MAMILIONI YACHOTWA MSIKITI WA MANYEMA NA BODI YA WADHAMINI| SHEKHE YAHYA

  Рет қаралды 4,299

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 31
@mzalendohasa
@mzalendohasa 2 ай бұрын
Nyinyi endeleeni na wizi waislam wanatabika muandae mjibu kwa Allah
@selemankishema5780
@selemankishema5780 2 ай бұрын
Maviongozi ya dini haya mbona yanajulikana majizi toka zamani!!! Waislam walishawazoea wanamwachia mungu kwa sababu wanalindwa
@Mauya23
@Mauya23 2 ай бұрын
Huyu mtoto wa marehemu Sheikh Yahya Hussein, nashindwa kumuelewa anaposema alikula 5m halafu anadiriki kuwanyooshea vidole wenzake, ukitafakari hapo ni kuwa kakosa mgawo ndio kelele zote hizo. Pesa zote hizo zimeliwa halafu hela hata ya koki moja ya bomba na bili ya umeme wanachangishwa waumini kila uchwao, kwa Mungu kesho kuna kazi kubwa sana!
@zainabrajab6092
@zainabrajab6092 2 ай бұрын
Kwa shk Jonngo kadhi wa mkoa, ongeza na vile vyeo vyake vya kwenye baraza. Labda yeye ni imamu tu, pesa na bodi tu!
@mrafm7285
@mrafm7285 2 ай бұрын
Wote wezi wamekalia kula mali za wakfu lkn mjue Iko siku mtaulizwa ogopeni mali za waislam hiyo ni amana mmepewa kuisimamia
@RamadhaniBendera-j1s
@RamadhaniBendera-j1s 3 ай бұрын
Kazi kweli kweli
@HassanAhmed-gp5jt
@HassanAhmed-gp5jt 3 ай бұрын
Kwakwelii Leo hawako wale wenye hofu ya mungu
@AhmedmartiniMartin
@AhmedmartiniMartin 3 ай бұрын
Mambo ya dini kwanin wapeleke kwenye redio Baraza la dini lipo.
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni 2 ай бұрын
Sheikh wa bara weee!
@JumaJuma-i2g
@JumaJuma-i2g 2 ай бұрын
MNHU! kumbe ndio maana watu wanagombania MISIKITI DOH
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 2 ай бұрын
Subirini moto ....!
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh 2 ай бұрын
Mmeshindwa kuendesha kwa mifumo ya kislam mnatumia akili zenu na niaibu kwenda kwenye vyombo vya habari
@HassanAhmed-gp5jt
@HassanAhmed-gp5jt 3 ай бұрын
Kwakwelii ni mtihani kesho kwa alllah
@sheikhanasser4714
@sheikhanasser4714 2 ай бұрын
Kumbuka "Allah" andika kwa herufi kubwa
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh 2 ай бұрын
Moto unawasubili hapo hata watoto yatima hapo kwenye mifumo ya kupewa hizo oesa na sadaka
@bongo39
@bongo39 2 ай бұрын
Hata aibu hawaoni imeshakuwa mali yao wanakula tuu kesho mtakwenda kwa mungu kujibu yote hayo
@abdilahmohamed6679
@abdilahmohamed6679 2 ай бұрын
Watu wa matamanio ni wamatamanio tu
@bagalucha
@bagalucha 3 ай бұрын
Aibu tupu
@mohamedkisenga6654
@mohamedkisenga6654 2 ай бұрын
Dini upigaji tuamke jaman
@RamadhaniBendera-j1s
@RamadhaniBendera-j1s 3 ай бұрын
Uyu mjanja sana
@thabititembo9964
@thabititembo9964 2 ай бұрын
Huyo jamaaa mjanja sana kwani aulizwe walio.jenga msiiti mwaka 2002 yeye alikuwa wapi
@AbdulmujibAhmed
@AbdulmujibAhmed 2 ай бұрын
Manuema hamtaendelea mapak mumtoe Jongo pale
@abdallahjamaly6970
@abdallahjamaly6970 3 ай бұрын
😢😢😢
@swalehehashim1568
@swalehehashim1568 3 ай бұрын
Wahuni Hao Wanatumia Dini kupiga Madili yao
@bongo39
@bongo39 2 ай бұрын
Karithi kazi ya baba yake ya kutabiri imemshinda sasa anaingila msikitini kula sadaka za watu
@zubeiramlanzi2480
@zubeiramlanzi2480 2 ай бұрын
Hahaha
@dicksondkaganga1290
@dicksondkaganga1290 2 ай бұрын
Kiingereza kiiingi… Kwa nini issue ya dini unaipeleka redioni? Anakiri kuchukua rushwa 5M
@HUSSEINALLY-b7f
@HUSSEINALLY-b7f 3 ай бұрын
Kwa nini liende kuzungumziwa huko.
@Chemba67
@Chemba67 2 ай бұрын
Ivi Manyema si ndio kwa Sheikh Jongo?🤔🤔🤔🤔
@zubeiramlanzi2480
@zubeiramlanzi2480 2 ай бұрын
Ndio huenda akamwagwa na hii njemba
@sadiqrifay5448
@sadiqrifay5448 3 ай бұрын
Hakuna mashekhe hapa ni maslahi tu wameweka mbele baaas
MAJIBU YA BAKWATA MGOGORO MSIKITI WA MANYEMA
10:22
Wasafi Media
Рет қаралды 5 М.
When Cucumbers Meet PVC Pipe The Results Are Wild! 🤭
00:44
Crafty Buddy
Рет қаралды 60 МЛН
SIZE DOESN’T MATTER @benjaminjiujitsu
00:46
Natan por Aí
Рет қаралды 3,8 МЛН
Creative Justice at the Checkout: Bananas and Eggs Showdown #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 10 МЛН
This Game Is Wild...
00:19
MrBeast
Рет қаралды 188 МЛН
#zandaani MOMO ATUMIWA UJUMBE MZITO SAKATA LA DUBE / APEWA ONYO
9:35
MANENO MATAMU YA MSHINDI WA GARI//NITALITUMIA NA MUME WANGU//SIKUA NA NDOTO
13:51
When Cucumbers Meet PVC Pipe The Results Are Wild! 🤭
00:44
Crafty Buddy
Рет қаралды 60 МЛН