Njia Tano (5) Unazoweza Kuzitumia Kuongeza Ujasiri

  Рет қаралды 175,974

Joel Nanauka

Joel Nanauka

5 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 369
@ibrahjr5210
@ibrahjr5210 Жыл бұрын
Listening to ur daily classes have changed alot in my life,,I was not confident but now I am,, thanks for ur learnings,, I really appreciate you bro..
@magdalenamwapinga4847
@magdalenamwapinga4847 5 жыл бұрын
Iyo point ya mwisho kwangu ilifanikiwa ni siku ambayo niliweza kuongea mbele ya watu wengi.Maandalizi ya kile unachokipresent ni muhimu sana hasa kwa ambaye hujawah kuongea mbele za watu
@jescakabyemela2483
@jescakabyemela2483 5 жыл бұрын
atukuzwe Mungu aliyekuinua ili utufunze. Napata sana nguvu ya kujenga ujasuri. Ubarikiwe kaka JN
@hezronphinias8246
@hezronphinias8246 3 жыл бұрын
Yeap
@ninaelrichard1800
@ninaelrichard1800 Жыл бұрын
Mungu wa mbingu na nchi akupe kuona zaidi na zaidi yale yote anayotaka kupitisha kwako kwa ajili ya wengi,macho ya moyo wako yazidi kutiwa nuru,na akili zako Mungu azidi kuzihifadhi kwa ajili ya utukufu wake.namtukuza Mungu kwa ajili yako. Utukufu na heshima zimrudie Mungu.
@AyubuBayo
@AyubuBayo 3 ай бұрын
Kabisa
@lucydaniel3456
@lucydaniel3456 5 жыл бұрын
Nmeanza kukuskiliza leotu na nahs unanispy maisha yangu mana unanizungumzia kwa asilimia mia
@omarykitua3843
@omarykitua3843 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana unatusaidia sana kutujenga kimawazo na kiakil ila me ulichoongea leo ndo kimeniingia sana man kiukwel Sina ujasir wa kila kit ambacho umekiorodhesh hapo na iyo inanipelekea hata kufungua biashar naogop man hat mwanzo nahofia itakuaj nan atanipw ushaul nm nifany niwez kuw km wengn😢
@mwajumamwishehe3423
@mwajumamwishehe3423 5 жыл бұрын
Kujiamini kwako ndio mafanikio yako 💪💪na kukubali sana kakangu 🙏🙏
@neemamigeto6710
@neemamigeto6710 2 жыл бұрын
Kaka najikuta nainuka kila siku kwa jili yako 👏👏
@umojadaycare8441
@umojadaycare8441 Жыл бұрын
Kwa ujasiri namshukuru Mungu nafuatilia Sana Masomo yako yananijengea ujasiri zaidi Ila napambana kumaliza madeni ndio niwe jasri zaidi. Ubarikiwe
@happylarry5520
@happylarry5520 5 жыл бұрын
Binafsi nlikuwa naogopa sana kutoa speech mbele za watu lakin baada ya kuanza Mara moja tuu nikaongeaza ujasiri ..thanks brother.
@joshuasimon4902
@joshuasimon4902 3 жыл бұрын
Mungu akupe uwezo wa kuzidi kutufundisha kwan sasa mm nilipo nimesha naendea kutimiza ndoto zangu kweli umenifundisha sana na nimeona mabadiliko katka maisha yangu sasa.
