Powerful stuff, a very useful lesson my good brother Joel
@joelnanauka2 жыл бұрын
Ahsante sana kaka mkubwa
@olivier6600 Жыл бұрын
Nafulahiya visomo
@YusufuMichael-zj7fv4 ай бұрын
Nyie watu mnanifundisha mengi. Nimefrahi kuona mnakutana hapa
@ghfhfdtyfgggd62712 жыл бұрын
Asante kaka Joel nilikua na madeni mpaka napata depression. Tanguy nianze kukufatilia nikajua jinsi ya kuepuka madeni.kwa sasa niko free nashukulu sana.
@brackskinyozi32809 ай бұрын
Asante joel nakufatilia kw..umakinanu... n... Alex..kutoka.... Kenya... mungu azidi kukubariki..xana.....
@ashaidd29122 жыл бұрын
Nashukuru Sana mungu akuweke nipo hapo ktk kuweka pesa Kwa baadae nashukuru Kwa hatua niliyopo mungu ni mwema
@AfredaLupogoАй бұрын
Asante sana kaka Joel nanauka Kwa mafundisho yako mazur hakika nmejinza kitu
@sandetete87812 жыл бұрын
Toka nianze kukusikiliza nimekuwa na Nidhamu ya kifedha sana na nipo napiga hatua najiona maisha marefu kaka💗
@joelnanauka2 жыл бұрын
Hongera sana sana endelea hivyohivyo
@frankmuhango42382 жыл бұрын
Yan mm Kila nikipata Hela hata sijui inaenda wap pengine ningepat muda unipe ushauli Zaid ningefulahi mno
@cosmassostenes48772 жыл бұрын
Naitwa cosmas niko arusha nilifatili mafuzo yako 2019 mpaka leo nilikuwa Kwa mwenz naweka akiba 200000 na mpaka 100000 ila Kupitia mafunzo yako niliaza kuweka 600000 na leo hiii sitaki kuajiliwa niko kwenye prosess na kujiajili mwenyewe na ninasoma kitabu cha Timiza malengo Chenye Mbinu 60
@kelvinnjoroge4933 Жыл бұрын
Nikihitaji kitabu hicho nawezafanya vipi ili nipate mwongozo pia!?
@christermlewa84717 ай бұрын
Mimi pia nahitaji hicho kitabu
@dramatz31062 жыл бұрын
Uishi miak mingi Mungu akujalie afya utatupa ulichopewa na Mungu asante
@joelnanauka2 жыл бұрын
Ameen Ameen
@givenjackson54492 жыл бұрын
Wooow Asante sana MUNGU ATUTUNZIE wewe Life coach wetu🙏🙏🙏🙏
@vicentndiholeye10672 жыл бұрын
changamoto yangu MM. KAKA. nikuto kuwa nizamu. yakile ninacho kipatA
@PaschalKizale-r4t9 ай бұрын
Wewe ni chaguo langu pekee la mwlmu wa elimu ambayo ckufundishwa God bless u much
@IsihakaLitanda5 күн бұрын
Nashukur san ...una mbinu nzuri sana kwa vijan waelewa kufika malengo yao
@EmmanuelMggs-ik9mk Жыл бұрын
akili yangu ililala kwasasa najitambua kwa masomo yako Joel nanauka asante mungu akubariki
@sibitasoinda79082 жыл бұрын
1.bajet ya mwez ~ ainisha kwa vipengele 2.Epuka kuishi maisha ya madeni 3.kuwa na mkakati maalum wa kifedha 4. Mpango thabiti wa kupata uhuru wa kifedha ( kipato kinachotokana na uwekezaji kikidhi mahitaji Yako yote Barikiwa bro
@AdeltrudaHilonga-cz7wz Жыл бұрын
Be blessed kaka JOEL NANAUKA nakukubali sanaaa umekuwa chanzo Cha mabadiliko kwangu🙏🙏
@masheyn2 жыл бұрын
Nimekuelewa sana mkuu dah
@suzanakaijanangoma7032 жыл бұрын
Asante Sana Kaka. Napambana Sana bado kupata mpango madhibuti wa kuelekea kwenye Uhuru wa kifedha
@shukranjulius95262 жыл бұрын
Hakika umekua mbaraka kwa wengi Mungu azidi kukubariki zaidi kaka @Joel
@mikehjackson81462 жыл бұрын
Kaka joel mm nmejiajili mwenyew ila napata kipato ambacho kina mudu mahitaj yangu binafsi na watu wangu wa karibu na akiba inabak ambayo naweza kufanya uwekezaji mwingne ila cjui nianzie wap kila wazo nalowaza naliona halifai naomba kujua ni kitabu chako gan nikisome ili niweze kuvuka kwenye ukuta huu.Ahsante.
