Good mom tetea hake Yako utapata mungu Yuko na ww namuheshimiwa Yuko na ww kwa hakee yako
@saidmbarouk3553Ай бұрын
dunia ina mambo sana pambana makonda😢😢😢
@angellomarcel5677Ай бұрын
Duh..!😭😭😭😭😭😭😭😭 Huyu Mama RPC introduction yake ni wazi ni Muongo ana jambo analijua ndani yake..Makonda msaidie.. Kama Waziri Mkuu aliwahi kutolea Maamuzi vipi muache kumsaidia huyu Mama..Askari huyo Mama fukuza..
@user-we1tb8tx8v5 ай бұрын
makonda uko sawa wasikutishe
@user-ng6yt2od7lАй бұрын
MAKONDA OYEEEEE
@yukundapeter82005 ай бұрын
Xuberi Kened na huyo mwingine yakamatwe yanyongwe hadharani.
@user-ql6fg3bs8y5 ай бұрын
Makonda msaidie mama huyo
@user-ng6yt2od7lАй бұрын
Penye makonda kama hauna moyo usiangalie lazima ulie tuu
@user-bp4vy6ui4p5 ай бұрын
Mama Samia ujuwe aliekupa Haya madaraka Ni Allah subhana wataala ole wako hiyo siku ya kusimamishwa mbele yake Allah subhana wataala akuuleze nilikupa Nchi uwe Rais na watu walikua wana zulumiwa na unaona na hakuna kitu ulifaya kuamua haki,,, Subhana Allah hapo utajuata😢
@SaidNjenjemaАй бұрын
Yesu,,kwan yesu ndo uyu kaludi kawatokea watu tena tanzania?
@fardoshnassor78475 ай бұрын
😢😢
@sengendotwaha93335 ай бұрын
Shinyanga!!!!!!!!!!
@albertinamichael61235 ай бұрын
Huu ni uozo wa selikari.
@yukundapeter82005 ай бұрын
Afande unamtoa wapi huyo wa 3 wakati ni wawili? Umechanganyikiwa??