@zuhrasaid3185
@zuhrasaid3185 4 жыл бұрын
Napenda sana uwepo wako coz unagusa maisha ya watu na unabadilisha maisha yao kupitia mafunzo yk ,Mungu akubarik
@smg275
@smg275 5 жыл бұрын
ACHA NISEME AHSANTE SANA. hakika mungu akubaliki katika maisha yako yote Nimeweza kugundua vitu ving kupitia ww Nakushukulu sana umekua na mchango mkubwa sana katika kujitambua kwangu Nakushukulu kaka #NANAUKA I love you so much 😘😘😘😘😘😘
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 5 жыл бұрын
JOEL wewe ni mwalimu mzuri,nimependa hiyo mada,be blessed kakaNanauka
@editordominick6879
@editordominick6879 5 жыл бұрын
Asante sana even I nina tatzo hilo ila nashukulu ivi confidence inatokana na aibu au
@esthermweteni1568
@esthermweteni1568 5 жыл бұрын
Nimejaribu kufuatilia ma Motivation speakers wengi wa TZ nimegundua JOEL NAUKA is the best kwa kuwa anasoma sana vitabu
@msafirikomba4673
@msafirikomba4673 4 жыл бұрын
Kabisaaa yaani me ndio nimemjua leo nilikua namchukulia poa sana
@joelnanauka
@joelnanauka 4 жыл бұрын
msafiri komba tuendelee kujifunza
@thedon8467
@thedon8467 11 ай бұрын
Namba Yako kaka naomba
@Lusimo
@Lusimo Жыл бұрын
Mungu Akubariki Sana kupitia wewe najiona nimebadilika mno Asante Sana
@sayyidtawaqal1754
@sayyidtawaqal1754 5 жыл бұрын
Brother mm sina shakukulipa ila nakuombea mafanikio zaidi kwasasa ila nimepanga nikifikia kiwango flani katika mafanikio yangu nitakutafu tukiwa hai kwani kwakweli unasaidia sana. Ee mungu akubariki na akulinde amiin
@EmmanuelMoswala-pj4hu
@EmmanuelMoswala-pj4hu Жыл бұрын
GOD BLESS YOU BROTHER MUNGU AKUBARIKI SANA AKUPE MIAKA MINGI KAMA NAMB ZA NIDA HAPA DUNIANI WATU WATU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA ASANTE KWA KUNIPA MAARIFA
@halimamusa9497
@halimamusa9497 3 жыл бұрын
Asantee,, m ni binti ambae niwachini sana pia mzazi ambae nilikuwa nikimtegemea hayupo tena katika dunia hii na aliniacha nipo kidato cha 1 lakn nilimaliza from 4 kiugumu na sikuendele mpk sasa nipo mtaani chcht lakn Nina malengo yakuwa mfanya biashara lakn nakuwa hafu at ujasili sina. Nakuomba kaka unisaidie kwa hili
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 4 жыл бұрын
Thank you Very much my Brother JOEL actually you're my Best Mentor of all the time, god bless you 🙏🙏🙏
@isayamasawe5873
@isayamasawe5873 2 жыл бұрын
Nakubali mzee
@steveofficial4074
@steveofficial4074 3 жыл бұрын
Mi kweli nahitaji sana kuwa muimbaji napokuwa mwenyew nafanya ila kwa ndugu zangu na marafiki hawajui naogopa kuwambia .nifanyeje niwe strong
@judithrwegasira4023
@judithrwegasira4023 4 ай бұрын
Mimi nina kigugumizi, nimezaliwa hivo, hii hali inanitesa sana kwenye maisha yangu, confidence ninayo ila hali ya kigugumizi, inanifanya nakua muoga ata kuongea na mtu, nimeshafanya therapy nyingi ila ndo kwanza nazidisha hali hii, nateseka sana kuna wakati namlaumu Mungu kwaninj aliniumba hivi kati ya wengi
@exzaverymichale7673
@exzaverymichale7673 5 жыл бұрын
Mr.Joel nashukuru sana nimeamka kwakukusikiliza nimeongeza kitu ktk maisha yangu!