@danchibomnyama54612 жыл бұрын
Asante san kaka Joel kwa somo lako je nawezaje kuekeza kweny makampuni yakiserekali au makampuni ya kibinafsi
@Eliroster5 ай бұрын
Shukurani sana mkuu napitia haya yote ila nitajifunza kupitia haya wenda nitabadili maisha yangu
@mohamedhamad23742 жыл бұрын
Ahsante kwa Elimu nzur sana Bos Mkubwa.
@ElishaMasaluАй бұрын
Uko sawa kabisa Barikiwa saana nafuatilia hatua kwa hatua
@hassanjr53182 жыл бұрын
Makosa ya kuepuka ktk kutafuta uhuru wa kifedha 1. Kutokua na bajeti ya matumizi yako ya kila mwezi 2. Kuishi maisha ya mikopo au madeni 3. Kutokua na mkakati wa kubadilisha active kuwa passive income ...kutokua na mkakati wa kutengeneza pesa ukiwa umelala 4. Kutokua na mpango wa kuingia kwenye uhuru wa kifedha (financial freedom) ...Kutoa kua na clear plan of financial freedom
@JofreyMbule Жыл бұрын
Najikuta kweny mabadiliko makubwa zaid pale ninapo sikiliza masomo yako na zaidi kweny kusomaaa najifunz mengi saaan kaka joel
@salehabdallah2737 Жыл бұрын
Bro j we ni nowma sanaaa right personal kwa hii motivation upo njema mung akupe umei mrefu tuzidi kufaidika na uwepo wako maisha marefuuuu tunakuombea
@emmanuelmakomango65772 жыл бұрын
Barikiwa sana. Hakika Mungu ametupa zawadi kubwa sana wanzaninia.
@mohamedngota85352 жыл бұрын
We don't have financial money and you teaching us 🙏✔️
@ntidenderezajamal20732 жыл бұрын
Asnt sn mwamba wang muhenga wang mungu akubariki sn na sn
@jacksondarema56542 жыл бұрын
Habari kaka samahan xana kwanza mungu akubar xana na akupe maisha maref nawesa sema umechangia xana me kua hapo nilipo kwa mawazo yako pia naomba kuwasiliana nawe kama hutojali make Nina mamb mengi xana naitaj ushaur wako kaka
@johnmulelamuthoka23102 жыл бұрын
Ni kweli ndeni si poa ju ata uwezi kaa na amani
@godloveall.2564 Жыл бұрын
Shukrani Sana rafiki yangu MUNGU akubariki Sana
@fadhilikiyungi17412 жыл бұрын
Thank you joel nanao niko nyuma yako
@paschalmakono68542 жыл бұрын
Ushauri mzuri sana, nahisi ndicho chanzo cha kutofanikiwa kwa wengi.
@joelnanauka2 жыл бұрын
Sawa sawa
@veronicamwautenga7394 Жыл бұрын
Barikiwa SoMo zur sana
@evamwashiuya33142 жыл бұрын
Asante.kwa.somo.zuli.nimejifunza.sana.kaka
@richardmoris85712 жыл бұрын
Ahsante kwakuiona ufaulu was kifedha.
@lovenesslukas5360 Жыл бұрын
Ahsantee sana, ubarikiwe
@marympemba21372 жыл бұрын
Kweli kabisa, kunapesa ya leo, na kesho Hilo ni jambo muhimu sana
@priscashairock2679 Жыл бұрын
Good message stay blessed our mentor
@worldboyzteamcyg40002 жыл бұрын
Naomba unifundish jisi yakuanza biashiala ukiwa na mtaji mdogo
@NaySulley11 ай бұрын
Asantee uko vizuri nimeioenda mafundisho Yako ubarikiwe
@msabwarashidi26282 жыл бұрын
Aksante sana kaka kwa kunipa elimu bora sana
@wilbertmlyuka57232 жыл бұрын
Hakika nilishakuelewa sana Joel
@hamissally94982 жыл бұрын
Kaka mungu akupe umri mrefu uweze wapa elimu wengi.najiona kwenye pessa mingi sana.nilianguka namka nasonga mbele
@joelnanauka2 жыл бұрын
Songa mbele 👏🏼👏🏼
@mwanaidijiran32962 жыл бұрын
Iko poa sana kamanda!
@frankdommy4152 жыл бұрын
uishi maisha marefu bro joel
@ShonyangaAbdoulrashid11 ай бұрын
Allah akuongonze
@hamisjuma85242 жыл бұрын
Namepata Kitu Kutoka Kwenye Hii Mada Kifupi Nmekuelewa💯💯
@joelnanauka2 жыл бұрын
Hongera sana sana
@neemashirima61212 жыл бұрын
Asante kwa SoMo limenitoa mahali Fulani kaka.
