MAMBO 4 YAKUFANYA MWANAUME AKUKUMBUKE.

  Рет қаралды 194,118

Mbeki TV

Mbeki TV

Күн бұрын

Пікірлер: 505
@NoeliaErnesti
@NoeliaErnesti Ай бұрын
Mimi hua nakaa kimya ikifika usiku saa tatu natuma mesg '"usikumwema aaawe hakubali anapenda kuongea na mimi usiku saana je ni sahihi?
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@NoeliaErnesti sijaelewa tatizo lako ni lipi hapo ni kutuma text au kuongea na simu🤔
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 10 ай бұрын
Mimi mwanaume alinambia pia siwez kuishi bila ya yeye, kwakua nampapatikia, namnyenyekea kla siku, ila sahiv nimeacha mwez wa pil huu sahiv sjamtafta na yeye hajantafta mpaka Leo.
@bnztechnologies2676
@bnztechnologies2676 10 ай бұрын
mpotezee nyumbu huyo
@HappyChona
@HappyChona 10 ай бұрын
​@@bnztechnologies2676nyoko
@HappyHockey-rx1fq
@HappyHockey-rx1fq 7 ай бұрын
Jaman nitafanya ivyo kwanzia sasa
@HalimaSeifu
@HalimaSeifu 6 ай бұрын
By
@witnessmahenge
@witnessmahenge 6 ай бұрын
😅😅
@BLESSSTEPHEN
@BLESSSTEPHEN 2 ай бұрын
Jamani acheni utoto hauwezi kukaa kimya kwa mwanaume au mwanamke unempenda na hakuna mahusiano mazuri bila mawasiliano 😮
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@BLESSSTEPHEN hili ni kwa wote but wanaume wengi wanatabia yakutegea wengine
@ElizabethJackobo
@ElizabethJackobo 8 күн бұрын
Mmh ilamdamwingine wanaume awaeleweki ukimpg mdamwingine anachukia usipo pg napo ndoivo
@chokinare8737
@chokinare8737 5 ай бұрын
Wongo mtupu kutowasiliana vizuri n madharau hata boss unashika simu haraka ju unamheshimu
@Salome-qv8nk
@Salome-qv8nk 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@spreadlove5300
@spreadlove5300 Ай бұрын
Yote haya hutegemea ntu na ntu 😢😢 ili mradi chunga isiwe one sided mapenzi
@salmamimmay1698
@salmamimmay1698 13 күн бұрын
Mie mwanaume wangu usipopiga siku moja to mahusiano yanaisha
@nataliaananias5613
@nataliaananias5613 6 ай бұрын
Mm nilijaribu kufanyaivyo,miez3 sasa hajanitafuta,naona ndio tumeachana kiivyo
@grice2075
@grice2075 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Vizuri umepata majibu mapema
@tiffahdevivah
@tiffahdevivah 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@tiffahdevivah
@tiffahdevivah 5 ай бұрын
Hata me imenikuta mweee😂😂😂😂
@NaimaKhamiss
@NaimaKhamiss 5 ай бұрын
😅😅😅😅
@tatuathumani3822
@tatuathumani3822 Ай бұрын
Ila sio msg ya pesa yaan aniambie nikutumie ktk namba ipi nisijibu hapana
@ummibabysalim9522
@ummibabysalim9522 8 күн бұрын
Asante kwa ushauri kaka nimejifunza kitu 🎉❤
@marrypeter7488
@marrypeter7488 7 ай бұрын
This is very true ata wangu nikimnuniaa baadae ananitftaa kwa hili nimevuka kwakwel😊😊
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Good
@StevenEdison-eq5nd
@StevenEdison-eq5nd 4 ай бұрын
Mi pia
@mbekitv693
@mbekitv693 3 ай бұрын
@@StevenEdison-eq5nd Karibu katika darasa langu la WhatsApp tuendelee kujifunza mengi pamoja, na kushauriana mambo mbali mbali. 0659152333.
