KWA UKALI ROLINGA AWAONYA VIONGOZI WA NCHI ZINAZOPITISHA SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA, ANGUKO…

  Рет қаралды 35,447

Haleluya Tv

Haleluya Tv

Жыл бұрын

#HaleluyaTv #ProphetRolinga #OmegaMinistriesChurchofAllNations #OCOAN
KWA UKALI ROLINGA AWAONYA VIONGOZI WA NCHI ZINAZOPITISHA SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA, ANGUKO…
Kuendelea kupata Shuhuda mbalimbali na Maneno zaidi, tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamii:-
Facebook : / prophetrolinga
Instagram : / prophetrolinga
KZbin : / haleluyatv
Audiomack : audiomack.com/prophetrolinga

Пікірлер: 102
@Estherm309
@Estherm309 Жыл бұрын
Oh Adonai forgive us Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪😭😭😭😭😭😭 for our judges rule
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤Aminaaa Sana mtabiri wa kifo Cha Magufuli
@blessyqueen1741
@blessyqueen1741 Жыл бұрын
Hapo Sasa .ruto ashaapitisha sheria hio.baada ya wakenya keleta shinda na maadamano kuaza kupinga ushonga ndio anajitokeza kujifanya anapiga eti yeye ni mcha mungu.mungu adhiakiwi.huhuru mwenyewe alipiga kabisa akiwepo museveni.huo ujube ni WA ruto tunamtoa na revolution atutaki kujua .Pepo mchafu
@PriscaManyala
@PriscaManyala 2 ай бұрын
Mungu ashughulike nao wote watakao pitisha ushoga kwenye nchi yetu. Wapigwe na chango hadi kufa.
@PetroKiyeyeu-hz7qk
@PetroKiyeyeu-hz7qk 10 ай бұрын
mungu atusamehe sas wananchi viongozi wetu wanajiziba masikio
@GnakoGnako-ee6jr
@GnakoGnako-ee6jr 5 ай бұрын
Rolinga mungu hakubaliki huishi miaka mia mbili mana sjawai m2 kama ww amehee
@jacksonnyagabo3369
@jacksonnyagabo3369 Жыл бұрын
Amen Amen , Taali kwetu Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 tunakataaa mapema sana tunazidi kuombea Africa yote paka mwisho Amen
@trustkyando6774
@trustkyando6774 Жыл бұрын
Mungu akutunze kwa ajili ya Tz
@ambitiousholyspirit395
@ambitiousholyspirit395 Жыл бұрын
Amen
@janeflorencesajjabi1545
@janeflorencesajjabi1545 Жыл бұрын
Ur blessed Man of GOD Prophet S.S. Rollinga,AMEN.
@sayyego
@sayyego Жыл бұрын
Asante Yes maana imeshindwa
@jacquelinemuthoni7527
@jacquelinemuthoni7527 Жыл бұрын
Lord remember Our Country Kenya and have Mercy upon us 🙏🙏🙏
@cate8976
@cate8976 Жыл бұрын
Lord Jesus, please have mercy on our country Kenya
@blessyqueen1741
@blessyqueen1741 Жыл бұрын
Wakati mtumishi roliga aliposema unabii kuusu mnara.akasema aliona alie shinda amepokonywa akapewa asiye shinda .then ukaja timia ,nilijua baaas tusubiri unabii utimie.
@josephakure6743
@josephakure6743 Жыл бұрын
Nabii Rolinga,haleluyah.Amen
@mamamalaika4413
@mamamalaika4413 Жыл бұрын
Alie na maskio askie venye Mungu anasema
@carolineonyango2673
@carolineonyango2673 Жыл бұрын
In TZ you are the only one the only who is in the side of God I wish you were a Kenyan . Kenya has been bewitched by rutos witches from Nigeria.
@oscanyakunga
@oscanyakunga Жыл бұрын
Nijambo lakukemewa waziwazi hapana ndoa zajinsia Moja 🇹🇿
@elizabethmuli5911
@elizabethmuli5911 Жыл бұрын
Habari hii imfikie Rais Ruto wa Kenya in jesus Name
@susankitila2898
@susankitila2898 Жыл бұрын
Kabisaa wapingwe. Ila wahubiriww nafsi zao zirejeshwe. Jamani inaumiza sana watoto wetu. Ooh Yesu wafundishe watoto. Tuombe sanaaa wazazi. Shetani ameamua kufanya kazi chafu juu ya vizazi vyetu
@eliasmhagama4978
@eliasmhagama4978 Жыл бұрын
Ameen Prophet. BWANA aiponye nchi yetu
@lizthebrave4798
@lizthebrave4798 Жыл бұрын
It's end time May God have mercy on us it will be the same way with turning away from Our God😢😢
@maina_kenneth
@maina_kenneth Жыл бұрын
Our president William ruto need to hear this message from you,i know he is your friend,talk to him,let him understand what God is saying.