@amykhalifa2535
@amykhalifa2535 3 жыл бұрын
Nataka amani na fulaha vitawale maisha yangu hofu siitaki tena
@ammackdy1836
@ammackdy1836 Жыл бұрын
I get you broo, Mimi upande wangu naweza kuwa nasema tuu kwa mdomo siogopi nguza za giza lakini huwa nahisi kuchanganyikiwa pale ninahisi labda kuna nguvu ya giza imenipata au ilishawahi kunipata, jamaan katika hili naomba msaada jinsi ya kubreak through , sababu nashindwa kufanya mambo yangu kabisa
@MnyaluHassan-ic7iz
@MnyaluHassan-ic7iz Жыл бұрын
Yaan sura Yako mda wote Inatabasam sijui hata unawezaje congrats brother
@joshuanatukai1737
@joshuanatukai1737 2 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa masomo na ukitaka kuvikisha malengo inataka uwena marafi Wana muna gani
@frankpatrick2293
@frankpatrick2293 3 жыл бұрын
Respect kaka, you're more than teacher
@AllanAlex-wd2ju
@AllanAlex-wd2ju 5 ай бұрын
Mungu akuweke sana kaka
@Mishaeligospel
@Mishaeligospel 9 ай бұрын
Asante sana mi nimejifunganza katka kitengo cha kwongea mbele za watu ili kua ni tatizo kwangu asante
@adammsema6418
@adammsema6418 5 жыл бұрын
Mwalimu nashukuru sana tena sana kunavitu vingi umenisaidia.ongera na Mungu akubariki sana
@Bakari-fp3zr
@Bakari-fp3zr 8 ай бұрын
God bless you💪🏿🔥
@steveofficial4074
@steveofficial4074 3 жыл бұрын
Nashukulu sana kwa kujifunza ila bdo natatizo lingine Yani kuhusu kusoma nikitu nashindwa kuwa bize nacho
@mussalulenga9939
@mussalulenga9939 2 жыл бұрын
Anza kusoma kila siku page 10
@SinyinzaDavid
@SinyinzaDavid Ай бұрын
Hatua ya tano ni muhimu sana kwani maandalizi ndoa kila kitu lazima uwe na ujasiri kwasababu unajiandaa mapema kwangu nitalifanyia ka,zi ilo asante sana tunakutegemea wakati mwingine kwa mwongozo
@anandemungure4435
@anandemungure4435 3 жыл бұрын
Appreciated Mr Joel 🙏 your real a mentor,coacher and everything to whoever listens to your Talks. Keep on opening life of people course learning is ongoing. Big up Brother 🙏
@hasanihamisi555
@hasanihamisi555 3 жыл бұрын
Asante mungu akbariki umenisaidia tangunikujue
@editordominick6879
@editordominick6879 5 жыл бұрын
Ujasili wa kuongea na mtu nliyekaribu nae Sina. kwenye group, vikao, Nina ujasiri Sijui nifanyeje
@kindyuba8140
@kindyuba8140 5 жыл бұрын
Napenda xana maxomo yko mungu. Hakubarik ili uendelee kuelimmisha jjamii
@euberthchedego1988
@euberthchedego1988 4 жыл бұрын
Asante Sana brother. Umekua Msaada sana ktk mwenendo Wa maisha yangu.mungu akubariki sana.
@Mwamba67
@Mwamba67 5 жыл бұрын
Hapo kwenye mind reprogramming umenigusa teacher....!!! Asante sana mwalimu...!!