@Maurinemenza
@Maurinemenza 8 ай бұрын
Kama mimi hapa nikiona text hvi pap ndio hyo mmi nareply 😢kwanzia sahi siezi rudia tena thnks bro umenisave sana❤❤❤❤❤
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Karibu sn mpendwa
@GaudeGaude-wl5un
@GaudeGaude-wl5un 2 ай бұрын
Yan mm mpenz wangu huwanaanza kumtafta lkn nlijalbu hyo n mwez wa 2 sas cjaona ata sms yake
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@GaudeGaude-wl5un then hilo ni jibu tosha kwamba wewe sio kitu muhimu kwake
@HabidaAhmadi
@HabidaAhmadi Ай бұрын
Na kweny mitandao huko tume unfollow kila mmoja wetu😂😂 hatar sana
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@HabidaAhmadi doh😀
@Nnietechnology
@Nnietechnology 5 ай бұрын
Lkn mbona nyie ni kama mnatuchanganya jamani😢wanaume wenyewe hawana huruma hawa, unampenda unamjali lkn na wao wanatafta wa kumjali na kumpenda😢, nilijaribu kufanya yote hayo lkn aliishia kucheat tu kunidanganya😮
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Karibu katika darasa langu la whatsapp tujifunze pamoja🤝 0659152333
@MarthaHitra
@MarthaHitra 4 ай бұрын
Kaka Asante Yani me ndo pigo zangu hz ata wiki mbili namalza hasipo nitafta fresh akinitafta pia fresh Sina papara
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Mmh
@LucyMusenya-h1w
@LucyMusenya-h1w 2 күн бұрын
True thanks
@jenifasoka9031
@jenifasoka9031 2 ай бұрын
Za kuambiwa changanya na za kwako
@MalaikaMsomali
@MalaikaMsomali 2 ай бұрын
😂😂kweli kabca
@NeemaPaschal-y2g
@NeemaPaschal-y2g Ай бұрын
Dah asante saaan nashukuru kwa ushauri wako nimejifunzaa kitu
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@NeemaPaschal-y2g good👏
@monallyliay8364
@monallyliay8364 4 ай бұрын
Wangu toka ameenda njee ajanitafuta ana kaz kumwambia mdg wake anisalimie kwel mapez hayoo jamannn
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Mambo yako wazi
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 2 ай бұрын
Kweli kabisa😢😮😮
@nayfatsalim7828
@nayfatsalim7828 4 ай бұрын
Nitaendlea kumtafta kla asbh mchna n jion kuhs hali yke n vengn as long hjawai knjbu vbya n nd anafurahia aswa hhh huu ushaur kwngu nahc nikudharauliana t huez amka asbh bla kumjlia hali mwenzio hjui kaptw n nn km mfn juz alichomw n samak alivmba mkon mm naon kimny t kumb maskn amevmba mpk kapta homa
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Sawa mpendwa usijali nakuelewa🙏
@LenathaCholobi
@LenathaCholobi 2 ай бұрын
Sna neno zaid ty ya kukushukuru nme2mia hzo mbinu sahv napetaaaa tyy
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@LenathaCholobi 😀👏
@DianaAgonza
@DianaAgonza 5 ай бұрын
Akili za kuambiwa,,changanya na za kwako
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝
@ByuriDotla
@ByuriDotla 4 ай бұрын
HAhaaa
@aishadady5439
@aishadady5439 6 ай бұрын
Umenipa dawa,maana nilikuwa sina raha huyu mwanaume kila nikiamka naanza kumtumia msg,usiku namtumia mm maana yuko mkoa mwingine,ss najiuliza mambo haya mpaka lini....juzi juzi nimekula bati siku2 naona msg oooh mbona unanitenga,..umenisusa,kumbe ndo dawa hiyo
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Ahahah😀
@KihenguKihengu-jp6ef
@KihenguKihengu-jp6ef 5 ай бұрын
Huyo anakupenda ila kama hakupend ndio unakua umempa tiket
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
@@KihenguKihengu-jp6ef nakukaribisha katika darasa letu la WhatsApp tuzidi kujifunza pamoja.