@gracemacharia
@gracemacharia Жыл бұрын
Ruto ia 100%agnaist it
@snownfire
@snownfire Жыл бұрын
It is too late. God's judgement against him is ripe. He turned judiciary into a circus
@sallyrotich1006
@sallyrotich1006 Жыл бұрын
Washidwe kabisa katika Jina kuu ya Yesu kristo.
@thepoweroflightforallnations
@thepoweroflightforallnations Жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN
@JescahShanti
@JescahShanti Жыл бұрын
❤❤ni kweli inafanyika kenya mungu aturehemu
@dickson1820
@dickson1820 Жыл бұрын
Asante KWA kutii sauyi ya roho mtakatifu. Natumai unaongea Na Rais wa KENYA William Ruto.
@stellahokworo6561
@stellahokworo6561 Жыл бұрын
Ishindwe katika jina la Yeso Kristu mnazareth aliye hai 🙏🙏🙏 Amen
@melodymoraa8158
@melodymoraa8158 Жыл бұрын
Very true God is bitter ,but watu wanaenda kikabila,mungu akitoa judgement Ivo ndovyo 8livyo
@rachelkamaze1289
@rachelkamaze1289 Жыл бұрын
Amina baba nakuelewa sana
@maryfranknamkumba9182
@maryfranknamkumba9182 Жыл бұрын
Ahsante baba Rolinga. Nilikuwa nasubiri mtu aseme kitu Tanzania. Ahsante baba umelianzisha. Kwa maana wamekaa kimya kuna kitu wanakisuka. Maana waswahili husema “ KIMYA KINGI KINA MSHINDO” Wasije kutuzingua na hii sheria ya ushoga, hii kwetu mwiko. Kama alivyoshauri baba wa kiroho Rolinga kila mtu kwa nafasi inayomuhusu aombe jamani, this is not a joke. Tusije tukazimaliza mbio vibaya. MWENYE MASIKIO NA ASIKIE ❤️😭😭🙏🏾
@selinakadzo-cx4iz
@selinakadzo-cx4iz Жыл бұрын
Amen 🙏
@Legendwill876
@Legendwill876 Жыл бұрын
Amen kwa hayo maono
@angeljuma9969
@angeljuma9969 Жыл бұрын
Ameni
@mariawanjiru1275
@mariawanjiru1275 Жыл бұрын
Thank you man of God and also the gospel singers not all of them but some of them are guys lord have mercy
@marykiwoi7821
@marykiwoi7821 Жыл бұрын
Ahsante sana kwa ujumbe na Mungu akubariki sana maana inchi itapona kwa wenye watatiii nabii
@carolinemrinji9605
@carolinemrinji9605 Жыл бұрын
Mungu. Atusaidie
@rumariletimba7585
@rumariletimba7585 Жыл бұрын
Amen, Man of God,p Paul Letimba ni Kenya
@elizabethwanyonyi5014
@elizabethwanyonyi5014 Жыл бұрын
I 'breck the demonic power of marying woman to woman man to man in the name of Jesus Christ amen and amen 🙏 GOD bless you Pst 🙏🙏🙏
@Saidi1581
@Saidi1581 Жыл бұрын
mungu ni mwema pia mungu adhihakiwi ebu tazama kilicho tokea Brazil
@truphainamrutu4145
@truphainamrutu4145 Жыл бұрын
Kila sikio lisikie roho aonya wote mwenye mwili. May God bless you man of God
@nicolausminja689
@nicolausminja689 Жыл бұрын
Yaani wacha Mungu aitwe Mungu maana ingekuwa ni Mimi anaewaza hiyo Dhambi ningemfutilia mbali kabla hajamshirikisha mtu mwingine mawazo ya ubongo wake uliooza.