@bakariabdallah8671
@bakariabdallah8671 5 жыл бұрын
Asante sana kwa somo zuri, naomba uandae somo la namna ya kuwa na Sauti nzuri ya kuzungumza mbele za watu
@rosemasune8404
@rosemasune8404 Жыл бұрын
thank you my brother
@jeremiamussa7910
@jeremiamussa7910 5 жыл бұрын
mungu na akubariki sana
@raheemamkambha6013
@raheemamkambha6013 5 жыл бұрын
Mimi nataka kuwa na confidence ya kuacha kazi ya kuajiriwa
@jenipherwenslaus9596
@jenipherwenslaus9596 5 жыл бұрын
Nashukuru sana kaka angu nimejifunza kitu ktk hilo somo...... Am strong 💪
@psychtoday7732
@psychtoday7732 3 жыл бұрын
Jinsi ya kumlea mtoto na afyaExtra kzbin.info/www/bejne/hoqbkn-aq81jebM
@giftmathewlyamuya2752
@giftmathewlyamuya2752 5 жыл бұрын
ni kweli ukijilinganisha na wengine ambao wako juuu kuliko ww lazima ujishushe thaman
@abdoulkarenzo3138
@abdoulkarenzo3138 4 жыл бұрын
mimi najiandaaga vizuri kabisa zidi ya mitiyani lakini nikingiya katika mitiyani moyo unakuwa na stress kama mtuninakimbizwa saana adi pale vitu nilivyosoma amo nabijuwa vinanikimbiya kichwani sasa nifanye nini katika ilo tatizo
@reginaldipeter2272
@reginaldipeter2272 2 жыл бұрын
HALLELUYAH Point 4.Natamani Sana kuongea KIINGELEZA(KING'ENG'E/English Language) Jambo linanisumbua Sana ASANTE I
@DerickMayunga
@DerickMayunga 8 күн бұрын
Asante Sana, elimu nzuri Sana nimeipata
@nolascolwiva1648
@nolascolwiva1648 3 жыл бұрын
Asante sana ngoja nianzie mazoezi
@SelemaNdulabi
@SelemaNdulabi Ай бұрын
Mimi naiogopa kuandika mbele za watu lakini chanzo ilikua napigwa Sana shuleni hivyo nikawa namuogopa sana mwalim wangu hata nikiandika sipeleki kwa mwalim hivyo mpaka sasa napata shida sana kuandika japo najuwa kuandika ila kwa sababu ya hofu na wasiwasi ulojaa ndani yangu najikuta natetemeka Sana nikitika kuandika mbele za watu na inaniumiza sana
@danstanmangube1152
@danstanmangube1152 5 жыл бұрын
nimeiza hasubui yangu vizuri kwa kukusikiliza kaka Joel
@stephahObimo
@stephahObimo 5 жыл бұрын
Nimejifunza brother mungu akubaliki
@mwanamkasihabibu9915
@mwanamkasihabibu9915 5 жыл бұрын
kwel kabisa Kaka kupitia ww nmekuwa mwenye mabadlko
@happinessgodfrey2087
@happinessgodfrey2087 5 жыл бұрын
Shalom Kaka Joel, Asante sana kwa mwangaza unaonipa siku hadi siku. Binafsi napenda sana kufanya kazi ya jamii ila nimekua na woga wa kuanza,Naogopa kuongea hata kanisani nikipewa nafasi nakimbia kabisa. Nina uwezo wa kiandika jambo ila ukinipa nafasi ya kulizungumzia mbele za watu nakosa kujiamini kabisa.
@manjalentugwa409
@manjalentugwa409 Жыл бұрын
Kwakwel brother umeupga mwingi Sana nabalikiwa Sana na ww na umechange mawazo yangu negative kuwa positive
@worshipertv9968
@worshipertv9968 5 жыл бұрын
Asante bro joel nipata kitu kikubwa
@mo.kudrakambi9617
@mo.kudrakambi9617 Жыл бұрын
Nikweli kaka najikuta natamani kujua namna gani naweza kusimama jukuani nakutoa mawazo au pendekezo
@ukhtysuuvlog470
@ukhtysuuvlog470 2 жыл бұрын
Unaelimisha Sana kakaangu.... Ila jitahidi uwe unatoa salam
@olivanooraladin5436
@olivanooraladin5436 Жыл бұрын
Thanks brother
@yohanaayeko7869
@yohanaayeko7869 4 жыл бұрын
Mimi nilisemaga siwez kabisa english na kweli nilifeli kabisa!🙏
@babapeace835
@babapeace835 5 жыл бұрын
Shukrani kiongozi kwa elimu bora zaidi hata class hawafii haya ulivyoyaelezea.Bigup
@ditrammsemwa7915
@ditrammsemwa7915 5 жыл бұрын
Lunges Mbele za watu
@modesthenrykitange2397
@modesthenrykitange2397 5 жыл бұрын
well stated brother. Be blessed!