@JanetNalianya
@JanetNalianya 4 ай бұрын
Thanks bro ndo mimi sasa imagine naona msg yake bt siwesi jibu mpaka anashusha kwa nini huwesi jibu msg yangu
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
No usiendekeze hiyo tabia bali fanya hivyo kama ukiona hana muda na wewe, ila kama yupo vizuri na wewe basi usimfanyie hivyo
@SallyYusuph
@SallyYusuph 3 ай бұрын
Hyo ni kwel kbc nxhawah fany then matokeo nliyapat
@LightnessMnyanga-uj4yx
@LightnessMnyanga-uj4yx 3 ай бұрын
Yaan mi nisipoongea nae nahic naumwa 😂ngoja nijaribu kama nitaweza mpaka yeye anitafute , kiukweli ninashobo sana
@mbekitv693
@mbekitv693 3 ай бұрын
Pole
@VERONICAJOSEPH-y9k
@VERONICAJOSEPH-y9k 2 ай бұрын
Mwingine ukifanya hayo anakufikilia kuwa umeanz kumcheat
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@VERONICAJOSEPH-y9k yeye akifanya hivyo?
@shamyramaa
@shamyramaa 6 ай бұрын
Ivi mashoga wanaexperience hii kitu kweli😢
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Mashona ukiwa na maana gani, marafiki au wanaume wanawake?
@AneciaProjestus
@AneciaProjestus 4 ай бұрын
Jamani kaka mtu mwingine ukifanya uwezi kumpokea onetime utaulizwa maswali kaa upokituo chapolic
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Na yeye akifanya hivyo unafanyaje?
@harrietajiambo229
@harrietajiambo229 5 күн бұрын
Naomba no yako kaka
@AlphoncinaKamala
@AlphoncinaKamala 4 ай бұрын
Wengine ndo zao ukichuna ndo hakutafuti milele..sasa huyo utafanyaje wakati wapenda kaka
@hawamzuri
@hawamzuri 4 ай бұрын
Sema wewe
@asiashabanishimba7607
@asiashabanishimba7607 4 ай бұрын
Akufai huyo
@NaomyKembo-t6y
@NaomyKembo-t6y 9 ай бұрын
Kwangu iko tofauti mi nikiona mtu yuko hivi anajifanya yuko bze kama hataki kuongea na mimi kumbe anataka basi namuacha kabisa koz huwa naamini mtu ukimpenda utatamani kumuona au kumsika mara kwa mara ikitokea ananikwepa kwepa baas napiga chini nisije nikawa najipotezea muda
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Usiwe unakimbia tengeneza mahusiano yako
@EDITHAJOSPH
@EDITHAJOSPH 6 ай бұрын
Mie kunasiku alinipigia cm sikupokea wala sms sikujibu akanitumia text shida nn mbona upokei cm walaujib sms
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Sasa why ukupokea ama kujibu text? Mimi nimesema usipopokea then umpigie baada ya muda au text chelewe kujibu na sio mara zote fanya hivyo kama yeye ameonyesha tabia za kukutegea wewe ndio uwe unamtafuta. Lakini kama hana tabia hiyo basi kuweni sawa tu
@HassanHaji-q3w
@HassanHaji-q3w 6 күн бұрын
Asante kaka
@LakiaAlly
@LakiaAlly 2 ай бұрын
Acha kupotosha wenzio
@HabidaAhmadi
@HabidaAhmadi Ай бұрын
Mi tynakaa hata miez mi3 hatutaftani ila fresh tu
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@HabidaAhmadi hiyo sio sifa nzuri ni kama mnajipotezea muda tu
@rachelsimbeye9637
@rachelsimbeye9637 4 ай бұрын
Ngoja nijaribu
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@rachelsimbeye9637 fanya kama ukiona yeye hajali kuhusu wewe Ila kama anakujali na kukukumbuka usifanye.
