MAMA MMOJA MKAZI WA UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM ALIWEKA NADHIRI YA KUWA AKIPATA MTOTO WA KIUME ATAMPA JINA LA SHEIKH NURDEEN KISHK NA ALHAMDULILLAH BAADA YA KUMPATA MTOTO HUYO AMEWEZA KUMWITA KWA JINA HILO.
Пікірлер: 204
@amenaallahawazidishieumrin62352 жыл бұрын
Maashallah Mola amuhifadh shekh wetu na wote wanaowapa watoto majina kama LA shekh Mola awajalie wawe kigizo chema na kizazi chema chenye kher na Baraka Mola awakuze ampe umri mrefu we nye kheri na Baraka na afya njema shekh noor dinkishk
@omaralisalim23952 жыл бұрын
Molla ampeee upeo kama wa shehe kishk amiin
@Yarahman8382 жыл бұрын
Mashallha anaroho ya peke yake sheikh wetu kipenziiiii mach love
@rsbjvjdjgh21812 жыл бұрын
mashaa allah Allah amuongoze afate nyayo za shekhe wetu kishki
@filephotooman17942 жыл бұрын
Mashaalla allaatukuzie naamuongozi afate mwendo wake kishki amin yarabillghalamini
@rsbjvjdjgh21812 жыл бұрын
amina amin amin amin yarab japo nipo mbali Allah atuhifadhi sote kwa idhini yake
@skjjsj18892 жыл бұрын
Ma sha allah
@amurisabiti70372 жыл бұрын
Takbiir Allahu Akbaru from congo DRC 🇨🇩 love sheihk kishk
@alhamdulillah57962 жыл бұрын
Maa shaa Allah. Allah amkuze kwenye misingi ya kiislam, Amiin.
@zulfahussein67842 жыл бұрын
MashaAllaah tabaraAllaah kabisa twampenda sheikh wetu kishki Allaah azidi kumuhifadhi
@rsbjvjdjgh21812 жыл бұрын
Allah akupe afya njema shekhe wetu kipenzi Nurdin kishki tunawafuatilia kwa karibu
@banihashim53472 жыл бұрын
ALLAHU AKBAR
@heyumi23402 жыл бұрын
mtoto kusikia kishki kaitika 😁😁🥰🥰🥰maashaallah
@bintsalimalbimany2872 жыл бұрын
Mashallah 😭nimelia kwa furaha Allah. Amuongoze inshaallah amhifadh na maovu hongera sana mama hio ni zawad kutoka kwa Allah wengi wanazaa lkn hawakujaaliwa Hilo alf mabrook namtt afate nyayo za sheikh wetu😍❤️🤲🤲😍😍😍😍😍😘
@khadijahali48372 жыл бұрын
Allah amkuze miaka ya baadae tuje tujivunie yy km sasa tunavyomzungumzia shekh wetu Kishk kwa sasa
@furahamossi31992 жыл бұрын
Mansha Allah sheikh tabarakallah, acha muda wa Allah uongeye sheikh Nouru hiyo nyota kiboko
@jasminjuma63902 жыл бұрын
Waalaykum Salam warahmatullah wabarakatuh
@kondeboykondeboy41142 жыл бұрын
Asante sana sheik nami ivyo mungu akinijalia nikiza mwanamume nampa jina ilo lá kishk nurnde
@HawaZuberi-gc9iv
Maansha Allah wako wengi wakina kishki wamezaliwa ila wengine hawana gisi ya kukufikiya Allah akuhifadhi sheikh wetu
@aishamohammed35472 жыл бұрын
Ma sha allah ...mipia mkubwa wangu wakike alikutaja shekhe kutoka kenya 1st born wake ni NURDEEN KISHKI 😍