@godsfavour5665
@godsfavour5665 Жыл бұрын
Na mungu apige huo uongozi ata kama atatuma radi iwashugulikie
@annakisiga889
@annakisiga889 Жыл бұрын
mama kanyamaza kimya wenzake Kenya na Uganda wamettoa tamko lakin yeye kimyaaaa mungu asimame
@evernesslight3632
@evernesslight3632 Жыл бұрын
Amen kubwa
@johnmurimi9831
@johnmurimi9831 Жыл бұрын
Amen
@freddavidakafavourfuraha4357
@freddavidakafavourfuraha4357 Жыл бұрын
In Kenya, Supreme Court imepitisha already. Aliyesemekana ndie Daudi atakaye tukomboa na alete revival ameiruhusu ipite... Baadae ndio wanaanza kujifanya eti wana condemn... 😭😭😭😭
@virginia3255
@virginia3255 Жыл бұрын
Hajaikubalisha rais wetu ameikataa...i koti ilikubalisha bali rais ameikataa1
@freddavidakafavourfuraha4357
@freddavidakafavourfuraha4357 Жыл бұрын
@@virginia3255 Is he not the executive? President Uhuru alikataa live before Obama during joint press conference. Haikupitishwa. Currently President of Gambia ameikataa and he told off wazungu face to face. Haijapitishwa. Why is our President behaving as if anaicondemn after imepitishwa?🤔.... LGBTQ is one major agenda which the west is imposing on Africans. President Ruto must fulfill their agenda coz he already signed an MOU with them when they rigged him in to power....
@jeremiatitus4414
@jeremiatitus4414 Жыл бұрын
Mtumishi endelea kuombea ,shida kubwa kwenye ichi hii ni viongoz kukamatwa na dunia ,wanaogopa au wanapenda dhambi
@carolinesaru7386
@carolinesaru7386 Жыл бұрын
Wewe hujui ukweli.
@freddavidakafavourfuraha4357
@freddavidakafavourfuraha4357 Жыл бұрын
@@carolinesaru7386 what is the truth please? tell us dear...
@estherasava3303
@estherasava3303 Жыл бұрын
yatisha Yesu tuhurumie
@R.mkushi-vo2hn
@R.mkushi-vo2hn 10 ай бұрын
Tunapinga vikali na tunalaani vikali, na serikali zetu wakipitisha huo ushetani, basi viongozi wetu wanakubaliana na wazungu kwamba sisi ni nyani na hatuwezi kujitawala wenyewe.. Embu viongozi wetu watuonyesheni Uzalendo wenu kwamba mnaweza kutetea maslahi ya watu weusi..
@nicholasmutunga4587
@nicholasmutunga4587 Жыл бұрын
Kenya Kwisha
@vinniemakorie3986
@vinniemakorie3986 Жыл бұрын
Kenya, be warned
@catherinemukami4190
@catherinemukami4190 Жыл бұрын
Sema baba ndio tunakutegemea ubarikiwe tunakupenda baba yetu.
@chrisotieno7362
@chrisotieno7362 Жыл бұрын
Manabii na watumishi wa Mungu wengi walikuja kenya wakisema Ruto ndiye chaguo la Mungu kuongoza Kenya.
@dorcasmukhanji5231
@dorcasmukhanji5231 Жыл бұрын
🤭🤭
@allanmbilinyi4826
@allanmbilinyi4826 Жыл бұрын
KWELI MCHUNGAJI ROLINGI,NICHUKIZO KUBWA MBELE ZAMUNGU NDOA ZA JINSIA MOJA HATA WALIOPO WAKAMATWE WAFUNGWE.
@R.mkushi-vo2hn
@R.mkushi-vo2hn 10 ай бұрын
EZEKIEL34 yote inaujumbe wa Viongozi wetu wa Afrika.
@danieli352
@danieli352 Жыл бұрын
Hata asingesema roho. Nani anaweza akubari ushoga uingie? Wajisainie wao na watoto wao.
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 Жыл бұрын
Mume Niko hapa kwa yule dada anaetafuta mume wa kumuoa
@saramuna1173
@saramuna1173 Жыл бұрын
Kweli kabisa uumbaji wa MUNGU huwa haukosolewi
@edwardnjuguna4960
@edwardnjuguna4960 Жыл бұрын
Rais wa Kenya amepitisha hio inauma sana wakenya tuzidi kukataa tatika jina la yesu
@jeremiahkibiiy1313
@jeremiahkibiiy1313 Жыл бұрын
Wanawake wanyamaze kanisani 1st corinthians 14 :34
@mbiwa1
@mbiwa1 Жыл бұрын
KENYA WALIPITISHA PASTOR,HAUJAONA?