@LightnesJamess
@LightnesJamess 7 ай бұрын
😂 kwakweli mimi hapo kama unaniambia mimi kabsa, kwenye kumpigia sm kujibu sms onhoo!hadi huwa analalamika. Sana,, kumbe nafanya vizuri eee!😂
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
No mimi namaanisha balance sio ufanye makusudi bali kuwe na balance ya kutafutana sio kila siku mtu mmoja tu ndio anamtafuta mwenzake.
@graciousmtei2571
@graciousmtei2571 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@nicehonesty912
@nicehonesty912 6 ай бұрын
Nimechekaa
@aishaabdahh1957
@aishaabdahh1957 6 ай бұрын
Shukran kaka kwa ushauri mzuri mnoo wallah nimejifunza
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Karibu saana, na usiache ku subscribe🙂
@salmakiti1517
@salmakiti1517 6 ай бұрын
Yote uliyo sema mm ndio niko hivyo jamani anipenda kumbe asante mkaka😂❤
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Karibu sn
@JoyceMichael-e7z
@JoyceMichael-e7z Ай бұрын
Ahsante kaka kwa ushauru mzuri nimejifunza kitu
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@JoyceMichael-e7z good nafurahi kusikia hivyo
@neliajosey8666
@neliajosey8666 Ай бұрын
Wewe ngoja nifanye hivo nikiachwa nahamia kwako,
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@neliajosey8666 karibu😊
@peresdismas7930
@peresdismas7930 5 ай бұрын
Mimi ananipigia kila mara paka sipokei sanyingine au nikipokea hukowapi naomba nikuone only raini paka naisi haniamini
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
nakukaribisha katika darasa letu la WhatsApp tuzidi kujifunza pamoja.
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 5 ай бұрын
Wangu leo cjamtafuta ,mwenyewe kaanza mbn uko kimiya my
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Good😀. Haya karibu kutazama somo jipya nimepost tayari.
@ElidaMwandupe
@ElidaMwandupe 3 ай бұрын
Ushauli mzuli sana nimeufata naona kabisa ndoa inaniusu❤
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@ElidaMwandupe 😀
@pendolema6038
@pendolema6038 4 ай бұрын
Asante ,mwaka huu naolewa jmn😂😂💃💃🧖‍♀️
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Good😀
@Muna-h8b
@Muna-h8b 3 ай бұрын
Nimecheka
@MariamAbuubakar-e5o
@MariamAbuubakar-e5o 10 ай бұрын
Asante kaka kwa kunifunguwa kichwa
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Karibu sn
@Jackline-je4lj
@Jackline-je4lj 5 ай бұрын
Nmekuelewa naitaji kujaribu
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Karibu katika darasa letu la whatsapp tujifunze zaidi na kushauriana😊🤝 0659152333
@EvoladaItosi
@EvoladaItosi 6 ай бұрын
Basi me nimejiongeza nimeamua kukaa kmy nawe yup kmy wiki y pili sasa 😢 nais ndo tumeachn.
@graciamzumbwe4405
@graciamzumbwe4405 6 ай бұрын
😂😂😂
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Sikiliza ujumbe ulioupata
@RachelLaizer
@RachelLaizer 5 ай бұрын
😂😂
@EvelinJovian
@EvelinJovian Ай бұрын
Nimejifunzaa kitu apa kwakweli
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@EvelinJovian eti eh?