@rolandpaul9465
@rolandpaul9465 4 жыл бұрын
Mimi huwa ninakuwa na positive na negative thoughts, ila negative huwa zina dominate kwa kiasi kikubwa. But Leo nimwjifunza kitu kutoka kwako brother @Joel Nanauka Be blessed
@psychtoday7732
@psychtoday7732 3 жыл бұрын
Jinsi ya kumlea mtoto na afyaExtra kzbin.info/www/bejne/hoqbkn-aq81jebM
@user-os9nb8ub6k
@user-os9nb8ub6k Жыл бұрын
Asante kaka uko sahih
@kasarambajuma270
@kasarambajuma270 3 жыл бұрын
kasalamba juma Joel nakubaliyana naelimu unayoitowa nawezaje kupata kitabu chako
@happynessruge9016
@happynessruge9016 5 жыл бұрын
asanteee sana bro umenibadili sana tangu nlivyokujua umenigusa kwenye practice wat u afraid
@sarahburetta8547
@sarahburetta8547 Ай бұрын
Asante kwa somo zuri
@joseefaidabutu6467
@joseefaidabutu6467 5 жыл бұрын
Asante sans kaka, mimi hii tabia yakujilinganisha inanisumbua sana nitajitahidi kuishinda ,ubarikiwe
@lilianbenson5774
@lilianbenson5774 4 жыл бұрын
Asante sana Mr. Joel kwa somo nzuri .mada ya nne "practice what I afraid " kwa kweli nitalifanyia kazi .thanks
@neckikikoti6256
@neckikikoti6256 3 жыл бұрын
Ahsante Sana Mungu akubariki
@habibadaudi8242
@habibadaudi8242 Жыл бұрын
Mungu akubariki kk
@Tobejr
@Tobejr 27 күн бұрын
Tangu nimeqnza kukufatilia ninaconfidence ya hali ya juu,,,
@jameskaizilege1692
@jameskaizilege1692 2 жыл бұрын
Asante kaka mungu akubariki
@chamlungemmnanuel4542
@chamlungemmnanuel4542 Жыл бұрын
Kabisaaa SoMo nzur sana
@charlesmafumiko6027
@charlesmafumiko6027 3 жыл бұрын
Umenigusa sana apo nitajitahidi kujiamini
@issakabogo4943
@issakabogo4943 5 жыл бұрын
Duh! Asante sana bro hiyo point ya pili ntaifanyia kaz 👏👏
@salumsaid8515
@salumsaid8515 6 ай бұрын
Nimekuwa nikishindwa kumwambia mwanamke nakupenda kupitia mdomo
@issayamsyani7842
@issayamsyani7842 5 жыл бұрын
Practise positive self talk Thank you sir
@miriamclemence3973
@miriamclemence3973 3 жыл бұрын
Asante Kaka na Mimi nilikuwa Hali hiyo
@godwinmrema8239
@godwinmrema8239 5 ай бұрын
Kujieleza kwa mapan pamoja hofu ya kuogopa kuwa watu watanionaje nikisemq kitu falani kizuri
@ndoomapaulo6189
@ndoomapaulo6189 4 жыл бұрын
Asante sana kaka kwa somo nzuri
@hedachale8469
@hedachale8469 2 жыл бұрын
Asante Kwa memtoring
@anthonykimaro807
@anthonykimaro807 5 жыл бұрын
Be Blessed brother
@user-kt6tm5du1w
@user-kt6tm5du1w 6 ай бұрын
thanks teacher nimependa hii
@evenicemmbando1705
@evenicemmbando1705 5 жыл бұрын
Much thanks bro i do gain something
@hassanmasuke5078
@hassanmasuke5078 5 жыл бұрын
Thanks for the detailed message bro #Nanauka
@asifiwekayolechaula5566
@asifiwekayolechaula5566 Жыл бұрын
Mungu akubaliki
@user-nn6zq1ok7i
@user-nn6zq1ok7i 3 ай бұрын
Mm ninapoint sana ila namna ya kuwasilisha mbele ya watu ndio shida
@edvesterdamas3061
@edvesterdamas3061 4 жыл бұрын
Nitalifanyia kazi
@jimmyassey9537
@jimmyassey9537 29 күн бұрын
Barikiwa sana Bro kilaspichi yako na gain Mnoo
@jonasjohn9048
@jonasjohn9048 5 жыл бұрын
Kweli bila uthubutu huwezi Fanya chochote.
