Tangu uyu mama ameingia madarakani yangu nchi ina matatizo makubwa mno kila sehemu, tani wanachelewesha mfumo ni rushwa tu
@wozanawewoz97910 ай бұрын
Yaani nchi yetu jamani
@shabansumaiya477010 ай бұрын
Kwani mtu siakate reseni yauhalali
@user-ye8bl4tz6w10 ай бұрын
Safisana muheahimiwa akili nyingisana mkuu nakuelewa sana mkuu
@aliferuzi153710 ай бұрын
Kkuu wa mkoa aliona hili hata JPM aliwahi liongelea kila mtu Mkubwa hata mgambo anasumbuka si AJABU anakupiga risasi
@user-xx8jx6tb7d10 ай бұрын
Hayo ndio maneno baba sio kufanya kaz ilimrad tu
@zobakazizi763710 ай бұрын
Hapo wanavuruga mifumo wanataka kutoka kwenye mfumo warudi manual ili wapige.
@user-or8ow5vr7m10 ай бұрын
Kama kuna maroli yanaenda Zambia tunaomba serikari yetu nayo iwakwamishe kama wanavotusumbua sisi uku kwao
@francisgituti249410 ай бұрын
Huyo unakuwa ni unyambilisi a. K mfumo duni. Weld one mkuu mtaka Elimu hiyo imewangia vema
@msangodiesel313210 ай бұрын
Njombe imepata kiongozi chini sasa
@RoanCorporation10 ай бұрын
Maliasili ny kama Lantra , awako rafiki kwa wafanyabishara
@nth351210 ай бұрын
Mfumo kusumbua sio sababu ya kushindwa kufanya kazi, TZ bado nchi changa upande wa technology ndo maana mifumbo inasumbua. Lengo la vibari ni kukusanya mapato km serikali, pokeeni pesa kwa utaratibu wa kawaida hata cash af baadae mtaweka taarifa hizo kwenye mfumo. Yani viongoz wenyewe hawana ufaham na technologia, vitu vidogo vya kufanya maamuzi kwa akili za kawaida ila mnakuza mambo tu. Yani sababu ni nyingi, kila kitu hadi muambiwe.
@nelsonnyamle10 ай бұрын
Iringa ukitoka geti la kihesa mpaka migori walau hapa kidogo panaumbali.Njombe yetu mageti utitiri .Kibena ,Lulanzi,Ilunda, Lyamkena,Mizani makambako.Yaani njombe makambako mageti 6 halafu wengine wanazima taa maksudi kwenye vibanda vyao ili ukipita tu wanapiga simu mbele kisha wanakwambia faini milion
@johnchungwa-ei7xj10 ай бұрын
Inchi niyetu mageti yotehayo yanini moja tu linatosha mkulima wamiti anakufa kabisa
@nelsonnyamle10 ай бұрын
Mkuu wa mkoa umeongea jambo la maana yaani unagongesha mihuri mpaka kero.Kila baada ya kilo mita tano kumi geti.
@timetravellor536710 ай бұрын
Muwalipe faini uwo ni ujinga wenu
@ayubusanga499710 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢
@msafirimfilinge822210 ай бұрын
Rushwa hizo nyie 🤣🤣🤣
@SAHILSHAABAN10 ай бұрын
Hamna lolo te ni wizi mtupu hapo
@onesmombele257110 ай бұрын
Mkuu wa mkoa njombe wewe unastahili kuwa waziri wa maliasili, Maana ulivyochambua utendaji wa haya majeshi yetu. Tunaona kula siku muingiliano ni mkubwa,
@user-fw9vk3lo1s10 ай бұрын
Ninakushukulu mkuuwetu wamkoa nimependa majibu hayo yameonyesha kuawewe nimzalendo watnzania yet mngu ukupe uzima
@ibrahimhodabaksh393910 ай бұрын
MAGETI YANINI MTUKALI JAMANI UPIGAJI TU
@ibrahimhodabaksh393910 ай бұрын
MAGU MAGU BABA UPIGAJI TU
@jameskivelege863010 ай бұрын
Huyu ndiye mkuu wa mkoa wa kisasa, congratulations Mr Mtaka. Saidia wafanyabiashara ili kuongeza tija.
@epafraditopajenga465010 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/oaDWooern7yLqposi=BmAIXyBV2W2Tw_Df Hii Ni Shida Kutokana Na ?