@EstherLekerde
@EstherLekerde 4 ай бұрын
Acha nijaribu nitakupa feedback
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Good luck 😊
@RegloveElias
@RegloveElias 7 ай бұрын
Jamn mm huwa naanza kumtafuta bwana angu kila xiku ila xiku nixipo mtafuta analalamika mbona hujanitafta leo unajixikiaje kutoongea na mm, hapo nifanyeje kaka angu
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Nadhani unepata majibu usipoanza kumtafuta? Anakutafuta yeye good. Hiyo ndio maana yangu so kikubwa Mwambie sio mbaya ata na yeye akiwa anaanza kukutafuta kwa maana nyie ni binadamu siku hazifanani pengine siku unaamka hauna vocha ama uko busy ama ni Mgonjwa ata kushika simu uwezi ama marehemu kabisa hivyo ni vyema wote mkiwa mnatafutana ndio vizuri kuliko mmoja tu ndio awe mtafutaji
@Maurinemenza
@Maurinemenza 8 ай бұрын
Thnks alot kaka umenisaidia sana bro 🤜🤜🤜🤜
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Karibu sn
@mayahgomez
@mayahgomez 23 күн бұрын
Asante baba ,kwa mafunzo nimekuwa mjinga sana ila sai mmmh Pembe zimetokana
@Mimy_keys
@Mimy_keys 6 ай бұрын
Asante Kaka , Duh Wanaume bana ukiacha kumtafuta anajuwa uko busy na Mwengine 😂😅 Ila hilo la Kumuaga wa 1 kwenye Maongezi aisee ndo komesha 😅😂😂 Utaskia mm ndo nimekupigia , ooh unataka kuongea na nani , mara ao maongezi yng hayana mana sieti ? 😂🤣🤣🤣
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Kinachofanya mtu ajali sn ni hofu na mashaka mtu akishindwa kuwa na hofu hawezi kukujali, wanaume wengi ndio wako hivyo akiwa hana hofu na wewe basi utaona anakupuuzia cos anajua hakuna utakachoweza kufanya wala utakapoweza kwenda. So ukimtengenezea hofu bali mara zote atajitahidi kufanya the best hili kuhakikisha unakuwa mwenye furaha hili asijiharibie
@RehemMaige
@RehemMaige 3 ай бұрын
Nmekuelewa sana sana
@ScholaMalale
@ScholaMalale 5 ай бұрын
Yani ww kaka nimekupenda sana Axante kwa ushauri
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Karibu sn mpedwa😊. Na nimepost video mpya karibu utazame.
@SaraMsawila
@SaraMsawila 5 ай бұрын
Thanks brother kwa ujumbe wako mzur xana umenifungua ki2 flani ambacho siku najua ❤❤❤
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Karibu katika darasa langu la whatsapp tujifunze pamoja🤝 0659152333
@VailethNzowa
@VailethNzowa 5 ай бұрын
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
@@VailethNzowa Karibu katika darasa letu la whatsapp tujifunze zaidi na kushauriana😊🤝 0659152333
@zaitunimustapha9718
@zaitunimustapha9718 Жыл бұрын
Swadakta ni kweli kabisa
@mbekitv693
@mbekitv693 10 ай бұрын
Hakika
@ChristinaGomisi
@ChristinaGomisi 3 ай бұрын
Hiii ni tabia Anguu kabisa na inasaidiaa sana
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@ChristinaGomisi but usiizoee😀
@happinesssupila
@happinesssupila 5 ай бұрын
Asante sana naanza leo kutekeleza
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝
@WitnesWit
@WitnesWit 4 ай бұрын
Jaman uxhauli mzuli axant xana jaman
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Karibu sn
@TausiMfaume-ge5es
@TausiMfaume-ge5es Ай бұрын
Nimekuekewa kaka na huko sahihi
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@TausiMfaume-ge5es asante sn
@GraceJames-q1i
@GraceJames-q1i 6 ай бұрын
Hiz ndo pigo zake kwangu sasa namgeuzia yeye 😢
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
But be humble pia usifanye kama kisasi
@JoshuaAtupele-oy5op
@JoshuaAtupele-oy5op 6 ай бұрын
Me mpenzi wangu anataka nitoke chuo niende kwak na napitwa Ma masom nifanyaj
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Somo
@Yonagracedaniel
@Yonagracedaniel 6 ай бұрын
Soma
@sein.208
@sein.208 4 ай бұрын
Wangu ukinyamaza na yeye ananyamaza kabisa...