@mickeymikii1040
@mickeymikii1040 5 жыл бұрын
Practice what you’re afraid 👈👈 it's touch me big up nanaukaaaaa I'm very proud to subscribe your channels
@julietmateru5789
@julietmateru5789 Жыл бұрын
Kaka una madini ya kutosha.hongera sana.
@giselamassawe5989
@giselamassawe5989 3 жыл бұрын
Lugha ya kiingereza nitajitahidi kufanya mazoezi mengi na kwa muda mrefu zaidi
@esternzumbi1888
@esternzumbi1888 5 жыл бұрын
Thanks kaka 2019 kwangu mwaka wa mafanikio...... God bless you.....🙏🙏
@nevermind4789
@nevermind4789 2 жыл бұрын
Self talk self fulfilling prophecy
@groupelescherubinsgoma
@groupelescherubinsgoma 3 жыл бұрын
Asante mwalimu kwa mafundisho
@rahmahussein4019
@rahmahussein4019 5 жыл бұрын
Very educational video thanks .
@monicadamiani7658
@monicadamiani7658 3 жыл бұрын
Ujasiri Upo Wa Aina Mbili 🤐Ujasiri Wa Leo Yako Bila Ya Kujali Kesho Yako Na Ujasiri Wa Kesho Yako Bira Kuifurahisha Leo Yako 👌Ni Maamuzi Yako Binafsi Ni Maisha Yapi Unataka Kuishi 🤔Na Wanadamu Wenye Tabia Kama Rangi Nyingi Za kinyonga 🗣🗣🗣
Siri 4 Za Kuvutia Watu Muhimu Kwenye Maisha Yako.
9:48
Joel Nanauka
Рет қаралды 153 М.
Ufanye nini watu wa kupende zaidi?
9:09
Joel Nanauka
Рет қаралды 127 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 15 МЛН
Vivaan  Tanya once again pranked Papa 🤣😇🤣
00:10
seema lamba
Рет қаралды 32 МЛН
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 108 МЛН
OMG🤪 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:50
Potapova_blog
Рет қаралды 18 МЛН
Mambo 5  Ya Kufanya Kila Siku Kama Unataka Kufanikiwa
21:53
Joel Nanauka
Рет қаралды 260 М.
HUWEZI KUFANIKIWA KIMAISHA BILA  MATATU HAYA....
50:09
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 1 МЛН
JINSI YA KUGUNDUA KUSUDI LA MAISHA YAKO   JOEL NANAUKA EPISODE 04
10:00
Family of Praying Women
Рет қаралды 6 М.
LAZIMA USHINDE HOFU HIZI - JOEL NANAUKA
10:59
Joel Nanauka
Рет қаралды 61 М.
Jinsi ya kujiandaa kuwa mjasiriamali kabla ya kuacha kuajiriwa.
59:26
Personal Finance Hub
Рет қаралды 18 М.
DARASA LA KIINGEREZA  HATUA YA KWANZA
10:24
Smart Education
Рет қаралды 17 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 15 МЛН