@mozasaid38692 жыл бұрын
Ahsante sana, umenijenga,
@melesianageorge20122 жыл бұрын
Mungu akubariki Sanaa azidi kukupa maarifa zaidi
@joelnanauka2 жыл бұрын
Ameen Ameen
@JacksonJuma-u5q Жыл бұрын
Kaka masomo yako yamenisaidia na kunifumbua akili kaka 😊😊 aksante,,,,san
@leticiampeka14882 жыл бұрын
Perfect timing...thanks brother, stay blessed
@EliudJoramКүн бұрын
mungu akubarik xan kaka
@mathiasjumanne905310 ай бұрын
Asante sana nimejifunza kaka Joel
@feisalhamza15892 жыл бұрын
Thanks brother Joel.
@hekimaBukuku-mu3js Жыл бұрын
Asante kaka nimejifunz kitu kwako
@davidmarik46332 жыл бұрын
Genius 💥
@BM_Smart2-62 жыл бұрын
Basic facts with big results!!. Thanks a lot Bro..
@joelnanauka2 жыл бұрын
Karibu sana
@FlankNyikonde29 күн бұрын
Nimeelewa sana
@saidalhabsi92572 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka tangia nianze kufatilia video zako nimepata uimara sana Asante
@joelnanauka2 жыл бұрын
Hongera sana sana
@fyogelajohn22502 жыл бұрын
Joel big up sana brother ♥️🤝
@khadijakisingo79202 жыл бұрын
Joel nakukubali sana
@ELISHAALFAXARD-s4t8 ай бұрын
Nakubariiii mkuu endelea kutukomboaaa
@modestshikilana46102 жыл бұрын
Asante sana kwa kutupatia shule nzuri
@joelnanauka2 жыл бұрын
Karibu sana, tuendelee Kushare na wengine
@Emmanueli-k4r2 ай бұрын
nzur sana hii nimejifunza
@wilbertmlyuka57232 жыл бұрын
Hakika upo vizuri
@kasabamedia53322 жыл бұрын
Good message, brother be blessed
@abdulrahmaniselemani85692 жыл бұрын
Kupata uhuru wa kifedha.
@sikituukololo1161 Жыл бұрын
toka nianze kukusikiliza nilichukua hatua kwa kufanya matumizi kwa kupanga. Na akiba yangu inaongezeka, ila kwavile nimeacha kutoa hovyo pesa naambiwa siku hizi bahili.
@ngendakumanasalumdiki28472 жыл бұрын
Video muhimu saana. Asante
@joelnanauka2 жыл бұрын
Share na wengine
@petermgoben82832 жыл бұрын
Nathubutu kusema Dk Joel Mimi Nina shida amabapo nashindwa nifanye nn maana nilikua na Duka kubwa na nimekufuatilia Kwa muda na nimejijenga sana kupitia wewe lakini nimevunjiwa kama mara 3 Sasa nashindwa kuweka malengo ya kudumu ☝️☝️
@mafanikiogidioni51482 жыл бұрын
Mungu akubaliki
@lovenoor9882 жыл бұрын
Ahsante kaka 👏
@abibusaidy5899 Жыл бұрын
Dah kwanza nashukuru kwa kaka changamoto yangu ata nikiwa na pesa natafuta niwekeze kwenye kazi gan
@GraceKivolwe7 ай бұрын
Ubarikiwe sana mafunzo mazuri
@ramadhanikibana64567 ай бұрын
Bro ubarikiwe sana.....
@FlankNyikonde29 күн бұрын
nimeelawa sana
@ShadyaJuma-vo8fk Жыл бұрын
NtaZa Leo kaka
@janeflorencesajjabi1545 Жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI
@TheBloodline-y2e3 ай бұрын
All-hamdullilah 🤲 we must move bro
@lukwelehassan771411 ай бұрын
Hujawahi kutuangusha toka uanze
@ShamburileiyoShamburileiyo8 ай бұрын
Upo vizuri mungu akubariki
@jamomuthakacommedy5721 Жыл бұрын
This guy is a genius
@simonshija2476 Жыл бұрын
hapa bhana point ya kwanza mi siwezi kuitumia, mi natumia pesa sana na nikikuta mtu hana bora nimpe yeye mi nikose na nimefanya sana kifupi hizi kanuni mimi hazinifai na madeni yanasababishwa na kutokumtolea MUNGU finishi................................
@salehabdallah2737 Жыл бұрын
Watu hawa wa muhim jaman tuwaombee mung afya njema na umri mrefu .haya masomo yanatufanya tuwe matajiri jmn .
@kuruthumukondo7149 Жыл бұрын
Shukrani kaka
@saumusanjiama6991Ай бұрын
Shukran sana
@beckanismone63242 жыл бұрын
good teacher
@AbelLyahanzeАй бұрын
kweli mi binafis nimejifunza na lazma nidublicate
@DicksonMugonya2 ай бұрын
Sijafanikiwa kabisa kuwa na uhuru wa kifedha nifanye nn ili niweze kuwa huru kwenye swala la kifedha