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Ilo ni jibu pia
@vffvff6317
@vffvff6317 8 ай бұрын
wgu ata ni piga kma si pokeya simu yke😅😅😅Wye
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Pole
@hilariakayanda5869
@hilariakayanda5869 4 ай бұрын
Kweli ww ni mwombeki (mjenzi)
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
HAHAHAH
@shaniterloveran8342
@shaniterloveran8342 6 ай бұрын
Kwakweli hapo kwenye kumtafuta kwenye cm,ama kweli nakuaga single maana simpigiag wala situmi sms
@gmamy-zo2lb
@gmamy-zo2lb 4 ай бұрын
Asant sas mkak Kwa ushauri wak mzr
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
karibu sn
@FatmaMohamedy-n4r
@FatmaMohamedy-n4r 4 ай бұрын
Wng nkmpotezea anajrud
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Ilo ni jibu
@bernadethachristopher
@bernadethachristopher 8 ай бұрын
Mubaba huwa nakuelewa sana.. Huwa hukosei kabisa kwenye ishu za ushauri..mi nimejinza na nitaendelea kujifunza kwa maana kwa sasa naishi kwenye njia zote.. ubarikiwe sana
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Asante sna mpemdwa🙏
@shabanikitula645
@shabanikitula645 5 ай бұрын
Hii yakwanza naipenda ilimfanya mtu akajitambulishe bila kupenda
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝
@gracekasongo9181
@gracekasongo9181 5 ай бұрын
Courage vraiment mon père🙏🙏🙏
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Thanks
@MariamAbuubakar-e5o
@MariamAbuubakar-e5o 10 ай бұрын
Asante kaka kwa kunifunguwa kichwa maana mm hiyo zangu
@mbekitv693
@mbekitv693 10 ай бұрын
Hongera sn mpendwa 😀👍
@Hadija-i8z
@Hadija-i8z Ай бұрын
Ahxant kwa ushaur🎉🎉🎉🎉
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@Hadija-i8z karibu sn
@anethiyeliudy1119
@anethiyeliudy1119 3 ай бұрын
Ukosawa kiogozi wetu
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@anethiyeliudy1119 fanya kama ukiona yeye hajali kuhusu wewe Ila kama anakujali na kukukumbuka usifanye.
@nadiamanirakiza3908
@nadiamanirakiza3908 6 ай бұрын
Ni kweli jamani nime test 😊 imenisaidia
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Wow dat iz good👏
@clarampaki
@clarampaki 5 ай бұрын
😅😅😅😅daaah
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Karibu katika darasa letu la WhatsApp 😊🤝
@AyishaAyisha-k9r
@AyishaAyisha-k9r 3 ай бұрын
Asante kaka
@mbekitv693
@mbekitv693 3 ай бұрын
Karibu
@MARIAMABDUL-zb8yu
@MARIAMABDUL-zb8yu 4 ай бұрын
Natamani nipate ushaur
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Karibu whatsapp mpendwa
@suzanbegas4139
@suzanbegas4139 7 ай бұрын
ASANTE SN 🙏🏼 Hi Nikweli kabisa 💯🎯✔️ Jana nimefanya yote hayo
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Good 👍🙂
@RestutaFesto
@RestutaFesto 3 ай бұрын
@@mbekitv693 Aiseeeeeeee Baraaaaaaatup
@فاطمةفايز-غ1غ
@فاطمةفايز-غ1غ 3 ай бұрын
You have saud it all.thanks.
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@فاطمةفايز-غ1غ thanks 🙏 😊
@MaryGabriel-e8x
@MaryGabriel-e8x 4 ай бұрын
Hasante sana kwa ushauli nzuli sana
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Karibu kwenye darasa la whatsapp group.
