yahkiwera3611 5 ай бұрын
Mashaallah
@SilvanusKigoda
@SilvanusKigoda Ай бұрын
Ni kweli kabisa Makonda Mungu yupo
@danielthomasmsigwa31
@danielthomasmsigwa31 5 ай бұрын
Najifunza kitu "hakuna lililositirika ambalo halitawekwa wazi, muda tu!
@user-jf1sq7lk4g
@user-jf1sq7lk4g Ай бұрын
Mungu akubariki sana
@user-px3po9lt8g
@user-px3po9lt8g 5 ай бұрын
Magufuli style this is nice
@Keyjop
@Keyjop 5 ай бұрын
Jehova ...🙌
@gilbertfrancis217
@gilbertfrancis217 5 ай бұрын
Kichw cha Habari hakipo sawa ety Mtoto aliyelawitiwa kwa niabaa ya Mama Samia 😂😂😅
@Official83640
@Official83640 5 ай бұрын
Makonda atoa milioni 10 kwa mtoto aliyelawitiwa kwa niaba ya mama Samia. Sasa nn hujaelewa hapo wakati maelezo mazuri tu
@mamasalhat
@mamasalhat 5 ай бұрын
Wewe ndio umekulupuka kusoma ludia tena
@Chosen2Save
@Chosen2Save 5 ай бұрын
Hao watu police wawakamate upya. Justice for our son. Waende Jela wakafundishwe tabia wote waliosika. 😢
@ezekielerasto8776
@ezekielerasto8776 5 ай бұрын
Makonda MUNGU akulinde sana angalia jinsi watu wanavyokuja kutaka uwasaidie uwatatulie matatizo waliyo nayo ukweli wewe ni kijana wa magufuli uliachwa na unafuata nyayo Mungu akupe afya njema
@user-hl2qe1dk1y
@user-hl2qe1dk1y 5 ай бұрын
Jemedari ubarikiwe baba na wananjombe Kwa ujumla
@nifasiha7918
@nifasiha7918 5 ай бұрын
Huyo dada mungu atamlipa kinachomstahili
@LovenessFedrick-cy9fh
@LovenessFedrick-cy9fh 5 ай бұрын
Ole wake huyo dada yake na huyo mwamawe walaaniwe 😢😢😢
@bakarilingamba3639
@bakarilingamba3639 5 ай бұрын
Viongozi wenye nia njema kama makonda wapo wengi lakini wanazidiwa na wasakatonge
@user-fu2xl6wp1e
@user-fu2xl6wp1e 5 ай бұрын
Watu niwakuogopa kuliko Simba binaadamu nimbaya sana kwakweli Allah amsaidie huyo mtoto na amlinde huyo mtoto
@pillyseleman8090
@pillyseleman8090 5 ай бұрын
Washikwe mheshimiwa wahusuku waadhibiwe kabisa mungu akuhufadhi na mabaya yote Kaka
@user-br1cd1tf6y
@user-br1cd1tf6y 2 ай бұрын
Mungu akutagulie
@zakayolazoro48
@zakayolazoro48 8 күн бұрын
Kutowa pesa kwa ajili ya wabakaji kwangu ata unipe birioni mutoto ni mutoto uchugu utabaki pare pare chamusigi ni kusoka dani maisha hukumu
@user-pk2km5nj3f
@user-pk2km5nj3f 5 ай бұрын
Huyo dada kweli kiboko kampasua kichwa
@mshamhemedy8567
@mshamhemedy8567 5 ай бұрын
Daaàah pole saana
@linahmacha370
@linahmacha370 Ай бұрын
Duuuh nimelia sana jamani 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@christophernsemwa8185
@christophernsemwa8185 5 ай бұрын
Milad Ayo hebu angalia namna ya kuchagua heading za Habari zako: kichwa cha hii Habari ni aibu:
@irenemwakalinga4350
@irenemwakalinga4350 16 күн бұрын
Pole mama viatu vyako havitnitoshi
@suziemichael4338
@suziemichael4338 5 ай бұрын
Waliofanya wachukuliwe hatia plz
@violettensabiyumva9198