@mwakilamwaki7308
@mwakilamwaki7308 Жыл бұрын
Watu tuna tafuta wake wao wamekimbilia uko makanisani tuki wasimamisha kwajiri ya mazangumzo awataki mna wadanganya danganya kuwa wanaume wapo makanisani
@anitasita6299
@anitasita6299 11 ай бұрын
🇹🇿mbona Rais amesha Ruhusu si kamala Haris makamu wa Rais wa Marekani alomwaga hela ikulu
@africainmindofchrist7460
@africainmindofchrist7460 Жыл бұрын
Tunahitaji Neema Kubwa Sana Africa kiukweli Amani Yetu imekuwa Duni Sana kwa viongozi wasio kemea Hili Jambo,Watoto tuwafiche wapi
@mbiwa1
@mbiwa1 Жыл бұрын
RAISI WA KENYA HAJIFANYA HAJUI
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Жыл бұрын
Viongozi wengi duniani walikuwa wakiuawa wakipinga ushoga mwenyezi akasimamie hili
@stellananyama5724
@stellananyama5724 Жыл бұрын
Na huyo Kiongozi akikatalia Inch itakuaje?
@betsyakoko6810
@betsyakoko6810 Жыл бұрын
Ruto na Martha koome wasikie
@johnmurimi9831
@johnmurimi9831 Жыл бұрын
Mungu anapenda Kenya akuna kitu yoyote baya itakamu katika Kenya yetu
@trustkyando6774
@trustkyando6774 Жыл бұрын
Ameen Mungu akutunze kwa ajili ya Tz
@freddavidakafavourfuraha4357
@freddavidakafavourfuraha4357 Жыл бұрын
@@johnmurimi9831 Mungu anapenda Kenya sawa. Jee wakenya twampenda Yeye?
@barakaothumani6421
@barakaothumani6421 Жыл бұрын
Wabunge wengi wakike niwasagaji sijui Kama watakemea
@maina_kenneth
@maina_kenneth Жыл бұрын
Mtumishi,rais wetu ruto ashaatekwa na walimwengu.He is screaming in public but doing nothing in his capacity as a president to reverse what the supreme court did.All religious leaders are crying,everyone in kenya is crying,praying so hard that the same will be reversed.
@josephmallya5525
@josephmallya5525 10 ай бұрын
juzi nimeota hii nchi jeshi limetwaa madaraka tena nkaona ccm wakivurugwa na cghama hicho kupotea kwenye mwelekeo wa siasa za Tanzania
@emanuelmoshama3899
@emanuelmoshama3899 Жыл бұрын
Shida wanawake nao hawataki kuolewa
@mdoehaji
@mdoehaji Жыл бұрын
Wewe Rolinga wewe! Acha kuhukumu watu. Tenda kazi yako! Sio wa kuhukumu na kuonya.
@aminianamushi2212
@aminianamushi2212 Жыл бұрын
Are you shougaaz
@mdoehaji
@mdoehaji Жыл бұрын
Je hao ambao wamezaliwa wanawake na ni wanaume kwa wakati mmoja? Acha kutisha watu!!! Wewe sio mungu! Jionye wewe mwenyewe. Usitishe watu wewe!!
@Maureenlindah9516
@Maureenlindah9516 Жыл бұрын
Umebeba laana kubwa wewe, usiwahi nyooshea kidole mpakwa mafuta wa MUNGU.. Tubu kabisaa, usibebe laana kwa familia yako
@fredrickkingu2030
@fredrickkingu2030 Жыл бұрын
Mipango ya Mungu haibadirishi mtu kutumika pasipo yeye kuruhu. Kama wewe ni miogoni mwa hao unaosadiki ushindwe tena wewe Pepo mchafu rudi ulikotoka.
@fredrickkingu2030
@fredrickkingu2030 Жыл бұрын
Potea mbali
@pastorjoshuajuma.2601
@pastorjoshuajuma.2601 Жыл бұрын
Amen
@lizthebrave4798
@lizthebrave4798 Жыл бұрын
It's end time May God have mercy on us it will be the same way with turning away from Our God😢😢
@giftmvungi-ui1dm
@giftmvungi-ui1dm Жыл бұрын
Amen
ROLINGA AFICHUA SIRI ILIYOJIFICHA, MSIKILIZE HAPA
30:33
Haleluya Tv
Рет қаралды 6 М.
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 11 МЛН
DAMU YAFICHUA SIRI NZITO
20:31
Haleluya Tv
Рет қаралды 88
TUMIA MBINU HIZI UTOBOE
51:57
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 15 М.
TUKIO LA KUTISHA LINAKUJA-UMEJIANDAA?-PR. MMBAGA
59:24
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 137 М.
OMBEA TANZANIA MNYAMA WA KWANZA UNABII WA KUTISHA JUU YA UZAO
34:26
Azaria Kasunga
Рет қаралды 1,4 М.