@shamsaramadhan5283
@shamsaramadhan5283 5 ай бұрын
dah yaniiii😢😢😢 hadi najiona najipendekeza jaman laaaaaa
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝
@AngelShedrack-q4u
@AngelShedrack-q4u 5 ай бұрын
Kumbe mm nakuwaga na karo kihere here eeee nmejifunzaaa brooo shukran dr brother
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Karibu sna😊👏. Nimeweka video mpya karibu kutazama
@KaviraMbimbe
@KaviraMbimbe 4 ай бұрын
Kaka mungu a ku bariki
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Amen
@myTanzanianplate
@myTanzanianplate 6 ай бұрын
Knomaa....nimekuelewa sana
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Good
@gracekasongo9181
@gracekasongo9181 5 ай бұрын
Courage vraiment mon père🙏🙏🙏
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Karibu katika darasa letu la whatsapp tuzidi kujifunza pamoja na kushauriana zaidi.. 0659152333😊🤝
@MayasaJuma-kk1zi
@MayasaJuma-kk1zi 2 ай бұрын
Xaxa km mume wa mtu😅😅😅😅lzm utulize komwe utaftw
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@MayasaJuma-kk1zi why utoke na mume wa mtu sasa huyo si ameshawahiwa sasa hapo inabidi utafute wako tu😀
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@MayasaJuma-kk1zi Ila umesema vizuri maana wengine wako na Waume za watu ndiomana itakuwa ngumu
@DelilaKazamaso-bq4hy
@DelilaKazamaso-bq4hy Жыл бұрын
Asante sana Kaka 🙏🙏🥰
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Karibu
@gracekasongo9181
@gracekasongo9181 5 ай бұрын
Jambo papa asante kwamashauri zako❤
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Asante na karibu sn
@AquilinahSamuely
@AquilinahSamuely 2 ай бұрын
Asante kwa ushauri mzury
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@AquilinahSamuely fanya kama ukiona yeye hajali kuhusu wewe Ila kama anakujali na kukukumbuka usifanye.
@NsabimanaAnge-lj4qp
@NsabimanaAnge-lj4qp 4 ай бұрын
Dah asnt sana walai 😢
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Karibu sn😊🙏
@KuvunaGonda-l4f
@KuvunaGonda-l4f 7 ай бұрын
Nikweli KK. Hapo umesemakweli kweliii
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Yah
@Hashim-p4d
@Hashim-p4d 3 ай бұрын
This is true ❤
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@Hashim-p4d hakika
@winilucas
@winilucas Ай бұрын
Asantee❤
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@winilucas Karibu sn
@ElaineAkimana
@ElaineAkimana 9 ай бұрын
Asante saana kama ukikuta nayey izombinu anazijua simtakuta mahusiano yana vunjika??
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Swala sio mbinu bali ni muhimu kuishi bila kutegeena cos kama hayo ndio yakiwa maisha yenu amuwezi kufika popote ata kama sio swala la kutafutana Ila lipo eneo lingine mtakoseana na kutokana na kutegeana mtaachana tu
@HeriethLukind
@HeriethLukind 5 ай бұрын
Nipotayr
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Nicheki WhatsApp 0659152333
@FLORAKYABARA
@FLORAKYABARA Ай бұрын
Asante
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@FLORAKYABARA karibu
Dr.Chris Mauki: Maneno haya 6 yatakufanya upendwe Zaidi.
8:11
Chris Mauki
Рет қаралды 434 М.
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 2 МЛН
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
UDHAHIFU WA MWANAUME #mapenzi #upendo #ndoa #uaminifu
27:12
Mbeki TV
Рет қаралды 2,1 М.
Dr. Chris Mauki: Mambo 3 mumeo ana kiu kuyaona kwako
6:03
Chris Mauki
Рет қаралды 123 М.
NAKUPENDA MWALIMU NIKUVALISHE PETE  STEVE MWEUSI
14:04
Mweusi Family
Рет қаралды 6 МЛН
NJIA 3 ZA KUMUACHA MTU UNAYEMPENDA.
8:50
Mbeki TV
Рет қаралды 23 М.
😲WHEN TWO EX MEET ON HELLO MR RIGHT KENYA .🏃‍♂️🤣
4:14
St Rembo TV
Рет қаралды 2,1 МЛН
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 2 МЛН