@violettensabiyumva9198 5 ай бұрын
huruma kweli
@user-lt7yx2ms7h
@user-lt7yx2ms7h 5 ай бұрын
Hii jamani 😭😭😭😭
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 5 ай бұрын
😢😢💔💔
@Mutako-ig1ik
@Mutako-ig1ik Ай бұрын
Huyu mama ameniliza sana
@Mtemi-s2k
@Mtemi-s2k 26 күн бұрын
Mungu retekiamatu
@upendomoshi1928
@upendomoshi1928 Ай бұрын
Eeh Mungu wasaidie Hawa watoto wa leo
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 5 ай бұрын
Milard ayo camera zenu noma
@dayana5513story
@dayana5513story 5 ай бұрын
😢😢
@user-hs4fb2qg4e
@user-hs4fb2qg4e Ай бұрын
Yaan kwa nna jisikia hapa Mungu tu ndie anae jua ningefanya nn watu kama hao kama ningekua kiongozi ni kunyonga tu pumbavu zao maana hata wakitoka hawawez kuacha huo ushenzi sion kama kuna haja ya kufungwa wao waendelee kumaliza chakula tu cha jela mi ni risasi tu pah pah pah pah kwisha habar yao tusiumizane vichwa sitsk ujinga
@RBSMABATI
@RBSMABATI 5 ай бұрын
Nimelia sana
@mmwerabukuku
@mmwerabukuku 5 ай бұрын
Nilipokuanasikilizamachùźi yanànitoka kwa uchungùpoĺè 7:0😢5 😊
@marylibaba2589
@marylibaba2589 5 ай бұрын
Mungu wangu jamaniii
@user-xq6rg2pb1x
@user-xq6rg2pb1x Ай бұрын
Uwiii no comments munguu wangu
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 Ай бұрын
Alafu mwandishi kaandika milioni kumi😂😂.makonda njoo uwatumbue hawa wanaandika wanacho kijua wao😂😂
@NuruhSamson
@NuruhSamson 9 күн бұрын
Moyo unauma jmn daah
@DenisMafie-lc7io
@DenisMafie-lc7io 2 ай бұрын
😢😢😢😢
@kihangaboymsafi3455
@kihangaboymsafi3455 5 ай бұрын
Pongez
@japhetgoliama
@japhetgoliama Ай бұрын
Haya ni mambo ya kishilikina
@malindimalindimerinyo1632
@malindimalindimerinyo1632 5 ай бұрын
Pamoja na fedha hizo waliofanya unyama huo washughulikiwe kikamilifu ....fedha haziwezi kununua utu au uhai jamani
@martinabayyo9982
@martinabayyo9982 5 ай бұрын
Makonda naomba ugombee uraisi labda tutapona
@jumarajab5316
@jumarajab5316 5 ай бұрын
mbona hela wamechanga watu hapo hapo
@shabani_kitemba
@shabani_kitemba 5 ай бұрын
Ulitaka achange nani
@hildajoel5
@hildajoel5 5 ай бұрын
Yaani nilikua sielew kwa nn kuna watu wanajichukulia sheria mkononi. Imagine mtu anafanya upuuzi kama huo halafu unamuona uraiani anatembea haki inauma sana. Ingekua magu yupo maamuzi yake tungependa. So sad jaman😢😢😢😢
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 5 ай бұрын
Makonda amechukuwa nafasi ya makufuri ni mtetezi wa wanyonge ,jamani hii ndunia Ina mambo mengi Sasa unaenda kumfanyia mtoto hivi jamani mbona roho za huruma zimeisha mtoto amezaliwa vizuri mkamtie ulemavu jamani haaaa!!! Nimeumia Mimi uwiiii
@user-hu5mk5dj6g
@user-hu5mk5dj6g 12 күн бұрын
😭😭😭😭😭
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 35 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 35 МЛН